Nilikuwa nahudumiwa kama malkia, leo aliniita chumbani kwake,niliogopa, ila nikajikaza nikaenda uku namuonea aibu mno, " P mbona ivyo mamaa, unaniogopa? Amna ata, sasa mbona hunitizami, muda huk nikawa nakumbuka tu shoo ya kibabe niliyopewa, B alinisogelea akanikubatia kwa nyuma uku ananipapasa, " nimekumiss sana, yani nikikuona tu huwa hali yangu inabadilika kabisa, ila naomba tuongee kitu basi P, alikuwa anaongea jilani kabisa na shingo yangu, mimi apo ata mapigo yangu ya moyo yalishaanza kubadilika napumua tu ovyo ovyo...
" Naomba tumpeleke shule mtoto wetu muda unazidi kwenda, nimeshamtafutia shule ya kutwa, atakiwa anaenda na kuludi jioni, bado sijalipia ada nasubili maamuzi yako kama shule utakuwa umeipenda basi nilipie ada, aisee uyu kiumbe alinigusa penyewe kabisa, alijua udhaifu wangu, nilijikaza na sauti yangu tayali ilikuwa sio ya kawaida tena ni ya chumbani kabisa...
Asante sana B, naomba nikaione, kumbe sauti yangu tayali ishamvuluga B hali yake ni tete, kitu ilikuwa inapumua kwa shida kwenye pensi, aliamua kuniomba, na mimi tayali nilikuwa nataka nilimkubalia kwa kichwa weee, apa ni fisi kakabiziwa bucha, nilitoka hoi, nitashindwa kwenye shuleni,alinitizama kwa huruma uku anatamani tu tuendelee...
Ila muda haukuwa sawa alijikaza akamaliza tukaondoka wote watatu, niliipenda shule ila nikahofia gharama, Mmh B mimi hapa gharama siiwezi ukiniacha ndi nianze tena kumsumbua mtoto kuludi st kayumba, naomba tu tumpeleke, za serikali nikipata hela huko mbele nitamleta, pazuli sana, na hata matokeo yao kwakweli nimeyapenda...
Kumbe nilimuuzi B kisema akiniacha, alinikata jicho nikaanza kutafuta kosa sioni🤔,hakujisumbua kunifafanulia chochote alienda akalipia ada nilitaka kumzuia jicho lake akikucheki ata kama unaujasili kiasi gani utakuisha tu...
Alilipa ya mwaka mzima,tuliludi njia nzima kanuna, nilisubili tufike nyumbani nimuulize, tulifika,mwanangu akaingia zake kucheza ndani kwake, B akapitiliza chumbani kwake nilimfata nikaingia bila hodi nakuta mtu, kanuna machozi yanamtoka, nilimshika na kumuuliza nini tatizo?...
Itaendelea ....💥
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments