Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BILIONEA NDANI YA HOTELI  EP 30
Gonga94 · Stories

BILIONEA NDANI YA HOTELI EP 30

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


TULIPOISHIA.......

Boazi alikuwa ndani ya chumba chake kidogo pembeni ya geti anajilia raha na mmoja wa wasaidizi wa masha alie kuwa amembakiza,,walikatishwa maogezi yao baada ya mlango wa boazi kukongwa ilikuwa usiku sana inakwenda saa tisa ,, masha usingizi ulikuwa mzito sana kuja ,, akaona aende zake kwa boazi akale ma raha yake…

Boazii alikaa kimyaaa ila alijua kabisa ni masha huyo, maria akamuuliza ni nan?? Boazi akamwambia shh usiongeee…..masha akaita we boaz fungua mlangoo
Maria akasema mungu wangu sio sauti ya madam hiyoo ,, anafata ninii usiku wote huu?

ENDELEA.......

Boazi akabaki kubabaika amjibu nini Boss wake, ilitakiwa kuwa siri kuwa anamkula bosss wake sasa huyu msaidizi wa kike tayar amejua atamjibu ninii
“sikia maria … hakiksha kwenye maisha yako yotee Boss asije kujua kama leo ulikuwahumu nani kamwe ,”

Maria akabaki mdomo wazi haelewi lakini akawa kimyaa ,, Boazi alitoka anajichekesha chekesha ,, “ nataka kulala humu ndani leo”

“ aah madam humu ndani pachafu sana huwa sipafanyii mara kwa mara usafii “

Masha hata hakumjibu kitu,, alimsogelea akaanza kumpapasa boazi japo alikuwa amechoka kwa heka heka za maria usiku wa leo ,, ilibidi tu ajizoe zoe ili kumridhisha boss wake ..
Maria akabaki anasikilizia miguno za mahaba hapo nje ,, masha alikuwa anajiamini mana hata anapo lala mfanyakazi ni mbali na get alikuwa na uhakika nisalama

“jamaniii huyu dada anamwanaume mzuri hivii afu anakuja kupanga foleni kwa Boazi ?? mshenzi huyu boazi hata kina enjo katembea nao anajikuta anajua sana eeh””

Mria alitamani hata kutoka ili amuaribie boazi maana alikuwa amesha kelwa na uongo wa boazii
Masha aliporidhishwa akarudi chumbani kwake ,,boazi akarudi kwenye kichumba chake akamkuta maria yupo analia
“ sikia maria”
“embu niache hukoo Malaya wewe”
“sio hivyoo haki Tena mie nakupenda wewe tuu”
“nyo”
“mariaa”
“embu niache nikalale mie kuanzia leo usije kunisemesha hata kwa bahati mbaya”
nakuapia mimi huwa ananilazimisha tuu tena alinambia atanifukuza kazi, maria mimi nina tegemewa ujue,,, kwanza mwanamke mwenyewe ni mbayaa hana hata radhaa sijui alianza umalaya akiwa na miaka kumii daah ,, maria naomba ukapumzike eeh nakupenda”

Qassano simu yake ya kwanza asubuh ilikuwa kwa Abby , wakati huo abby au Vicky alikuwa chumbani kwake na recho
“ Vicky hakii jana niliona mhabaaa weuweeeee hahah nilikua dirishanii munguuu nina shem shem wa maana oyoooo!”
“embu acha ujinga ujue mie naona aibuu”
‘”hi asa aibu ya ninii nawewee”
“aah sijui naona kama hatuendani …. Huyuu nae anapigaa”
“jamaniii mie naona rahaa embu pokeaa”

Vicky akapokea simu baada ya salamu na vichombezo vya kimahaba qassano akamwambia vipi ombi langu nilikuomba ,, Vicky akamwambia ni wewe tu hata ukitaka sasa hivii mie sawa tu

Qassano akasema nakufata hapo sasa hivii,, recho akamuweka vizuri akampa na pafyum yake akamwambia nawewe ununue yako hukoo muone
Vicky akacheka akamwambia asante dadaaa,,,, qassano alikuwa ashafika ,, akamsalimia mama yake recho na recho ,, akatoa chochote kitu yaani pesa akampa mama recho ,,, akatoa baraka kama zotee……………..

Qassano alimuomba abby amsaidie kuchagua feniture za ndani , na mahitaji yote muhimu ya ndanii ,, muda wote huo masha alikuwa anapiga simu bila kupumzika lakini alberto hakutaka kuharibu siku yake alicho fanya aliitoa tu sauti ,,,
Akamtumia msg Rahul ,, akamwambia aende kwa masha ampe chochote anachotaka hata akitaka nusu ya pesa zetu zote mpatie lakini mwambie ukweli kuwa siwezzi kuwa nayeyee

Rahul akasema hiyo kazi ndogo boss wewe kula raha hukooo ,, Alberto kacheka ,, nyumba mpya ya mr alberto ilikuwa tayari ilishapangwa kila kitu ,, nyumba ilikuwa kubwa nzurii mr alberto aliamua kununua ili we anakaa kwake kipindi yupo tanzani …

Vicky alikuwa hoi kachokaa kwa heka heka za manunuzi ya nusu siku ,, qassano akambeba akampeleka chooni kumuosha ,, mapenzi yao yalikuwa yamenogaa
“ hivi tarehe yako ya kurudi clinc ni linii??
“nishamaliza nasubir tu makadilio yangu,,
“waooh kumbe karibu tunampokea mgeni wetuu eeh ,, njoo huku kunakitu nikuoneshe… “

Qassano alimpandisha Abby ghorofa ya juu kabisha kulikuwa na vyumba vitatu tu akafungua chumba kimoj kamwambia embu tazama
Vicky hakuamini aliziba mdomo na kiganja chake cha mkono kwa mshangao ,, machozi yakaanza kumtoka ,, kilikuwa ni chumba cha mtoto kimepambwa na fenich gharii kweli kweli ,, vyumba ambvyo anaviona kwenye tamthilia na instargram kipo mbele yake halafu anaambiwa ndio mtoto wake atakuja kukitumia alihisi ndotoo
“naamani mtoto wetu aje wewe ukiwa hapaa ,, naomba niende nyumbni kwenu abby”

Abby akuwa amemwambia wale hawakuwa ndugu zake yupo hapo kwa muda akimaliza chuo atarudi kijijini kwao,,
“ qassano serious??”

“ yeah ,, unajua abbyy kuna vitu baadhi nilikuongopea na kuna vingi pia hujui kuhusu mii but from now on utajua vyote kuhusu mimi”

ITAENDELEA…………

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTELI EP 30



TULIPOISHIA.......

Boazi alikuwa ndani ya chumba chake kidogo pembeni ya geti anajilia raha na mmoja wa wasaidizi wa masha alie kuwa amembakiza,,walikatishwa maogezi yao baada ya mlango wa boazi kukongwa ilikuwa usiku sana inakwenda saa tisa ,, masha usingizi ulikuwa mzito sana kuja ,, akaona aende zake kwa boazi akale ma raha yake…

Boazii alikaa kimyaaa ila alijua kabisa ni masha huyo, maria akamuuliza ni nan?? Boazi akamwambia shh usiongeee…..masha akaita we boaz fungua mlangoo
Maria akasema mungu wangu sio sauti ya madam hiyoo ,, anafata ninii usiku wote huu?

ENDELEA.......

Boazi akabaki kubabaika amjibu nini Boss wake, ilitakiwa kuwa siri kuwa anamkula bosss...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hoteli-ep-30

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi bilionea-ndani-ya-hoteli-ep
BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40
BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest