Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

  NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini
Gonga94 ยท Stories

NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ikiwa inaita nilishuka kwenye gari nikaenda kufungua alikuwa ni Boss Hance nilimkaribisha ndani...... unaonekana kama mtu unayetaka kutoka?!...... mmmhhh nop nipo but nilitaka kutoka kwa ajili ya dinner tu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š nilijibu kwa kutabasamu huku moyoni nikiwa naumia kupita kiasi nilitamani kujua ni kitu gani Jordan kanunua kwa ajili yangu lakini Boss kaniharibia mtoko๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’...... basi ni vyema kama tukitoka wote ili tukapate dinner na baada ya hapo tutakuwa na muda mzuri wa kuzungumza.......
ni sawa Boss hakuna shida vyovyote tu ni sawa๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.... wow Good basi tuondoke ni vyema tukitumia gari langu coz tukishatoka dinner nitakudrop home ndo niende nyumbani kwangu.... lol kwani Hance kaanza lini kucare kiasi hiki๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ nilimkubalia tu si mnajua Boss lazima umnyenyekee....... nilifunga gari yangu tukaondoka cha ajabu sasa Hance alinipeleka katika hotel ile ile tuliyopanga kukutana na Jordan ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ ni hotel maarufu na ya kifahari katika nchi ya Canada....

Kibaya kuliko vyote wakati naingia na Boss Hance nilionana macho kwa macho na Jordan na kibaya zaidi tukakaa katika meza ya jirani na aliyokaa Jordan..... roho iliniuma sana๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ Jordan aliponiona na Hance alinitumia msg akaniambia sorry sikujua kama tayari una boy Friend kisha akaweka na viimoji vya kulia๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ....... nilipoifungua msg yake niligeuka kimtizama lakini tayari alikuwa kaishakaa kwenye baiskeli yake na kaanza kuondoka pale kusema kweli nilijikuta natokwa na machozi๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน..... nilitamani kumuita lakini nikajikaza.......tuliletewa vitabu vya msosi tuchague chakula......wakati chakula kinaandaliwa tukaletewa vinywaji tukawa tunakunywa huku tukingojea chakula kiive muda wote nikawa naitizama simu yangu kama Jordan atanitumia msg nyingine lakini wapi๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ...... pink is everything ok?! Unaonekana ni kama hauko sawa nini kinaendelea?!.....niko sawa Boss hakuna kitu....... don't call me Boss...niite Hance...... lol๐Ÿซข๐Ÿซข๐Ÿซข mbona ghafla๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hapo kwanza nishangae๐Ÿ˜ณ

Kwanini boss Hance ananizuia mimi kumuita Boss๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ƒ......Nilimuitikia tu huku kichwani nikiwa najiuliza sasa nitawezaje kumuita Hance kavu kavu tu na wakati yeye ni Boss wangu๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”Hance aliniomba ninywe kinywaji changu make tangu aliponimiminia kwenye glass sikuwa nimekionja hata mara moja......chakula kiliiva tukaletewa tukala yani hapo mimi kichwani nawaza Hance anataka tuongee kuhusu nini๐Ÿซข๐Ÿซข tulipomaliza kula si ndo maongezi yakaanza Hance alianza kuniuliza kama nimekipenda chakula nikamwambia yeah nimekipenda ni kitamu sana......kwanini huonekani kuwa na furaha?!...... niko sawa Boss.... i mean Hance I'm okay๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ......okay.... kuna vitu kidogo vya kawaida tu vya kimaisha nilitaka kuvizungumza na wewe na pia ninataka unizoee unione kama mtu wa kawaida kwako thas why nimekuzuia kuanzia leo usiniite Boss...... lol๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ huyo Hance alivyogi serious ofisi nzima tunamuogopa huwa hataki mazoea ni mtu wa kazi kazi๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ huo ukaribu anaoutaka kwangu ni upi mimi mwenyewe namuogopa kama ukoma๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ilinibidi nimuitikie tu make hata kumkatalia nilishindwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yani alichokuwa ananiambia Hance mimi nilikichukulia ni kama panya aende kutafuta urafiki kwa paka๐Ÿคฃ baada ya maongezi ya hapa na pale yasiyeoleweka nini msingi wake Boss Hance aliniuliza kama nina boy Friend ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ mmmhhh mbona boyfriend๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nilimjibu nikamwambia sina...... do you have a crush?! Nikamwambia yes I do....... who is your crush?! Lol sikumtajia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilikaa kimya alionyesha wivu sana pale nilipomwambia kuwa nina crush wangu kama mnavyojua crush ni mtu ambaye unakuwa unahisi ni kama upendo na hisia zako vipo kwake.......crush wangu mimi ni Leeminho yule mwigizaji wa Korea na mwingine ambaye nilihisi ni kama moyo wangu unashawishika sana juu yake ni Jordan sikuweza kumpitisha moja kwa moja kuwa kama crush kwangu kwa sababu bado nilikuwa sijamfahamu vizuri........

Hance aliendelea kuniuliza ni mwanaume wa aina gani ambaye ninatamani siku moja nifunge naye ndoa..... nikamwambia yoyote tu yani nilikuwa namjibu majibu ya shot kati sana....... je ulishawahi kutamani kuolewa na mwanaume mwenye asili ya kizungu?!......aliuliza Hance nami nikamjibu yeah kwangu mimi wanaume wote ni sawa awe mweusi au mweupe kwangu ni sawa tu kwa sababu ninaamini wanaume wote ni sawa.....wow I like itโค๏ธaliitikia hivyo Boss Hance kisha akaongezea kinywaji kwenye glas na kuendelea kunywa.......Hance hakuweza kunitamkia wazi kuwa ananihitaji japo maswali yake kwangu yalidhihirisha wazi nia yake kwangu.......
Hance ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mtoto pekee kwa wazazi wake na pia ni CEO wa kampuni kubwa ya kifamilia iliyopo nchini Canada.....Hance ni mkaka serious sana hacheki ovyo siyo mtu wa matani matani muda wote huwa ni mtu na mambo yake hata licha ya hayo pia Hance ni kijana mwenye sura nzuri yenye mvuto wa hali ya juu usiliazi wake umekuwa ukiwatisha wanawake wengi wa pale ofisini wengi wamekuwa wakiogopa kuziweka wazi hisia zao kwa Boss Hance kutokana na usiliazi wake uliosababisha tuanze kumuita mr Serious๐Ÿคฃ

Kule ofisini kuna wanawake wengi warembo kutokea nchi mbalimbali sikufikilia kama Boss Hance anaweza kudatishwa na mimi binti wa kibongo uzuri wa mwonekano wake pamoja na utajiri mkubwa aliokuwa nao ndio ulinifanya nisiziwekeze hisia zangu kwake kwani nilijua kabisa hawezi kudatishwa na mimi mwanamke wa kiafrica......usiku mkubwa tuliondoka hotelini pale Hance alinidrop nyumbani tukaagana akaondoka kwenda nyumbani kwake ule mtoko wa mimi na hance niliiuchukulia tu kama mtoko wa Boss na mfanyakazi wake na si vinginevyo......nilipoingia ndani cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpigia Jordan lakini kwa bahati mbaya simu yake haikuwa hewani.......sikuweza kupata usingizi muda wote nilikuwa najaribu tu kumpigia lakini hata hakupatikana.....ningali bado nahangaika kumuwaza Jordan kwenye simu yangu kuliingia ujumbe wa kunishangaza sana kutoka kwa Hance๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น....

Je ni ujumbe gani?!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "3"๐Ÿ’˜ Baada ya Boss Hance kukata simu nilijaribu kumpigia lakini akawa hapokei ningali bado nahangaika kumpigia ilisikika kengere ya getini

ikiwa inaita nilishuka kwenye gari nikaenda kufungua alikuwa ni Boss Hance nilimkaribisha ndani...... unaonekana kama mtu unayetaka kutoka?!...... mmmhhh nop nipo but nilitaka kutoka kwa ajili ya dinner tu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š nilijibu kwa kutabasamu huku moyoni nikiwa naumia kupita kiasi nilitamani kujua ni kitu gani Jordan kanunua kwa ajili yangu lakini Boss kaniharibia mtoko๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’...... basi ni vyema kama tukitoka wote ili tukapate dinner na baada ya hapo tutakuwa na muda mzuri wa kuzungumza.......
ni sawa Boss hakuna shida vyovyote tu ni sawa๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.... wow Good basi tuondoke ni vyema tukitumia gari langu coz tukishatoka dinner nitakudrop home ndo niende nyumbani kwangu.......

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/naishiwa-pawa-sehemu-ya-3-baada-ya-boss-hance-kukata-simu-nilijaribu-kumpigia-lakini-akawa-hapokei-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi naishiwa-pawa-sehemu-ya
NAISHIWA PAWA  SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu  kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
NAISHIWA PAWA SEHEMU YA "2"๐Ÿ’˜ nilimpa Jordan mkono wangu kwa lengo la kuagana naye alipoushika mkono wangu
NAISHIWA PAWA๐Ÿ’—  SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž  Ni majira ya jioni  mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
NAISHIWA PAWA๐Ÿ’— SEHEMU YA "1"๐Ÿ’ž Ni majira ya jioni mida ambayo nilikuwa nimetoka kazini naelekea nyumbani
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜  Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "4_5" ๐Ÿ’˜ Ujumbe ule mfupi wa mandishi niliotumiwa na Boss Hance ulisomeka kama ifuatavyo..... ""Hello Pink
NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚   SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜  Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
NAISHIWA PAWA ๐Ÿซ‚ SEHEMU YA "6"๐Ÿ’˜ ๐Ÿ’˜ Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

713
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

614
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

502
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

468
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

441
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

397
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

180
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

161
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

148
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

116

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest