Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________*  *SEHEMU YA SITA*
Gonga94 · Stories

MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________* *SEHEMU YA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi wakaanza kufanya mitihani, na katika kipindi chote hicho Kendrick hakuwah kunionesha ishara yoyote ile wala kunivunjia heshima kwa aina yoyote ile…

Basi siku zikaenda na hatimae maisha ya mitihani kwa watahiniwa yakaisha, na baada ya mitihani ndio walipanga kuwa wafanye maafali, michango ilishachangwa na wiki inayofuata baada ya wiki yao ya kufanyia mitihani kupita, ikafika siku ya maafali, yalikuwa ni maafali ya kipekee sana, kwa maana walialika wapiga bendi, wanafunzi wakaandaa maigizo na vichekesho mbali mbali, kulikuwa pia na vipaji vya kila aina, na moja ya maigizo yalinishangaza sana, maana muhusika mkuu alikuwa ni Kendrick, igizo lake lilikuwa kuhusu dharau ambayo wanawake ambao wanaumri mkubwa kidogo kudharau vijana wadogo, igizo lilianza vibaya ila lilimalizika na mafundisho makubwa…

Lilianza hivi “ alikuwa anaonekana daktari ambae alikuwa ni wa field akiwa anaingia kwenye kituo chake cha kazi kwa mara ya kwanza, alipokelewa na daktari wa kike, ambae kwa makadirio alikuwa ana umri mkubwa sana kuliko Yule kijana…
Walimchagua binti ambae alikuwa ana mwili mkubwa sana, ili kuendana na maudhui ya maigizo, na Kendrick ambae alikuwa anaonekana kama mdogo wake wa mwisho na Yule mwanaume, Yule kijana alipomuona Yule daktari macho yake yakawa yanagoma kuangalia pembeni, ni dhahiri kuwa alivutiwa nae sana, na kingine alikuwa anahisi kama atakuwa ameyafanyia ukatili mkubwa sana macho yake, kwa sababu alihisi kuwa ameona kitu cha thamani sana, Yule mwanamke alimuangalia kwa bashasha kisha akasema “ karibu kijana mdogo, mimi ndio nitakuwa nakaa na wewe na ndio nitakuwa nakuelekeza kila kitu kuhusu kazi yako……

Yule kijana mdogo akatabsamu tyu na majukum ya kikazi yakawa yanaendelea, kwa kuwa kijana alikuwa karibu na mwanamke ambae alikuwa amemvutia sana, akawa anafanya kazi kwa juhudi sana bila kumkera..

Yule mwanamke alikuwa anamateso ya aina mbili, ya kwanza yalikuwa ni kuhusu familia yake, nay a pili yalikuwa ni kuhusu mahusiano yake, Yule kijana akawa anapambana sana kumuweka sana, na muda mwingine kufanya hata majukum yake, na kila wakati alikuwa ndio kama msaada na faraja yake…

Kuna wakati Yule mwanamke alikuwa anakuja kazini, anakaa sehemu alafu analia tu, kijana akawa anapambana sana kumfariji na kujitahidi kumuweka sana, siku moja Yule mwanamke akamuamini na kuomba kuongea nae…
Akaanza “ mdogo wangu, yaan kama hauna mpenzi naomba usije ukaingia kwenye mapenzi kamwe, maana ni mateso makubwa sana , yaan kuna muda najihisi mwenye hatia sana na mjinga wa mwisho kwa kukubali kuingia kwenye mapenzi, maana ni upuuzi na maumivu ya hali ya juu…

Yule kijana akamuangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema “ ukiona unaishi na mtu na anakunyanyasa, basi jua huyo sio fungu lako, fungo lako na mwanaume wako wa kweli hawezi kukutesa kwa namna yoyote ile…

“ hizo ni kama hadithi za kale, kuna mwanaume gani kwenye hii dunia ambao hawachepuki, na kama hachepuki anapiga yaan kila mtu ni matatizo, yaan usiniaminishe kuhusu mambo ambayo hayapo…
“ kweli tena wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo wapi?, embu nipe ushuhuda tu, huenda nikaelewa maana naona kama na wewe unanichanganya tu..
“ ni mimi, akajibu Yule kijana….
Yule bint akatoa macho bila kusema neno lolote lile, na yule kijana alijua taharuki ya Yule mwanamke, akaendelea kusema “ nakupenda sana nurse veronica….
ITAENDELEA……..
Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MADAM NIPE KIDOGO BASI* *________________________________________* *SEHEMU YA SITA*



Basi wakaanza kufanya mitihani, na katika kipindi chote hicho Kendrick hakuwah kunionesha ishara yoyote ile wala kunivunjia heshima kwa aina yoyote ile…

Basi siku zikaenda na hatimae maisha ya mitihani kwa watahiniwa yakaisha, na baada ya mitihani ndio walipanga kuwa wafanye maafali, michango ilishachangwa na wiki inayofuata baada ya wiki yao ya kufanyia mitihani kupita, ikafika siku ya maafali, yalikuwa ni maafali ya kipekee sana, kwa maana walialika wapiga bendi, wanafunzi wakaandaa maigizo na vichekesho mbali mbali, kulikuwa pia na vipaji vya kila aina, na moja ya maigizo yalinishangaza sana, maana muhusika mkuu alikuwa ni Kendrick, igizo lake lilikuwa kuhusu dharau...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/madam-nipe-kidogo-basi-________________________________________-sehemu-ya-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi madam-nipe-kidogo-basi-________________________________________-sehemu-ya-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest