Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* ______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
Gonga94 ยท Stories

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* ______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Paul alibaki ameduwaa mlangoni, macho yalimtoka kwa kile alichokiona.
Leon na jasmi nao walishituka , haraka Jasmine alijiondoa mikononi mwa Leon huku uso wake ukiwa umejaa aibu, alitafuta mahali pa kujificha lakini Leon lakini hakujua aende wapi Leon alimshika mkono wake, huku akimuangalia Paul kwa jicho kali.
โ€œPole, samahani sikutaka kuingilia.... nimegonga lakini sijui tukiwa nikajua umetoka ... Yani hakuna mtu ndani. Paul aliongea kwa sauti ya chini yenye kigugumizi, ila macho yake hayakuacha kuonyesha mshangao.
โ€œUnataka nini hapa?โ€ Leon aliuliza kwa sauti ya amri, akimuangalia moja kwa moja bila kupepesa macho

โ€œNilikuwaโ€ฆ nilikuwa na ripoti ya uhasibu, boss alafu nilimfuata lile faili uliotakiwa kuweka saini. Paul alijibu huku akiinua karatasi aliyokuwa nayo mkononi.
" Kwani kufuata faili ni kazi yako au ni kazi ya Jasmine.
" Niya jasmini lakini lilikuwa kinahitajika haraka alafu Jasmine sikumkuta ofisini kwake.

Leon akavuta pumzi ndefu, akamwachia Jasmine taratibu lakini bado akamgusa mkono kana kwamba hakutaka kumwacha aende mbali.
โ€œWeka hiyo mezaniโ€ฆ na usiwe na mazoea ya kuingia ofisini kwangu bila kugonga mlango tena. Hii ni amri.โ€
Paul akakosa maneno, akashusha macho na kuweka karatasi juu ya meza kisha akatoka haraka.
Ndani ya ofisi ukimya ulirudi tena, ila hewa ilikuwa nzito kwa hisia. Jasmine akainua macho yake polepole, akawa anamuangalia Leon.
โ€œBossโ€ฆ umeona sasa? Haya mambo yakijulikana ofisini tutaharibu kila kitu.
Leon akasogea karibu zaidi, akashika uso wa Jasmine taratibu kwa mikono yote miwili.
โ€œNasema tena Jasmine, siogopi chochote. Sijali mtu atajua nini. Nilichojua ni kwamba nakupenda na sitaki kukuficha tena. Lakiniโ€ฆโ€ alinyamaza kidogo, akimtazama kwa makini, โ€œโ€ฆkama hutaki, bado naweza kuweka siri hii kwa ajili yako.โ€
Jasmine akapumua kwa nguvu, moyo wake ukicheza kwa kasi.
โ€œMimi sina hofu juu yako, Leon. Nimekupa moyo wangu. Ila watu wakianza kuongeaโ€ฆ sitaki kuonekana kama nimepata kazi kwa sababu ya mapenzi.
Leon akatabasamu kwa jeuri yake ile ya kiasili.
โ€œKwa sasa wewe ni secretary wangu. Lakini karibia nikupandishe cheo. Jasmine, unastahili kila kitu, na siyo kwa sababu ni mwanamke wangu, bali kwa sababu ni wewe.
Jasmine alijikuta anatabasamu, akamkumbatia tena bila kujizuia. Mapenzi yao yalikuwa kama moto uliowashwa kwa petroli moto ambao hakuna mtu angeweza kuuzima tena.
" Baby acha nikaendelea kufanya kazi .
" Sawa ila badae nitahizaji tukutane sehemu nahitaji muda wa kutosha kuwa na wewe kivuruge wangu.
" Sawa mr arrogant.
Leon alimbusu kwenye shavu kisha Jasmine alitoka ofisini kwa Leon.
Alipotoka nje alimkuta Paul kasimama na alikuwa akimuangalia kwa mshangao mkubwa. Jasmine alimpita kama vile hajamuona.
Paul alipokuwa anatoka ofisini alikuwa bado amechanganyikiwa. Alijua siri kubwa sasa, siri ambayo ingeweza kutikisa kampuni yote kama ingesikika nje.
" Nina miaka kumi kwenye hii kampuni sijawahi kumuona Leon akiwa na mwanamke tena inaonekana yupo kwenye mahaba mazito sana.
Akiwa bado anafikiria simu yake ya mkononi iliita alitoa mfukoni akaangalia kwenye screen akakutana na jina boss Leon . Alipokea haraka .
" Ndio boss.
" Njoo ofisini kwangu.
Aliongea Leon kisha akakata simu. Paul kijasho shembana kilimtoka alihisi mambo si shwari maana Leon alimuacha akiwa kakasirika sana.
" MUNGU wangu naomba usimamie kibarua changu maana huyu jamaa hatabiriki hata kidogo .
Paul alimuomba Mungu kwanza ndipo akasogea karibu na mlango. Alipiga alama ya msalaba kisha akagonga mlango.
โ€œIngiza!โ€ sauti ya Leon ilisikika ndani.
Polepole Paul aliingia, akafunga mlango kwa heshima akaingia ndani. Leon alikuwa amekaa kwenye kiti chake cha kifahari, mikono yake ikiwa juu ya meza.
โ€œPaulโ€ฆโ€ Leon alianza kwa sauti ya chini lakini yenye msisitizo.
โ€œBoss.โ€ Paul akaitika, akijaribu kuficha hofu yake.
โ€œUnajua kosa kubwa ulilofanya leo? Leon alimuuliza huku akiwa anamuangalia usoni.
โ€œNdio boss naomba radhi. Sikudhamiria kuingiliaโ€ฆ ilikuwa bahati mbaya,โ€ Paul alijibu huku akiweka mikono yake nyuma kwa unyenyekevu.

Leon akatabasamu kwa jeuri, tabasamu lile lisilotabirika, lenye kuchanganya hofu na mvuto.
โ€œBahati mbaya? Au ulikuwa na nia ya kunifunania? Wewe ni mfanyakazi wa muda mrefu hapa, najua vizuri jinsi unavyofanya kazi yako lakini mbona unataka kunivuruga?
โ€œBoss, tafadhaliโ€ฆ sitasema chochote. Nimekuhudumia kwa miaka kumi sasa, hujawahi kuniweka mashakani. Naomba uniamini hii siri itaishia hapa. Naapa.
"Sawa . Wewe ni mwanaume nina amini hili uliloliona litaishia ndani ya kuta ya hiki chumba.
" Nakuahidi boss wangu nitakufa na siri yangu.
" Safi sana. Hebu kaa hapo kwanza tuongee.
Paul alivuta kiti akakaa .
" Paul hivi upo kwenye uhusiano?
" Ndio nina mke na mtoto mmoja wa miaka miwili.
" Waoooo hongera sana. Vipi maisha ya kuishi mwenyewe na kuwa na mwenza wako?
" Maisha ya kuwa na mwenza ni bora sana.
Leon aliachia tabasamu
" Boss kwahiyo Jasmine ndio shemeji ?
" Ndio yeye ndio ubavu wangu ila sitaki watu wajue kwa sasa mpaka pale itakapokuwa rasmi kwetu.
" Hongera ndio maana siku hizi unaonekana una furaha sana.
" Paul ni siku chache tu nimeingia kwenye mahusiano na Jasmine lakini najiona nipo tofauti, kuna hali fulani ya amani naipata moyoni mwangu.
" Ni kweli inaonekana zamani haikuwa hivi.
" Ila na kusisitizia kuwa makini na hii siri.
" Usijali boss.
" Sawa unaweza kwenda kuendelea na kazi.
" Sawa, sawa boss. Uwe na kazi njema.
' na wewe pia.
Paul alitoka ofisini kwa Leon akiwa haamini .
" Daaaah kumbe manvenzi ndivyo yalivyo?yanaweza kumbadilisha simba akawa paka eti leo Leon amekaa na mimi tutaongea kama marafiki sababu ya mapenzi tu.
" Aiseee hongera iende kwa mwanamke jasiri Jasmine amejua kutoa dozi.

Offer offer offer
Soma yote kwa sh 800

Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR ARROGANT ๐Ÿ’Ž๐Ÿ”ฅ* ______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*



Paul alibaki ameduwaa mlangoni, macho yalimtoka kwa kile alichokiona.
Leon na jasmi nao walishituka , haraka Jasmine alijiondoa mikononi mwa Leon huku uso wake ukiwa umejaa aibu, alitafuta mahali pa kujificha lakini Leon lakini hakujua aende wapi Leon alimshika mkono wake, huku akimuangalia Paul kwa jicho kali.
โ€œPole, samahani sikutaka kuingilia.... nimegonga lakini sijui tukiwa nikajua umetoka ... Yani hakuna mtu ndani. Paul aliongea kwa sauti ya chini yenye kigugumizi, ila macho yake hayakuacha kuonyesha mshangao.
โ€œUnataka nini hapa?โ€ Leon aliuliza kwa sauti ya amri, akimuangalia moja kwa moja bila kupepesa macho

โ€œNilikuwaโ€ฆ nilikuwa na ripoti ya uhasibu, boss alafu nilimfuata lile faili uliotakiwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-arrogant-______________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-arrogant-______________________________________-sehemu-ya-kumi-na-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.34K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, ๐Ÿฅฐ nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest