Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SIMPENDI MFANYAKAZI WETU  ?EPISODE 1
Gonga94 · Stories

SIMPENDI MFANYAKAZI WETU ?EPISODE 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SIMPENDI MFANYAKAZI WETU
?EPISODE 1
?
?Kwa majina naitwa happy adui yangu mkubwa kwenye maisha yangu ni mtu maskini mimi natoka katika familiya ya kitajili sana na nawachukia chukia sana maskini sababu sijuwi nawaonaje ila siwapendi tu nikiwaona naona kama nmeona kinyesi hivi... tena kibaya zaidi nilikuwa nawaona tu mitaani lakini mama akaamua amlete maskini nyumbani kabisa jina lake ni Rashid ametokea ndani ndani uko sijuwi ni mwisho wa upepo lakini nilitokea kumchukia sana haiwezekani nyumba ya matajiri anakuja maskini mmoja .....
?
?
? HISTORIA YA RASHID
??????????????????????
?Maisha ya Rashidi hayakuwa rahisi hata kidogo. Alizaliwa katika familia maskini, kwenye kijiji ambacho kilisahaulika na dunia. Baba yake alifariki akiwa mdogo, na mama yake, mwanamke jasiri lakini aliyekandamizwa na umasikini, alijitahidi kuwalea yeye na wadogo zake.
?
?Alikuwa na ndoto. Alitaka kusoma, kuwa mtu mkubwa maishani, lakini ndoto zake zilivunjwa vipande vipande pale alipomaliza darasa la saba na kukosa kabisa njia ya kuendelea mbele. Baba mdogo wake, aliyepaswa kumlea baada ya kifo cha baba yake, alimchukia na kudiriki hata kumfukuza kwa maneno ya kejeli .....
?"Huna akili, hata kama ningekuwa na pesa,ningekukodia majambazi wakuue unatumalizia hewa ,hewa imekua nzito sababu ya uwepo masikini mbwa taka taka
?," alimuambia siku moja kwa dharau.
?
?Rashidi aliona ndoto zake zikififia. Alijua kuwa hakukuwa na msaada wowote. Hakuna aliyemjali. Kila siku alishuhudia mama yake akihangaika, akienda kwenye mashamba ya watu kulima kwa ujira wa chakula kidogo tu. Wadogo zake walimwangalia kwa macho ya tumaini, wakidhani labda angeweza kuwaokoa kutoka kwenye janga la umasikini.
?
?Lakini angewezaje, wakati hata yeye alikuwa akihangaika?
?Hatimaye, alichukua uamuzi mgumu. Aliamua kuondoka kijijini, kutafuta kazi mjini. Alianza kuuza maji kutembeza tembeza karanga
?
?Bahati mbaya, mjini hakukuwa kama alivyotarajia. Alihangaika mitaani, akifanya vibarua vya hapa na pale kubeba mizigo sokoni, kufagia maduka, na wakati mwingine hata kulala njaa.
?
?Tuanze sasa baada ya kumjua RASHID
????????????????
?
?Siku moja, wakati akiwa amechoka na kukata tamaa, alikutana na mama yangu. Alikuwa akitoka sokoni, mikono yake ikiwa imebeba mifuko mizito ya vyakula. Rashidi, kwa uchovu wake wote lakini aliwaona vijana wakinyemelea mizgo ya yule mama .....
?mara ghafla wale watu walikwapua na kuanza kukimbia
?"msaaada jamaani " mama alipiga ukunga ..na kukaa chini huku kakishikilia kichwa chake .....
?
? Rashid alitoka mbio mbip na kuanza kuwakimbiza walikatisha vichochoro vingi lakini Bado alikuwa yupo nao sambamba alizidi kuwakimbiza waliweza kusalimu amri na kusema chukua vitu vyako na uende tuache na maisha yetu
?
?" kwanini mnaiba sasa?
?" kaka ni maisha tu tunapambana"
?" siku mtachomwa moto "
?" tutabadilika tusamehe kaka"
?"bahati yenu! Haya tokeni hapa"
?Akawatishia walitoka mbio sana yeye akabeba vitu na kurudi navyo ....
?
?Mama akiwa kakata tamaa maana hata pochi yake yenye kadi ya benki pamoja na vitu vingine kama simu na hela vilikuwa vishachukuliwa hivyo ilikuwa kajikatia tamaa tu ...mara akasikia sauti
?" mama pole lakini shukuru mungu nimewakamata chukua vitu vyako "
?
?Mama aligeuka haraka na kumkuta kijana Rashidi akiwa nyuma yake na anamkabidhi vitu vyake mama alifurahi sana ....
?.
?Mama yangu alimshukuru sana Rashid . pia mama Aliona macho yake yalivyochoka, lakini yenye heshima na ujasiri.
?
?"samahani mwanangu unafanya kazi gani"
?"mama maisha ya kuuunga unga popote kambi . Tunapambana angalau mkono uende kinywani ". Mama alimuonea huruma na akakumbuka nyumbani kuna kazi nyingi ambazo mimi siwezi kufanya pekee yangu na kila siku nilikuwa nafanya kizembe zembe sasa akaona amchukue kama fadhila kwa wema alio mtendea ....
?
?
?"Unatafuta kazi?" mama yangu aliuliza.
?
?"Ndiyo, mama. Kazi yoyote, bora nipate mahali pa kulala na chakula," Rashidi alijibu kwa sauti ya unyenyekevu.
?
?Mama yangu alimtazama kwa muda, kisha akatabasamu kwa huruma
?"Njoo nyumbani kwangu," alisema. "Tutakupa kazi."
?
?Na hivyo ndivyo Rashidi alivyoingia kwenywe maisha yetu. Kazi aliyopata ilikuwa ya kuwa mfanyakazi wa ndani house boy. Alikuwa na sehemu ya kulala, chakula cha uhakika, na mazingira salama si unajua sisi matajiri hatuna dogo.
?
?Lakini hakujua kuwa sehemu moja ya maisha yake ingekuwa jehanamu.
?Nilikuja kuwa kama jinamizi lake.
?
?Basi majira ya usiku mama aliingia na mlinzi alifungua geti baada ya kusikia honi. Na nilifurahi sana maana mama sijamuoana takribani siku nzima na navyompenda mama yangu huniambiii kitu
?
?Nilimkimbilia na kumkumbatia mama yangu lakini Ghafla nikasikia mlango ukifunguliwa niligeuka kwa mashaka ghafla akatoka rashidi akiwa kabeba rambo yenye nguo zake alikuwa kapauka usoni kama anafanya kazi dampo ..
?
?"kheeee mama huyu marambo ni nani tena mbona kapauka uso kama anafanya kazi dampooo"
?
?" acha maneno ya hovyo bila huyu kaka sijuwi ningeweka wapi sura yangu.
?
? Nilipolwa vitu vyote hyu ndo malaika mlinzi wangu wa leo "kisha akamwambia rashidi huyu anaitwa Happy ni mwanangu mpendwa akanigeukia
?
?"huyu ni Rashid kuanzia leo atakuwa mfanyakazi wetu hapa . Mkaribishe na muonyeshe mazingira kesho asubuhi atalala kile chumba alichokuwa analala mjomba wako"
?Nilichukia chumba kile ni kizuri jamani na kina tv leo maskini huyu alale kwenye hiki chumba kweli wakati katoka huko na ananuka majasho ya kimaskini leo alale nyumba ya kitajiri kweli .....
?
?Tuliingia ndani lakini mimi sikupendezwa naye hata kidogo kutokana na alivyo ni vile tu damu zetu haziendani hata kidogo .......na kweli namchukia tu.
?Tulipoingia ndani baada ya kumuonyesha chumba
?
?" Rashidi hilo jasho lako la mtaani hutakiwi kuingia nalo kwenye familia hii ya kitajiri ,maana maskini kama nyinyi mnatakiwa mlale dampooooo".
?
?Rashid hakunijibu chochote zaidi zaidi alishukuru na kuniuliza "bafu iko wapi?"
?Nilimlekeza kwa hasira kisha nikaenda kumcheki mama na kuwa na mazungumzo naye ......
?
?CHUMBANI KWA MAMA ......
?????????????????
?"Nina uhakika hata hana elimu ya maana," nilimwambia mama yangu
?
?"Lakini, mwenzako amejituma, na ni kijana mwema na sioni kama ni mtu mbaya," alijibu kwa utulivu.
?
?"sawa mama wewe unasema hivo lakini unaweza kufuga na kulea jambazi likaja kutuua maana wabaya wanajificha kwa watu wema "
?."nenda ukalale tutaongea kesho sawa ,usiku mwema nenda kalale byeee nakupenda mwanangu "
?
?" byeee mom uwe na usiku mwema"nilitoka na kurudi chumbani kwangu nilichukua mitooo na kutupa tupa huku na kule na kun'gata meno
?" huyu maskini nitamkomesha sio siri

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SIMPENDI MFANYAKAZI WETU ?EPISODE 1

SIMPENDI MFANYAKAZI WETU
?EPISODE 1
?
?Kwa majina naitwa happy adui yangu mkubwa kwenye maisha yangu ni mtu maskini mimi natoka katika familiya ya kitajili sana na nawachukia chukia sana maskini sababu sijuwi nawaonaje ila siwapendi tu nikiwaona naona kama nmeona kinyesi hivi... tena kibaya zaidi nilikuwa nawaona tu mitaani lakini mama akaamua amlete maskini nyumbani kabisa jina lake ni Rashid ametokea ndani ndani uko sijuwi ni mwisho wa upepo lakini nilitokea kumchukia sana haiwezekani nyumba ya matajiri anakuja maskini mmoja .....
?
?
? HISTORIA YA RASHID
??????????????????????
?Maisha ya Rashidi hayakuwa rahisi hata kidogo....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/simpendi-mfanyakazi-wetu-episode-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi simpendi-mfanyakazi-wetu-episode
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

911
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

719
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

603
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

557
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

119
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

77
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

4

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.48K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.58K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.48K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest