Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NAISHIWA PAWA๐Ÿ’—  SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž  Ni majira ya jioni  mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
Gonga94 ยท Stories

NAISHIWA PAWA๐Ÿ’— SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž Ni majira ya jioni mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kwangu......siku hiyo bwana kulikuwepo na wingu jeusi lilioashilia kunyesha kwa mvua...... upepo mkali sana ulikuwa ukivuma kutokea kasikazini, magharibi hadi mashariki pia....... baridi ilikuwa ni kali sana๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ

nilikuwa ndani ya gari langu naendesha mdogo mdogo huku nikiwa nayaangaza macho yangu kwa umakini zaidi barabarani ili nisije kusababisha ajali......kabla hata sijakaribia mtaa ninaoishi

Lilianza kunyesha bonge la mvua๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซni mvua iliyokuwa imeambatana na upepo mkali sana niliongeza mwendo kidogo wa gari.....nilipofika pembezoni mwa njia panda ya kuingilia nyumbani kwangu nilipunguza mwendo ili niweze kukata kona..

Wakati nakata kona mmhhh๐Ÿค”๐Ÿค”nikamuona mtu anahangaika katika baiskeli haikuwa baiskeli ya kawaida ni zile za walemavu๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Mtu yule alikuwa anajisukuma mwenyewe na kutokana na upepo mkali uliombatana na mvua kubwa alijikuta kila akijisukuma hatua mbili mbele anarudi nyuma hatua kumi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Mimi na moyo wangu wa huruma nikajikuta namhurumia๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅนnikajiambia ni lazima nimsaidie๐Ÿฅน๐Ÿ˜ข nilijisemea kimoyomoyo huku moyo wa huruma ukiwa unanisukuma kwenda kumsaidia...

mvua kubwa upepo mkali vilizidi kumtatiza ilifikia hatua yule mtu alishindwa kabisa kuisukuma baiskeli yake akabakia ametulia tu bila kufanya chochote๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ˜ข hapana siwezi kumuacha hapa peke yake natakiwa kumsaidia๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

nilijisemea hivyo huku nikiwa naufungua mlango wa gari langu haraka nikatelemka chini na kuelekea sehemu alipokuwepo yule mtu..

""Habari yako....... pole sana...... naomba nikusaidie""๐Ÿฅน๐Ÿ˜”
""Asante sana lakini siwezi kutembea """
"""Haina shida nitakusukuma hadi pale kwenye gari langu kisha nitakupandisha kwenye gari ili usinyeshewe...

Aliinua kichwa chake akawa ananitizama bila kusema chochote๐Ÿฅน๐Ÿฅนnaitwa Pink niamini nachotaka kufanya ni kukusaidia tu........nilijitambulisha huku nikiwa namsukuma taratibu kuelekea sehemu ilipokuwepo gari yangu"""
""Asante sana Pink๐Ÿฅน๐Ÿฅนmimi naitwa Jordan"

Nilimsukuma Jordan hadi karibu kabisa na gari yangu nilijikaza nikamnyanyua kwa nguvu zote nikafanikiwa kumuingiza ndani ya gari baada ya hapo niliiweka baiskeli yake kwenye buti kisha nami nilipanda kwenye gari nikafunga milango

Nilipomtizama Jordan alikuwa anatetemeka sana kwa baridi nilizidi kumhurumia nilikichukua kimtandio changu kilichokuwa kwenye mkoba wangu nikamfunika ili angalau apate joto kidogo mwilini mwake.......

Asante sana Pink mwenyezi Mungu akubariki sana wasichana warembo kama wewe ni wachache sana wenye moyo wa huruma kwa wako๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป ni sawa Jordan usijali......unaishi wapi na unaishi na nani?! Kwanini uko peke yako hapa??

Nielekeze nyumbani kwako ili niweze kukupeleka na kama una ndugu au mtu yeyote unayeishi naye mpigie aweze kuja kukuchukua...... sina ndugu Pink niko peke yangu๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Nyumbani kwangu ni mtaa fulani naomba unipeleke tafadhali...Jordan alinielekeza nyumbani kwake nami niligeuza gari safari ikaanza kuelekea nyumbani kwa Jordan......samahani ulipatwa na nini kwenye miguu yako?!.....

aah nilipata ajari ya gari iliyoifanya miguu yangu ikose uwezo wake wa kutembea..... pole sana Jordan...... asante Pink...... tayari tumeshafika katika nyumba uliyonielekeza lakini mvua ni kubwa sana nazani ni vyema tubakie kwanza kwenye gari hadi pale mvua itakapopungua.......

it's okay Pink lakini nahofia kukupotezea muda wako......samahani sana kwa kuchukua muda wako asante pia kwa msaada wako...... hahahaaa usijali Jordan sina haraka hata hivyo......

Maongezi kati yangu na Jordan yaliendelea ndani ya gari ilikuwa ni kufahamiana tu Jordan alionekana kijana smart sana umri wake ni kati ya miaka 35 niliukadiria tu hata hivyo kwa haraka haraka ukimwangalia kama hayuko kwenye baiskeli yake ya walemavu wala huwezi kujua kama ni mlemavu๐Ÿฅนโค๏ธ

Yani๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซnilijikuta namlaumu Mungu kwanini aruhusu mkaka mzuri kiasi kile awe kilema๐Ÿฅน๐Ÿฅนni mzuri mnoo jamani yani lina macho mazuri hiyo sauti yake sasa dah๐Ÿ˜”๐Ÿ’žnilizama deep kimawazo nikawa nawaza tu asingekuwa kilema huyu ndo angekuwa mume wangu..

baada ya masaa takribani mawili kupita hatimaye mvua nayo ilipungua yakabakia manyunyu kidogo tu...... nilipougeukia upande aliopo Jordan nilimkuta kaishapitiwa na usingizi mama weeeeeee nilishindwa namna ya kumwamsha ikabidi niwashe gari nisogee karibu kabisa na geti la kuingilia ndani kwake

hata hivyo nilipoiwasha gari naye alishtuka kutoka usingizini alinipatia ufunguo nikafungua geti nikamsaidia kuingia ndani ya nyumba yake ni nyumba nzuri lakini ilikuwa imepangiliwa ovyo ovyo..na ilikuwa chafu haswa..

Nilitamani nianze kufanya usafi lakini mmmhh usiku umeshaingia natakiwa kurudi nyumbani kwangu nikapumzike maana kesho mapema nilitakiwa kuingia kazini..

Kipindi hicho ndo kwanza nilikuwa mtoto mbichi na nilikuwa nakaa nchini Canada๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐhuko nchini Canada nipo tu kikazi..nyumbani kwetu mimi ni Tanzania kabila langu ni muhaya kutokea kule Bukoba...

Nimezaliwa na kukulia jijini Dar es salaam nimepata elimu yangu ya mwanzo hukohuko Tanzania badae masomo yangu ya juu nilisomea nje ya nchi๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ...

Vipi unajisikiaje Jordan...niko sawa Pink karibu nyumbani kwangu samahani lakini mazingira siyo ya kuridhisha...

Hahahaa hapana usijali mi niko sawa hata hivo nyumba yako ni nzuri sana hongera... wow asante sana Pink karibu sana karibu uketi natamani nikuandalie chochote kitu ninaishi peke yangu sina mke wala mtoto๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป

hapana Jordan wala sitaki kukuchosha we pumzika tu mimi naomba nikuache๐Ÿค kama unahitaji chochote naweza kukusaidia kabla sijaondoka....... nop asante sana pink usijali kuhusu mimi naweza kujihudumia๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

wow Good๐Ÿค๐Ÿคnilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu hakuuachilia kwa haraka aliushikilia kwa muda huku akiwa ananitizama usoni kwangu niliachilia tabasamu kumpa moyo si mnajua tena walemavu hatutakiwi kuwatenga ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nilitaka ajisikie vizuri...asijione mnyonge aliniangalia sana kisha akaniambia asante sana Pink aliniachilia mkono nami nikaanza kuondoka kule ndani kwake kabla sijapiga hatua nyingi Jordan aliniita na kuniomba nisubilie kidogo..

alijisukuma na baiskeli yake kuelekea katika chumba kimoja mi nikabaki nimesimama huku najiuliza kwanini amenisubilisha anataka nini kwani?????....๐Ÿค”๐Ÿค”

Itaendeleaaaaaaaa..

Maoni

You're not logged in


profile
majario 17 Oct 2025 12:00
Safi bonge moja la simulizi
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA๐Ÿ’— SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž Ni majira ya jioni mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani

kwangu......siku hiyo bwana kulikuwepo na wingu jeusi lilioashilia kunyesha kwa mvua...... upepo mkali sana ulikuwa ukivuma kutokea kasikazini, magharibi hadi mashariki pia....... baridi ilikuwa ni kali sana๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ

nilikuwa ndani ya gari langu naendesha mdogo mdogo huku nikiwa nayaangaza macho yangu kwa umakini zaidi barabarani ili nisije kusababisha ajali......kabla hata sijakaribia mtaa ninaoishi

Lilianza kunyesha bonge la mvua๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซni mvua iliyokuwa imeambatana na upepo mkali sana niliongeza mwendo kidogo wa gari.....nilipofika pembezoni mwa njia panda ya kuingilia nyumbani kwangu nilipunguza mwendo ili niweze kukata kona..

Wakati nakata kona mmhhh๐Ÿค”๐Ÿค”nikamuona mtu anahangaika katika baiskeli haikuwa baiskeli ya kawaida ni zile za walemavu๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Mtu yule...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-sehemu-ya-1-ni-majira-ya-jioni-mida-ambayo-nilikuwa-nimetoka-kazini-naelekea-nyumbani

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi naishiwa-pawa-sehemu-ya
NAISHIWA PAWA  SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu  kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
  NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜  Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜ Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜  Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜ Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

712
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

614
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

502
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

467
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

441
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

397
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

180
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

161
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

147
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

115

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest