Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kututukana anatamani ila ndo hawezi πŸ˜‚πŸ˜‚.Kabaki anatuangalia tuu.

Na kwel Robert na ndugu zake wakafanikiwa kufika nyumbani kwetu morogoro ,Ila Kuna kitu cha kushangaza kilitokea maaan baba angu alikataa kupokea mahari akidai kuwa mie sio mwanae ,Han mtoto wa dizani yangu
mtoto nisie sikia la mkuu .

Wageni wakawa wanashangaa ,nilivyopigiwa kuambiwa ivo moja Kwa moja nikajua nikazi ya dada angu iyo ,kasema upuuz wake Kwa baba .
Ila baadae mama akambembeleza baba na kumwambia kuwa hii ni familia yangu ijayo wanayoiongelea na baba anatakiwa arudishe moyo wake nyuma kwaajili yangu na ya familia yangu ijayo .Mam alikuwa akikwambia baba maneno hayoo baada ya kumuita chumbani sio mbele ya wageni .

Muda uo Robert anatetemekaπŸ˜‚ mahari imeshakataliwa hajui atafanya Nini ili baba angu amuelewe ,anatamani ata aanze kulia .Akainuka ili akagonge mlango wa Kwa baba angu eti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ivi huyu mzim kwel .Eti anataka akagonge chumban walipoingia mama na baba kuongea ili awaombe msamaha.

Kabla hajafika ata mlangoni mlango ukafunguliwa ,wazee wangu wakawa wanamshanga uyu nae vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akajitetea alikuwa anaenda msalani ,ndo wakamuelewa ila wangejuaπŸ˜‚ muda wote uo wazazi wa upande wakina Robert hamna ata alietia neno wananiangalia tu mtoto wao alivo na chachawa πŸ˜‚.

Ila baadae baba angu akapokea mahari yangu ila kabla walinipigia simu nikaulizwa Kam nimekubali nikajibu ndio nimekubali .Bas baba Shaima akapokea mahari ,na akamtonza fainin Robert Kwa kuishi na Mimi bila ya kunioa .Robert hakuwa mbishi alitoa Kila kitu ,Maaana alikuwa anaogopa kunyimwa mke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wakati wote uo mambo ya mahari yanaendelea dada angu alikuwa hajui chochote ,ila mwishoni baada ya kupokeleqa tayar ndo baba akamtaarifu .Chaaajabu dada hata hakujisumbua kunitafuta ata kwenye simu kunipa hongera .
Ndoa ilipita Vizuri bila shida yoyote na rasmi nikawa mama mjengo .waliosema sitoolewa sasa wapo wapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Ila dada angu ni mtu waajabu sana maaana ta kwenye ndoa yangu hakuja kabisa Yani .

Rasmi nikawa mama Bright .Kama mnavyoujua usiku wa ndoa ni siku ya kuvunjana viuno na hakuna atakae kuja kukutetea ni wewe na mumeoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio Kam zamani unalialia mama mkwe anakuja sababu sikuhalalishwa sasaiv nishaolewa no kulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Itaendelea...

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo

kututukana anatamani ila ndo hawezi πŸ˜‚πŸ˜‚.Kabaki anatuangalia tuu.

Na kwel Robert na ndugu zake wakafanikiwa kufika nyumbani kwetu morogoro ,Ila Kuna kitu cha kushangaza kilitokea maaan baba angu alikataa kupokea mahari akidai kuwa mie sio mwanae ,Han mtoto wa dizani yangu
mtoto nisie sikia la mkuu .

Wageni wakawa wanashangaa ,nilivyopigiwa kuambiwa ivo moja Kwa moja nikajua nikazi ya dada angu iyo ,kasema upuuz wake Kwa baba .
Ila baadae mama akambembeleza baba na kumwambia kuwa hii ni familia yangu ijayo wanayoiongelea na baba anatakiwa arudishe moyo wake nyuma kwaajili yangu na ya familia yangu ijayo .Mam alikuwa akikwambia baba maneno hayoo baada...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-16-mama-akawa-anatuse

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒  π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹
  π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

479
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

297
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

84

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest