Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
Gonga94 ยท Stories

CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
?
CHUMBA CHA MPANGAJI

" "" " Dogo unanijua mimi au tunazoeana.??
Aliongea Nasra na kuinuka..

Dalali sele alikaa vizuri huku anamtazama Nasra machoni....

" "" Kwani umekumbwa na nini my.. ?? Aliongea Sele..

"" " Mimi My wako tangu lini.?? Nimekuwa wako lini..?? Umezoea kubaka watoto wa watu sasa leo adabu utaipata mbwa wewe...
Nasra aliongea na kumkaba sele shingoni..

" "" " We mtoto hembu acha upumbavu. Nitakupiga nikuvunje na hako kamwili kako.. Kama hutaki kunipa mzigo sema mimi niondoke zangu.. Usijidai kunipandishia hapa..
Aliongea sele huku anajitahidi kuuondoa mkono wa Nasra uliomshika shingoni...

Sele alidhani ni mwepesi tu lakini kadiri muda unavyoenda ndivyo shingo yake iliendelea kukabwa..

Alijitahidi kuusukuma ule mkono lakini hakuweza hata kuutikisa....

Hapo sele ndio aliamini huenda Nasra si wakawaida au kaingiliwa na Jini..

"" " weeeekkhhhhh... Uuuuuuukkkhhhh.. Niaaaaaacchhhheee mimi... Sele aliongea kwa upole na kurusha teke kumkanyaga Nasra tumboni..

Nasra hakuonyesha kama ameumia au laa.. Yeye aliendelea kumminya tu Sele shingoni hadi sele akaanza kujikaza na kutokwa na mishipa kwa kukosa pumzi..

Sele alijikaza kutafuta Pumzi hadi ALIJAMBA lakini hakuachiwa...

Nasra aliutoa ule mkono baada ya kuona Sele ameanza kuishiwa nguvu na kulegea.

Sele alikaa chini kwa kutulia huku anavuta pumzi kwa nguvu sana...

"" " Vipi Israeli ulimuona huko ulipotoka.???.
NASRA aliongea kwa ukali kumuuliza Sele..

" "" Ndio alikuja hadi hapa... Uuuhhh... Uuuuuhhhh niache mimi niende.. Sitaki mazoea na wewe tena.. Uuuuuhh...
Sele aliongea hukua nahema hema kwa hofu na kuinuka kukimbilia mlangoni..

Alifika na kuusukuma mlango lakini ulikuwa umefungwa... Alitazama hakukuwa na funguo.. Aliangalia chini haukuwepo pia..

"" "" ufunguo uko wapi we Nasra..?? Aliongea Sele huku bado anahema na kuvujwa na jasho jingi..

Nasra hakumjibu kitu.. Alipiga tu hatua kumfuata na kumshika...

"" " Sele kwanini unakuwa na tabia hii ya hovyo kiasi hiki.?? Kwanini unakuwa mpumbavu kiasi hiki.???

Unadhani nimekujua leo mimi..?? Nimekujua muda mrefu sana..
Yaani hata hujiulizi namba zako nilipata wapi hadi nikakupigia siku ya kwanza..???
NASRA ALIKUWA ANAONGEA KWA HASIRA SANA..

"" " Siunamjua Rehema wa Utumishi..??
Kwanini ulimtapeli pesa zake za chumba na kumpa mtu mwingine eti kisa amekunyima penzi.. Na ulivyo kuwa wa ajabu ulimtaka kumuingilia kinyume na maumbile.
Aliendelea kuongea Nasra..

" "" Haki ya Mungu mimi sikuwahi kumtaka Rehema kinyume na maumbile.. Namuheshimu sana Rehema kama dada yangu tena sikuwahi hata kumtapeli..

Aliongea sele huku anatetemeka na kujishika Shingo yake vizuri akijilinda asije kushikwa tena Shingo na Nasra..

""" Unauhakika na hilo.?? Hivi unamjua Rehema..?? Nimpigie simu aje Hapa.???

""" Halafu na Lameck yule kaka anae endesha Daladala za kwenda Msalato kwanini ulimtapeli hela ya kiwanja.????.....

Au na huyo pia ni uongo..??

Nasra aliendelea kushusha matukio yote ya Dalali sele..

Dalali sele alitulia kimya bila kujibu kitu..

"" "" Sikiliza Sele. Katika watu watatu unaokutana nao kwenye Jiji hili la Dodoma.. Basi ujue mmoja kati yao ni mtu wa ulinzi na usalama..
Haya ni makao makuu ya nchi.. Humu kuna hazina ya Nchi.. Humu kuna siri za nchi..

Kuwa makini utakuja kufa sawa..

Aliongea Nasra na kusogea Mezani kuchukua Simu yake kumpigia Rehema..

ITAENDELEA...

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - GOAL
GOAL
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*

?
CHUMBA CHA MPANGAJI

" "" " Dogo unanijua mimi au tunazoeana.??
Aliongea Nasra na kuinuka..

Dalali sele alikaa vizuri huku anamtazama Nasra machoni....

" "" Kwani umekumbwa na nini my.. ?? Aliongea Sele..

"" " Mimi My wako tangu lini.?? Nimekuwa wako lini..?? Umezoea kubaka watoto wa watu sasa leo adabu utaipata mbwa wewe...
Nasra aliongea na kumkaba sele shingoni..

" "" " We mtoto hembu acha upumbavu. Nitakupiga nikuvunje na hako kamwili kako.. Kama hutaki kunipa mzigo sema mimi niondoke zangu.. Usijidai kunipandishia hapa..
Aliongea sele huku anajitahidi kuuondoa mkono wa Nasra uliomshika shingoni...

Sele alidhani ni mwepesi tu lakini kadiri...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumba-cha-mpangaji-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chumba-cha-mpangaji-sehemu-ya
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.83K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.22K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.89K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.71K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.63K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.61K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.6K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest