VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ๐ NIMEMF๐ค..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI ๐๐ฅ sehemu ya nne ๐ Alitoka nje na simu yangu mimi si akapokea,
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
" Aloooo.
" Dah yani....๐
Bahati mzuri kumbe simu ya mke wangu ilikuwa imejipiga tu ile kwa bahati mbaya anaiweka kwenye pochi na aikuwa na dk za kutosha ikakata,
Sasa akashindwa tena kuchukua namba simu imerudi kama mwanzo,
Akaona isiwe tabu akairudisha simu chumbani kwangu.
" Sasa upande wa washenga wamepeleka barua na majibu wamepewa na tarehe ya ndoa wamepanga,
Yani mama uku anagawa sale ya ndoa,
Kijiji kizima kililipuka kwenye kupokea sale ya ndoa,
Mimi nipo kwenye kitendawili kizito sana sina furaha nawaza juu ya mke wangu atanichukuliaje?
Kidume nikaona nimpigie simu mke wangu nimwambie ukweli juu ya hili linaloendelea.
Cha ajabu mke wangu akaniambia,
" Mume wangu hiyo imeandikwa kwenye dini mwanaume anao uwezo kuoa wake wanne kwa wenye uwezo,
Mimi nimepita madrasa najua wala lisikuumize kichwa mume wangu uyo ni mama uwezi kumpinga ila ndio uwe mwadirifu kwetu ndoa lini nije kuudhulia na mimi.
" Dah moyoni naumia sana maneno ya mke wangu anachosema ni kweli tumeruhusiwa kuoa wake wanne ila mimi kama mimi sikuwa na wazo kabisa la kuongeza mke wa pili,
Nilimwambia tarehe ya ndoa ila nilimuomba asije,
Ila mke wangu akasema,
" Nakuja Mume wangu wala usihofie chochote.
" Simu ilikata nikawa nawaza itakuwaje siku ya ndoa yangu mimi,
Upande wa mama yeye kwake ni furaha tu.
Sasa mama ajui mke wangu anakuja,
Harusi kesho yake anaona mke wangu anakuja yupo kwa mbali kabeba mkoba,
Mama ananiambia,
" Wewe uyo mjaza choo naona anakuja kupinga ndoa anajua uku kanisani kuna kipengere cha kupinga ndoa.
" Sasa hapa nikapata jibu mama anaona mke wangu azai ndio maana anasema nioe mke wa pili hili neno lake mjaza choo limenipa jibu,
Mimi nilinyanyuka kumpokea mke wangu,
Cha ajabu na kweli mke wangu alikuja na shera la harusi akaniambia,
" Mume wangu nimekuja na shera la kisasa na wewe nimekuletea kanzu nataka ndoa ifane.
" Mmm moyoni nikasema,
Sio mtego huu ivi ata kama mke wangu kaenda madrasa ndio kafundishwa aya ndoa ya mumeo ya pili wewe ndio ununue shera kweli mixsa kanzu,
Tuliingia ndani tu mama ananiita nje ananiambia,
" Wewe auna baba mimi nasimama kama baba naomba usilale na mkeo utalala peke yako mkeo atalala na mimi.
" Hapa sasa nasema kimoyoni mama ana maana gani kusema ivi?
Nikapata jibu mama anamaanisha nisimtombe mke wangu nimuweke shahawa mke anayemtaka yeye,
Sasa kabra sijamjibu sawa si sawa yeye anapaza sauti.
" Wewe mke wa shabani njoo hapa nje uje ulale chumbani kwangu.
" Dah yani...
ITAENDELEA
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimemf-la-mke-mdogo-kumkomoa-mama-yangu-mzazi-sehemu-ya-nne-alitoka-nje-na-simu-yangu-mimi-si-akapok