Naitwa Vicktoria , nina umri wa miaka 30, mwaka 2020 niliajiriwa katika mkoa wa tabora, wilaya ya kaliua kwenye shule ya secondary ya muongozo kama mwalimu wa somo la hesabati na chemia, nilikuwa nina mwili mdogp sana, na rangi ya kahawia, na umbo maridadi sana, kana kwamba ungeliona umbo langu kabla ya kuniona mimi huenda ungehisi lile umbo sio la kwangu….
Wakati naajiriwa nilikuwa nimeshaolewa kama miaka minne nyuma, ila kwa bahati mbaya au nzuri, niliondoka kwenye ndoa miaka mitatu baada ya kuolewa na nilitoka kwenye ndoa, maana mwanaume alinioa alikuwa mlevi na anapiga sana nikaona cha kujifia nini, hivyo nikatoka kwenye ndoa nikiwa ni mama wa mtoto mmoja…
Wakati nakuja kuajiriwa hakuna mtu hata mmoja ambae alijua kuwa nimeshawah kuolewa au hata kuzaa kutokana na umbo langu na namna ambavyo uzazi na kuzaa hakukunibadilisha chochote kile kwenye mwili wangu…
Wakati nafika sio wanakijiji, wanafunzi au hata walimu wenzangu walikuwa wananitolea macho ya matamanio, sikujali maana kutongozwa kwangu kilikuwa ni kitu cha kawaida sana, kiasi kwamba maneno na mishangao ya wanaume hakikuwa kitu cha kunishangaza tena kwenye maisha yangu….
Nilipangiwa kufundisha kidato cha tatu na cha nne, nikawa naingia darasani, ila nilikuwa ni mtu wa utani mno, hata ufiundishaji wangu ulikuwa ni ufundishaji wa masikhara sana, na ndio yalikuwa maisha yangu…
Sasa kuna mwanafunzi alikuwa anaitwa kendrik kwenye shule ambayo nilikuwa nafundisha, alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa anafanya vizuri sana, hakuwahi kuwa namba moja au mbili, ila mar azote alikuwa yupo kwenye tano bora ya shule, ila siku moja alikuwa amechelewa kuja, na kikawaida mimi huwa nina kawaida ya kuita watu majina mazuri, akawa anagonga na nilishamuona kuwa ni yeye, nikasema “ come in babaaa….
Lilikuwa ni neno la kawaida sana kwangu, kwa maana nimeshazoea kuwaita wanafunzi hivyo, kumbe nilitengeneza hisia flani kwa Yule mtoto bila mimi kujua, kwa maana hakuwahi kuitwa vizuri namna ile…
Basi kuanzia siku hio Yule mtoto akawa ananishangaa tu, sasa nilijua ni baleghe zinamsumbua hivyo sikuwa namzingatia kabisa, na kuna muda nikawa namtania kwa kumuambia kuwa “ mbona unaniangalia sana kama unanitaka…
Akawa anaona aibu na kucheka cheka tu, ila sikuwa namtilia maanani hata kidogo…
Basi huyo mwanafunzi akaanza kushindwa kusoma kama nikiwa mbali, yaan akiwa hajaniona ni atajipitisha pemben ya ofisi mno mpaka nimuone, nilikuwa simfatilizi pia, kumbe alishaanza kunipenda, mimi sina ninachojua…
Kendrick akawa hawezi kusoma bila kuniona, akawa hawezi kufanya jambo lolote lile nikiwa sipo kazini, akawa anatengeneza mazingira ya kuonana na mimi kwa maana hakuna kitu chake chochote kile kinachoenda sawa bila kuniona…
Basi mimi hapo sina ninachojua naishi zangu kawaida, na matani yangu yakawa yanaendelea na kawaida yangu ya kuita wanafunzi majina mazuri kama my dear, sweet wangu, kipenzi ikawa inaendelea kama kawaida, kumbe mwanafunzi huku ameshaanza kuwachimba mikwara wanafunzi wenzake ambao wataniongelea kwa namna yoyote ile , akaanza kujiita handsome wa Vicky, akaanza kuandika jina langu kwenye diary yake, na akawa ananichora maana alikuwa ni mchoraji mzuri sana, alafu kumbe hadi nyumbani kwao alikuwa ana lala na picha yangu ambayo alikuwa amenichora….
Nilikuja kujua baadae sana, baada ya miaka kadhaa kupita…
Kendrik akawa kila siku ambayo hakuna mwalimu darasani kwao anakuja kuniita niwafundishe hata kama sio somo langu
, kumbe anataka niwe karibu nae na anataka kuniona hapo mimi sina ninachoelewa naendelea zangu na maisha yangu…
Kipindi hicho sikuwa nataka mazoea kabisa na wanaume, sikuwa najua kama nitakuja kuangukia mikononi mwa mwanafunzi wangu siku moja, maana mapenzi ya kweli hayajawahi kufa hata kwa bahati mbaya, ndivyo ilivyokuwa kwangu na mimi pamoja na Kendrick…
Sasa hii shule ambayo nilikuwa nafundisha, ilikuwa ina program za kwenda kusimamia wanafunzi usiku wakiwa wanajisomea, na mimi nikawa ni mmoja wa walimu ambao natakiwa kusimamia wanafunzi, siku hio nimeenda kusimamia wasome, nikashangaa kendrick hasomi, ni kama alikuwa anatafuta kitu, ikabidi niingie nimuulize unatafuta nini wewe, badala usome unakaa kushangaa shangaa, umekuja kushangaa hapa…
“ samahani madam nilikuwa nakutafuta wewe, akaniambia..
“ unanitafuta mimi?, kwa sababu gani ulikuwa unanitafuta mimi? Ikabidi na mimi nimuulize maana sikuwa namuelewa..
Akaangalia chini kwa sekunde kadhaa kisha kwa sauti ya unyonge akanambia “ naomba unifundishe madam…
Ikabidi nisogee mpaka alipo tukaanza kufanya kwa pamoja maswali ya math, nikashangaa miguu yake inaanza kutetemeka, nikashangaa huyu vipi, ikabidi nimuulize “ kendirick upo sawa?...
Hakusema na mimi, akasimama haraka haraka kisha akatoka nje haraka sana, nikahisi kama kuna kitu ambacho hakipo sawa kuhusu yeye, nikataka kumfata, ila nikajizuia, maana sikujua anashida gani, na sikutaka kumsumbua, maana nilikuwa nimekaa nae, kama angekuwa anashida yoyote ile basi angeniambia…
Ila mpaka tunaenda nyumban hakurudi, sikumfatiliza, ila kesho yake shuleni ikabidi nimtafute nimuulize alikuwa anashida gani mpaka akaamua kuacha kusoma, kwa lengo la kutaka kujua anashida gani…
Akaangalia chini kisha akanambia “ sina shida madam…
“ nakujua Kendrick, kumbuka mimi ndio mwalimu wa malezi hapa shuleni, naomba unambie una shida gani? Ikabidi niulize tena…
Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akawa anataka kuondoka kana kwamba hakuwa anataka kunambia shida yake ni nini…
“ una nidharau si ndio, Kendrick si ninaongea na wewe, una shida gani? Ikabidi nimuulize kwa mara nyingine tena…
Akawa anaondoka zake, akiwa anaelekea kwenye darasa moja ambalo huwa vifaa vya usafi vya shule huwa vinawekwaga hapo…
Nilihisi kama kuna kitu kina mtatiza, nikaona bora nimfate nijue anashida gani, ila sio kwa lengo baya, ila niliamini kuwa akikaa vizuri kiakili kama mwanafunzi basi hata maendeleo yake ya kishule yanaweza kuendelea kama kawaida…
Kweli nikaenda mpaka kwenye hio sehemu ya kuhifadhia vifaa, nilikuwa kwa dirishani, nikamuona kama ameshika karatasi analibusu, na kwa namna ambavyo alikuwa analibusu kwa hisia kubwa sana, nikaanza kuamini huenda kuna mwanamke anamchanganya, ikabidi nienda mpaka kwneye lile darasa, nilitaman kujua huyo mwanamke ni nani, huenda tukamsaidia kimawazo na kifikra…
“ Kendrick usitake kunambia kuwa umeshaanza kuwa kwenye mahusiano kiasi kwamba haujui umuhimu wa elimu yako, embu nambie huyo mwanamke ambae anakuchanganya kiasi hicho ni nani?, mpaka unafanya vibaya shuleni, nikaendelea kumuuliza huku nikimsogelea kutaka kujua aliekuwa anamuangalia mpaka anambusu ni nani? …
Tukaanza kupurukushani kuwa Yule kijana hakuwa anataka kunionesha huyo mwanamke ni nani..
Mwisho akanipa karatasi mwenyewe, kisha akawa ananiangalia usoni kana kwamba kuna kitu anasoma kwangu, nilishangaa maana sikutegemea kabisa kukuta picha yangu kwa Kendrick kisha akaanza kusema kuwa “ ni wewe madam, nimejikuta nashindwa kuzuia hisia zangu , nimejikuta nashindwa kabisa kusoma maana nakufikiria sana madam wangu, ukweli ni kwamba nakupenda sana….
ITAENDELEA..
*SEHEMU YA PILI*
Kikawaida ni kama nilipanic, nikataka kumuadhibu maana niliamin kuwa amenivunjia heshima, ila nikawa najituliza ili nisije nikapanic, maana hasira ambazo nilikuwa nazo, hazikuwa na kipimo kabisa yaan…
Nikataka kuondoka maana niliamin kama kuendelea kukaa pale kuna uwezekano mkubwa sana nikaja kumpiga au hata kumfanyia jambo baya, nikawa naondoka nikashangaa mtoto ananishika mkono kisha akasema “ najua mimi ni mwanafunzi wako, ila hata mimi nina haki ya kukupenda, nina haki ya kumpenda mwanamke yoyote Yule duniani, mimi sio mtoto mdogo madam, nina miaka kumi na tisa, na nitakuwa zaidi ya hapa, na nitakuwa mwanaume bora zaidi kwenye maisha yako, akawa anasema…
“ wewe una kichaa eee, yaani mimi na akili zangu timamu, badala ya kulinda wanafunzi wangu, niwe najiingiza kwenye mahusiano na wanafunzi wangu, siwezi kufanya huo upuuzi, na kama ukiendelea kusema ujinga wako nakuapia hii shule utaiona chungu Kendrick, mimi sio hao wapuuzi wenzio, ambao umezoea kuwatongoza tongoza, nikasema kisha nikawa naondoka zangu…
Kendrick akawa ananiangalia kwa huzuni kubwa sana, nimefika ofisini nikashangaa nasikia mlango unapigizwa, nikageuka nikamuona ni Kendrick, yaan siku hio hakuwa ametoka kabisa kwenye lile cdarasa la kuhifadhia vifaa, mpaka wenzake wakawa wanajua anaumwa, kumbe ni kweli alikuwa anaumwa ugonjwa wa mapenzi….
Basi siku hio nilikuwa nina kipindi darasan kwao, alikuja ila alikuwa amechelewa na hana raha kabisa, yaan mimi nikawa nafundisha ila yeye akawa ananiangalia tu, nikaanza kuona sasa hiki ni kizaa zaa, yaan nimekazana kuwafundisha wenzake ila yeye ananishangaa tu, ila sikumfatiliza sana…
Akaanza heka heka sasa, nikashangaa nageuka namkuta amefungua vifungo vyote vya shart lake, ikabidi nimuulize “ Kendrick shida ni nini, mbona unavua shart…
“ nasikia joto, akajibu flani hivi kwa mapozi, alafu akawa ananiangalia lile jicho la matamanio, nikaona masikhara sasa haya, nikamuangalia kwa sekunde kadhaa kisha nikasema “ acha ukichaa wewe mtoto, hapa mpo wanafunzi wangapi?, tuseme hilo joto ndio unalisikia wewe pekee yako, embu vaa shart huko, na sitaki nije kukuona ukivaa vitu vya ajabu tena…
Aliona aibu sana, na kweli akawa anavaa vizuri, alinyong’onyea sana, akawa ni mtu wa kulala tu, akawa hata kusoma hawezi, nikawa namuonea huruma, ila sikutaka kujishusha thamani kwa kutembea na mwanafunzi wangu, hivyo nikazidi kukaza msimamo wangu….
Sasa ile usiku kwenye muda ambao wanafunzi wanajisomea, nisipoenda atashinda anazunguka zunguka, akiona ameshindwa kuvumilia kabisa, basi atakuja mpaka mtaa ambao nipo, ila ndio hivyo hawezi kunigingea mlango maana kuna namna ananiogopa kama mwalimu wake, nilishawah kumuona mara kadhaa nyumbani kwangu, yaan n shida yake ilikuwa ni kuniona tu, na kiukweli sikuwa nataka hata kusikia hizo habar za mwanafunzi wangu kunitaka kimapenzi…
Basi Ikawa ndio kazi yake, yaan hawezi kukaa bila hajaniona, nisipoenda kuwasimamia usiku, yeye ndio nakuja kusimama karibu na kwangu kwa lengo lankutaka kuniona…
Nilikuwa namuona kabisa yaan, anashika daftari, badala ya kuelewa anachokisoma akawa anaona mauza uza tu, maana mara kadhaa nimeshamuona anafunga daftar kwa hasira kisha anaanza kufikiria, sijui hata alikuwa anafikiria nini, sikuwa nataka tena kumuuliza…
Siku moja nilienda kuwasimamia masomo ya jioni, sasa sikuwa nakaa darasan, nikawa natoka toka tu na kuongea na simu, hapo nilikuwa najaribu kuanzisha mahusiano na kijana mmoja hivi, so ndio nilikuwa nipo kwenye ile hatua ya mwanzo kabisa ya kuzungumza na kujuana, siku hio tuliongea sana, kumbe Yule mwanafunzi hata hakuwa anasoma kama wenzake, alikuwa ananitafuta, kumbe nilienda zangu kukaa gizani ili niweze kubebika vizuri…
Kendrick alikuwa ananisikiliza ni alikuwa anaumia balaa, hapo mimi sijui, yaan nimebebika kwa karibu lisaa lizima, ile namaliza tu kuongea na simu, nageuka hivi nashangaa namuona Kendrick ananiangalia na macho yamekuwa mekundu balaa..
“ umenifata? Unataka nikusaidie swali, au unataka nini? Ikabidi nimuulize, ila alikuwa kimya tu, nikawa nataka kutoka zangu kwenuye giza niende kuwasimamia wenzake…
Nikashangaa mwamba kanirudisha gizani, kisha akanikumbatia kwa nguvu, akawa anahema kwa nguvu kana kwamba mtu ambae hawezi kupumua vizuri, nikawa najitoa mwilini mwake, ila hata sikuwa naweza namna nzuri ya kujitoa, na vile nilivyokuwa nina mwili mdogo mdogo ndio kabisa, akanikumbatia, hapo naogopa hata kuongea kwa nguvu, maana ingekuwa aibu kwangu, maana sikutaka wanafunzi wengine waone lile, nikaamini huenda ningezalisha taharuki…
“ Vicky nakupenda, ohhh Mungu wangu nakupenda mpaka nahisi kuchanganyikiwa, nakuahidi nitakuwa mume wako, nitatimiza kila ambalo unalitaka Vicky, mimi sio mtoto, bali ni mwanaume kamili kabisa, umenisababishia mwenyewe mpaka nimekupenda, naomba unipomkee, maana hakuna jambo langu hata moja ambalo linaenda vizur, maana hisia zangu na kila kitu changu kipo kwako,nashindwa kabsa kukaa mbali na wewe, nashindwa kabisa kufocus na masomo yangu,nashindwa kuacha kukiufikiria, yaan sasa hivi hata nikiwa nasoma naiona sura yako, nipo kama nimechanganyikiwa hivi, naomba hata kama ni kwa kuigiza tu niwe mwanaume wako, nakuahidi nitasoma sana na kukufanya uwe mwanamke mwenye bahati zaidi ulimwenguni, akawa anasema…
“ embu niachie huko, yaan mimi niwe na mahusiano na mwanafunzi mwenzangu, labda kama niwe nimechanganyikiwa, acha hizo ndoto za alinacha, naomba uniachie na ukasome, na hili kosa nakusamehe, ila ukirudia tena nakuapia Kendrick utajuta kunifahamu, nikawa nasema huku nikiwa napambana sana kujitoa mwilini mwake…
“kama kujutia ni kwa fimbo na kusemwa vibaya nipo tayari, ila sitamani majuto yangu yawe kuhusu wewe, mimi hata kama mtanifukuza shule ni sawa tu, cha msingi ni kuwa, wanifukuze shule ila niwe na wewe, nakupenda sana Vicky, yaan mpaka nachanganyikiwa…
“ naomba kuanzia leo usije ukathubutu tena hata kwa bahati mbaya kuniita tena Vicky, nakuona kabisa ukiwa unaniita Vicky, unaanza kuona kama nipo sawa na wewe, mimi ni mwalimu wako na sio Vicky, naomba uishi humo, nikawa naondoka….
Saa ngapi nisivutwe kisha mwamba akaanza kunikiss, nikawa najitoa ila sijui hata hizi nguvu alizitolea wapi, maana hata kufurukuta sikuwa nafurukuta, akawa anakiss huku akiwa anapapasa sehemu mbali mbali za mwili wangu…
Nikajitoa kisha nikamuweka kibao, ila badala akasirike akatabasamu kisha akanikonyeza, nikaondoka zangu kwenda kuendelea na majukum yangu ya kjawaida…
Lile busu ni kama lilihamsha hisia ndani yangu, yaan ingawa Kendrick alikuwa mdogo ila alikuwa ni mbusuji bora zaidi, nikabaki nimeshika lips zangu na mawazo ya kijinga yakaanza kunijia na vile sikua nimeduu muda mrefu basi ndio tafrani kabisa…
Nikawaruhusu wanafunzi kisha na mimi nikawa naondoka kwenda kwangu, ile nafika nyumbani kwangu nikashangaa namkuta Kendrick mlangoni…
“ nahisi umeniroga madam, nashindwa kabisa kukaa mbali na wewe, yaan hapa nilipo nipo tayari kwa jambo lolote lile, yaan hapa akili zimeshavurugika mpaka mwisho, nakutaka vicky siwezi kusoma, siwezi kulala, na siwezi kufanya jambo loloye lile , nikiwa mbali na wewe…
Nikaona sasa huu upuuzi unazidi, nikamtumia sms mwalimu mmoja wa kiume, aje aongee nae kiume maana huenda wangeelewana tu, kweli baada ya dakika chache akafika huyo mwalimu wa kiume, nikamuambia kwa ufupi kuhusiana na Kendrick, aisee alimuweka kibao, ila nashangaa Kendrick anacheka kisha akasema kwa sauti ya upole kuwa “ kwa hio akinipiga hivi ndio utanipenda, kama ndio utanipenda naomba unipige zaidi sir…
Nikaona hapa mtoto ameshachanganyikiwa…
JE NINI KITAENDELEA…!! "
OFAA KUPATA NI FULL 1000 TU.
NJO WHATSAPP 0755090082 NIKUTUMIE..
Maoni
Click here to login and comments