KAKA ME DADA YAKO 31
Kwa nyuma kulisikika viganja vikipiga
Makofu vikisindikizwa na kicheko
Hahaha aaaa π π π
Safi kabisa nmwote tuligeuka
Sikuamini kumbe madam suzy akiwa na jeshi lake
Alitia timu Heeeee mbona hiii ninoma
Lakini mimi ndiye jenn hapa sitakufa bali nitawaona wanangu
Haijalishi watakufa wangapi kikubwa nione kizazi
Changu wakati nawaza haya gafura giza
Likatanda angani
Jua likatiwa giza
KAKA MIMI DADA YAKO SEHEMU YA 31
IMEZAMINIWA NA ASIA YAHAYA AU FB ACCOUNT NI SAMIRAT KISWAKALA
SONGA NAYOO π β₯οΈ π
.....................
Hali sasa ilibadilika giza mbele yetu wananchi
Wametuzunguka
Nyuma yetu madam suzy akiwa na jeshi
Lake
Giza nalo limetanda mtabili alikimbilia
Kilingeni kwake
Lengo akaongee na mizimu
Maana bila hivo wote watakufa
..nilimsogerea kaka mika
Nika mnong'oneza kitu akasema itakuwa tusipo fanikisha
Nikamjibu lazima tufaulu tu kikubwa tujikubali mimi
Siwezi kufa na watoto tumboni nataka niwaone
Wanangu
Sawa ntahesabu hadi tatu
Madam suzy alipoliona janga la jua
Kushikwa na giza
Aliogopa sana japo
Nia yake nikutukamata
Mtabili alifika kilingeni
Mizimu aliongea nayo .. akiwa ameanguka kifudifudi
Mizimu ya mababu zetu tunawaomba mtusamee
Kwa hili lililotokea
Nahidi halitajirudia
.... na hawa waliofanya hii kufulu tunawauwa wote
Basi mtabili alitoa kisu akakata damu yake
Kama kihapo kwa Mizimu
Na hapo jua likawaka
Watu aaaaa waoooo
Jua hilooo
Mda huo mimi na kaka mika
Mbio jua liliwaka tukiwa tunakimbia
Maana watu walikuwa wamejaa kwa hofu
Haaaa walianza kututafuta sasa
Nilimwambia mika hapa kaka twende mbali na mji wa mwanza ili tujinusuru maisha yetu
Tulikimbilia kivukoni
Lakini tulipokalibia kumbe tayari wametugoja
....tuligeuza tukaenda mbele tukaona boti tukamuomba atuvushe
Hadi ng'ambo
Tulienda singer sengerema
Kaka alikuwa amechoka sana japo tulitymia usafili
Sasa tunaanza maisha mika tulichukua chumba
Sehemu moja inaitwa misheni
Hapo tukapanga chumba
Mtabili aliwambia wana kijiji hawa watu wametoka
Karika arithi yetu hivo sasa hakuna
Kibaya kitakacho tukuta lakini pia ili kuondoa kabisa damu ya hawa watu na huyu tuma ina bidi afukuzwe
Lisije kutukuta baya lolote
Baada ya miezi 9 kutimia
Uchungu ulianza kuniuma sasa
Hatari
Moto na mimba niyakwanza
Mika alikuwa ameenda kufanya kazi ya ujenzi
Maana tulipofika huko ilibidi aanze ufundi
Sasa uchungu mkali kweli
Baada kuoiga kelele majirani
Walikuja wakanipeleka zahanati ya misheni
Wilaya ya sengerema
Changamoto ilikuwa ni kwamba sikuhuzurulia
Kiliniki
Lakini Ness alikuwa mucha Mungu anaitwa ANNA
dada mwenye moyo mzuri
Alinihudumia bila usumbufu
Nikafanikiwa kujifungua watoto wawili mapacha
Mika alifika nyumbani akapewa taarifa kuwa
Mkeo ameenda kujifungua
Alikuja anakimbia
Alifurahi mno alikuta tayari ninejifungua watoto
Wazuri
Palepale akawaita majina
Wewe utaitwa pendo
Ndiyo jina lako Maana nilimpenda umbu langu
..nawewe utaitwa Bahati . Ndio jina lako
Maana nimebahati mara mbili na kifo
TUKUTANE SEHEMU YA 32
IMEZAMINIWA NA ASIA YAHAYA AU FB ACCOUNT NI SAMIRAT KISWAKALA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

