Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov 2025
199 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
anamuuliza mama ake ,"kwani mama we umejuaje kuhusu ili .
Mama ake akamwambia wewe ulivyokuwa unamuita dokta Julius kisirisiri ulijua hatoniambia au .
Yan we mtoto cjui umekuwaje Yan uo uwanajesh wako uo usiniletee Mimi kabisa .
Robert akaanza kujitetea Kwa mama ake eti anamwambia ila Mimi hii mbona ni bahat mbaya tu sikudhamilia ,kabla hajamalizia sentensi yake mama akampiga makofi mawili ya shavu la uku na na upande mwengine .
sasa mama kwann unanipiga alieuliza Robert ,Mama ake akamjibu ata siku moja usiwaze Wala usije ukadhubutu kumuumiza mwanamke ulie lala nae ,we huoni aibu unaongeaje ivo eti bahat mbaya.
Iv we mzima kwel akilini ,ib huoni mwenzio analia Yan bahati mbaya kumharibia mwenzio hivi we mzm kwel ww.
Apo Robert anasemw mie burudan ππ
Na yey mwenye Robert akabaki kimya kanywea mwenyew Hana la kusema Yan kama sio yeye .
Mama ake akaenda kuchemsha maji ,Kisha
akaleta akaniambia vua nguo nikukande .
Mmmmh nikaguna ,Kisha nikawa namuangalia Robert kuashiria atoke ili nijue nguo ,yule mama akatuangalia alafu akaanza kucheka ππuku anasema iv nyie mjue mnavituko sana sasa nikuulize wewe bibie unaogopa Nini nawakat usiku mzima mmeshinda wote.
Viaibu vikanijaaπππ kumb kwel
Nikawa Bado cjavua mama akaja akaanza kunivuta yeye akaanza kunivua nguo mwenyew ,mara akaniinua miguu ,
mm naona aibu jaman βΊοΈππ
Ila nilikuw naskia maumivu hatari .
Yan ilikuwa kasheshe ,Yule mama akanikanda nilivopata hauweni ,akaondoa vile vitu ,
Ila niseme ukwel baaad ya yule mama kuja maumivu yakapungua hatimae ila ni Kwa kiasi .
Nikawa nimelala apo ilikuwa saa kumi Alfajiri inaenda saa kumi na moja .
Hatimae nikapata usingizi Kwa mbali ila uo usingizi haukudumu sana ,maan ulikatishwa na kilio cha bright uko chumban kwake .
Eeeh jamani yule mtoto anajua kulia khaaa analia kama kapigwa ,ya kama anachinja ,Yan nikama alikuwa akinifanyis makusudi nikalala kidogo tuu na yeye ananzisha kilio na akianza kulia familia nzima utajuta πππ.
Ila namshukuru dada wakazi alieend kumbembeleza .
Maana apo namstress yangu na yeye ananipigia makelele yan asingenyanazishwa ningeenda mwenyewe kumnyamazisha .π
Itaendelea ...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
anamuuliza mama ake ,"kwani mama we umejuaje kuhusu ili .
Mama ake akamwambia wewe ulivyokuwa unamuita dokta Julius kisirisiri ulijua hatoniambia au .
Yan we mtoto cjui umekuwaje Yan uo uwanajesh wako uo usiniletee Mimi kabisa .
Robert akaanza kujitetea Kwa mama ake eti anamwambia ila Mimi hii mbona ni bahat mbaya tu sikudhamilia ,kabla hajamalizia sentensi yake mama akampiga makofi mawili ya shavu la uku na na upande mwengine .
sasa mama kwann unanipiga alieuliza Robert ,Mama ake akamjibu ata siku moja usiwaze Wala usije ukadhubutu kumuumiza mwanamke ulie lala nae ,we huoni aibu unaongeaje ivo eti bahat mbaya.
Iv we mzima kwel...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-7-yule-mama-aakanifat
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo π
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert