Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

  ๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž:  165 - 172
Gonga94 ยท Stories

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 165 - 172

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

165
Tulicheka pamoja huku tunalia sana mpaka simu ikakata.

Joan aliniinua pale chini na kunikumbatia. Alinikumbatia na kuniambia โ€œuliniambia nisilie nimumini Mungu, niombe kwa nguvu, ulinifuta machozi Ndeana. Sitaki kuamini wewe ni mdhaifu namna hii. Kwasasa wewe unatakiwa sana kusimama kidete kutetea penzi lako. Kuwa makini sana, muombe Mungu na msaidie mwenzako.

Sikia Stewart ni Tajiri, ana watu wenye pesa. Anajua apite wapi na wapi apite kufikia malengo. Anaumia kwasababu kapoteza ila hawezi poteza milele. Na hata hivyo pengine tayari ana mipango anataka tu wewe ndiyo upambane kufikia ndoto zake yaani umsaidie kwa mawazo, umpe utulivu na vitu kama hivyo. Kuwa imara ndugu yangu.โ€

Nilimtazama Joan nakusema โ€œhapa kazini, kila mmoja ananicheka, ananikejeli nitaishi vipi sasa.โ€

Alitabasamu na kusema โ€œNdeana kimya chako kinakusaidia sana. Wewe ni mwingi wa Hekima. Kwakuwa unajua nini unataka fanya kazi. Fanya kazi achana nao. Hawa wote wapo hapa kipesa tu usihangaike nao hata mara moja.โ€

Sikuweza hata kutabasamu kwakweli, niliendelea tu kufuta machozi na kisha aliniambia โ€œtwende tukaendelee na kazi na baada ya hapo uwahi kwa mwenzio.โ€
Nikatabasamu kwa mbali nikiwa hoi.

Baada ya hapo taratibu tulishikana mikono kutembea kuelekea ndani. Tulifika mpaka ndani, na kuanza kazi. Nafanya kazi huku ukiona wadada wahudumu ni kumsema Boss. Yaani ilikuwa ni ngumu sana kwangu, kila wakipata nafasi unaona kabisa wananicheka. Mmoja nilisikia akisema โ€œalikuwa anaringa huyu, kidogo tu amepandisha huko juu. Haya tutaona sasa.โ€

Nilimtazama tu na kuendelea na kazi. Sio kama hapakuwa na watu kama Joan, ila ni wachache sio kama wanaonicheka na sasa siamini naona kama wananikejeli tu.

Nilikuwa nikipata muda kidogo wa kuwa mwenyewe ninajificha na kulia, nalia kisha narudi naendelea na kazi. Ni siku ambayo ilikuwa mpya, hadithi ni Boss mpya tu. Boss wa zamani amesahaulika tayari. Roho iliniuma sana, roho ilikuwa inawaka moto kwa maumivu makali sana.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 166
Nilifika sehemu ya kubadili nguo muda ulipofika. Basi nikabadili nguo huku naumia sana. Nilikutana na ujumbe wa baby wangu Stewart, alikuwa ameandika โ€œMy sweet Person Are you Ouk?โ€
Nilitabasamu kidogo nikiwa na unyonge nilimjibu โ€œbaby nipo sawa, naomba kukuona kipenzi.โ€
Alinijibu haraka haraka โ€œnakusubiri kwa hamu Ndeana wangu, nakusubiri.โ€ Kisha alinipa maelekezo.
Nikamjibu โ€œNakuja, nakuja sio muda mrefu.โ€
Akaniambia kuwa ananisubiri kwa hamu sana. Unajua namna tunavyowasiliana, vitu vimekaa kinyonge sana.

Basi mimi nikatoka taratibu, wakati natoka nimefika getini nashangaa sijui hata nishike njia gani. Joan alitoka na aliniambia โ€œrafiki yangu upo sawa?โ€
Akatoka mdada kwa nyuma akisema huku anacheka โ€œatakuaje sawa.โ€
Nilimtazama tu na kuyazuia machozi yangu.

Joan aliniuliza tena โ€œunaenda wapi kwani?โ€
Nikamwambia, akanijibu akisema โ€œtwende mimi naishi kituo cha mbele ya hapo. Haya twende tuongozane.โ€
Tuliungana mini na Joan, mpaka sehemu ya kupata usafiri. Tukapanda daladala na safari ilianza. Ninakumbuka sana, namna nilikaa kimya kwenye gari siwezi kuzungumza kitu, yaani nimetulia tuli. Mpaka nimefika tu hicho kituo Joan ndiyo kaniambia na ndiyo nikashuka.

Niliposhuka nikachukua simu yangu na nikampigia Boss wangu, yaani Stewart. Aliniambia โ€œPole kipenzi, changu.โ€
Nikamwambia โ€œAsante baby.โ€
Basi alinielekeza niulize kwa mtu gani hivi na vile nami nikafuata mpaka nikafika. Nilifika sehemu aliyonielekeza. Sio nyumba mbaya wala sio nzuri. Nzuri tu kawaida inafaa kuishj watu. Nilibisha hodi, na haraka mlango ulifunguliwa.

Mlango ulipofunguliwa kwanza tulianza kutazamana huku nikiita โ€œStewart!!!โ€
Machozi yakashuka, na yeye pia machozi yakashuka akiita โ€œNdeana!!!โ€

Kisha alinikumbatia kwa nguvu sana pale mlangoni. Nilijisikia uchungu mno kumuona mwanaume wangu kwenye ile hali. Pamoja tulijikuta tunalia kwa uchungu. Tulilia tena sana huku tukiingia ndani. Tulilia mno, tena nililia nikisema โ€œkwanini uliumia peke yako na hukunitafuta mimi, kwanini?โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 167
Stewart alilia akisema โ€œnisamehe totoo, nilichanganyikiwa sana. Ndeana heshima ya mwanaume ni kazi. Kila nilipokuwa nawaza nitaishi bila kazi nilikuwa nazidi kuchanganyikiwa natumai unanielewa mpenzi. Nisamehe sana.โ€

Alinifuta machozi akiniambia โ€œNdeana inatosha, tumelia sana. Sio vizuri tutaumwa. Sikianikuambie kitu kipenzi. Najua tutapitia wakati mgumu sana. Ila mambo yatakaa sawa. Nitajitahidi sana. Najua wameshikilia mpaka akaunti zangu. Ila nitafuatilia. Tutateseka mwanzo tu ila yatakaa sawa si unaniamini totoo.โ€

Nikasema โ€œNakuamini sana. Na pia ninakupenda sana. Stewart wametambulisha Boss mpya!!โ€

Alinitazama na kusema kwa huzuni โ€œlazima wafanye hivyo. Hawawezi kukaa bila kiongozi. Ndeana kila kitu duniani ni cha kupita tu. Nimejifunza kuwa natakiwa kupambana zaidi ya mwanzo. Jambo hili kama mwanaume linaniumiza sana.

Ila ninayi imani, ninaamini nitashinda hii vita sijui ni lini ila nitapita tu. Nina hofu moja tu, kukupoteza wewe, hii itanifanya nishindwe kuendelea kabisa, unajua tangu nimekufahamu maisha yangu yanakutegemea sana.โ€

Nilitabasamu ba kusema โ€œUnahisi nitaweza kuishi bila wewe?, siwezi wala huwezi kunipoteza baby wangu. Mimi na wewe tupo sambamba. Ulipo nipo. Nakupenda sana.โ€
Akanikumbatia na kusema โ€œNAKUPENDA.โ€
Nami nikajibu โ€œNAKUPENDA.โ€
Tulipeana busu, na kutabasamu kidogo walau hali ile ya uchungu ilikuwa inapungua.

Kiuhalisia ni kuwa mwanaume huyu, alikuwa katikati ya maumivu. Hata ile sura yake ya tabasamu muda wote ilimuondoka. Alikuwa muda mwingi anazubaa kama vile anawaza kitu. Nami namtazama na kuanza kumuongelesha kama vile โ€œbaby rafiki yako yupo wapi?โ€

Alinitazama kwa upole akanianbia โ€œyupo kazini toto!!โ€
Nikatabasamu tu na kusema โ€œsawa kipenzi, au twende nyumbani?โ€

Akacheka kidogo na kusema โ€œkipenzi, najua utatamani kila kitu kiwe sawa. Ila mimi na wewe ni wapenzi tu bado sijafanya lolote kwako. Sio heshima mimi kuja kwenu. Nipo sawa kuwa hapa.โ€
Nikamtazama na kusema โ€œnina njaa leo sijala siku nzima, wewe umekula baby?โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 168
Alinitazama tu. Nikajua tu hajala. Ilinibidi kwa pesa yangu nifanye maarifa. Nikatoka nje na kuuliza sehemu naweza kupata mahitaji hayo. Nikaelekezwa na huyo mdada jirani.

Akampigia simu kijana wake wa pikipiki na tukamuagiza hivyo vitu kisha nikarudi ndani kusubiri na nilikaa kwa muda kidogo kisha nikaitwa nami nikatoka na pesa nikalipia na kurudi ndani.

Nilipika na kwa pamoja tulikula ingawa kivivu sana. Tulipomaliza Stewart alikuwa ananitazama tu usoni. Kisha alitabasamu na kuniambia โ€œNdeana, wewe ni mwanamke ambaye kila mwanaume mwenye utimamu anatamani kuwa naye. Una upendo, utu, heshima, adabu, na unapenda sana furaha. Tazama namna unahakikisha nakuwa sawa hata katikati ya machozi umekuwa furaha yangu. Ndeana ninakuamini sana, kuliko kitu chochote kile. Ninakuamini kuliko kwasababu silaha kubwa ya mapenzi ni uaminifu.โ€

Nilitabasamu nikisema โ€œwewe ni mwanaume mzuri sana, sipendi kuona ukiwa na huzuni. Ninakuombea heri, mafanio, furaha, upendo na amani.โ€
Akatabasamu tu kisha aliniambia โ€œunaweza, unaweza kulala hapa leo?, samahani lakini ila nahitaji mtu wa kuwa naye.โ€
Nikamwambia kwa kutoa macho โ€œmwenzio hatochukia?โ€
Alinitazama akisema โ€œana kufahamu sana, wewe ndiyo umfahamu.โ€
Nikacheka tu, basi nikamwambia โ€œnitaongea ma baba, si unajua dada naye siku hizi hatulii nyumbani. Kama kutakuwa na lolote basi nitakwenda akikubali nibaki basi nitabaki.โ€
Alitabasamu na aliniambia โ€œumependeza sana, una rangi nzuri sana. โ€œ
Nikatabasamu.

Basi niliwasiliana na familia yangu, watasema nini juu ya Stewart. Wanavyompenda na kumuamini. Baba yangu alitaka kujua kuhusu maendeleo ya Stewart na mimi nikamwambia kuwa tutaongea pale nitakaporudi nyumbani. Hivyo siku hii mimi nilibaki hapa.

Stewart anapenda movie, basi nilikaa katikati ya mapaja yake ule usiku. Tukawa tunaangalia movie. Tuliangalia movie nzuri sana ilikuwa inaendana na hali yetu tunayopitia.

Kuna mahali mpaka tunaacha movie tunalia kweli. Kwingine tunacheka na kutabasamu. Basi tuliendelea hivyo mpaka rafiki yake akarudi. Aliponiona alisema โ€œooh shem upo hapa. Karibu sana.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 169
Nilisema kwa upole โ€œnashukuru sana.โ€
Kitu cha kwanza alisema โ€œnimeleta chakula, mmekula?โ€
Stewart akasema โ€œnilisahau kabisa kukupigia. Shemeji yako amepika.โ€
Akasema โ€œbasi tena hizi chips hazitushindi na chakula tutakula.โ€

Tukacheka tu. Lakini ukitazama Stewart hana raha kabisa ni mtu tu wa kuhuzunika. Kiasi huyu rafiki yake alisema โ€œRafiki yangu Stewart, huwezi kuwa hivyo kila siku, huwezi kuwa hivi kabisa. Ninakuomba sana usiwaze. Hata mimi niliwahi kupitia haya mapito.

Sikuwa na kazi wala sikuwa na pa kulala. Ila Mungu alinipigania. Muhimu kwasasa ni muongeze upendo, muongeze imani mpendane sana. Mimi nipo pamoja na wewe mpaka utakapokuwa sawa.

Nakuomba sana Stewart, usimpe msongo shem. Nadhani yeye anapitia wakati mgumu zaidi kwa maana bado kabaki kazini. Msimpe shetani nafasi nawaomba sana.โ€

Stewart alivuta pumzi na kusema โ€œninakuonea huruma sana Ndeana. Unajua kaka nakuelewa vizuri sana. Ila nawaza nitaishi vipi. Kila nikiwaza nguvu zinaisha. Mwanamke wangu, mwanamke wangu nampenda sana. Natamani nimpe kila kitu ila sitaweza. Najua ataumia sana, nami sitaki kumuumiza.โ€

Shem alinitazama na kusema โ€œshem, mchukue, nendeni chumba kile pale. Mwenzako anahitaji kupumzika sana . Hayupo sawa bado. Anakuhitaji mno.โ€
Nilimtazama Shem na kusema โ€œAsante Shem, usiku mwema.โ€
Basi nikamuinua na tukaenda chumbani. Kufika chumbani alijitupa tu kitandani. Nilimuonea huruma sana. Yeye alinitazama na kusema โ€œNjoo kipenzi, njoo nikukumbatie.โ€
Nami nilienda pale, kwaajili ya kufanya hivyo.

Tulijikuta tumelala tumekumbatiana tu mpaka asubuhi mimi ndiyo niliwahi ili niende kazini. Na nilijiandaa, nikamfanya na yeye aamke. Tulisalimiana kwa busu kama kawaida yetu na niliagana naye. Nakumbuka aliniambia โ€œFanya kazi kwa bidii. Kuwa makini mrembo wangu. Ninakupenda sana. Ninakupenda kuliko kitu kingine chochote.โ€
Nikatabasamu na kumpa busu nikisema โ€œchangamka basi baby, Nakupenda zaidi My sweet person.โ€
Akatabasamu.

Nilienda mpaka kituo cha daladala, nikapanda gari na kuanza safari. Siku hii kazini nilikuta Joan kafika. Aliponiona sijabadili nguo alitabasamu na kuniuliza โ€œBoss anaendeleaje?โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 170
Nikatabasamu na kusema โ€œanaendelea vizuri sana. Ila najua anajikaza tu. Ukiona macho yake yamejaa huzuni nami nataka kumsaidia.โ€

Rafiki yangu aliniambia โ€œhata ningekuwa mimi nisingekuwa sawa. Ila Unatakiwa wewe ujiongeze. Mshahara wa hapa, mahitaji yako na umsaidie na mwenzako hapana haitoshi. Mimi huwa napost na vyombo vya nyumbani mtandaoni. Watu wanazoea sana. Na nauza japo sio sana ila nauza.โ€

Nilitabasamu nikisema โ€œunafikiri nitaweza?โ€
Akaniambia โ€œsubiri nakutumia hapa saizi wewe post tu. Hata wasiponunua siku watanunua tu.โ€
Nikatabasamu, huku ananitumia mimi moyoni nasema napost tu ila sio mambo yangu.

Basi Joan aliniambia โ€œKipenzi, baba mtoto alinitafuta sikuamini. Kweli Mungu ni wa ajabu sana. Huwezi amini, kalipa mpaka kodi ya nyumba na kasema kila mwisho wa mwezi atanipa pesa ya matumizi.โ€
Nikasema โ€œweee usiniambie?โ€

Joan alisema โ€œnaona mwanga kidogo, nashukuru rafiki yangu. Nashukuru sana.โ€
Tulikumbatiana. Kisha nikamaliza huko kupost na kuweka simu zetu mahali huwa tunaweka.

Kitu nilikuwa siwezi kuzuia ni kuchekwa kazini, watu kunidhihaki na vitu kama hivyo. Sikuwa naweza kuvumilia. Ndiyo kwanza siku ya pili ila nipo hoi kwa kuchekwa. Nachekwa sana. Ninachekwa roho inaniuma ila nitafanya nini sasa.Zaidi ya kulia na kuumia.

Muda wa kutoka ulifika. Simu yangu nimezoea nilikuwa nawekewa bundle la mwezi sasa nalo limeisha wakati mbaya. Hivyo nikasema nikifika nyumbani nitanunua.

Basi nikaanza safari ya kurudi nyumbani. Nilikuwa nachelewa sasa kwasababu usafiri ni wa shida ila sina namna. Nimefika tu dada kanipokea, โ€œmdogo wangu imekuaje huko, amefanikiwa?โ€

Nilitikisa tu kichwa huku machozi yanatoka. Nilisema โ€œkila kitu kimeisha, anaumia sana, analia sana.โ€

Dada alinikumbatia akisema โ€œhakuna jaribu lisilo na mlango. Hakuna Dua isofika kwa Mungu mdogo wangu. Kuwa na imani.โ€

Nilimtazama dada na kusema kwa uchungu โ€œkazini dada, kaletwa boss mpya. Wafanyakazi wananicheka sana, sina raha wananitania na kunicheka wakati wote. Nitafanya nini sasa.โ€
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 171
Dada alisema โ€œAchana nao wewe angalia mahitaji yako na upige kazi. Acha wakucheke tu itafika muda watazoea.โ€
Nlilia nikisema โ€œdada natamani hata kuacha
kazi.โ€

Dada alisema kwa kushangaa โ€œunachanganyikiwa?, mwenzio hana kazi na wewe uache una wazimu wewe.โ€

Nikalia tu na dada alisema โ€œkaa imara, fanya kazi mdogo wangu. Acha wacheke, watanie na kukudhihaki ni hayo ni mambo ya muda tu. Yanapita kama upepo. Na vipi yeye anaishi wapi sasa?โ€

Nikamuelezea dada yangu. Nakumbuka dada alisema โ€œmaskini shemeji yangu, mkarimu sana. Ila ninamuamini sana. Mungu atamsaidia tu.โ€
Baba alitoka chumbani na alitukuta tunalia. Akauliza โ€œwanangu kuna taarifa gani?โ€

Dada akaelezea na baba alisema โ€œMungu wangu!!, sasa nitaishi vipi mimi, ina maana Mungu hakuangalia hili kuwa namtegemea. Dawa zangu mimi.โ€

Dada alimtazama baba na kisha baba alisema โ€œMungu hakupi jaribu usiloliweza. Tutavuka tu kwa hili.Wanangu, msilie, Ndeana. Simama na mwenzako iwe shida iwe raha. Mungu aliyemuinua mwanzo atamuinua tena na tena. Hivyo nenda kapumzike hakuna kulia.โ€

Baada ya kufika chumbani, Stewart alinipigia, nikapokea na yeye aliniambia โ€œtotoo, usiniambie ulikuwa unalia?
Nikafuta machozi na kusema โ€œhapana niko sawa tu. Umeshindaje mpenzi wangu.โ€

Aliniambia โ€œNakumiss kila muda Ndeana wangu.โ€
Nikatabasamu na kusema โ€œAsante sana Stewart, hata mimi nakumiss mno.โ€
Aliniambia kwa upole โ€œhabari za kazini mke wangu.โ€

Nikatabasamu machozi yakitoka. Sikuwa nataka kumuumiza. Nilisema tu โ€œnipo sawa kabisa. Kazi tu zimekuwa nyingi sana.Ila nishazoea sasa si unajua.โ€

Alitabasamu na kusema โ€œNi ngumu ila namiss kila kitu, unajua kukaa tu nyumbani inaumiza nawaza ningekuwa nakuona na sare zako ukihudumia, ukija ofisini kwangu. Ndeana inaniuma.โ€

Nikatokwa na chozi nikisema โ€œtumesema hatulii tena inatosha.โ€
Na yeye aliniambia โ€œkweli hatulii tena.โ€
Nikamwambia โ€œI love you Stewart!!โ€
Na yeye aliniambia โ€œI love you more than the word itself. Nakupenda My sweet Person.โ€

Nikatabasamu tu. Na kisha aliniambia, Pumzika usiache kunitafuta.
๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 172
Nikacheka nikisema โ€œnaanzaje?โ€
Akaniambia โ€œkama nikufuate vile, ila nikiwaza mpaka nianze kuhangaika na daladala nachoka.โ€
Nikacheka nikisema โ€œpole love, mimi nitafanya utaratibu nije tu wala usijali.โ€

Kama masihara nikanunua bundle na kuwasha data. Nilikuta wateja watano wanataka vyombo tena vya gharama na ni wale wateja wangu huwa wananiachia namba na kuuliza mambo kadhaa pale hotel na mengine mengi.

Sikuamini nikampigia Joan. Joan alisema โ€œnilikuambia wewe, sasa hapo waambie walipie. Kesho tukitoka kazini tunapita sokoni hapa na kariakoo karibu sana.

Nakupeleka kwa hayo maduka na leoleo nawaambia wakuweke kwenye magroup. Sikia kesho hiyohiyo unawasambazia tena wanakupa pesa ya usafiri. Kazi kwisha kazi. Una nyota hatari unajua hapo faida kubwa.โ€

Nikacheka nikisema โ€œMungu ni mwema, sasa nitapost kama mwenda wazimu. Nipate nikose nitapost tu siachi mimi.โ€

Joan alicheka na kusema โ€œumeweza haya sasa kesho rafiki yangu mimi kuna mahali nampelekea mteja.โ€

Nakumbuka namna ambavyo niliwasiliana vizuri na mpenzi wangu. Alifurahia sana na vile nimemuelezea kuhusu biashara yangu. Akaniambia nitumie na mimi nikusaidie kupost. Nikamuuliza โ€œwewe namba yako si ina watu wenye hadhi sana.โ€

Alicheka na kusema โ€œsasa mimi sina hadhi, itabidi wanunue tu vyombo. Mimi na mpenzi wangu tumeamua kuuza vyombo.โ€
Nikacheka na kusema โ€œBaby nakutumia kimoja tu kizuri, wewe utajua cha kuandika.โ€

Akaniambia โ€œni sawa kipenzi, ni sawa kabisa totoo muhimu upate wateja.โ€
Nikacheka. Basi nikatuma na muda haukupita nikaona amepost kweli whatsp kaandika โ€œ Kwa mahitaji ya vyombo vizuri na vya kisasa, support my sweet person, my Love.โ€
Akaweka na namba basi akaniambia tusubiri.

Nilianza kupata Orders za vyombo mpaka siku inatofuata nilitamani nisiende kazini. Yaani huyu anasema nimeona kwa mwanaume wako, huyu anakuja wifi nipe hii, huyu anakuja madam naomba kama hii. Nilifurahi sana. Nilifurahi mno nami sasa nilijuta nilikuwa nachelewa wapi. Na hapo tunaambiana โ€œwanakuja!!, baby watu wanakuja!โ€

NAAAAAAAM HUU NDIO MWISHO WA SEASON YA NNE
SEASON YA MWISHO INATAPATIKANA WHATSAPP TU, KWA SH 1000
NO YA WHATSAPP NI 0743433005

KUMBUKA, SEASON FIVE AMBAYO NI YA MWISHO HAITARUSHWA HAPA FACEBOOK, KARIBUNI MJISOMEE WHATSAPP KWA BUKU (TSH1000)
๐‘ต๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’๐’Š๐’‘๐’ ๐‘ฝ๐’๐’…๐’‚๐’„๐’๐’Ž ๐‘ด ๐’‘๐’†๐’”๐’‚ 0743433005 ๐’‹๐’Š๐’๐’‚ ๐‘จ๐‘ฎ๐‘ถ๐‘บ๐‘ป๐‘ฐ๐‘ต๐‘ถ
๐‘ผ๐’Œ๐’Š๐’๐’Š๐’‘๐’‚ ๐’๐’Š๐’„๐’‰๐’†๐’Œ๐’Š ๐‘พ๐’‰๐’‚๐’•๐’”๐‘จ๐’‘๐’‘ ๐’Œ๐’–๐’‘๐’Š๐’•๐’Š๐’‚ ๐’๐’‚๐’Ž๐’ƒ๐’‚ +255743433005 ๐’๐’Š๐’Œ๐’–๐’‰๐’–๐’…๐’–๐’Ž๐’Š๐’†

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 165 - 172


165
Tulicheka pamoja huku tunalia sana mpaka simu ikakata.

Joan aliniinua pale chini na kunikumbatia. Alinikumbatia na kuniambia โ€œuliniambia nisilie nimumini Mungu, niombe kwa nguvu, ulinifuta machozi Ndeana. Sitaki kuamini wewe ni mdhaifu namna hii. Kwasasa wewe unatakiwa sana kusimama kidete kutetea penzi lako. Kuwa makini sana, muombe Mungu na msaidie mwenzako.

Sikia Stewart ni Tajiri, ana watu wenye pesa. Anajua apite wapi na wapi apite kufikia malengo. Anaumia kwasababu kapoteza ila hawezi poteza milele. Na hata hivyo pengine tayari ana mipango anataka tu wewe ndiyo upambane kufikia ndoto zake yaani umsaidie kwa mawazo, umpe utulivu na vitu kama hivyo. Kuwa imara ndugu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/season-four-jamani-boss-mi-naona-aibu-165-172

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi season-four-jamani-boss-mi-naona-aibu
Season four  ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 154
Season four ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 154
๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 141
๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 141
๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 147
๐‘บ๐’†๐’‚๐’”๐’๐’ ๐’‡๐’๐’–๐’“ ๐‰๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ๐๐Ž๐’๐’ ๐Œ๐ˆ ๐๐€๐Ž๐๐€ ๐€๐ˆ๐๐” ๐Ÿ’๐Ÿ™ˆ๐Ÿ’ž: 147
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

1.21K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

1.16K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

649
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

246
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

91
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest