Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto.  KAYLA Sehemu ya 6
Gonga94 Β· Stories

πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto. KAYLA Sehemu ya 6

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandishi; maramoja the great
Simulizi za john
@topfans
0789 824 178
1000

Akasema ndio anakuja madam akasema una uwakika akasema ndio akasema sasa kayla akifeli tena mtiani ujao ili somo nakuchapa ww akanyamaza kimy madam akatoka tukaendelea na ratiba zetu mda wa mchana nipo na shoga zangu tunapiga stry dining 1uku tunakula mala akaja peter akanambia kayla naomba tuongee nkamwambia si uongeee apa apa ama akanambia kayla unajua mm sipend shida na walimu naomba uje nikuelekeze hesabu kila ikifika saa 2 usiku prepo ntakua nakufundisha mana bado kama week 3 tunafanya mtiani wa kufunga shule nkamwambia we vp unanipangia maisha unalazimisha kunifundisha unanitaka nn akanyamaza kimya nkamwambia babu mm nasoma kutimiza wajibu sisomi kama wee kwenu njaa maisha magumu si umedhaminiwa na shule apa ata ada amuna ya kulipa asa mm kwetu wa kishua sitegemei elimu kama ww so usinifatilie mm akabaki kimya ananiangalia tu ana sula ya uluma uyu kaka jamani basa mm nilikua namchamba akanyanyuka aja tia neno uyo akaondoka zake ney akanambia kayla kwa nn umemwambia vile sio vizuli bwana nkasema wee akome nifatilia yeye ni nani sharon akasema amekufata atak kupigwa yule madam hana mchezo kweli nikasema achaneni nae basi tukala tukaendlea na ratiba zangu asubuh nipo class akaja mwanafunzi akanambia kayla madam anakuita nkastuka nkasema mh yule madam tena kwema uko kweli au peter kaenda nisemea nikaangalia darani ata sikumuona peter nkaenda sasa ile naingia ofisin we nilistuka namkuta peter kakaa na madam wee madam akanambia unastuka nn we zero brain nkasema amna akanambia njoo ukae apa nkakaa akaniuliza ww unaendaga kusoma kwa peter nkanyamaza akanambia huna majibu eeh sasa ngoja akachukua bakora nkasema madam sikuenda ila nilipanga leo ndo niende akasema nyoosha mikono nkaanza kulia sijachapwa nilikua muoga kupigwa akanambia nyosha alinichapa jamani nililia mm mpka nkasema ntamwambia baba aniamishe akanambia ww ni mjinga kumbe kwa nn umfati peter kusoma ww mjinga eeh unataka upate 0 tena sio nililia jamani akasema sasa ole wako usimfate nawaambia wazazi wako utaki shule akanmbia toka uko nimelud darasan mikono imevimba kina ney wananiuliza kayla umefanya nn ata sikueleza nilikua nalia tu basi mda wa kwenda dom nkaenda zangu kulala nilipoamka nkakuta kina ney wakaniletea chakula nkala wakaniuliza shida nn apo asila zilipungua kidogo nkawaelezea wakanambia mfate bwana kwan nn kwwanza anakusudia nkasema sawa ila sijuh nilionaje yani sikuwa nampenda tu peter basi usiku saa 2 nkaenda kukaa pembeni yake nkamwambia aya ww cha umbea nimekuja unifundishe sasa akanmbia sawa usijali nkatoa daftr akaanza nifundisha anafundisha vzur anaonekana anajua mambo mengi na ana akili mno ila namnyali atali yeye wala ajali ndo kwanza ananiuliza kayla unaelewa namwambia fundisha bana basi anaendelea kufundisha tu basi mala kaja riz akamwambia peter dogo mfundishe tu ila mali yangu uyu peter akasema sawa akawa anaendelea nkachukia nkamwambia alafu ww riz unanizoea vibaya eeh asa endelea basi riz akasema ww ni wangu tu kayla alafu uyo akaondoka peter akanambia ndo mana una feli kayla kumbe ushaanza na mahusiano ya mapenzi wee nkamwambia na ww unikome tena unikome ww ni nani adi unauliza kuhusu maisha yangu ww si umeambuwa unifundishe mengine yanakuhusu nn akabaki kimya nkamsonya nkachukua daftar zangu uyo dom
.............................
🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁kanyamaza🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁
KAYLA
Sehemu ya 7
Mwandishi; maramoja the great
Basi nimefika zangu nkalal kina ney wameludi wakakuta nshalala zangu mie asubuh tukaamka ilikua ni week end so tunafanya shughuli zetu tu basi mm kufua siwez kina ney na sharon ndo wananisaidia nawapa pesa yani sina kazi nilikua naweza zaidi ya kupiga pasi nguo zangu basi wao wanafua mm nawapigisha stry tu mala akaja mwanafunzi akanambia kayla unaitwa na peter nkasema ili nalo nn nkasema aya nikawa naendelea na stry kina ney wakanambia ww si umeitwa nkasema siendi wakanambia nenda bwana kamsiliza ticha wako uku wanacheka nkasema ata siendi basi sikwenda ata nkawa zangu busy na mashoste usku mda wa prepo kama kawaida nkaenda alipokaa peter pembeni nkatoa daftari zangu nkasema aya nifundishe akaniangalia jicho kali asee sikuwa muona na ile sula mpka nkastuka nkamwambia ww vp akanmbia hukupata salamu zangu mchana nkasema heee we vp nikipata ndo nije apo apo m nipo busy na mambo yangu sema sasa hv ulikua unasemaje akanambia lete daftari nkampa akaanza nifundisha kama kawaida yangu namnyali atali namuona ananishobokea tu akanielekeza sna akinipa maswali nafany makusi nakosa ila nakua nimeelewa ili mladi nimkwaze basi achoki ananielekeza tena akawa ananielekeza kila siku namfanyia dharau zote namchamba ila wala hajali ananielekeza tu mpka ikifikia mitiani tukamaliza akanifata akaniuliza kayla sitegemi kama utapata tena 0 mtiani wa hesabu mana nimekuelekeza vzr mno na maswali mengi yametoka nkamwambia ww ebu kwenda bwana kwani mi nilikuomba unifundishe si shobo zako mwanyewe akakaa kimya peter si mtu wa kuongea sana ni mkimya sana basi nkaondoka zangu dom iyo siku usiku nikaenda zangu prepo kama kawaida nkaenda kaaa pembeni kwa peter nkamwambia aya ww maskini nifundishe akasema sikufundishi alafu alikazia sula na yupo serious ananiangalia mpka nkaogopa nkasema wee vp kwan madam sindo kasema akanambia ukijifunza adabu na heshima ndo ntakufundisha alafu akanambia aya toka apa nkasema sitoki aliongea kwa nguvu na hasila nimesema tokaa apa aseee niliogopa darasa zima wakawa wananiangalia nkanyanyuka nkaanza ondoka darasani kwa aibu watu walinicheka niliona aibuu mno nkaenda dom nikaka nkasema yani yule maskini ndo wa kuniaibisha mm nkaka adi mda we prepo umeisha sharon na ney wamekuja wakanambia shoga lakin umezid kumnynyasa yule kaka hiv unajua anakusaidia mno alafu mbona yule kaka mpole acha kumjibu vibaya bwana kayla unaona mpka leo kachoka kakuvumilia sana acha bwana nkaona aibu nkasema sawa basi nkalala zangu asubuh class nkamuangalia nakuta kanikazia macho uyo nkasema heee ebu mie kwani ananilisha nkaachana nae bas akaacha nifundisha nikawa nasoma mwenyewe tu iyo siku nkasema ngoja nkamjalibu nkajifanya swali limenishanda nkamfata nkameambia peter ili swali mi sielew akanmbia ebu toa daftari lako apa nikasema sitoi adi unielekeze akanambia ntakuja kukupiga wewe demu asee aliongea serious mno nkasema mh kumbe uyu kaka nae kichwa ngumu mala steve akanambia kayla nenda bwana muache mshikaji mbona unapenda muonea sana nkasema aya msemaji wa peter uyo nkachukua daftar langu basi matokeo yakatoka hesabu nkapata 60 we nilifurah madam akasema umejitahid sana yani kutoka 0 mpka 60 asee nimefurah sana sikuwa nakuchapa kwamba sikupendi nilitaka ufauli nilifurah jaman lnkasema kumbe kufaulu raha hvi basi mwalimu akampongeza peter akasema umefanya kazi nzuli akasema asante madam basi tukafunga shule na iyo likizo mi nikawa nimelud home nikala likizo yangu na wazazi wangu cha kudeka mm uku tunawasiliana na mashost zangu shule ilipofunguliwa sasa ilikiua form 4 mam alinisihi kweli apo nisicheze mana ndo mwaka wa mwisho
Nkasema sawa mama basi kweli tukaludi shule nkakutana na shoga zangu tukaanza ratiba za shule asa ikapita week peter akawa bado ajaja nkasema mh mbona peter aji shule nkasema ngoja nkamfata steve nkamwambie steve mambo akasema powa kayla vp nkamuuliza mbona peter aji shule akanmbia ooh mshikaji mbona kaama shule wee nilistuka alafu nkaona naumia
............................

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto. KAYLA Sehemu ya 6


Mwandishi; maramoja the great
Simulizi za john
@topfans
0789 824 178
1000

Akasema ndio anakuja madam akasema una uwakika akasema ndio akasema sasa kayla akifeli tena mtiani ujao ili somo nakuchapa ww akanyamaza kimy madam akatoka tukaendelea na ratiba zetu mda wa mchana nipo na shoga zangu tunapiga stry dining 1uku tunakula mala akaja peter akanambia kayla naomba tuongee nkamwambia si uongeee apa apa ama akanambia kayla unajua mm sipend shida na walimu naomba uje nikuelekeze hesabu kila ikifika saa 2 usiku prepo ntakua nakufundisha mana bado kama week 3 tunafanya mtiani wa kufunga shule nkamwambia we vp unanipangia maisha unalazimisha...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/onyo-hadithi-hii-inafaa-kwa-watu-wazima-tu-18-ina-maudhui-ya-kihisia-na-maisha-ya-shule-yenye-mchang

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi onyo-hadithi-hii-inafaa-kwa-watu-wazima-tu
⚠️ ONYO: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu.  Zawadi Sehemu ya 1
⚠️ ONYO: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu. Zawadi Sehemu ya 1
πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto.  KAYLA Sehemu ya 6
πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto. KAYLA Sehemu ya 6
πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto.  KAYLA Sehemu ya 6
πŸ”ž Onyo: Hadithi hii inafaa kwa watu wazima tu (18+). Ina maudhui ya kihisia na maisha ya shule yenye mchanganyiko wa mapenzi na changamoto. KAYLA Sehemu ya 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.35K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

1.09K
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

183
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

183
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

169
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

169
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

165
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

156
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

152
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.

150

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.84K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.94K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.89K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.73K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.71K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.66K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest