Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
03 Dec 2025
312 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kuomba anioe ,ili nimlele mtoto wake .
Mie nikamuangalia ,Kisha nikamwambia Robert nisikudanganye Kwa kihi ulichokifanya labda niwe mfanyakaz Kwa mwanao ila sio kuolewa na wewe ,maana kama umeweza kunifanyia Mimi iv na hata hunijui tumekutana ata wiki hatuja malizia Afya yangu yenyew hunijui sembuse wanawake wengine uko nje .
Yan umeamua kuhidhuhirisha tabia yako kwangu na Bado unategemea Mimi apa Shaima nikubali unioe ili uniletee ukimwa nyumbani .
Nilimkatalia Robert katakata ,na nikamwambia Kam hutak kuipeleka iyo cm chaji aiache Hapohapo aondoke maana Mimi kumuita akaniwekeee simu chaji nimekuwa mjinga Tena .
Yan Kwa mpaka sasa aliyonifanyia Robert inatosha kabisa .
Robert akainuka ,maaan alikuwa kapiga magoti ,akainuka mnyonge mwenyew akaondoka kwenda kuweka simu chaji uku anawaza maaan mama ake kashatoa taarifa adi vijijini kwamba anaoa na wiki ijayo anapeleka barua ukweni.
Alivyoondoka baadae mida ya saa mbili akaniletea break fast chumbani .Mmmh nikashangaa Kisha nikamuuliza vipi Leo huende kazini au .
Akasema ndio haend ,nikamuuliza kwann akasema kaomba ruhusa ya siku tatu ili aniuguze Mimi .
Nikashangaaa nikamuuliza iv Robert we unaaakili sawasawa au Kuna wadudu kichwan Yan hujaend kazini kisa ujinga .
Robert akasema Shaima huu sio ujinga ,uyu ni wewe nakuhudumia kwasababu iyo Hali nimeisababisha Mimi .
Alafu pili Shaima naomba nikuoe ,kwanini unanifanyia ivo lakini we Binti ,iv kwtl Leo Mimi Nina Mika 37 ila nakuomba Binti wa miaka 19 nikuoe navumilia Kila aina ya matusi yako na utuuzima huu .duuuh.
Nikamwambia we Robert naona hunielewi ,nikainuka uku nachechemea nikaend kwenye chumba nilichofikia nikavaa nguo zangu nakuondoka.
Njia nzima naongea mwenyewe Yan wanaume bwan wanaona ndoa ni kama makalio Kila mda wanayashika sijui ,Uyu mwanaume kama mchawi vile Yan kaniharibia uschana wangu ,niliojitunza Kwa miaka yote .
Nikafika sehemu nikapanda usafiri ,nikaelea nyumbani sasa nafika karibia na nyumbani nakuta mizigo yangu yangu nilikuja nayo Kwa dada yote ipo nje Tena ipo chini .
Naingia ndan namkuta dada angu kakaa nikamwambia shkamoo dada ata hakujisumbua kunijibu marahaba akaniambia tuu Sina shida na salamu yako ,na kama iyo Salamu ela ichukue iweke mfukoni ikisaidie mmsssssch π
Itaendelea ...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
kuomba anioe ,ili nimlele mtoto wake .
Mie nikamuangalia ,Kisha nikamwambia Robert nisikudanganye Kwa kihi ulichokifanya labda niwe mfanyakaz Kwa mwanao ila sio kuolewa na wewe ,maana kama umeweza kunifanyia Mimi iv na hata hunijui tumekutana ata wiki hatuja malizia Afya yangu yenyew hunijui sembuse wanawake wengine uko nje .
Yan umeamua kuhidhuhirisha tabia yako kwangu na Bado unategemea Mimi apa Shaima nikubali unioe ili uniletee ukimwa nyumbani .
Nilimkatalia Robert katakata ,na nikamwambia Kam hutak kuipeleka iyo cm chaji aiache Hapohapo aondoke maana Mimi kumuita akaniwekeee simu chaji nimekuwa mjinga Tena .
Yan Kwa mpaka sasa aliyonifanyia Robert inatosha kabisa .
Robert akainuka...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-10-baada-ya-kuongea-m
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo π
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert