Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
01 Dec 2025
194 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
vipi kuhusu mchumba wako Pendo annajua kuhusu ili.
Robert akafikiria kidogo ,Kisha akamjibu mama ake ,Mama Mimi sitoki na Pendo sasaiv tumeshaachana
mda sana .
Mama mtu akamuuliza Aya kisa cha kumuacha Pendo wawatu ,anashida yoyote wewe sasa ujinga umekujaa kichwani Yan sijui ata nilikuzaaje wewe ,Yan umekuwa kama marehemu baba Ako.
Robert akasema mama ,Mimi sio kama yeye sijawai kutelekeza familia yangu .
Mama ake akamuangalia Kwa. muda Kisha akamuuliza Aya uyu wa sasaiv vp maaaan Ata jina lake simjui .
Robert akadakia anaitwa Shaima mama.
Mama ake akajibu sawa ndio iyo Shaima sijui shaimu Aya unampango gani nae Binti wawatu .
Robert akamwambia mama ake kwan lazima niwe na mpango nae .
Ndio lazima umuoe Binti wawatu umemuharibu na unataka kumuacha weeee labda sio Mimi mama Ako
Robert akamwambia akajibu daaah mama kwe nioe sasaiv .
Ndio Kwan unatak uoe saa ngap na ulivyokuwa unamtumia mtoto wawatu mbona hukusema kwanini unamtumia sasa ,yan we mtoto hasar kwel Yan
Napia ukiachana na ilo yule mwanamke nimemuangalia sana Yan katulia ,Hana mambo mengi kama wanawake wengine machepele Kam uyo Pendo wako .
Sasaiv namtaka uyuuyu Kam mkwe wangu
Robert akajibu sawa mama nimekuelewa ,
sio sawa mama unamuoa lini uyo mtoto jaman we au unatak nikupe laana
Mama akasema wiki ijayo utapeleka mahali ,
Eeeh mama mbona unaharakisha ivo ,
Ndo nishamaliza maaamuzi yangu yameishia apo ctak ujinga kabisa na usinzi nataka uhalalishe .
Kinyonge Robert akajibu sawa .
Mama akaniuliza sio sawa umekubali kupeleka mahali next week (week ijayo )Robert akajibu ndio .
Yan apo Robert anammind sema tu anafanya vile sababu ya mwanae na mama ake tuuu aoi Kwa kupenda yeye mwenyw binafsi.
Mama ake hakuchelewesha akapiga simu vijiji vyote wanapotokea anawaambia Robert anaona akat mda huo ata muoelewaji hawaja mshirikisha ππ ,washajiamulia na kupigiana simu jinsi ya kupeleka mahali .
Itaendelea...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert
vipi kuhusu mchumba wako Pendo annajua kuhusu ili.
Robert akafikiria kidogo ,Kisha akamjibu mama ake ,Mama Mimi sitoki na Pendo sasaiv tumeshaachana
mda sana .
Mama mtu akamuuliza Aya kisa cha kumuacha Pendo wawatu ,anashida yoyote wewe sasa ujinga umekujaa kichwani Yan sijui ata nilikuzaaje wewe ,Yan umekuwa kama marehemu baba Ako.
Robert akasema mama ,Mimi sio kama yeye sijawai kutelekeza familia yangu .
Mama ake akamuangalia Kwa. muda Kisha akamuuliza Aya uyu wa sasaiv vp maaaan Ata jina lake simjui .
Robert akadakia anaitwa Shaima mama.
Mama ake akajibu sawa ndio iyo Shaima sijui shaimu Aya unampango gani nae Binti wawatu .
Robert akamwambia mama ake...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-8-mama-na-mwana-wakat
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo π
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa