Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!*  *___________*  *SEHEMU YA 06*  Nilisogea hadi sehemu inapotokea sauti nilipofika mlangoni ghafla ikabadilika ikaanza kusikika sauti ya Kingston ile ya kizezeta😳😳
Gonga94 Β· Stories

MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *___________* *SEHEMU YA 06* Nilisogea hadi sehemu inapotokea sauti nilipofika mlangoni ghafla ikabadilika ikaanza kusikika sauti ya Kingston ile ya kizezeta😳😳

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nilishangaa mbona mwanzo nilisikia sauti iliyonyooka kabisa?.

Ah lakini huenda ni wenge la usingizi mmhhh lakini hapana ni wenge la usingizi kweli??.

Sikutaka kumwongelesha chochote kikubwa nishampata akiwa salama nilirudi chumbani kwangu kuwapokelea wazazi wake simu waliniuliza kama nimeshamwandaa Kingston nikawaambia tyr vipi kuhusu chakula cha mchana??.

Nikadanganya tu nilishamwandalia ila bado hajala...sikutaka kumwamsha nikamharibia usingizi..

Wazazi walifurahi wakaniambia ni sawa dereva yuko njiani anakuja kumchukua inabidi umwamshe ale dereva amkute akiwa tayari..nikasema sawaa

Nilikimbia jikoni haraka nikaanza kuandaa chakula..namshukuru Mungu niliivisha kabla dereva hajafika..

Nilirudi chumbani kwa Kingston cha ajabu nikakuta tayari ameshabadili nguo mwenyewe na kwa muda huo hakuwa na udenda wowote mdomoni yani alikuwa very smart..

Hadi perfume alikuwa kashajipulizia alikuwa ananukia kama mkurugenzi wa kampuni fulani😳mjue huyu kaka mi simwelewiπŸ₯Ίlakini sawa tu..

Nilikuwa namtizama mno lakini yeye alianza vituko vyake vya uzezeta baada tu ya kunionaπŸ₯ΊπŸ₯Ίnilimshika mkono tukaenda sebleni nilipakua chakula nikakipoza kisha nikaanza kumlisha...

Alikula kidogo tu akaacha... dereva alifika akamchukua wakaondoka...

Mi nilirudi chumbani kwangu kupumzika maana kwa muda huo sikuwa na kazi tena...

Saa 12 Kingston alirudishwa nyumbani kutokea chuoni..nilimpokea akanionyesha kwa ishara kuwa anataka kwenda chumbani kwake..

Nilimbebea bag lake tukaelekea chumbani kwake...baada ya kumfikisha chumbani aliomba nimpishe anataka kubaki peke yake..

Nilifanya hivo niliondoka zangu nikamuacha Kingston chumbani peke yake..

Haikupita muda nilimsikia Kingston nje ya chumba changu akiwa anagonga gonga mlango..

Nilitoka haraka kwenda kumsikiliza....

Boy kuna chochote unahitaji?? Mama yake anapenda sana kumuita The Boy..nikaanza kulitumia namimi hilo jina

baada ya kumuuliza kama kuna chochote anachohitaji akatikisa kichwa kama ishara ya kuniambia ndiyo..

Mkononi alikuwa na karatasi alinipatia ile karatasi akaomba niisome....

Kipi kilichoandikwa kwenye karatasi?!....?

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *___________* *SEHEMU YA 06* Nilisogea hadi sehemu inapotokea sauti nilipofika mlangoni ghafla ikabadilika ikaanza kusikika sauti ya Kingston ile ya kizezeta😳😳

nilishangaa mbona mwanzo nilisikia sauti iliyonyooka kabisa?.

Ah lakini huenda ni wenge la usingizi mmhhh lakini hapana ni wenge la usingizi kweli??.

Sikutaka kumwongelesha chochote kikubwa nishampata akiwa salama nilirudi chumbani kwangu kuwapokelea wazazi wake simu waliniuliza kama nimeshamwandaa Kingston nikawaambia tyr vipi kuhusu chakula cha mchana??.

Nikadanganya tu nilishamwandalia ila bado hajala...sikutaka kumwamsha nikamharibia usingizi..

Wazazi walifurahi wakaniambia ni sawa dereva yuko njiani anakuja kumchukua inabidi umwamshe ale dereva amkute akiwa tayari..nikasema sawaa

Nilikimbia jikoni haraka nikaanza kuandaa chakula..namshukuru Mungu niliivisha kabla dereva hajafika..

Nilirudi chumbani kwa Kingston cha ajabu nikakuta tayari ameshabadili nguo mwenyewe na kwa muda huo hakuwa na udenda wowote mdomoni...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-___________-sehemu-ya-06-nilisogea-hadi-sehemu-inapotokea-sauti-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-___________-sehemu-ya
MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?*  *___________*  *SEHEMU YA 01...02*  Jamani maisha haya sometimes yanatufanya tufanye kila jambo ilimradi tu tuzipate hizo sasampa😁😁
MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?* *___________* *SEHEMU YA 01...02* Jamani maisha haya sometimes yanatufanya tufanye kila jambo ilimradi tu tuzipate hizo sasampa😁😁
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

1.2K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.13K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

686
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

626
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

604
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

245
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½

195
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

153
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

73
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

62

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.85K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.86K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.36K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.97K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.75K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.63K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya GΓΆztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya β€˜Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; β€˜Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI Post Mpya
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
@majario LIVE

Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta 2013, Kelvin Prince...

SHAMIRA 114 mwisho ni 115 Post Mpya
SHAMIRA 114 mwisho ni 115
@majario LIVE

( MWISHOOO ) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 114 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media AseΓ¨e nilikuwa sinanngibu kabisa nikasiki malngo unavunjwa apk mimi jilikuwa napata maumivu makari mno ya tumbo yani sama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani,...

LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.​ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "9_10"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest