Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna
Gonga94 ยท Stories

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

"Abisai unafanya hiki?

Kabla Abisai hajajibu alifika mama Leyna. Wewe kijana kwanini unamfanyia fujo binti yangu, akikosea nini?

Mama naomba hili swala niachie mimi. Alisema Leyna kisha akawageukia watu.

Jamani ondokeni basi hatugawi hela hapa.

Watu walianza kutawanyika lakini Leyla alijuwa bado analalamika kuhusu simu yake.

"Leyla tulia basi, Natuliaje wakati simu yangu imevunjwa na kumbuka simu yangu ni mpya hiyo.

*Najua

"Usonijinsi kwa mkato nataka simu na haya yote chanzo ni wewe Leyna bila shaka huyu ndio mwanaume wako cha wivu.

"Wewe nae sijui unamtangazia nani, si nimemwambia tulia.

Usinifikee kwanza mimi sina muda wa kubishana na wewe naongea na huyu.

Ilianza ugomvi kati ya ndugu mpaka mama yao

akaingilia kati. Sasa mnamgombania wenyewe kwa wenyewe.

amwambie "Mama sema na mwanao mwanaume wangu anipe simu yangu.

"Usijali nitakupa simu yako. Alijibu Abisai kwa upole. Leyna alimshika mkono Abisal wakawa

wanaondoka pale.

Wewe Leyna naomba nimfukuze nyumbani nakuja sasa hivi. Alisema mama Leyna. Sawa.

Walipofika mbele kidogo Leyna alisimama.

"Abisai umeona madhara ya wivu wako? "Hukuwahi kuniambia kama una ndugu unae

fanana nae

Yule ni pacha wangu anaitwa Leyla na mimi Leyna.

"Uuuuh leo nimefanya kosa kubwa sana.

"Nilikuwa natamani sana hili litokee na leo kama imekuwa bahati leo nimelishuhudia.

Kwahiyo unejisikia furaha sana?

Kwa kiasi fulani labda utakuwa umejifunza Sasa unatakiwa kulipa simu ya mdogo wangu.

Hilo unajua alishindwa nitamlipa tena zaidi ya ile.

"Sawa bonge la bwana, niambie una jipya gani?

"Hakuna jipya ila nilikuwa naomba twende wote nyumbani kwenu nataka kumuomba mama

msamaha. "Kwa kosa gani?

"Huoni kosa nililofanya?

*Kuvunja simu ya Leyla?

"Ndio pamoja na kufanya fujo sehemu yake ya

biashara. "Kumbe unajua wewe ni mtu wa fujo?

Imetokea tu bahati mbaya. Usinipe hiyo sifa

nisije kunyimwa mke.

"Mke gani? Aliuliza Leyna huku akiwa anamuangalia usoni.

"Wewe

"Hivi kwa jinsi ulivyo na mawimbi yako unafikiri naweza kuolewa na mtu kama wewe? Mimi

nataka uhuru nikiingia kwenye ndoa niwe na

amani na sio kama nipo kifungoni

Abisai alimuangalia alafu akasema

"Kwahiyo hapa tunapotezeana tu muda?

Leyna hakutoa jibu waliendelea kutembea mpaka walipofika nyumbani alimkaribisha ndani

na kumpatia kinywaji.

Baada ya muda mama Leyna alifika na kukaa sebleni

Kijana kuna tatizo gani kati yako na binti yangu

Leyla?

Kabla Abisal hajajibu swali Leyna alinyanyuka.

*Acha niwaache muongee nipo jikoni. Baada ya Leyna kuondoka Abisai akaanza kuongea.

Mama kwanza kabisa naomba nitangulize.

samahani, naomba unisamehe kwa kile kilichotokea. Sikujua kama ni Leyla nilimfabanisha na Leyna.

"Kwani wewe na Leyna mnaugomvi?

Hapana mama..... Abisai alijibu kisha akasita

kidogo, mama Leyna alikuwa akimuangalia kwa makini ikionyesha alikuwa makini kusikia kile alichotaka kusema.

"Nakusikiliza baba

"Mimi na Leyna ni marafiki na nia yangu sio mbaya kwake nataka kumuowa lakini kuna baadhi ya mambo hayapo sawa najaribu kurekebisha.

"Wewe ndio huyo Abisal unaemnyoosha? Abisai hakuwa na jibu alimuangalia tu. "Umesema nia yako ni ipi?

"Ni kumuowa mama.

Mama Leyna alishusha pumzi kisha akaachia tabasamu la mbali.

Mimi sina tatizo kama nia yako ndio huo basi

fanya haraka ufuate taratibu. Abisai alifurahi kusikia hivyo.

"Asante mama nashukuru kwa kukubali ombi langu japokuwa sikuja rasmi.

"Usijali mwanangu, unakaribishwa.

Baada ya maongezi Abisai aliondoka na kwenda kwenye kijiwe cha samaki akamkuta Leyla

amekaa

"Leyla..

"Abeee...

Nisamehe kwa tabia niliyoifanya ila nitakipa

simu yako. Nitatumia pesa kwa Leyna. Hapana yani ni bora nikupe namba ya

kunitumia uniletee simu au pesa mkononi yule mtu sijawahi kumuaminibksbisa kwenye mambo ya pesa.

Abisai alitabasamu

Sawa usijali kesho mapema sana nitakuletea pale nyumbani.

Sawa.

Ilifika usiku Leyna, Leyla na mama yao walikuwa

wanakula. Mama yao akasema.

"Yule kijana anaonekana ana heshima sana na ni kijana anaejielewa.

"Mmmmmh... Leyna aliguna.

"Una huna nini?

"Haujui upande wake wa pili. " Awe na upande wa kwanza au wapili mimi sijali

Leyna yule ndio chaguo lako na mumeo mtarajiwa akileta posa unaolewa maana yeye ndio mwanaume anaeweza kuishi na wewe "Unasemaje mama?

Nina imani umenisikia vizuri sana. Abisai ndio

mwanaume wa kukuowa hao wengine utaenda kuangalia mkato wa chumba alafu utarudi au utaishia kuuliwa nikaitwa kuja kuchukua mzoga wako.

"Mama unaongea nini?

Anachosema mama ni kweli.....

Na wewe nyamaza hauna unachojua juu ya yule mwanaume.

Alichokuonesha pale imetosha kumjua na kumsoma ni mtu wa aina gani.

"Usiniambie kama kufurahia zile fujo zake alizokufanyia? Hivi unajua mimi ananifanyia zaidi ya kile akichokufanyia. Unamaanisha ana wivu na wewe.

*Tena uliopitiliza mpaka anakerwa yani.

Basi mwenye wivu ndio mwenye mapenzi, kama hiyo bahati ingenlangukia mimi basi ningefurahia tu maana ni dalili ya kupendwa.

"Una kichaa wewe mapenzi gani ya kujibishana mbele za watu, anataka kujua upo wapi, upo na

nani, umevaa nini, kuangaliwa kidogo kesi na mbaya zaidi nikitoka kidogo anaibuka kama mzimu, yani inakera sana Na jinsi alivyo king'ang'anizi basi nikisema simtaki anakataa

kabisa kuniacha,

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna

.

"Abisai unafanya hiki?

Kabla Abisai hajajibu alifika mama Leyna. Wewe kijana kwanini unamfanyia fujo binti yangu, akikosea nini?

Mama naomba hili swala niachie mimi. Alisema Leyna kisha akawageukia watu.

Jamani ondokeni basi hatugawi hela hapa.

Watu walianza kutawanyika lakini Leyla alijuwa bado analalamika kuhusu simu yake.

"Leyla tulia basi, Natuliaje wakati simu yangu imevunjwa na kumbuka simu yangu ni mpya hiyo.

*Najua

"Usonijinsi kwa mkato nataka simu na haya yote chanzo ni wewe Leyna bila shaka huyu ndio mwanaume wako cha wivu.

"Wewe nae sijui unamtangazia nani, si nimemwambia tulia.

Usinifikee kwanza mimi sina muda wa kubishana na wewe naongea na huyu.

Ilianza ugomvi kati ya ndugu mpaka mama yao

akaingilia...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-nipe-chance-kidogo-chapter-9-abisai-alikuwa-kama-mtu-akuechanganyikiwa-aliwaangalia-kwa-zamu-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-nipe-chance-kidogo-chapter
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya  daladala, Abisal alimfuata nyuma
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya daladala, Abisal alimfuata nyuma
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO.  Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO. Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112

1.16K
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

610
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

573
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

562
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

206
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4

116
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

89
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

79
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

57
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

54

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.33K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.32K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa โ€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?โ€ Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic โ€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYOโ€ฆโ€ฆ โ€œWewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza โ€œHuyu ni nani tena?โ€ Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. โ€œSikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wakeโ€ nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. โ€œWorking with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest