Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAISHIWA PAWA  SEHEMU YA "2"💘 nilimpa Jordan mkono wangu  kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
Gonga94 · Stories

NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "2"💘 nilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hakuuachilia kwa haraka aliushikilia kwa muda huku akiwa ananitizama usoni kwangu niliachilia tabasamu ilimradi tu asijisikie mnyonge aliniangalia sana kisha akaniambia asante sana Pink aliniachilia mkono nami nikaanza kuondoka kule ndani kwake kabla sijapiga hatua nyingi Jordan aliniita na kuniomba nisubilie anitoe aliingia chumbani kwake akabadili nguo kisha akatoka na koti zito kalishika mkononi aliniomba nivue ile koti yangu kwani ilikuwa imelowa ilinyeshewa kipindi namsaidia Jordan kule njiani.....Jordan aliniomba nivae ile koti yake nilikubali sikutaka kumfanya ajihisi mnyonge si mnajua watu wenye matatizo huwa wanahitaji faraja eh🙃🙃 nilivaa koti yake ilikuwa inanukia marashi mazuri sana nilimshukuru alinitoa hadi nje kabla sijaondoka aliniomba nimuachie namba yangu nilimuandikia namba yangu kwenye simu yake baada ya hapo nilipanda kwenye gari nikampungia mkono nikawa nimeondoka nilikuwa namtizama kwenye site mirror vile anavyonitizama ninavyoondoka na gari yangu huku yeye akiwa ameketi tu pale kwenye baiskeli yake nilimhurumia vile anavyojisukuma kwenye kile kibaiskeli ila sikuwa na cha kumsaidia......

Niliendesha gari mdogo mdogo hadi nyumbani kwangu nilikopanga nilikuwa naishi tu peke yangu nilioga nikamaliza nikapika chakula chepesi cha usiku nilipomaliza kula nilielekea chumbani kwangu nikasali nilimuomba Mungu amponye Mr Jordan ili aweze kurudi katika hali yake ya kawaida miguu yake ipate uwezo wa kutembea baada ya kusali niliingia kulala ili kesho mapema nisije Chelewa kazini.....usiku mkubwa nilipoamka kwenda kukojoa niliishika simu yangu kutizama saa baada ya kuangalia ni saa ngapi ndipo nilipogundua kuwa kwenye simu yangu kuna ujumbe mfupi ambao haujafunguliwa niliifungua ile msg ilikuwa ni msg ya kunitakia usiku mwema ilitoka kwa Jordan kwa kuwa usiku ulikuwa umeshakuwa mkubwa sikuijibu niliipotezea kwani usiku huo nilijua tayari Jordan kaishalala sikutaka kumsumbua nilipanga kesho kukikucha nitamuomba samahani kwa kuwa msg yake nilichelewa kuiona....... nilirudi kitandani nikalala na kesho yake kulipokucha nilijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini nilipomaliza kujiandaa ndipo nilipoishika simu na kukuta msg nyingine kutoka kwa Jordan......
""Hello pink....Good morning.... how was your night?!.....I hope you woke up safe I wish you a nice day, have a good job please take care......""
"""Wow nilipousoma huo ujumbe nilijikuta natabasamu..... nimekuwa single kwa muda mrefu huwa nalala na kuamka kama kuku hakuna mtu wa kuniwish usiku mwema wala asubuhi njema hatimaye leo kwa mara ya kwanza nimefeel ile raha ya kuambiwa take care😉😉 nikaulizwa usiku wangu ulikuwaje😊😊 lol leo nimewishiwa kazi njema🤣🤣🤣nilijisikia raha ya tofauti sana......nilimjibu Jordan nilianza na salamu.....
""Hello Jordan...... samahani jana sikuweza kuijibu msg yako kwa sababu niliiona usiku ukiwa umeshakuwa mkubwa...... asante kwa kujali nakutakia siku njema pia nikiwahi kutoka kazini nitapita nyumbani kwako nikuletee koti yako..... niliituma hiyo msg baada ya hapo niliuchukua mkoba wangu nikatoka kuelekea kazini.......

Nilipofika ofisini nilitia saini kisha nikaelekea kwenye sehemu yangu ya kazi hata nilipoifungua computer yangu ili nianze kazi mawazo yangu yote bado yalikuwa yanauwaza ule ujumbe niliotumiwa na mr Jordan niliachana na swala la kufanya kazi ikabidi niichukue simu yangu nianze kuusoma ule ujumbe kwa kuurudia rudia😜😜 tabasam mwanana lilinijaa usoni kwangu nilitamani nianze kumchatisha Jordan lakini naanzaje🙈🙈niliendelea kuusoma ule ujumbe huku taswira ya sura ya Jordan ikiwa imeitawala akili yangu..

nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishangaa nakanyagwa mguu na mfanyakazi mwenzangu nilipoinua macho kumuuliza ana shida gani ndipo aliponikonyeza kwa ishara ya kuniambia tizama nyuma yako wewe😩😩 haraka nililigeuza shingo langu huku nikiwa nimeyakodoa macho yangu kwa wasiwasi nilishangaa kumuona Boss Hance akiwa ameikunja sura yake kwa hasira huku akiwa ananitizama mimi😳😳😳 mkononi kwake alikuwa kashikilia file alilirusha mezani kwangu kisha akaondoka huku ameikunja mikono yake kwa hasira🙄🙄🙄🙄🙄mmmhhh kwani huyu kafika hapa sangapi?!..... nilijiuliza😩😩😩 hazikupita hata sekunde simu ya mezani kwangu iliita nilipokea alikuwa ni Boss Hance.....hello Boss..... 🗣️🗣️🗣️njoo ofisini kwangu haraka....... nti nti ntiiiii simu ikakatwa nilinyanyuka upesi nikaelekea ofisini kwa Boss ili nikamsikilize🏃‍♀️🏃‍♀️...

Nilifika ofisini kwa Boss nikaanza kugonga mlango ngo ngo ngooo..... 🗣️🗣️get in....... aliongea Hance kwa sauti iliyodhihirisha wazi kuwa ana hasira nyingi.....Niliingia ofisini huku macho yangu nikiwa nimeyainamisha chini kwa uoga.....naaaam Boss😞😞.....nilimuitikia Boss huku nikiwa navikunja kunja vidole vyangu😩😩😩🫢 naona umeshaichoka kazi?! Kwanini Boss?..... yani muda wa kazi wewe ndo unautumia kuchezea simu😡😡😡?! Samahani Boss lakini kwenye simu nilikuwa naangalia tu mambo ya kazini na si vinginevyo😫😫.... una uhakika?! Lol uhakika sina🤣🤣🤣 sikujibu nilikaa kimya...... nipatie simu yako🗣️😒 lol simu tena🤭🤭🤭......🗣️🗣️ nipatie simu yako Pink😡..... sasa Boss anataka simu yangu ili afanyie nini😂😂😂🙈 hivi mnamuelewa kweli🥳🥳 alafu kachukia hadi kawa mwekundu nyooo🙈🙈 na anavyojikuta mr serious au kadata kwangu🤪🤪🤪 mbona simuelewi yani anaongea hadi anataka kulia😹😹😹 sijamzoea hivi😃😃pink I need your phone🗣️🗣️ lol aliongea kwa sauti ikabidi nichomoke mbio kwenda kuifuata simu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️nilikwenda mezani kwangu nikachukua simu yangu mbio nikaanza kurudi ofisini kwa Boss🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ kabla sijaingia nikawaza mmmhh au kaona ile msg ya Jordan🤔🤔🤔🤔 sijui niifute lakini sitaki kuifuta natamani niwe naisoma tu muda wote😩😩😩 sikuifuta ile msg niliingia ofisini nikamkabidhi Boss Hance simu bila kumtolea lock🤣🤣🤣🤣 alivyoishika akairudisha kwangu na kuniamuru nimtolee lock nikatoa nikampa ndani ya dakika tatu akanirudishia sikujua alichotaka kukiona kwenye simu yangu mimi nilivyorudishiwa simu yangu nikaambiwa nenda ukaendelee na kazi nikaondoka nilipofika mlangoni kugeuka nyuma nikakuta Boss kainamisha kicha chake kwenye meza kama mtu mwenye maumivu makali ya kichwa ikabidi nirudi kumuona kama yuko sawa😂😂😂

Boss is everything ok?!🤔🤔🤔....Pink please leave me alone😞😞😞😞.....lol mie huyooooo nikaondoka zangu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ Nikaenda kuendelea na kazi si akaja rafiki yangu mumbea mwenzangu🤣🤣 karafiki kangu kakikorea kanaitwa soo_ah kanaongea kama chiriku😩😩😩😩 Hey Pink nini kinaendelea kati yako na Boss Hance😃😃😃 nahisi ninyi wawili mnadate?! Yani alikuwa anakutizama kwa wivu sana na wivu wake ulizidi kiasi baada ya kukuona wewe uko busy na simu yako alihisi huenda unamsaliti mbona hujawahi kunitambulisha bwana😞😞soo_ha unaongea nini ?! Mimi sina mahusiano na Boss Hance mtu mwenyewe alivyo mr serious hajawahi hata kunionyesha dariri za kunitaka☺️☺️☺️ tulia nishakwambia shemeji yako ni Leeminho kila siku nakwambiaga Leeminho ndo crush wangu lazima niolewe kwenu Korea huko uwe wifi yangu🤣🤣 basi tukaishia kucheka ghafla tukamuona Boss Hance anatokea ofisini kwake lol kila mmoja akafunga bakuli lake tukajidai tuko busy na kazi🙈🙈🙈 soo_ha si akawa ananikanyaga miguu ili nimwangalie nikimwangalia ananikonyeza et nimwangalie Boss Hance anavyoniangalia tu mimi muda wote yani ni kambea karafiki kangu🤣🤣🤣
Na kweli bwana kila nilipomtizama Boss Hance kwa kuibia😹😹😹nikawa namkuta macho yake yote yako kwangu😳😳😳khee kwani kuna nini na huyu mwanaume🤣🤣🤣basi tukawa tunakonyezana na soo_ha tunaachia cheko la kimoyomoyo kazi zinaendelea mara simu yangu ikaanza kuita nikashindwa kuipokea kwa sababu Boss Hance yuko hapo karibu na anazunguka zunguka kutizama vile wafanyakazi wanavyojituma kufanya kazi za kiofisi oops😫😫😫 nilipokaza jicho kwenye simu kutizama anayenipigia ni Jordan lol😩😩😩 nikatamani nipokee lakini Hance akawa ananikata jicho hatari🙈🙈🙈 simu nayo ikaendelea kuita Boss Hance akasogea hadi pale mezani kwangu akasimama kwa muda lengo lake ilikuwa kutizama mtu anayenipigia simu ni nani na kwa bahati nzuri simu nilikuwa nimeshaigeuza nikailazia screen 🤣🤣🤣 alipoona hivyo akaingia ofisini kwa hasira nami haraka nikaelekea chooni na simu yangu mkononi🏃‍♀️🏃‍♀️

Kufika huko nikampigia Jordan..... hello Jordan niliongea kwa sauti ya chini kidogo...... hello Pink samahani kwa usumbufu kuna kitu nataka kukuomba kama hautojali🥲🥲🥲...... bila shaka Jordan niombe kitu chochote nitakupatia..... Asante Pink niko shopping nilikuja kuchukua baadhi ya vitu vyangu nimekupigia kukuomba ruhusa ili niweze kukuchukulia zawadi iwe kama shukurani kwa wema ulionitendea jana.... samahani lakini sifanyi kama malipo bali ni kama shukurani tu🙏 aaaaa..... laalaaaakkkkkk........ mmmmhhhhh.......aaaaa.....niliingiwa na kigugumizi nikashindwa nijibu nini🙈 usijali Pink naomba usinikatalie nimejisikia kuchukua kitu kwa ajili yako nikubalie nakuomba🙏🙏 it's okay Jordan hakuna shida....... nilikubali et😌😌 Jordan alifurahi sana alinishukuru kwa kuikubali zawadi yake jamani moyo wangu ulijawa na furaha sana yani sikutamani Jordan akate simu nilitamani niendelee kuisikia sauti yake kiukweli anaongea vizuri sana baada ya yeye kukata simu nilibakia nalitizama tu jina lake kwenye simu yangu ni kitu gani kimeukuta moyo wangu lol😝😝😝😝

Niliamua kutoka kule washing room nikarudi kuendelea na kazi nilitamani mida isonge haraka jioni ifike ili nitoke nikaione hiyo zawadi aliyoninunulia Jordan ni zawadi gani.....nilifanya kazi haraka haraka na jioni ilipofika niliondoka ofisini nikaelekea nyumbani kwangu nilianza kuchagua nguo ya kuvaa kwani nilijua ni lazima Jordan atanihitaji tutoke ili aende akanipatie zawadi yangu na kweli bwana baada ya muda mfupi Jordan alinipigia simu akaniomba tukutane katika sehemu moja hivi amazing kwa ajili ya dinner na baada ya dinner atanipatia hiyo zawadi yangu nilimkubalia....... mtoto wa kike baada ya simu kukatwa nikaanza maandalizi🥳🥳🥳🥳 lisaaa lizima nikalitumia kwenye kuvaa tu mida ya saa mbili kamili usiku nikawa natoka ndani kuelekea kwenye gari kwa ajili ya kutoka kwenda kukutana na Jordan....... kufika kwenye gari ghafla simu yangu ikawa inaita atakuwa Jordan huyo nahisi anataka kuuliza kama nimeshaondoka😊😊 baada ya kuishika simu ndipo nilipogundua kuwa anayenipigia siyo Jordan bali ni boss Hance😳😳😳 hello Boss...... hello Pink where are you?! Niko nyumbani Boss.......nahitaji kuongea na wewe sasa hivi ni muhimu sana nakuja nyumbani kwako sasa hivi ndani ya dakika chache nitafika hapo......lakini Boss aaaaaammmmmm ninaaaa.....taaaaa......kaaaakuto........kkkkk.........
nti ntiiii ntiiiiii kaishakata lol sa itakuwaje😩😩😩na anataka tuongee nini🤔🤔......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "2"💘 nilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu

hakuuachilia kwa haraka aliushikilia kwa muda huku akiwa ananitizama usoni kwangu niliachilia tabasamu ilimradi tu asijisikie mnyonge aliniangalia sana kisha akaniambia asante sana Pink aliniachilia mkono nami nikaanza kuondoka kule ndani kwake kabla sijapiga hatua nyingi Jordan aliniita na kuniomba nisubilie anitoe aliingia chumbani kwake akabadili nguo kisha akatoka na koti zito kalishika mkononi aliniomba nivue ile koti yangu kwani ilikuwa imelowa ilinyeshewa kipindi namsaidia Jordan kule njiani.....Jordan aliniomba nivae ile koti yake nilikubali sikutaka kumfanya ajihisi mnyonge si mnajua watu wenye matatizo huwa wanahitaji faraja eh🙃🙃 nilivaa koti yake ilikuwa inanukia marashi mazuri sana nilimshukuru alinitoa hadi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-sehemu-ya-2-nilimpa-jordan-mkono-wangu-kwa-lengo-la-kuagana-naye-alipoushika-mkono-wan

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi naishiwa-pawa-sehemu-ya
  NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"💘 Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"💘 Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA🫂   SEHEMU YA "4_5" 💘  Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA🫂 SEHEMU YA "4_5" 💘 Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA💗  SEHEMU YA "1"💞  Ni majira ya jioni  mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
NAISHIWA PAWA💗 SEHEMU YA "1"💞 Ni majira ya jioni mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
NAISHIWA PAWA 🫂   SEHEMU YA "6"💘 💘  Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
NAISHIWA PAWA 🫂 SEHEMU YA "6"💘 💘 Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

711
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

614
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

502
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

466
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

441
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

397
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

180
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

161
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

147
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

115

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior Post Mpya
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. ⚠️🚫 Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! ‼️ VINI AKATAA KUCHEZA!! 😤❌

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa 😂 Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼  𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿 Post Mpya
𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼 𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest