MUME WA RAFIKI YETU
Episode 3
Nikiwa bado nimesimama dirishani, macho yangu yakimtazama Aggy akitembea polepole kwenye korido, moyo wangu uliendelea kudunda kwa kasi isiyo ya kawaida. Niliona kabisa kuwa hakuwa anaelekea chooni. Hatua zake zilikuwa znampeleka stoo ambako ndiko Erick kaenda.
Aggy alitembea kwa tahadhari, akigeuka geuka kama mtu anayehofia kukamatwa. Alikuwa haendi chooni. Nikajiuliza Aggy kamshawishi vipi Erick aondoke naye kirahisi hivyo ???????,kasi ya mapigo ya moyo iliongezeka mara dufu....
. Alikuwa mtulivu mno. Kavaa kanga moja tu iliyojifunga kwa haraka haraka, na jinsi alivyoishika, ilionyesha wazi alijua anakokwenda na kwa nini anakwenda.
Nilishindwa kuvumilia. Udadisi ulinipanda kuliko hata hofu ya kufumaniwa. Nikafungua mlango wa chumba changu taratibu na kutoka kwenye korido ile ile.
Nikapita kwa tahadhari, nikajificha nyuma ya ncha ya ukuta uliokuwa karibu na stoo ya nyumba. Niliona milango miwili mmoja ukiwa umefungwa, mwingine ukiwa umeachwa kwa wazi kidogo, kama mtu aliyesahau au aliyepanga kufunga baadaye.
Ambako ndiko shoga yangu alikuwa anaelekea lakini kwa mbali niliweza kumuona Erick kamkumbatia Aggy na midomo imekutana wakibusiana nilishtuka sana kwa woga inawezekanaje ? Ndani ya siku moja tayari shoga yangu tayari anajipatia kisoweto ......
Waliendelea na michezo yao ya kupititshana kila kona za himaya yao nilishuhudia Erick kambeba aggy mpka stooo ..... Nilisogea mpaka kwenye dirisha la stooo sikuamini kwa kile nilichokiona jamani
Erick anafanya mambo yake tena ilionekana ana enjoy sana nilijikujikuta mwili unaizidi akili yangu na sasa na mimi nautaka mchezo ule ilinibidi nikishushe kilinda utamu huku nikihema kwa nguvu sana ......
Sijuwi ni saa ngapi lakini tayari mkono uko kwenye ulimwengu wangu wa raha unajipigia mipasi yake jamani asikwambiye mtu..........
SEHEMU YA NNE ITAKUWA KWENYE CHANNEL SAA TISA KAMILI HUKU NIKIJA NITAKUJA NA SEHEMU YA 5
👇👇👇👇👇👇👇
Follow the Kelvin Mlowe channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46.
Maoni