Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
127 views
VYOTE NDANI GONGA94
BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA EPISODE 8
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nilibaki namuwngalia sana shangazi baada ya kuniuliza mbona natililisha jasho. Nilikuwa natetemeka lakini ukaja ujasiri nikamueleza kuwa nilikuwa nafanya mazoezi kuuweka mwili sawa nilikuwa narisha rusha mikono huku nazuga nikawa nataka nizuge nimtoe angalau aende bafuni na juliet naye atoke ndani mwangu.Baada ya muda kwenda nilipata wazo
" Shangazi bomba la bafu linasumbua nilitaka nikamwonyeshe lakni wapi? bado alisema " ngoja usijali nitampigia simu tena kwa sifa akakunja nne. Yaani jamani sio powa huyu shangazi anakata umeme kila kona watalamu wanasema anakabia kwa juuπ.Nilishangaa sana tena akaniuliza mbona kama unalazimisha sana ilibidi niwe mpole maana tayari kashajaa upepo .
Hatujakaa sawa mara ghafla simu yake ikaita na aliyepiga sikumjua lakini ilikuwa ni sauti ya mwanaume ilisikika " naomba uje haraka dukani kuna shida sana mdogo wako anaumwa fanya haraka,!! Japo kwake ni taarifa mbaya sana. Lakini kwangu nifuraha kubwa kwa sababu akitoka tu na juliet naye anarudi mambo yatakuwa powa .....
Kweli alitoka mbio mbio akiwa kachanganyikiwa ila kwangu mimi moyo unapwita pwita kwa furaha baada ya yeye kutoka tu. Naye Juliet alitoka na kunisogelea akapitisha mikono yake kiunoni mwangu na kuniambia maneno matamu ya upendo
" Baba samahani kwa kukupa wasiwasi wewe ni chaguo langi wewe ni bamtu( huku ananitazama machoni mwangu ) nilitabasamu sana na kumjibu
" Asante kipenzi changu mapenzi yangu kwako ni ukweli wa hisia za moyo wangu yaani najisikia raha na amani napokuwa na wewe kipenzi changu wewe ni rangi ya damu yangu.furaha yangu . Nilimsogelea na kuanza kumpa de...... Naye alilipokea na hapo kazi iliendelea ni mdo kwa mdo uli kwa uli ....huku tukipapa......na
Lakini mara ghafla mlango uligongwa na kufanya tuache tulichokuwa tukifanya na kutazama mlangoni
Itaendelea......
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MBILI ILIOPITA AKIUZA MAJI HUKU AMEVALIA NGUO ALIEKUA NAYO SIKU ALIFARIKI Episode 3
Rafiki yangu Angela, Niko teyari kufatana na wewe au kufanya lolote, ili nijue kama mwanangu yuko hai au la, nimechoka ...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA EPISODE 8
Nilibaki namuwngalia sana shangazi baada ya kuniuliza mbona natililisha jasho. Nilikuwa natetemeka lakini ukaja ujasiri nikamueleza kuwa nilikuwa nafanya mazoezi kuuweka mwili sawa nilikuwa narisha rusha mikono huku nazuga nikawa nataka nizuge nimtoe angalau aende bafuni na juliet naye atoke ndani mwangu.Baada ya muda kwenda nilipata wazo
" Shangazi bomba la bafu linasumbua nilitaka nikamwonyeshe lakni wapi? bado alisema " ngoja usijali nitampigia simu tena kwa sifa akakunja nne. Yaani jamani sio powa huyu shangazi anakata umeme kila kona watalamu wanasema anakabia kwa juuπ.Nilishangaa sana tena akaniuliza mbona kama unalazimisha sana ilibidi niwe...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-mwenzako-naishiwa-pawa-episode-8
Maoni