Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

SHEMU KAUTAKA SEHEMU -06

2nd Jul, 2025 Views 83

SHEMU KAUTAKA
SEHEMU -06
?Siku iliyoofuata…
?
?Ilipofika saa mbili asubuhi, Richard alikuwa tayari kaondoka kazini, kama kawaida. Rahma alikuwa ameketi sebuleni, amevalia dera jepesi la nyumbani lililobana kiunoni, akitazama simu yake huku akinywa chai. Hakujua kama kuna mtu mwingine ndani ya nyumba.
?
?Alikuwa akijiachia akiajitanua tanua si anajua yuko peke yake na anajua ramadhani kaende kwenye mazoezi kumbe jamaa kaka ndani anaiangalia picha ya shemeji yake Rahma. Anatamani hata aonje mara moja tu chakula chake kila akikumbuka kile kisungura cha Rahima babu juma anakuja juu kwa hasira . Anateseka sana Ramadhani wakati huo mdogo wake yeye anaichapa pale anapoitaka si yake....
?
?Akiwa kazini, Richard alikuwa anajua kaka yake haiwezii ikatokea akamsaidi jukumu lake ni mtu ambaye wanaheshimiana sana.
?" yaani mkeo unamuacha na kaka yako?
?'eeeeh !!!! Kwanni kuna shido"
?" utakuja ulie siku moja"
?" namwamini kaka yangu"
?" mmmmmh aya bhana "
?" kaka anajiheshimu wewe, unadhani ni kama kaka zenu hao"
?" kuwa makini utanishukuru".
?" kama huna cha kuniambia toka hapa!
?" mmmmh bossi nakushauri tu"
?" kamshauri bi**" yako"
?" mmmh bossi mbona una matusi"
?" toka hapa ! Sitaki nikuone hapa"
?Basi ni mmoja ya wafanyakazi wake walikuwa wanampa ushauri asimwamini sana mtu anayeitwa mwanaume hata kama ni baba yake lakini wapi! Hataki kuelewa ....
?
?UPANDE WA NYUMBANI ......
?Ramadhani, aliyekuwa chumbani kwake, alikuwa amesimama dirishani akimuangalia Rahma kimyakimya kupitia pazia.huku akiushika kamanda mkuu akisema ipo siku nitakula na mimi kama dogo siwezi nikalaza damu wakati daktari ninaye hapa hapa ndani lazima auponye ugonjwa wangu .....
?
?Dakika chache baadaye, alitoka chumbani taratibu. Bila viatu, Alifika sebuleni na kusimama nyuma ya sofa.
?
?“Mbona chai unakunywa peke yako leo?” alizungumza ghafla.
?
?Rahma alishtuka kidogo, akigeuka nyuma haraka.
?
?“Umenishtua Ramadhani… nilidhani umetoka .”
?
?“Nisingeondoka bila kusema neno kwa mama mwenye nyumba , malkia na mrembo mwenye harufu tamu hivi,” alijibu kwa sauti laini.
?
?Rahma alimtazama, akajikuta anatabasamu. “Basi njoo unywe chai nami.”huku akimuonyesha ukarimu kama shemeji lakini kumbuka hapa ni winda nikuwinde .....
?
?Ramadhani alizunguka na kuketi pembeni yake, si mbali sana lakini pia si karibu kupita kiasi. Kisha akavuta kikombe alichokuwa amemuachia Rahma, akanywa pafu moja kisha akasema, “Hii chai yako ni tamu jamani kumbe mungu kakupa vingi mmmmh mikono yako ni ya hatari.”
?
?Rahma alicheka, lakini ndani yake moyo wake ulitetemeka. Hakujua kama ni hofu au msisimko.Maana kwa yake maneno mmmmh nyoka lazima atoke pangoni mwenyewe ..na sauti ya Ramadhani ilikuwa ya kimahaba ....
?
?Kisha Ramadhani alimuangalia kwa jicho la upande, “Leo kuna harufu tofauti na kawaida… ni lotion yako au wewe mwenyewe?”
?
?Rahma alinyamaza. Aligusa shingo yake kwa aibu. Huku akizing'ata lipsi zake ....
?Ramadhani akaangusha kijiko makusudi chini kikawa kipo katikati yao . Kila mtu aliinama na kutaka kukiokota baada ya kushika kijiko wakashikana mikono na macho yao yakatazama .wakat huo Richard yupo bize ana tye document kwenye computer . Nyumbani mambo yamenoga .....
?
?Kisha Ramadhani akainama tena kidogo, akajifanya anachukua kijiko kilichoanguka chini. aliposimama, uso wake ulikaribia sana na wa Rahma. Macho yao yakakutana. Hakukuwa na neno.
?
?Sekunde tano zikapita. Kisha kumi.
?
?Ramadhani hakusema chochote. Huku Rahma anajikuta anafumba macho baada ya kutazama kwa muda mrefu .......
?kisha anauachia mdomo tayari kwa romance
?
?
?FULL 1500
?0699286085
?
?.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHEMU KAUTAKA SEHEMU -06  >>> https://gonga94.com/semajambo/shemu-kautaka-sehemu-06
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest