Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ * sehemu ya Sita
Gonga94 Β· Stories

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ * sehemu ya Sita

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹
* sehemu ya Sita

Wakiwa Ofisini Saraah Na Jordan, Saraah

Anaamuaa kutoka kwenda kuchukua kahawaa. Akiwa anavuka barabara Gari lililo kuwa speed aina ya cruzer linampitia na kumgongaa Jordan Anashuhudiaa tukio zima kwa mbali. Hali ya Saraah inaonekana kuwaa mbaya sana maana anavuja damu nyingi sana upande wa kichwa chake. Jordan anakimbia na kumuinuaa saraah huku akiwa ameshika kichwa cha Saraah kwa machozi mengi akilia na kutetemeka. Jordan: Saraah Mamaangu Amkaa kipenz Amkaaa Saraa Wangu, Jamn msaadaa.

Kwa bahati nzur wafanyaa kazi wanatokaa njee na kupiga simu kwaajir ya kuita Ambulnce. Ambulnce inafika na kumchukua Saraah na

kumuwaishaa hospitalin. "Kwa nmn Saraah hali aliyonayo ni ngumu sanaaa kuponaa "Watu wengi walisemaa huku Saraah akisindikizwa kwa macho juu ya machela katika chumba cha Operation kuu

Jordan anaonekana kuliaa sanaa huku akibembelezwa na wafanyakazi wengine.

Tunarudii Upande wa Narshaa. "Boss kazi yako tyr" Mask Man Alisema.

"Hahhahahah hmn mtu atakae pinga Amri yangu Narshaa alisemaa kwa sautii kubwaa ya kejeli sana, huku akihesabu pesaa kias cha million 5 na kumkabidhil Mask Man na kuondokaa.

Upande wa Jay anaonekanaa kuendeleaa kumfatiliaa sanaa Madam Linda kwa kumkazia jicho kali wakiwa wamekaa wote sebleni. Lakini kwa ghaflaa simu yaa Jay inaltaa na anaepigaa sio mwingne ni Jordan. "Jay haiwezekani akiliaaa. Jordan Alisemaa huku

Kwa Mshituko mkubwaa Jay alisimama. "Nini haiwezek na mbnaa unaliaa shidaa nn Jorda kunaa nn ?"Jay alijibu.

Naa baada ya Madam Lindaa kusikiaa ivo anaamuaa kusogelea Jay kwa harakaa ili asikilize shidaa nn.

"Saraah kapataa Ajarii na halii yake ni mbayaa sanaa sidhani kama anawezaa ishii." Jordan alisema huku akiliaa kwa machungu sanaa "Mungu wangu Nini?? Tunakujaa sasaa hivii naaendaa kukataa Tiketi nakujaa nakuja najaa" Alisema Jay huku akiwaaa anatokwa na machozii mengi sanaaa. Jay anaamua kukataa tiketi na na ya Madam Lindaa Lakini huwezi Amini Madam Lindaa anakataaa kwend uko kwaa ajirii ya Saraah.. "Haa haa hapnaa si si sitaendaa" Madam Lindaal

Alisema kwa uoga sana "What ?? Ivi saraah sini kama mwanao kbsaa na bado Jordan ni mwanao plaa kwann tusiendee ?? Nakupaa dakika mbili pangaa nguo zako tuondoke kwa hili sitakusikiliza Jay Aliongeaa akiwaa na hasira huki machozi yakee hayaachi kudondoka juu ya Saraah. Jay na Madam Linda wanapandaa ndegee kwa haraka huo huo mchan ili wa wahi kufikaa Arushaa. Baada ya masaa machache wanafika Jordan akiwa hospitalini anaagizaa mtu

kwendaa kuwapokea kinaa Jay Na Lindaa. Wanapofika Hospitali huo mdaa na huo huo mda masaa yaa saa kumi na ndip madaktari wanatokaa njee katikaa chumb cha upasuaji. "Daktari anaendeleajee Saraaah dactarii niambie basi Jordan anaonekanaa akiongea uku akiwa na huzuni sanaa. Kwa jicho la hurumaa na suraa ya hurumaa ya

dactari ili bidi awasogele kinaa Jordan Jay na

Madm Lindaa akaanza kwa kusema "Mmh mgojwa hanaa hali nzurii tumepambanaa sanaa lakini anaonekanaa ku Undergo Comaa Yaan Damu imeingiaa katikaa ubongo wakee kwahiyo hatawezaa kufanyaa chochote zaid ya kupataa chakulaa kwa njiaa ya mlijaa ilaa hawezi kuongeaa walaaa kusogeaa hapa nahis mnaelewaa kwahiy naombaa mkapuumzikee mmuachee mgojwaa atulieee na kupumzikaa plaaa. Dactari alisemaa huku akiwaa anaondokaa.

Jordan alitamani sanaa Ikn hakuwezaa kwendaal kwa Saraah ucku ulifikaa na hawaa watatu waliamuaa kurudii nyumbn kwa ajiri ya mambo mengine. Walifikiaa katikaa nyumbaa ya Jordan na Saraah na walipataa chakulaa na kwenda kulala lakini Jordan hakupataa usingiziii maan alikuw ameshaazoeaa uwepo wa Saraah jambo hilo lilimfanyaa aend kulala kweny chumbaa cha Saraah na ukweli baada ya kulala mulee alipitiwa na usingizi mzuri wenyee amani sanaa moyoni mwakee.

Hatimaye pana pambazukaa na wakwanza kuamkaa anakuwa Jay anapokaguaa vyumba anakutaa Jordan kalala kweny chumb cha Saraaah "Daah unaweza hisi wanadet kumbe hpn daah mapenz upofuu Jordan ndo wakuwaa hivi naombaa sana kwa Allah Saraaah awahi kuponaa Jay alisemaa.

Mda unakwenda na wote hawa wanamalizaa kuijiandaa na kwnd hospitalini wanapofikaa hospitalini Jordan anawahi kuingiaa katikaa chumba cha Saraah alipokuwaa amelazwaa. "Saraah ni lini utaamka mamaangu na mengi ya kukuambiaa hataaa kuwaa mm ni ndiye Abdulh wako wa utotoni daaah Saraaah nisamehee kwa kukuachaa uende mwenyew labda tungekuwaa wotee usingeumiaaa hivil mamaangu Naombaa nikwambiee tu kituu kwambaa Nakupendaal Saraah Amkaa bas nikuone tenaaa nmemiss utani wako, uogaa wako na jeuri yako piaaa ilaa hainaa namna ntakuwaa pamoja na ww mpk pale utakapo amkaa Jordan Anasemaa huku akifutaa machozii yakee

Saraah akiwaa katikaa kitanda kilee watu wengii wanavunjika moyoo kwa maana hmn anayejuaa kamaa Saraaah ataponaa au laa

Masaa yanaendaa watuu wengii wanakujaa kumsalimiiaaa Saraaah ingawapo yeye ni kama mtuu mfuu kwa wakati huo wengil wanaondoka na kuliaa na kuuzunikaaa, lakini ghaflaa garii flan linaingia na anashukaa mdada ambayee kwa mavazii yakee ni kama ya mtuu ambay anaendaa kweny party au sherehee ya kifahali, Watuu wengil wanashangazwaaa sanaa maana wapo hospitalini na sio sehem ya mavazli hayoo suraa yakee inaonekanaa kuvaliaa miwanii kubwa sana huyu mtu sio mwingne baril ni Narsha anapofikaa anapitilizaa kwendaa

mapokezii na hatimayee anapewaa namb ya

chumba alipokuwaa Saraaah.

Anapofikaa katika kolidoo hiloo anakutanaa na

Jay. Jay kwa hasiraa alisema "Ivil ni wewe Narsha unafanya nn hapaaa eeeh"

Narshaa kwa jicho la dharau anamungalia Jordan na kufyonzaa na kusema: Naona umenimiss ayaa semaa shidaa yako... Jay Ivi nikwelii kbsaa huogopi kbsa na unakuja hapaaa uklijuaa wewe ndio muhusika wa ajarli

hiyoo. Narsha "Hahahahah Ivii kwan sina hadh ya kujakumuonaa kabsa hahaha kuja ntakuja bilaa kizuizii."

Mdaa huo huo Jordan anatoka kumuonaa

Saraah bilaa ataa aibu Narsha anamkimbiliaa Jordan na kumkumbatiaa kwa hasira Narshaa anasukumwaa na kushushiwaa kofii kali la usoni

na Jordan Jordan "Ivi hivoo drama zako ni za mpk lini wewe ndiye chanzo lakn kwasasa unajionesha kamaa mtu mwemaa kweli ? Na ninakuhakikishiaa kamaa Saraah Atakumbwa na chcht bas tutakulaa sahani moja". Jordan hataki Story nyingi anaondoka.

Narsha anabakii akiwa ameduwaa. "Hivii kweli Jordan kwasasa kapoteza upendo wake kwangu kiasi ichoo kisa Saraah hahha siamni" Narshaa alisemaa.

Narshaa anaonekana kuondokaa na kwendaa katika sehem iliyo jifichaa ndani ya hospitali ilee anapofikaa anampigiaa mtuu flani ili afikee palee, kinachoo shanganzaa anayefikaa palee sio mwingnee ni Madam Lindaa !!

Heee je Madam Lindaa Yupo Nyumaa Ya Hill Swala Au Vipi Na Kama yupo Nyumaa Ya Ili Swalaa Ni Kwasababu gani ??Na kama hayupo nyumaa ya swala hilo mbona anaendaa kuongea na Narsha sehm iliyojifichaa Ivo Mmh Tukutane Katikaa Sehemu ya Saba Ili Kufahamu Ukweli
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹ * sehemu ya Sita


MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*πŸ₯°πŸ˜‹
* sehemu ya Sita

Wakiwa Ofisini Saraah Na Jordan, Saraah

Anaamuaa kutoka kwenda kuchukua kahawaa. Akiwa anavuka barabara Gari lililo kuwa speed aina ya cruzer linampitia na kumgongaa Jordan Anashuhudiaa tukio zima kwa mbali. Hali ya Saraah inaonekana kuwaa mbaya sana maana anavuja damu nyingi sana upande wa kichwa chake. Jordan anakimbia na kumuinuaa saraah huku akiwa ameshika kichwa cha Saraah kwa machozi mengi akilia na kutetemeka. Jordan: Saraah Mamaangu Amkaa kipenz Amkaaa Saraa Wangu, Jamn msaadaa.

Kwa bahati nzur wafanyaa kazi wanatokaa njee na kupiga simu kwaajir ya kuita Ambulnce. Ambulnce inafika na kumchukua Saraah na

kumuwaishaa hospitalin. "Kwa nmn...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtamu-toka-utotoni-sikuachi-sehemu-ya-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamu-toka-utotoni-sikuachi-sehemu-ya-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

621
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

561
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

472
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

413
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

345
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

83
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

70
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

69
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

54
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

28

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest