Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❤ EP12.
Gonga94 · Stories

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❤ EP12.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


B alimpa mama ake majibu, mama mkwe alifurahi sio pw, alianza kunijali vibaya mno, kumbe na mashemeji zangu nao wajeda, yani kwao wako watatu, wote wajeda, siku moja kabla ya harusi, nilipelekwa salini nisukwe na kupunguza baadhi ya vitu ili kesho waje kunipaka tu mecup, kumbe Emma kaandaa majambazi waje kuniteka bwana, gali yetu alikuwa anaendesha shemeji yangu ikavamiwa,walipigika japo wao walikuwa wengi, niliata uoga shem akaniambia nisijal kabisa, akuna kitu kitatokea,niliwekewa ulinzi, mpaka siku ya harusi, ndoa ilipita lakini kwa vita...

Kunajeda wakike alikuja siku ya ndoa kupinga ndoa isifungwe kwa madai anamimba ya B, walishughulikia ndoa ikapita ila mimi sasa nikabaki na duku duku, langu, sheree ilivyoisha nikatamani kuanzisha vita ila nikakumbuka, uto dada mimba yake ni kubwa kama ni mahusiano ni kabla yangu, na B alikili kweli walikuwa wapenzi ila wameachana, binti alimkataa B, akaanza kutoka na mkubwa wao wa kazi...

Na majibu ya shombo ya binti, B aliyarecord, alijua badae yatakuja kumsaidia, nikaona nisilete nuks siku ya ndoa yangu mwenyewe, na hizi heka heka zote tena mwanaume kasgavurugwa vya kutosha na mimi nae nuanze tena kumtibua atatuliza wapi hii kichwa yake🤔, nikajifanya tu kila kitu kiko sawa niko na amani...

B alifurahi kuona nimemuelewa bila kona kona, ndugu zangu hawakuamini kama nimeolewa na usingle mother wangu, walijua mimi niwakuchezewa tu, ytena nineolewa na mtu mwenye pesa zake,japo walianza kuvumisha mwanaume wangu malaya ataniua na ukimwi,sikujali niliamua kuwa serious na ndoa yangu, nilianza kuhisi harufu ya hatali, wezi walizidi kuongezeka, wakawa wananirusha roho nijaamua kutoka kwanza mitandaoni, nikee mimba yangu kwa amani, ukija na story kuhusu mme wangu kabla hujanza kuniambia nakukatisha tu kiroho safi...

Sikutaka mazoea, walianza kunisema najisikia, ndoa bado changa ngoja ianze kuchangamka nitawatafuta kwa toch, nilijitahidi kujiepusha sana na wambea,rafiki yangu akawa ni biashara yangu nilifunguliwa ya nguo, kanisani na kwa wahitaji,tumbo lilivyoanza kunizidia nilitafuta mtu wa dukani tukasndikishana kisha nikawa mama wa nyumbani tu..

Siku za kujifungua zilifika , lakini sikujifungua, ikabidi tufatilie tatizo nini? Kila tukipima hakuna tatizo, naumwa uchungu ila nikifika hosptal uchungu unapos kabisa, nakuwa mzima,niliteseka ivo wiki nzima nikaona apa kuna shida, nilizidisha maombi, siku moja nilienda kuwatembelea watoto yatima, nilijisikia tu bola nikacheze nao nitulize akili, na maumivu ya uchungu,nilivyofika tu, watoto wakanipokea kwa furaha wameshanizoea sana, nilianza kuumwa uchungu wakataka kunieleka hosptal nikawambia wasijisumbue huwa nikifika hosptal uchungu unapoa...

Yule mlezi wa wale watoto akashangaa wakasema sasa leo haitakuwa hivyo, akawaomba watoto tuungane kwa pamoja kuniombea ili wanipeleke hosptal, watoto waliomba kwa uchungu jamani kama vile hili tatizo ni lao, waliomba maombi maziti sikutegemea, kuna waliomlilis Mungu amewavhukulia wazazi wao, mimi ndie kama mama kwao wabaniona ninavyowajali nawapenda, naenda mala kwa mala, na ta kana ni usiku wa manane wakipiga simu wanashida nitakimbia kuwasaidia...

Mungu usituondokee na huyu, tubakizie na uzao wake, mlinde na kumbaliki kwa ajili yetu na yako pia Mungu, watoto waliniombea kwa muda mrefu kuna kitu nilihisi ghafra tu kama kinatoka tumboni, apo apo nikahisi kusukuma, hawakuwa na jinsi nilijifungua kati kati ya maombi, pale pale kituoni,yule mlezi ilibidi anisaidie kukata kitovu cha mtoto, na kumweka sawa, alikuwa wa kike aisee nilifurahi japokuwa nilikuwa nimechoka na na mtoto alionekana pia kuchoka sana, angechelewa kutoka leo sijui kama ningeambulia kitu,tuliwahishwa hosptal...

Mama mkwe alipewa taarifa akaja, hakuamini, B tulimpigia simu hakupokea, nijamtumia tu picha whatsup,amekuja kunipigia tayali tumeshaatiws matibabu, mtoto hakuwa sawa tulilazwa,furaha niliyokuwa nayo jamani haikuelezeka, kaka B alifurahi kupata kadogo kake,B na kina shem walifika kws kuchelewa hawakuamini aisee walikuwa na ham kaje kabinti, na ndio kalikofika...

Tulikaa jina la Brithness, tukiwa kwenye furaha tukapewa taarifa ya msiba, shangazi yangu kafariki, lakini kafa uku ananilalamikia,ananitaja, nikashangaa, kuja kufatilia kumbe yeye ndioe alinifunga alichukua mimi kuolewa tena kwa heshima,nyumbani sikuwa nimewajulisha kama nimejifungua ikabidi ni wambie sitoweza kufika ndo nimetoka reba, na tumelazwa mtoto ni mgonjwa kachelewa kutoka, mama akasema itakuwa ni shangazi yako tu uyo kakushindwa ukiwa tumboni kwangu, akataka kukuulia reba, na wewe ukome uliona kuniambia mama ako nitakuloga ee? Ungesema toka muda unashida ningesgakusaidia alinifunga pia kwenye mimba yako, tukatumia dawa nikajifungua akaomba msamaa...

Ungekufa mjinga wewe naona umejipata mpaka unanificha mama ako mambo makubwa kama hayo, nilijitetea mno, make ukweli sikuwa napend kabisa simu, ama kuongea, mama alinisamee...
Kupata mwendelezo

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❤ EP12.



B alimpa mama ake majibu, mama mkwe alifurahi sio pw, alianza kunijali vibaya mno, kumbe na mashemeji zangu nao wajeda, yani kwao wako watatu, wote wajeda, siku moja kabla ya harusi, nilipelekwa salini nisukwe na kupunguza baadhi ya vitu ili kesho waje kunipaka tu mecup, kumbe Emma kaandaa majambazi waje kuniteka bwana, gali yetu alikuwa anaendesha shemeji yangu ikavamiwa,walipigika japo wao walikuwa wengi, niliata uoga shem akaniambia nisijal kabisa, akuna kitu kitatokea,niliwekewa ulinzi, mpaka siku ya harusi, ndoa ilipita lakini kwa vita...

Kunajeda wakike alikuja siku ya ndoa kupinga ndoa isifungwe kwa madai anamimba ya B, walishughulikia ndoa ikapita ila mimi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/single-mother-na-busu-la-mjeda-ep12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi single-mother-na-busu-la-mjeda-ep12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72

702
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

651
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

516
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

443
MY WANGU❤️ sehemu ya 73

MY WANGU❤️ sehemu ya 73

390
MIMI SIKUACHI🥰 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

MIMI SIKUACHI🥰 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

269
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

255
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

236
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

131
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15

87

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.81K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.66K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.03K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.26K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
REAL LOVE* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

ndani ya hotel moja kubwa iliyopo posta katika chumba kimoja walionekana devi pamoja na cathe wakiwa wamekumbatiana kitandani, wanyama hawa hawakuwa na wasiwasi wowowte juu ya usaliti wao yani ndokwanza...

MY WANGU❤️ sehemu ya 73 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
@majario LIVE

Basi hivyo ikawa ni tunalishana kimya kimya. Mpaka tumemaliza mie nikatoa vyombo. Nikaenda kuosha ndo niondoke. Basi nipo busy naosha vyombo mashangaaa nimeshikwa kiuno kwa nyuma nikageuka namuangalia ni mlige....

MIMI SIKUACHI🥰 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1) Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa....

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest