Mikaaa nimeshasema wewe ni kaka yangu
Sasa utanisamehe siwezi kuolewa na wewe
Hawa watoto inatosha
. Nilipomwambia hayo mika
Nilitoka nikaenda kuchota maji
Moyo wangu umegairi kuoana na kaka yangu
Nilifika kwenye mti wa muembe
Nikakaa machozi yananitoka kweli mika nampenda
Lakini ni kaka yangu
Ntafanya nini mapenzi hisia
Nampenda mika sana lakini nini ntafanya ni kaka yangu
Ahaaa nimepata wazo .. juzi kuna kijana alinitongoza
Kwanini nisimkubalie ili awe ananimalizia hisia
Zangu
Nilimfata yule kijana anaeitwa frenk
Mambo frank..
Pow jenn niambie
Safi tu nimekubali ombi lako
waooooo
Kwahiyo umekubali kuolewa na mimi
Ndiyo ....
Sawa sasa jenn mimi sina mda wakupoteza
Twende tukaangalie afya
....
Sawa frenk Twende jamani
Tuliongoza na frenk kwenda kuangalia afya
Mawazo njiani. Frenk anaonekana
Nimtamu kweli
Alivo mlefu daaah natamani kulipata penzi lake
TUKUTANE SEHEMU YA 33
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Unatoka Golini timu yako ikiwa inaongoza bao 3-2 tena dhidi ya Real Madrid
unaenda Kusaidia mashambulizi kwenye Mpira wa Kutengwa ...Siyo kwamba Mpo nyuma la hasha bali nyie ndiyo mnaongoza πππ ...