NAISHIWA PAWA ๐ซ SEHEMU YA "6"๐ ๐ Tarehe ya Birthday ya Jordan na ya Hance zinafanana..... kwa Hance
Unahisi?! Ndiyo pink samahani nilisahau kukwambia kuwa kwa sasa nimetafuta dereva ambaye atakuwa ananiendesha kwenye mizunguko yangu kuna muda huwa nachoka kujisukuma kwenye baiskeli...... na kwa sababu nina gari basi nimeona ni vyema niajili dereva wa kuniendesha yeye ndo alonileta hapa nazani baada ya kunifikisha hapa alirudisha baiskeli kwenye gari...... okay ni sawa Jordan niliuliza tu kwa sababu nilitaka kukupa msaada wa kukusukuma hadi pale parking....... niliamini maneno ya Jordan kwa sababu yeye ndo alinitangulia kufika pale pub mimi nilipofika nilimkuta tayari kaishafika ananisubilia tu mimi......dereva wako yuko wapi sasa?! Oops usiwe na shaka Pink we unaweza tu kuondoka mi niache hapa kwa sababu dereva wangu atakuja kunichukua muda si mrefu....... alikwenda kujaza mafuta kwenye gari atafika hapa muda si mrefu๐๐....... mmmhhh lakini ni usiku sasa na siwezi kuondoka nikakuacha hapa peke yako mpigie huyo dereva wako umwambie aje kukuchukua mimi nitasubilia hadi aje...... baada ya kumwambia hivyo Jordan kweli aliichukua simu yake akaandika ujumbe mfupi kisha akaniambia nimemtumia msg atakuja soon tu..... tuliendelea kumsubilia dereva kweli baada ya dakika kadhaa alikuja mkaka smart sana akiwa na kile kibaiskeli cha walemavu nilipomtizama kwa umakini yule kaka hakuwa anaonekana kama dereva๐ค๐ค๐ค๐ค na hata kile kibaiskeli alichokuja nacho ni cha tofauti siyo kama kile cha mara ya kwanza nilichomuona nacho Jordan.......
Hata hivyo sikutaka kujaji sana..... Jordan alinitambulisha kwa huyo dereva wake akaniambia anaitwa Tony...... Nice to meet you Tony๐๐๐ค wow you are welcome miss๐๐๐๐ค......Jordan alimwambia Tony ya kwamba mimi ni rafiki yake alimsimulia kidogo vile nilivyomsaidia siku ile kule barabarani basi tukafahamiana na Tony baada ya hapo Tony akamshusha Jordan kwenye kiti akampandisha kwenye baiskeli tukatoka kuelekea parking niliagana nao nikamrudishia Jordan ule mkoti wake nikawa nimeondoka kuelekea nyumbani.......mawazo kichwani kwangu yalikuwa mengi kuhusiana na Jordan nilianza kuwa na wasiwasi juu ya ulemavu wake hata yule aliyenitambulisha kama dereva wake nilianza kuwa na wasiwasi naye...... dereva ukimuona tu lazima umjue๐๐๐๐ haiwezekani Tony akawa dereva ila siwezi kubisha kwa sababu tangu siku ya kwanza namuona Jordan alikuwa yuko kwenye kiti cha walemavu huenda kweli akawa ni mlemavu๐ค๐ค na hii zawadi sijui hata ni zawadi gani ila nitaifungua tu nikishafika nyumbani....... Niliendesha gari taratibu hadi nyumbani kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kuifungua ile gift niliyopewa na Jordan lol๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ huko ndani nilikuta kuna saa ya rangi ya pink nzuri hatari๐ pamoja na mi dollars ๐ธ๐ต kama yote๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณmi napenda pesa ila kuomba ndo kasheshe ukijiongeza ukanihonga mi sikatai๐๐๐๐ niliipenta zawadi ya mr Jordan taratibu taratibu
tu akaanza kunishawishi๐๐๐๐mi na pesa ni damudamu๐๐๐ nilimtumia msg ya shukurani akaniuliza kama nimeipenda zawadi yake nikamwambia yani umelenga mulemele๐๐
Siku ya Ijumaa kuamkia jumamosi ambayo ndo siku ya birthday ya Jordan na Boss Hance...... madame Laura ambaye ni mama yake Hance aliniomba niende nikalale nyumbani kwake ili niweze kumsaidia kuandaa mahitaji ya birthday ya mtoto wake niweze pia kuiandalia cake kulekule nyumbani kwake......madame Laura aliniambia kwamba anatamani kuniona vile nitakavyoiandaa keki iliyokuwa inatarajiwa kulika hapo kesho kwenye birthday ya mwanaye lol angejua๐คฃ๐คฃ๐คฃ jamani niliwaza kumkatalia nikashindwa nilikwenda nyumbani nikachukua vitu kadhaa kama nguo...... ni nguo moja tu ya kubadiri na vipodozi vyangu kisha nikaelekea nyumbani kwao na Hance......jioni tulikwenda shopping mimi na wazazi wa Hance tukanunua mahitaji yote yaliyohitajika......ulipofika usiku mimi na madame Laura tulikwenda jikoni kwa ajili ya mimi kuanza kuiandaa keki๐น๐น๐น
Kusema kuwa sijawahi kupika keki my wenu nikashindwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ kwa bahati nzuri pale jikoni kulikuwepo na kitabu kinachoelekeza namna ya kupika mapishi ya vyakula mbalimbali...... nilikichukua nikaanza kutafuta pishi la keki๐ฉ๐ฉ๐ฉbahati nzuri nikayapata maelekezo yaliyokuwa yanaelekeza namna ya kuandaa keki nilisoma haraka haraka kwa muda huo madame Laura alikuwa busy kupakia vitu kwenye Fridge wakati yeye akiwa bize kupaki vitu kwa fridge nami nikawa busy kupitia yale maelekezo ya namna ya kupika keki...... nilichanganya mahitaji yangu yote vizuri kisha nikafuata njia zote kama ilivyoandikwa kwenye kitabu baada ya hapo nilitia kwenye oven nikaiacha keki yangu iive๐๐๐ nilikuwa na wasiwasi sana nilijiuliza itakuwaje keki isipochambuka๐คฃ๐๐คฃ..?!
Baada ya dakika kadhaa si ndo nikaenda kuitoa keki yangu kwenye oven ili nione kama imeiva๐๐๐ madame Laura hakuwa mbali lol nilitamani kumwambia anipishe kwanza niichungulie hiyo keki nione ina hali gani huko ndani๐น๐น๐น nilijikaza nikafungua oven ghafla simu yangu ikaita nikairudishia ile keki kwenye oven nikaenda kuzuga kwenye simu๐ฉ๐ฉ aliyepiga ni Jordan alikuwa ananikumbusha kuhusu birthday yake hapo kesho na alinisisitiza sana nijitahidi kufika๐ฅบ๐ฅบ nilipomaliza kuongea na Jordan ikaingia simu ya Boss Hance nikapokea Boss Hance alitaka kujua kama ni kweli nipo nyumbani kwao...... Pink mama ameniambia kuwa upo naye nyumbani je ni kweli?!..... ndiyo Boss madame Laura kuna kazi aliniomba nije kumsaidia hapa nyumbani kwenu๐ฉ๐ฉ๐ฉ.....kazi gani?! Kupika๐๐๐wow nahisi njaa sana ni vyema leo nije nile chakula ulichokipika kwa mikono yako nitunzieni nami nakuja kula๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ...... alikata simu Hance yeye haishi na wazazi wake anaishi peke yake kwenye mjengo wake......
Baada ya Hance kukata simu ikabidi niende haraka nikaichungulie keki yangu nyieeeeeeeeee๐๐ sema kimeumana๐ฅน๐ฅน๐๐ niliikuta keki imeweka bonde la ufa katikati alafu ni nyeupe pee haikubadirika hata rangi kibaya zaidi keki ilikuwa nzito kama ugali wa dona๐๐ mara kidogo nikamsikia madame Laura anakuja jikoni haraka nikaisukumizia keki kwenye oven nikafunika sikutaka aione lol aibu๐๐๐..... Hey Pink Hance ameniambia kuwa anasikia njaa amenipigia kuuliza kama kuna chochote aje kula nikamwambia aje tu ngoja niandae kitu kwa ajili yake......muda kidogo ikaingia msg kutoka kwa Hance alikuwa anauliza napika nini nikamwambia ni keki mara simu ya madame Laura ikaita alipiga Hance akamwambia mama yake et anajisikia kula keki hataki chakula kizito ikipatikana keki itamfaa sana๐ฉ๐ฉ madame akamwambia kama ni keki ipo kitambo ufike itakuwa imeshakuwa tayari Hance akamwambia sawa mom nazani pia nitalala hukohuko niandalieni chumba changu mom...... ondoa shaka my son nitafanya hivyo kwa ajili yako.....๐ซข๐ซข๐ซข๐ซข Hance anapendwa sana na wazazi wake wanamlea kama yai anadekezwa kama mtoto mdogo......
madame Laura aliniachia maelekezo kuwa keki ikishakauka vizuri nikate kidogo kwa ajili ya Hance kabla sijaanza kuipamba nikaitikia tu sawa huku kichwani nikiwa najiambia tu madame ungejua nilichokipika๐ฉ๐ฉ ningali bado niko huko jikoni nawaza cha kufanya ni nini mara nikamsikia Hance sebleni akiwa anasalimiana na wazazi wake nyieeeeee nyieeรจeeeeee๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni