Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 147

27th Aug, 2025 Views 55



โ€œNdeana, umeniuliza maswali kwanini wewe, kwanini nakupenda sana wewe. Nakupenda kwasababu Nakupenda sana. Nakupenda kwasababu unastahili kupendwa, Unastahili heshima, Unastahili upendo wote hapa duniani, Ndeana kila kitu kizuri ni kwaajili yako.

Umefanya mambo makubwa sana kwenye maisha yangu. Pengine kikawaida wewe hauwezi kujua wala kutambua hilo. Ila niamini mimi, ipo siku nitakuelezea kitu umefanya katika maisha yangu, Ndeana wangu, mtoto mzuri, Ndeana mwanamke mzuri sana.

Nimekuleta hapa nataka ufurahi, nataka ufurahi zaidi ya wanawake wengine wote wanaoletwa hapa na wapenzi wao, wanaume zao. Kwako iwe tofauti, sawa sunshine.โ€. Akacheka kidogo kufanya nione tena meno yake mazuri na meupe namna yamepangika ndani ya kinywa chake.

Sasa Ndeana mimi alivyokuwa anasema mwanzo anataka kuniambia kitu halafu ananitazama kwa huruma nilianza kuogopa kama mwanamke.

Niliogopa sana maana wengi wetu tumezoea kujikinga na mimba na tunasahau kuhusu maambukizi mapya ya maradhi yanayotokana na ngono.

Nilikuwa naogopa kuambia Ndeana mimi ninaye mke na watoto, niliogopa kuambia Ndeana nina mwanamke wangu labda alikuwa masomoni anarudi na momi nimkose kabisa mwanaume huyu.

Niliogopa sana, niliposikia haya maneno yake nilijikuta ninatokwa na machozi mfululizo. Yeye Hakujali, alinibeba, alinibeba na kunitupa kitandani. Nikatabasamu tu nikimtazama na kumsubiri kwa hamu kubwa sana.

Na yeye pasi kuchelewa alikuja juu yangu, nilijikuta nashusha pumzi ndefu sana. Yaani ninavuta pumzi ndefu kama vile nilibeba mzigo mzito sana moyoni sasa ndiyo nautua kumbr hapana ni hisia zangu tu zilivyojaa, zilivyokali juu ya huyu mwanaume. Ni mwanaume wangu wa pakee sana.

Alianza kunishikashika uso hivi, huku yeye akitabasamu akisema โ€œMzuri sana, tabasamu kidogo baby wangu.โ€
Nikatabasamu na kusema โ€œuzuri wako unaongezeka mara kumi elfu ukitabasamu. Tabasamu kila siku kipenzi.โ€

Nikajikuta nasema huku natetemka yaani mimi tayari nipo hoi โ€œNakupenda sana, Nakupenda Stewart.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 148

Alinitazama kwa upendo na kisha alinipa midomo yake taratibu, tulianza kubiringika pale kitandani tukipeana burudani za midomo. Taratibu mimi nakua juu yeye anakua chini na mara mimi chini yeye juu.

Tulikuwa hata hatujielewi mpaka sakafuni tukafika. Tulilala chini kabisa na yeye alianza kunisinga mwili wangu nami nikiwa nimelala kifudifudi. Alikuwa ananisinga kwa taratibu na mafuta maalumu ya kusingia.

Nilisingwa kila kiungo changu ambacho yeye alikuwa anakiona tena akisema โ€œtazama baby namna umeumbika, siwezi kuvumilia zaidi.โ€
Kiukweli na hata mimi raha za kusingwa zilikuwa zimenizidia, nilikuwa natamani tu anipe viboko vyangu niwe hoi.

Sikuwa ninaweza hata kuzungumza, sikuwa naweza kufanya kitu. Kwa nguvu aliniinua na kuniweka kwenye kochi ndani ya kile chumba. Ile nimefika tu sijakaa ata vizuri, akanigeuka vizuri na kuniweka kwa mtindo mzuri sana.

Sitaki kusema hata ilikuaje. Nilijikuta ninapiga kelele za raha. Mimi sijui huyu mwanaume ananigusa wapi, sijui huyu mwanaume ananikuna wapi.

Kila anapokuwa faragha na mimi ndiyo nazidi. Nilipiga kelel nikajishtukia, na yeye aliniambia โ€œnapenda kelele zako baby, niambie unanipenda, lia unavyoweza ila usiache kupiga kelele zako.โ€

Ni kama vile mgongoni panakuwasha, na kisha ukachukua kijiti ujikune sehemu inawasha, basi unapakuna unasikia raha kisha muwasho unasogea sehemu nyingine pia sehemu nzima inataka kukunwa.

Ndiyo hivyo hivyo ilikuwa kwangu. Mti ulikuwa unanikuna vizuri, mti haukosei. Ipo namna mti huu siuchoki, yaani kadri unavyonikuna ni kama usitoke kabisa na muwasho ndiyo uongezeke.

Nakumbuka namna ananikuna mimi nilikuwa ninasema โ€œaaassh!!, oooh baby wangu, Nakupenda saana. baby so sweeet, na hata unakunwa mpaka nalia kabisa machozi. Basi baby wangu nikilia ndiyo anaongeza na kunibembeleza juu.

Tena si mvivu anataka mpaka mimi niridhike ndiyo na yeye anatosheka. Kisha ananiuliza โ€œBaby wangu, umeshiba?โ€

Nilimtazama usoni na kutikisa kichwa kwa maana bado nilikuwa nataka niendelee kusuguliwa na brashi iliyokosa chachandu la kusugulia.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 149

Bila ajizi mwanaume alinibeba akanitupa kama furushi kitandani, hii sasa ilikuwa ni hekaheka, kabla ya chochote alinichukua mkono wake, alichukua mkono wake, mkono wake yaani ipo namna huu mkono unamuujiza, kuna namna ananishika mpaka nachanganyikiwa, taratibu alianza kuchezea ua langu, analichezea ua langu mpaka likachanua na tayari kwa kuzaa matunda mengine.

Kisha aliniambia niinuke kidogo nimkalie juu ya uso wake. Ooh nyie nilifanya hivyo basi naye mdomo wake ukawa karibu na ua langu.

Alikula ua langu kwa ufundi mkubwa na hapa uvumilivu ulinishinda mimi mwenyewe haraka nilishuka na kujulisha chakula maana alikuwa amelala chali basi nikawa juu yake. Sikufanya ajizi na mimi nikamuonesha kile nilicho nacho.

Nilisikia akipiga kelele za kugugumia kama vile ameishiwa mafuta. Na mimi pia kisha kila ntu alijitupa upande wake. Kila nikifumba macho nakumbuka namna nimemkalia uso na yeye alivyonila ua kwa ufundi yaani kaka ni nyama inatafunwa, inanyonywa sana na kisha inatolewa kinywani na inarambwarambwa yaani wapo watu wamezaliw tu kwaajili ya burudani.

Neno nililolisikia ni โ€œI am lucky to have you Ndeana.(nina bahati kuwa na wewe Ndeana.)โ€
Hivi Stewart anajielewa kweli, eti yeye yupo Lucky sasa mimi ndiyo luckiest si ndiyo Jamani. Mkaka mzuri kama huyu nampata wapi mimi. Nampata wapi, anajua kupenda mpaka sitosheki. Yaani nikimuona hivi tu namtaka tena. Nipo naye ila hamu ya kuwa naye haiishi.

Nilimtazama na kutabasamu. Mimi tena ule mziki tumecheza ni hatari sana nikajikuta ninasikia balaa balaa. Nikalala palepale.

Muda wa kuamka ulipofika, nilikuta yeye amelala kabdo yangu ananitazama tu, na tayari yeye ameshaoga yaani ananivutia tena. Nikajionea aibu mwenyewe. Akatabasamu na kusema โ€œunaonekana ulichoka sana, nenda ukaoge kisha uje kula.โ€

Nikaitikia kwa kichwa. Akanipatia taulo, taratibu nikaenda kuoga. Kumbe bafuni pia walipamba. Kuna mishumaa maalumu imewekwa huko, kuzuri yaani. Kwenye jakuzi maji yana maua maua.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 150

Nikawa ninashangaa yaani, wakati nashangaa. Si Mwanaume akaja tena bafuni. Na alinivua taulo taratibu, tukaingia pamoja ndani ya jakuzi lile kwaajili ya watu wenye mahusiano yetu.

Hivi mimi ni wa kunywa wine huku naoga. Kumbe wale watu tunawaona kwa tv kama wanaringa hivi. Wapendwa waacheni waringe tu, ni raha sana unajiona kama haupo duniani kwa muda.

Niambie kwa mfano ni wewe mawazo yanatoka wapi sasa. Sikuwa na mawazo kabisa yaani na hii wine ndiyo inanichangamsha kabisa basi wenyewe tukiwa bafuni nilipata muda wa kumwambia Stewart wangu.

Nakumbuka nilisema kwa hisia sana โ€œStewart, nashukuru sana. Mambo unayonifanyia kiukweli nashindwa hata nianzie wapi kukushukuru. Ninachoweza kusema ni Mungu akubariki sana Stewart. Ninakupenda sana. Nakupenda.โ€

Yeye alitabasamu akisema โ€œBaby nani alikufundisha kuoga?โ€
Nikashangaa, kisha nikamuuliza โ€œuna maana gani baby?โ€

Aliniambia โ€œmwili wako wote ni msafi sana, ni msafi mno. Mwili wako unanuikia vizuri sana, unanukia kwa namna ambayo natamani nikurambe mwili mzima. Wewe ni msafi sana mpaka raha. Huniishi hamu, nipo na wewe hapa ila bado nawaza raha zako. Ndeana. Usibadilishe mganga huyu nimempenda.โ€

Nilicheka nikisema โ€œbaby huna akili kabisa.โ€
Akacheka akisema halafu โ€œuna moto mkali sana. Kwani unaweka au unapaka nini.Joto mpaka raha unajua sitamani kutoka.โ€
Nilimtazama kwa hisia na kusema โ€œbaby ushaanza tena.โ€

Basi tena humu ndani ya maji akanivuta na kunipakata, tukawa tunaongea taratibu huku yeye akiwa ameingia kufanya utafiti wa joto. Kila kitu ni raha, namfurahia sana. Hapa sasa niligundua kitu.

Mapenzi ni matamu sana, matamu mno. Haswa kila mtu akiwa na hisia na mwenzake. Kila mtu akiwa hatosheki na mwenzake. Nikiringanisha na hii hii miaka.

Mapenzi yamekuwa magumu kwa wengi hata tunakosa raha ya hii kitu kwasababu tunaumizana sana. Fikria umemsaliti mwenzako, au amekufumania na meseji za ajabu unafikiri hamu inatoka wapi.

๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 151

Fikiria upo na mpenzi wako, mmetoka zenu au mpo tu ndani kwenu lakini hamuambiani maneno matamu, hamsifiani kila mtu yupo zake na simu na anaowajua yeye. Hakuna kupeana muda yaani mkifika tu chumbani mnavutana.

Au kuna hawa wanawake wameolewa. Kuanzia asubuhi mpaka asubuhi anapiga kazi, anapiga kazi huku mtoto au watoto huku kazi zake binafsi bado kazi za huyo mwanaume wake na kisha anatakiwa atowe tendo kwa mwanaume.

Unafikiria atatoa inavyotakiwa au atafurahia. Anakua tayari kachoka na mwenzake haelewi hilo. Labda kwasababu mimi bado sijaolewa bado, ila nilitambua hili kufurahia mapenzi, nuda wa pamoja, kucheza pamoja, kuambiana maneno matamu, kusaidiana majukumua na kubembelezana na kudekezana ndiyo huketa matokeo mazuri ya jambo hili.

Sasa nina muda kidogo na Stewart ila mwanaume huyu siku haipiti hajaniambia maneno matamu, hajanisifia uzuri wangu. pengine mimi kwa wengine ni mzuri wa kawaida ila yeye ananifanya nijione na umaalumu fulani kwake. Na sisi tukiwa pamoja simu hazina nafasi. Simu zimeua mapenzi ya watu wengi sana. Ndeana mimi nakuambia mapenzi ni mazuri na wala hayajaumbwa kwaajili ya wazungu. Ni yetu wote ni vile tu sisi kila kitu tunatumia vibaya.

Basi tukatoka bafuni, tulipotoka tukarudi chumbani nami nikaanza kudeka nikisema โ€œumeona sasa baby, hukuniambia kitu na sina hata mafuta ya kupaka. Sasa nitapaka nini?โ€

Akatabasamu na kusema โ€œunaona mimi sina akili eenh.โ€
Nikacheka.
Basi akatoa kimfuko na kusema โ€œhumu kuna kila kitu kuhusu ngozi. Hii ngozi yako nzuri sio ya kupaka mafuta ya kuharibu. Sasa subiri nimpigie muuzaji akuelekeze kimoja kimoja.โ€

Nikatabasamu huku nikifungua ule mfuko nikisema โ€œooh jamani, asante sana, asante sana, nimefurahi. Sasa mbona umenunua viwili viwili lakini?โ€

Akacheka akisema โ€œhaviharibiki lakini mke wangu, nataka mwaka huu usiwe na mawazo juu ya utapaka nini.โ€
Ndipo alimpigia na huyo dada alisema โ€œniambie ndugu yangu, ushafikisha kwa wifi yangu mwenye bahati kuliko wote.โ€
Stewart akacheka na kusema โ€œKwanini bahati sasa.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 152

Huyo dada alisema โ€œwanaume wengi ni wabishi sana kununulia wake zao vipodozi vizuri. Na ndiyo haohao wakiona wanapendeza wanawasifia.Ila wewe ni wa tofauti sana. Umemnunulia tena vya kutosha kabisa.โ€

Akamuuliza โ€œuna hakika vinamkubali lakini, maana visipokubali tunakuja kubadilisha.โ€
Akasema โ€œhakuna shida ila ninakuhakikishia vitamkubali. Hapo nna wasi na hiyo ya usoni tu kwa maana kuna za watu wenye uso wa mafuta na watu wenye uso mkavu lakini wewe nimekupa ya mtu mwenye uso mkavu.โ€

Nikatabasamu na kusema โ€œAmepatia.โ€
Wote tukacheka na ndipo nikachukua simu na kupewa maelekezo. Mnajua mimi vitu sijui scrub, sunscreen nilikuwa nasikia tu au naona watu wana ngozi nzuri natamani tu na kuwasifia hata nikawa nawashangaa mimi wanasemaje nna ngozi nzuri.

Kwanza mimi nilikuwa nna tabia ya kupaka chochote mbele yangu ila kuna muda tu nikatulia na mafuta yangu ya nazi basi nikilikoleza sina habari. Na hili joto siku nyingine sipaki hata mafuta yenyewe. Leo hii mimi naanza na kujifunza kuipenda ngozi yangu ili nizidi kupendeza.

Nilielekezwa vizuri nami nikamoa simu baby wangu nikaanza kupaka kwa kufuata yale maelekezo. Kumbe hata kupaka mafuta mazuri ni raha sana. Basi tulipomaliza tuliletewa chakula kwasababu siku hii tulipanga tu tukae ndani.

Baada ya hapo sasa akavuta sanduku. Ndani ya sanduku kulikuwa na nguo zake baadhi na zangu ndiyo nyingi. Nilijikuta nashangaa nikisema โ€œumewezaje, waooo waooo unajua kuchagua.โ€
Alicheka na kusema โ€œhizi ndiyo nguo nataka mke wangu uvae ukiwa na mimi.โ€

Nilitabasamu, yaani vikaptura vifupi, pedo, vishati, vigauni vya kushika mwili wangu. Yaani vinguo fulani hivi vizuri sana na hata mimi napenda na nguo za ndani basi ni burudani.

Na kisha alinipa marashi ya aina mbili tofauti akisema โ€œmimi natumia aina hii hapa, lakini wewe utachanganya na hii unaonaje.โ€
Nikatabasamu tu nikisema โ€œbaby inatosha sasa, inatosha unanifanya nikupende upya kila dakika.โ€

Alitabasamu na kisha alivuta mfuko mwingine na akafungua ndani kulikuwa na kadi. Kumbe kuna kadi kubwa hivi, tena nzuri sana. Ile kadi upande mwingine alibandika picha yetu ambayo hata mimi nilimpa.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 153

Kisha upande mwingine ukiachana na maneno ya ile kadi aliandika โ€œkama kuna maisha mengine baada ya haya tunayoishi sasa. Ndeana nitakuchagua wewe, wewe peke yako tena na tena.โ€

Nikamtazama na kusema huku furaha imezidi yaani mimi nikifurahi sana machozi..Nikisema โ€œbaby your so sweet, sikuwezi hata najisikia aibu. Sasa mbona mimi sipo kama wewe. Baby please teach me how to love.โ€

Alitaabasamu ba kunikumbatia akisema โ€œi love the way you love me (napenda namna ambavyo unanipenda mimi)
Nikatabasamu.

Nilitambua mpenzi wangu anapenda za kuangalia filamu. Basi usiku tulikumbatiana wenyewe tunatazama filamu. Ilikuwa ni filamu nzuri ya mapenzi. Ilikuwa ni filamu fulani inaumiza na mapenzi matamu sana. Basi kuna mahali nalia kuna mahali nacheka. Kama mjuavyo mkiangalia filamu za huba ni kama vile nanyi linaanza upya. Basi tena sisi pia tukaachana na filamu tukaendelea na mambo yetu. Huku katika midomo yetu, kutoka katika nafsi zetu. Neno pekee, neno pekee ambalo limeshika kasi ni neno NAKUPENDA.

Nikisema usiku huu tu neno nakupenda nimelisikia mara ngapi utasema natania. Ila aliniambia kwa upendo โ€œNAKUPENDA TOTOO.โ€
Nami nikatabasamu nikisema โ€œNAKUPENDA DADYYYYY.โ€
Tulitazamana na kucheka tu, ndiyo nampenda sana, huyu akisema aniache mbona mnanizika mzimamzima kwa mawazo. Nampenda sana naomba mnielewe.

Sasa basi asubuhi imefika, kwanza ile nafumbua macho yangu mtu kanikumbatia kiubavuubavu yaangu nimempa mgongo wangu na nyuma yangu yote kanikumbatia kwa nguvu.

Halafu ananibusu mgongoni na chumba kinanigugusa. Nikatabasamu tu kwa maana nilijua asubuhi kabla ya chochote lazima tule tuuwe wadudu wa usiku wale ndiyo tunywe chai.

Na vile ilivyo cha asubuhi ni kizuri sana, chakula cha asubuhi kinachangamsha akili, kinakufanya uwe na nguvu mpya chakula hiki kinadumisha husiano. Nyie hii fungate mwenzenu nilikuwa naona kabisa nitakula mara mia maana sitosheki, sishibi kabisa.
Naaaaaam
Karibu sana kumalizia SEASON FOUR pamoja na FIVE kwa offer ya sh 1000 badala ya 2000
Kumbuka season five haitapostiwa fb mwisho tutaishia FOUR hivyo five itauzwa 1000 kama kawaida

Hivyo basi njoo leo WhatsApp upate yote kwa offer ya 1000
๐‘ต๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š๐’‘๐’ ๐‘ฝ๐’๐’…๐’‚๐’„๐’๐’Ž ๐‘ด ๐’‘๐’†๐’”๐’‚ 0743433005 ๐’‹๐’Š๐’๐’‚ ๐‘จ๐‘ฎ๐‘ถ๐‘บ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ต๐‘ถ
๐‘ผ๐’Œ๐’Š๐’๐’Š๐’‘๐’‚ ๐’๐’Š๐’„๐’‰๐’†๐’Œ๐’Š ๐‘พ๐’‰๐’‚๐’•๐’”๐‘จ๐’‘๐’‘ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’Š๐’•๐’Š๐’‚ ๐’๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ +255743433005 ๐’๐’Š๐’Œ๐’–๐’‰๐’–๐’…๐’–๐’Ž๐’Š๐’†.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 147  >>> https://gonga94.com/semajambo/season-four-jamani-boss-mi-naona-aibu-147

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
profile
majario 27 Aug 2025 12:03
๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 147
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest