VYOTE NDANI GONGA94
NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA SEHEMU 14
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Zikapita siku tatu mfululizo ,sikumuona yule baba walanyule mkaka tena akikatiza mtaani kwetu wala machoni mwangu...
Basi buana hio siku nikiwa mwingi wa mawazo nikaamua kutembelea wadsu wangu wa hapo manzese...kama mjuavyo kunechangamka haswa.....
"Naamini sitakosa kabisa..kitu siku ya leo wanangu hawawezi kuniacha hakika"nilizungumza.
"Aaaah!!!nuru weee"domo zege aluzungumza.Sikutaka kunkatisha stimu nilimsogelea halafu nikamkumbatia na namna ananikubali hakuacha kunikunbatia...nilipogundua huyu mwehu ananiganda kama ruba nikamsukuma...hawakuacha kucheka kwa pamoja pale waliposhuhudia akianguka.
"Oyaa kaza tako hilo utatolewa mari***"nilizungumza.
Tulicheka kwa pamoja tukiwa tunatazama ....bila kusita nikamyanyua....kwa upendo wa domo zege akanikumbatia.
"Inachosha hakika ebu naiche nian njaa mimi"nikazungumza.
"Nipo na wewe nuru sema unataka kula nini my queen ,nitakulipia kwaajili yako"alizungumza domo zege.
Japo neno my queen huwa linanichosha sana kwa njaa niliyokuwa nayo sikusita...niliongozana na domo zege na wana wengine....kuelekea kwa mama ntilie .
"Nitawanunulia mimi wana wote wa nuru"tukiwa tunaelekea mgahawani sauti hio ilisikiaka.
Wanangu wote waligeuka na kushangaa nami pia nikageuka...sikuacha kushangaa pale nilipimuona yule kaka akiniangalia.....
Wanangu hawakuacha kunong'ona sana kila wakumbukako lilw tukio la siku zile.
"Mbwa wewe.....kwa ulichonifanyia sikuzile unadiriki kuja kwa mara ya pili huogopi kufa?"nilizungumza.
"Si mara ya pili ni ya tatu...wanao wote ni wanangu......naomba unipe.nafasi nahitaji kuzungumza nawewe"alizungumza kisha akatoa elfu hamsini na kuwapatia wanangu sana...domo zege hakuacha kutoa udenda alipikabidhiwa elfu kumi๐.
"Nna njaa,nahitaji kula"nilizungumza.kama ilivyodesturi alinibeba juu juu na kunioandisha garini...
Wanangu hawakuacha kucheka...japo kwa mbali,nikamshuhudia domo zege..akianguka kwa kicheko๐.
"Mbwa huyu nitamfir*** nikirudi hakika"nikazungumza kisha nikaondoka.
Nakuja
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ndefu-halafu-nene-ila-inanikuna-sehemu
