Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
05 Nov 2025
148 views
VYOTE NDANI GONGA94
π₯ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANIπ³ Sehemu ya kwanza. Ila usichana kazi jamani Nilipata baby mpya, Sasa akawa ameniomba tuonane
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, nikajua tu kwenye kuonana lazima baby ataniomba π₯ (tunda) si nawajua Hawa watu wanavyo penda nyama
Nikiangalia Sina nguo nzuri ya ndani alafu jirani kaanika kinguo chake pale na nikijipimia naona kabisa Ile size yangu sijui na yeye alikua anataka kwenda kwa honey wake sijuiπ€· mimi nikaenda kukianua kile kinguo, nikatinga huyoo nikaondoka zangu. Nikaenda kuonana na baby wangu, nikakuta yupo na marafiki zake teleβΉοΈ akanitambulilisha tukawa tunapiga story.
Sasa nikaona muda unaenda Lakini sioni dalili ya kuombwa kitu, na mpaka tunaagana mtu aniombi chochote, nikaona kama amenidharau ila sikuweza kumwambia. Basi mpaka tunaondoka baby hakuniomba tunda
Nilichukia Kwa sababu nilisha jiandaa na game, alafu kumbe yupo na marafiki zake si makusudi haya ?
Badae akamuita boda wake aje kunibeba anipeleke nyumbani, nilivyo panda pikipiki nikawa namchokoza chokoza yule boda najisogeza kwenye mgongo wake namuwekea madodo yangu yamguse hili asisimke ajiongeze ila bodaboda kiboko akaniambia)
( Iyo siku nilikuwa na hamu kweli kweli tulienda gest akanipunguza uzito vizuri akaondoka mimi nikawa namuwaza yule bwana angu,
Nikajiuliza sana hivi huyu yupo sawa kweli? Mana ninavuowajua wanaume, sio rahisi kuacha nyama inaondoka kizembe. Kama huyu boda chap tu kaichangamkia fursa. Unaachaje nyama?
Basi Nikarudi nyumban, nakuta jirani analalamika haoni nguo yake, mi nikajifanya kama sijui lolote. Mpaka alienda kwa mganga...mimi nawaza nguo ya ndani tu ndio aende kwa mganga shauri yake niliivua nikaiweka kwenye tenga langu la nguo kimya...usiku namsikia anasema)
" Yani kama mtu kaichukua Nia yake anifunge mimi uzazi au anipe nuxsi atajuta.
( Mala mama mtu mzima anamwambia)
" Ila na wewe umezidi nguo zako za ndani unaanika ovyo wenzio wanafunika na mtandio ila wewe unaacha adhalani inawezekana aliyechukua anataka kukufundisha kuanika nguo ya ndani kwa vitendo.
" Mimi zangu azina kutu naanika popote kwani kuna mtu asiyejua nguo zile.
" Basi yaishe waulize wasichana wenzio inawezekana imedondoka wenzio wamekuanulia.
" Mganga ameniambia niende Kesho hapa nisiyemuuliza ni amina tu karudi atujaonana.
" Kamuulize.
( Yani anakuja chumbani kwangu wakati mimi uku bwana yule nina mashaka nae kanitumia sms)
" Wageni wameondoka njoo my wangu Samahani sana kwa yaliyotokea mchana"
( Sijajibu ndio hodi inagongwa nafungua nakutana na uyu msichana)
" Amina Samahani umeanua nguo yangu ya ndani nyekundu?.
( Mtihani huu nikisema ndio nishaivaa atanionaje?...alafu nataka niende tena kwa bwana angu iyo iyo naitegemea tena nilikuwa kimya nawaza cha kumjibu yeye akaniambia tena)
" Amina mbona unipi jibu?
" Nashangaa ilo swali lako ndio maana nipo kama nimepigwa bumbu wazi kweli mimi nikaanue nguo yako ya ndani.
" Samahani basi kama ujaanua nimekuuliza tu.
" Sawa.
( Niliingia ndani nikaivaa nguo yenyewe imenitoa bomba yani mashavu yamejichora vizuri uyo naondoka zangu kwa bwana angu japo sina hamu kama za mwanzo ila acha na yeye nimpe tu ale tunda nilifika kwake cha ajabu kwenye kuniandaa alitoa nguo zote ilivyobaki nguo ya ndani yakamtoka macho anaishangaa)
" My itoe basi mbona unashangaa nimezidiwa mwenzio.
ITAENDELEA
JAMAA ANAISHANGAA KWANINI?
USIKOSE
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 19 MPAKA 20
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π₯ SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANIπ³ Sehemu ya kwanza. Ila usichana kazi jamani Nilipata baby mpya, Sasa akawa ameniomba tuonane
, nikajua tu kwenye kuonana lazima baby ataniomba π₯ (tunda) si nawajua Hawa watu wanavyo penda nyama
Nikiangalia Sina nguo nzuri ya ndani alafu jirani kaanika kinguo chake pale na nikijipimia naona kabisa Ile size yangu sijui na yeye alikua anataka kwenda kwa honey wake sijuiπ€· mimi nikaenda kukianua kile kinguo, nikatinga huyoo nikaondoka zangu. Nikaenda kuonana na baby wangu, nikakuta yupo na marafiki zake teleβΉοΈ akanitambulilisha tukawa tunapiga story.
Sasa nikaona muda unaenda Lakini sioni dalili ya kuombwa kitu, na mpaka tunaagana mtu aniombi chochote, nikaona kama amenidharau ila sikuweza kumwambia. Basi mpaka tunaondoka baby hakuniomba tunda
Nilichukia...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-ya-kwanza-ila-usichana-kazi-jamani-nilipa