Basi safari iliendelea huku nikiwa na mawazo mengi kumbukumbu nyingi sana niki mkumbuka mamdogo enzi za uhai wake
kwenye gari kulikuwa na dereva pamoja na watoto wawili nyuma ya siti yangu upande wa dereva kulikuwa na mbaba mmoja ambae alikuwa busy sana na simu
tulifika Njombe dereva akasimamisha gari na kusema dada tupate chakula kidogo nika mjibu mi sijisikii kula kabisa yule mubaba akasema dada pole kwa matatizo ila kifo ni ibada inakupaswa kushukuru na kumuombea marehemu aende salama aliongea maneno mengi sana ya kunifaliji hadi nika jiisi niko poa kidogo nikashuka nao
tuliingia hotelini pale njombe ni hoteli kubwa sana kipindi na hangaika pa kukaa yule mubaba akanishika mkono na kuniambia kaa hapa nakuja muda si mrefu akaja muhudumu mmoja na kuniuliza habari dada nika mjibu salama pole na safari unatumia chakula gani?
πππ naomba supu ya kuku ya moto "ok dada naleta " muhudumu aliniletea supu ya kuku ya moto yule mubaba nae akaja pembeni yetu meza ya mbele walikaa wale mabinti wawili wanaongea sana ngeri pia nao walikuwa tayari wameagiziwa chakula na huyu mubaba
Mbona unakunywa supu peke yake dada , nataka nipunguze kidogo baridi , akaita muhudumu leta wali kuku moja na leta kitafunwa kizuri kwa ajiri ya dada yangu hapa ,
muhudumu"nikuletee nini dada yangu" ,
naomba chapati 2 za moto huyu mubaba akamuliza muhudumu zile kwenye kabati nini zile
" muhudumu hagechop"
sawa mletee mbili nazo basi tulikula pale na kuingia ndani ya gari ilisafari ianze nashukuru mungu huyu mubaba alilipa pesa yote kumbe ni mtu wa masihara sana yani kiufupi nilimzoea gafla sana anautani mwingi sana daaah hadi nikajikuta hali ya hudhuni kwangu imeondoka kabisa
part 5 "gafla siti ya nyuma kulitokea bonge la joka" ππππππ.