Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu
Gonga94 Β· Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Ilikuwa asubuhi tamu kweli. Tulipochokal kucheza tukaingia bafuni kuoga kwa pamoja. tuliogeshana kwa upendo.

Baada ya kuoga, tukavalishana nguo kisha Elton akaniambia ataandaa breakfast tena maana anajua vya kuchemsha nakaanga, navya kukaanga nachemsha

Mimi ni nani nikatae?? Nilikaa pembeni nikiangalia tu jinsi anavyotayarisha maakuli.

Dakika kama ishirini hivi, meza ikawa imejaa vitu vitamu sijui pancakes, sausage, chai ya maziwa, mikate na juisi baridiii.

Tulikaa pamoja mezani, tukaanza kula. Wakati mwingine alikuwa ananilisha, wakati mwingine.

mimi namlisha. Ilikuwa romantic sana na tukajisahau hadi pale Elijah alipokuja akatuona. tunafanya ma lovie dovey.

Nilijua moyo wake unauma hasa pale aliponitazama. Alituangalia tu kwa muda kishal akamgeukia Elton, "Bro, naomba tuongee. kidogo

"Ok"

Wallkwenda chumbani kwa Elton, wakafunga mlango ili nisisikie walichokua wanazungumza.

Elijah alianza kwa kuuliza, "unampenda Gina kweli?"

"Ndiyo, nampenda

"Sasa mbona siku ya kwanza nilipokuuliza ulikataa?"

"Nilijichanganya tu ila this timenajua nampenda Gina kweli

"Ok, mimi sina shida. Ila nakuomba kitu kimoja

bro, Gina ni msichana mzuri na Akipenda, anapenda kwa moyo wote. Usije ukamuumiza"

Elton akajibu "Usijali, sitamuumiza

"Na yule mwanamke mama yako aliyekutafutia umuoe je? Umeshamwambia Gina kuhusu icho? Also Unajua wazazi wako hawatamkubali Ginah kirahisi

Elton akakaa kimya kwa sekunde kadhaa kisha akasema kwa ukali "Mambo yangu na Gina Wewe usiingilie. Wazazi wangu nitashughulikia mwenyewe. Gina pia nitamueleza mwenyewe. Kwa sasa please achana na haya mambo"

"Ok. Ila inabidi niondoke. Sina nguvu ya kuendelea kukaa hapa nikiwaona nyie wawili kila siku. Inaniuma

"Ni sawa bro, nakuelewa Lakini asante, Kamal usingekuja, labda nisingejua kama nampenda Gina kwa kiasi gani"

Elijah akatabasamu kwa uchungu "Nami nimefurahia muda tuliokuwa wote. All the best"

Wallpeana mikono kisha wakakumbatiana kama wanaurne waliomaliza vita. Baada ya hapo, Elijah akaenda chumbani kwake kuanza kupack mizigo yake.

Baada ya kupaki kila kitu hakutaka hata kupoteza sekunde nyingine pale ndani. Nilimuona amebeba mabegi yake nikapata presha.

"Unaenda wapi?"

"Naondoka, Gina

Nikashangaa "Kwa nini tena? Mbona ghafla?"

Akasema kwa sauti ya upole "Sioni kama kuna. haja ya kuendelea kukaa hapa. But please kuwa makini na Elton"

"Kwa nini unasema hivyo?"

"Just kuwa makini tu. Elton si mtu wa kuamini. sana"

Baada ya kusema ivyo akatoka nje na kuingiza mizigo kwenye buti la gari. Nilimwangalia akiwasha gari na kuondoka nikiwa namhurumia.

Sikatai Elijah alikua na hisia na mimi na alinijali sana ila bahati mbaya mimi tayari moyo wangu ulikua kwa Elton hata kwa vyote vile vibaya. alivyo nifanyia. Moyo wangu ulichagua kuwa na

Elton pekee.

Basi bhana Elijah alipofika mbele kidogo alipaki gari pembeni ya barabara, akatoa simu yake. Alimpigia simu Aunt yake ambaye si mwingine bali ni mama yake Elton.

Simu ilipopokelewa mda huo huo huku sauti ya Mama Elton ikisikika upande wa pili "Hallo Elijah, habari zako mwanangu?"

Elijah akajibu "Good Aunt. Naomba kukuuliza jambo moja

"Uliza mwanangu, kuna nini?

"ile ndoa kati ya Elton na yule msichana mliyemchagulia bado ipo au mmeifuta?"

"Haljafutwal Ni vile kuna tatizo limetokea kwa upande wa msichana but ipo pale pale. Soon tatizo litatatuliwa then harusi itafungwa! Why umeuliza ivyo?"

Elijah akasema "Kwa sababu Elton anaishi na mwanamke mwingine nyumbani. Wanaishi kama wapenzi. Nilikua huko kwa wiki mbili na

nimeona kila kitu kwa macho yangu. Anaonekana kumpenda sana huyo mwanamke"

Mama Elton akashangaa "Umesema nini?! Anaishi na mwanamke mwingine? Hiyo haiwezekani! Elton hawezi kufanya hivyol"

"Ni kweli Aunt! Nilidhani labda mmebadilisha mpango wa ndoa ndo maana anaishi na mwanamke mwingine"

"Hapanal Hii ni aibu. Hiyo habari mbaya sana. Asante kwa kuniambia Elijah. Nitajua jinsi ya kufanyal Thanks so much"

"Ok Aunt" Elijah alikata simu akatabasamu kisha akaendelea kuendesha gari lake.

Wakati huo mimi na Elton tulikuwa hatuna habari kabisa kinachoendelea nyuma ya pazia. Ndo kwanza penzi lilikolea mno, kila siku tulitoka kwenda dinner, shopping, tulizunguka kila mahali

ku-enjoy. Na nilipotakiwa kwenda kuripoti polisi

kwenda dinner, shopping, tulizungus

ku-enjoy. Na nilipotakiwa kwenda ko

niyeye ndie alimpeleka

Etoo alinijal

Hakusema ner

mara moja. Kuna mda aliuliza kul yangu lakini alikua tayari kumuambi nikamwambia kwamba nilikuwa kuolewa mwanaume mwingn vibaya sang Nilikaa kimya skar

nikiwa tayari nitamuambia mwenyew

Unajua nini kitokea baada ya hapo

kidogo nakuja

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu



Ilikuwa asubuhi tamu kweli. Tulipochokal kucheza tukaingia bafuni kuoga kwa pamoja. tuliogeshana kwa upendo.

Baada ya kuoga, tukavalishana nguo kisha Elton akaniambia ataandaa breakfast tena maana anajua vya kuchemsha nakaanga, navya kukaanga nachemsha

Mimi ni nani nikatae?? Nilikaa pembeni nikiangalia tu jinsi anavyotayarisha maakuli.

Dakika kama ishirini hivi, meza ikawa imejaa vitu vitamu sijui pancakes, sausage, chai ya maziwa, mikate na juisi baridiii.

Tulikaa pamoja mezani, tukaanza kula. Wakati mwingine alikuwa ananilisha, wakati mwingine.

mimi namlisha. Ilikuwa romantic sana na tukajisahau hadi pale Elijah alipokuja akatuona. tunafanya ma lovie dovey.

Nilijua moyo wake unauma hasa pale aliponitazama. Alituangalia tu kwa muda kishal akamgeukia Elton, "Bro, naomba...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-kumi-na-sita-asubuhi-tuliamka-wote-tukicheza-na-mito-kama-watoto-el

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending πŸ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-kumi-na-sita-asubuhi-tuliamka-wote-tukicheza-na-mito-kama-watoto-el
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

395
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

254
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

173
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18

105
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.92K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.88K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe β€œBoss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu β€œsitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema β€œkamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice β€œkusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18 Post Mpya
πŸ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO πŸ’‹ 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏑. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani β€œniondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest