“,, kichwa kilikuwa kinamuwaka motoo Mr Alberto kwanza aliambiwa mbakaji alikuwa mlinzi hajui mlinzi wa wapi lakiin anauhakika hakuna mlinzi mzungu never yaaan never alijikuta anapiga ngumi ukutani kwa hasira ,, halafu huyu ndio ndugu yake na mashaa aliemtelekeza mtoto wake akakimbia ,, alijikuta anapiga kelel zinginee yaan amechezewa tenaaa ,, mpaka alifuta machoi kwa uchungu jinsi alivyompenda abby kumbe yeye alikuwa anamuigizia tu alilia sanaa kwa uchungu ,, mpaka alipitiwa usingizi ..
Alishtuka muda umeenda akatazama saa yake aakagundua muda aliopewa umefika akakimbia haraka kwenye ward ya abby
Abby alikuwa anabishana bado na ma doctor kuwa wamembadilishia mtoto anakataa huyu sio mtot ake na wakati wanampasua alikuwa nusu kaputi hakuwa anajitambua
“qassano wamenipa mtoto mwingine jamani nambieni tu ukweli kama mwanangu amefariki”
Alberto aliwaomba ma doctor watoke ,,akakaa pemben ya abby ambae sasa ameambiwa ni Vicky kumbe hata utambulisho wake alimuongopea
“unaitwa Vicky si ndio??” Vicky alilitoa jicho hata kilio kilipo katia hakujua ,, qassao alikuwa serious Vicky akajua tayari kashaharibu ugali wake
“naweza kukuelezea mpenzi naweza sikumaanisha kukudanganya mpaka mwish”
“haina haja ,,unamtoto uliemtelekeza kwa kina masha na ukaniongopea hukuwahi ndio mara ya kwanza kwa baba huyu”
“ni Rahul ndio amekwambia ??unamfaham Rahul ???qassano nisikilize tafadhal naaweza kukuelezea Rahul hanijui mimi kiasi hicho “
“ulisema baba wa mtoto alikuwa mlinzi lakini huyu mtoto ni mzungu ,,okay nimeambiwa nikupaie hii wewe ni yanini???”alberto alitoa saaa akaiweka pembeni yake
Vicky akaichukua ile sa huku machozi yanamtoka
“hichi ndio kitu masha aliiba kutoka kwangu ndio kumbukumbu pekee iliyopo kuhusu baba wa mtoto “ alberto akajikut jicho linaongezeka ukubwa kumtazama Vicky
“sijakuelewaaa??”
“ile siku ya tukio , alienifanyia huu ujinga aliacha hichi kitu kwenye koti nililo kuwa nimevaa ,,masha alinipokonya alipo ikuta kwenye koti lake ndilo nilik…..”
“embu subir wewe … yaan unasem kuwa ….ooh subir mwenye hii saa ndio alik..ooh ndie mwenye huyo mtoto’”
“ndio”
we abby wewee embu nitazame ,,,, embu nambie ukweli ilikuwa wapi” alberto likuwa kashasimama mbele ya abby mambo yote anaona kama haelewi akiwa amekaa chini ,,
abby alitaja hotel ambayo alikuwa akiifanyia kazi akamwambia alikuwa mfanya usafi katika hiyo hotel
Alberto akakumbuka sasa vizuriii ile siku alipo fungua mlangoo aliejitambulisha alikuwa mfanya usafi ,, moyo wake ulitaka kupasukaa akashika kifua kuunusuru
Alberto alijikuta anaenda chini mzima mzima mwili hukuwa n nguvuu kabisaa,,Vicky kabaki anaashangaa Alberto anatokwa na machozi tena sio madogo macho gafla tu yaligeuka rangi yakawa mekunduuu
“Noo!!inawezekanajee ,,kwanini imekuwa hivyoo “
Tayari Rahul na recho Pamoja na mama yake walikuwa wanaingia wodni ,alberto alikuwa bado yupo chini
“Rahul ulikuwa unalijua hilii” akamuuliza huku anafuta machozi .
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments
53__54 ( SEASON THREE)