π₯ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANIπ³ Sehemu... 11. π Niliingia ndani nikawaacha wanawaza waende polisi au wakiwaza wameshikwa je kifatacho si kuingizwa....π
Nafika ndani tu nakutana na sahadini anacheka ananiambia)
" Mbona mganga umemsamehe alafu hao unataka kuwapeleka polisi nenda kawaambie umewasamehe wasirudie tena.
( Nilitoka nje nikawaambia)
" Nimewasamehe msije kurudia kwangu wala kwa mtu mwengine.
" Asante Asante Asante.
( Waliondoka na wakavunja rasmi kundi Lao la waalifu wa kijinga...sasa sahadini akaniambia)
" My nina mtihani mzito unaweza kunisaidia.
" Upi?
" Kwenye kikao mimi nimeambiwa nisioe mwaka huu mpaka mwakani ndio nitapewa ruxsa ya kuoa na hapo kuna mawili naweza kuoa mwenzangu yani kwenye jamii yetu sasa mimi nakupenda wewe naomba nikupe siku tatu ufikilie unipe mapenzi.
" Unamaanisha?
" Namaanisha tufanye mapenzi my nina hamu sana na tendo.
" Sawa acha nifikilie izo siku tatu.
" Sawa Shika pesa hii mimi naondoka kama utakuwa na shida utaniita nakuja ila naenda wewe jua mimi nina hamu ya mapenzi.
" Sawa.
( Aliondoka akaniacha na mawazo je niingie mazima kwa sahadini anipe penzi nawaza kunisaidia ananisaidia au nimwite nimpe tu...naumia kichwa kuwaza nikimwita atanionaje acha nisubili siku tatu...nimetulia naona sms kwenye simu yangu)
" Kuanzia Leo wewe sio mfanyakazi tena wetu usije tena kazini"
( Sikujibu nilikaa kimya nikaona awana utu mfano naumwa wao si wangekuwa wananiuliza nini kimenisibu yani wamenyamaza wananifukuza kazi...nikaenda kula mtaani nazungumziwa mimi tu)
" Yule dada mganga wake sio muongo.
" Kwakweli yani ningemzoea ningeenda kumuuliza yupo wapi mganga wake maana toboa tobo anavyoogopeka hapa mtaani mwenyewe kahama kwa aibu.
( Mimi ndio najua kumbe toboa tobo kahama tayari kwa sababu kaonekana 1200 zake shauri yake...nikaenda zangu kula nikarudi nyumbani...nimetulia zangu nawasikia kina pili na mashoga zake wanapiga story uko mmoja hapo anawaambia)
" Inauma sana kuachana!! Ila inauma zaidi kama uliweka na malengo yako hapo β ila inauma zaidi kupoteza muda wako for nothing!! Mbaya zaidi kama ulianza kuwatonya wazazi nina mtu halafu AKAKUACHA.
Ila acha nikwambie kitu, muda mwingine MUNGU ana waondoa watu wasio sahihi kwenye maisha yetu sababu AMEONA na KUSIKIA ambayo sisi hatuna uwezo wa kuona wala kusikia. Unaweza kumlilia mtu ambaye ulipaswa ushukuru kwa kukuacha SALAMA.
Wote waliotuacha hawakuwa wetu. Maumivu ni lazima ila yataisha. Sema ashante MUNGU kwa hii pia, maana una makusudio yako. Halafu MOVE ON β mbona jana iliisha bila uwepo wake, leo pia itaisha hivyo hivyo. Siku mpya itakuja nayo itapita, then maisha yataendelea kama hakuna kilichotokea.
( Mala namsikia pili analalamika)
" Ila joji kiukweli nilimpenda sms yake ya kuwa anitaki tena mimi mshirikina sana imeniuma na nilishamtambulisha kwa mama.
" Pili na wewe kwa kukurupuka inamaana umuoni joji kama ni muhuni au ndio penzi upofu.
" Sikuona ila acha nishike somo alilonipa uyu.
( Mimi kimya namuwaza sahadini wangu...siku ikapita...siku zilienda ikafika siku ya tatu sahadini akaja kuchukua jibu nawaza nimpe au nisimpe sipo kwenye siku zangu nipo Sawa kwa matumizi ya kitandani nawaza sahadini baada ya salamu akaniambia)
" Amina nimekuja kuchukua jibu langu na nipo vibaya sana hapa nimezidiwa mwenzio.
( Sikutaka kumzungusha wanawake tupo wengi asije akaenda kwa mwengine bure nikamwambia)
" Sawa nimekubari kufanya mapenzi na wewe.
" Kweli.
" Ndio.
" Asante my wangu nitakupenda sana sana sana sana.
( Sahadini anaongea uku anavua nguo maumbile ya kibinadamu kabisa na amesimamisha mpaka mimi kwa bibi kunapwita naitamani na mimi nikatoa nguo tufanane ila ya mwisho kuvua ya kwanza kuvaa sikuitoa nilimwambia)
" Hii utaitoa wewe.
" Asante nitaitoa kwa meno hii.
( Jamani sahadini anajua mahaba sijawai kupewa alianza na....)
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi