Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet

18th Dec, 2025 Views 96



ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu...

Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimezaliwa majengo sokoni mkoani arusha, na mama yangu huwa anapikaga vitumbua na baba yangu alikuwa ni fundi ujenzi...

Wakati nakuwa kulikuwa na mtoto mmoja.

ambae hakuwa amenipita sana, alikuwa anaonekana kama amenizidi miaka kama mitano hivi, alikuwa anaishi na baba yake ambae alikuwa ni mlevi sana, kiasi kwamba hakuwa. anajali hata kula yake wala kuvaa yake, na alikuwa anasaidiwa na majiran kwenye kila kitu kuhusu maisha yake, ila ajabu ni kwamba mama. yake alikuwa anamlipia ada, alikuwa anasoma shule ya gharama ukilinganisha na mimi ila alikuwa anamaisha magumu kuliko mimi..

Mama yake aliondoka nyumban na kumuacha na baba yake, kutokana na kipigo ambacho baba yake alikuwa anampa kila siku, kiasi kwamba akaamua kutoroka kwa mume wake, akiwa na mtoto mdogo wa kama miaka mitatu pamoja na mimba...

Hivyo Yule kijana akabaki na baba yake kwal kuwa alikuwa mkubwa kuliko wenzake... Alikuwa anaitwa Solomon, kuna muda alikuwa

analala kwa majiran, maana unakuta baba yake. ameondoka na funguo anakuja kurudi saa nane usiku, alikuwa anaonekana kama kijana mpweke sana, na baadhi ya majiran walimuhusisha na wizi kutokana na kutokuishi kwake na wazaz na kuwa anaonekana kama chokoraa kitu ambacho binafsi kilikuwa kinaniumiza sana....

Niliamin kuwa hakuwa chokoraa na nikajikuta nataman kuwa karibu yake, nataman kumpa moyo na kumuonesha kuwa hata kama anaona ni kiasi gani watu ni wabaya dunian ila bado kuna watu wema bado wanaishi kwenye dunia

yetu hii hii...

Aliniona kama kimbilio lake la kweli, alikuwa anakuja kulla pembezon mwangu na nilimfuta machozi, na kidogo ambacho kilipikwa kwetu. nilihakikisha nay eye anakula, kitu kilichomfanya anione kama mtu pekee ambae namuelewa sana kwenye hii dunia...

Maisha yalienda na alifaulu vizur darasa la saba na secondary akawa anasoma kwa shida hivyo hivyo, ila napo alimaliza na kufaulu vzr kwa

viwango vikubwa na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano na sita kwenye shule flani hivi ambapo alikuwa anasomea mchipuo wa PCB.. Nilifurahia sana mafanikio yake, ila alianza kubadilika na kuacha kuwa karibu yangu, kuna namna alikuwa kama ananionea aibu tofauti na namna alivyokuwa mwanzo, akawa haji tena kwetu na hata kuongea nae ilikuwa ni shida kubwa mno..

Basi nikakubaliana na hali halisi, nikajua labda ni ukuwaji au labda ameshapata marafiki bora kuliko mimi hivyo hata halikunisumbua sana...

Basi baada ya kumaliza kidato cha sita na cha saba, sijui hata alipitia wapi au hata alisoma chuo au vipi, tukashangaa amebomoa nyumba ya kwao na kuanza kujenga ghorofa, na wakati ambapo anaanza kujenga baba yake na mama yake walisharudiana, ila baba yake bado alikuwa mshenzi mshenzi, ila ndio hivyo hakuna cha kufanya na ndio baba yako...

Mtaan wakaanza kuongea mara ni freemason, mara hivi mara vile, kama kawaida ya wanamtaa wakishakuja kugundua una maendeleo kuliko wao, ila nilijikuta kimoyo moyo namuombea maana niliamin kuwa alikuwa ni mtu wahaki, nimeshi nae kama mtu wake wa karibu kwa muda mrefu hivyo niliamin kama namjua kuliko ambavyo watu wanamjua

Basi maisha yakaendelea, mjengo wao ukaisha,

na wakaanza kuishi, ila sasa kumbe alijenga chumba juu kidogo ambapo alikuwa anaweza kuona ni kitu gani ambacho nafanya nikiwa chumban kwangu sikuwa najua, nilikuja kujua hilo baadae..

Ila mara nyingi sana nikiwa nipo chumban kunal hisia flan huwa zinanitumaga kuwa kuna mtu ambae ananiangalia sana, ila nikawa napuuzia nikiamin kuwa hakuna mtu anaweza kuniangalia na wakati nipo chumban kwangu.... Basi maisha yakaendelea, nikafanikiwa na mimi

kusomea sheria, ila nikashangaa kila nikiomba chuo cha mbali nakosa nafasi, kila nikipambana nakosa nafasi, yaan mpaka wakati wa kutuma. maombi ukapita na hakuna chuo hata kimoja.

cha sheria ambacho kilinikubali, jambo ambalo lilikuwa linanishangaza sana, kwa sababu nilikuwa nina ufaulu mzuri tu, sasa inawezekana vipi, kwa mtu mwenye ufaulu mzuri kama mimi nawezaje kukosa chuo..

Ila mama akanambia kuwa nisijali huenda ni mipango ya mungu, na siku zote ukiulona jambo linakuwa gumu sana kulipata ujue kuwa hilo jamboa halijawah kuwa la kwako.....

Ikabidi nikubaliane na matokeo tu sikuwa na namna yoyote ile...

Basi maisha yakaendelea, nikaamua nijiingize. kwenye kujifunza kuremba, pamoja na kujifunza kupika na kupamba cake, basi hizo ndio zikawa kazi zangu, na kutokana na juhudi zangu. nikaamua kujitangaza sana..

Siku moja nikapata tenda ya kupika cake kwenye moja ya shughuli, nikapika basi na kupeleka, basi kwakuwa ndio kazi yangu nikapeleka cake sehemu husika, basi kwakuwa na mimi. nilialikwa nilipofikisha na mimi nikaaa kuendelea kuwasupport wenye shughuli..

Muda ukaenda kuna muda wakaachia mziki, awee sikuwa nataka mziki uende bure nikaanza kukata miuno, nimekata miuno wee, mara nashangaa pale ukumbin taa zinazimwa, kisha nikazibwa mdomo na kubebwa taksi bega na mtu ambae sikuwa namfahamu, sijui hata nilishikwa wapi, nikawa ni kama nimepoteza fahamu.... Nakuja kushtuka kesho yake nikiwa nimelala chumban kwangu....

Nikasikia sauti ya mama inasema jana ulirudi saa ngapi...

Hili swala lilinishangaza sana, yaan ina maana hata niliporudi hawakuniona, sasa nilirudije? Na wakati nakumbuka kabisa nilikuwa kwenye harusi?..

Nikashindwa hata nimjibu mama yangu kitu gani, nikajikuta tu nadanganya na kumuambia. kuwa nilichelewa kurudi nikakuta wamelala hivyo nikaona nisiwasumbue nikaingia zangu ndani, na kwakuwa nilikuwa nyumban mama aliamin tu, na kuniita kwenda kumsaidia baadhi ya kazi zake....

Nimemaliza majukum yangu nikasema nije nishike simu yangu ili niperuzi peruzi, mara nikashangaa naona sms inasema" mwili wako ni wathan sana, unatakiwa kuonekana na mwanaume mmoja tu ambae anajua thamani yako, alice tafadhal naomba usije ukafanya jambo lingine la kujidhalilisha maana haujiumizi

wewe unawaumiza watu wenye wivu na huo

mwili, unawaumiza watu ambao wanataman

wao pekee ndio wauone kwa uzuri na ukamilifu wake, wanataman wao ndio washike ngozi yako laini pekee yao na bila kushikwa na mtu mwingine yoyote Yule, maana wanakupenda sana mamaa, naomba ujitunze kwa ajili yao....

Niliona kama sms ya kawaida sana, nikaamua

kuipuuza tu, na kuhisi labda kuna mtu amekosea namba, kumbe namba ilikuwa imetumwa kimikakati kabisa, ila mimi na bichwa langu bovu hata sikujiongeza kuwa nimerudije nyumban, na imekuwaje mpaka nilibebwa kule harusini.....

ITAENDELEA



Chapter 2

Basi maisha yakawa yanaendelea kama kawaida, ila kila siku nikawa najiuliza ilikuwaje mpaka nimefika nyumban na nani ambae alikuwa amenipeleka nyumban...

Nilikuwa nikijiuliza maswali ambayo sikuwah kuwa na majibu, na wala sikuwah kujua ni nani ambae anaweza kuyajibu maswali yangu yote.. Siku zikaenda nikajisahau tena bana, siku hio ile nyumba ya jiran yangu, ambae ni Samson walikuwa na sherehe, nahisi kuna binti ambae alikuwa analelewa na mama yake Samson alikuwa anaolewa, sasa kama mnavyojua mambo ya shughuli tena, disko mpaka asubuh, na nilivyo huwa sipendi kabisa kuacha mziki umwagike bure na wakati mimi nipo...

Nikaanza kama kawaida kumwaga uno langu la uzazi, tena hali ikatokea ile ile ya kuzimika umeme nyumba nzima, nikazibwa mdomo na kubebwa, ila siku hio sikupoteza fahamu, nikashangaa natupwa kitandani, kisha nikasikia sauti inasema nilikuonya mara ya kwanza, sikupanga kabisa kufanya hichi kitu kabla ya ndoa ila umelazimisha alice....

Sauti kama nilikuwa naijua hivi, ila ilikuwa nzito tofauti na ninavyoijua mimi, bado kulikuwa giza, na niliona nje taa zinawaka, ikiwa na maana umeme upo, ila pale ndio umekatwa, akaanza kunipapasa, na kunambia najua ujawah kufanya mapenzi, nivumilie tu, nihakikishe unanizalia naamin ndio utatulia.....

Sikuwa namuelewa, akanikumbatia kwa nguvu sana kisha akanambia " nina hisia na wewe sana alice sikupanga kufanya hivi naomba unisamehe...

Akaanza kunipapasa pale, mwisho nikama akatulia, kisha sijui akanishika wapi nikazima moto, nimekuja kuamka nipo kwneye hotel moja, ni wazi kabisa pale hakukuwa nyumban kwa mtu, ni mazingira ya hotel, na pemben yangu kulikuwa na mwanaume ambae alikuwa. amejiziba sura, ila amebaki na boksa na tishet, akanisogelea na kunambia" umemka, nilikuwa naomba uamke mapema maana ningekubak" ukiwa hauna ufahamu, na nataka uhisi kila. ninachokifanya kwako, maana nataman na wewe ufurahie tendo...

una maanisha nini, na kwanza wewe ni nani? Na kwanini umenileta huku?.. Akacheka kisha akasema "mimi ni mumeo usijali na hapa nachukua haki yangu, kisha akaanza kunipapasa, aiseee nilikuwa nasikia raha balaa, nilishawah kuwa na mahusiano ila ya kushikana shikana, yaan hatukufika huko kwenye tendo, sasa akili yangu ikawa inanituma kuwa huenda na yeye hatafika mbali kumbe alikuwa na ugwadu balaa..

Nikaanza kutoa miguno, ndio nikazidi kumpa ukichaa, akanivua nguo zote kisha nikashangaa namuona jasho linamtoka ila hapo sura siioni kabisa, ila kuna muda huwa inanijia taswira ya Yule jiran yetu ambae nilikuwaga rafiki yake sana utotoni, ila akili nyingine inaniambia kuwa hawez kuwa yeye maana ni mstaarabu sana....

Na kingine kuanzia ameanza kukua kuna namna alikuwa kama ananikwepa sana hivyo nikaanza kutoa hayo mawazo, na kuhisi labda ni muhuni wa mtaani tu, sikuwa nataman kabisa kufanya kile kitendo hata kidogo, ila alikuwa kama ameshajua udhaifu wangu, hivyo nikajikuta nalegea kama mrenda na baada yua hapo akaanza kazi...

Namna ambavyo nilikuwa sijawah kutumika, kuna namna maumbile yalikuwa yanabana sana, nikashangaa anaanza kunguruma, kisha akawa anasema " mamaa wewe ndio umesababisha mpaka nimeshindwa kujizuia, ashhhh ahhhh mamaa mamaa, ohhh tamuuu, tamuuu tamuu. sana mke wang...

Wakati huo nilikuwa nahisi kama viwembe vinapita kwenye maumbile yangu, nilikuwa nasikia maumivu na hata ule msisimko ambao nilikuwa nausikia mwanzo wote ukakata kabisa, nikaanza kumsukuma, ila alikuwa amening'ang'ania sana, ananambia usilie kipenzi usilie, nitalipia kila kitu unachotaka, nitakuwa mtumwa wako, naomba nimalize mamaa, naomba nimalize, ashhh tulia tulia tulia, ohhh mungu wangu akawa analalamika, niache nimalize mke wangu, niache nimalize mamaa, shhhhh tamuu sana, nitaua mtu akikoseogelea, ohhhh mungu wangu, ahhhhh shiiiit nakupenda sana wewe mwanamke, akawa anaongea kwa Ile sauti kama inakata kata hivi, nikashangaa mwisho akanikamata kwa nguvu kisha akafunga macho na kuanza kutetemeka mpaka nikahisi anashida, kumbe ndio utamu umezidi bana....

INAENDELEA.....

Chapter 3

Mwisho nikashangaa kama mauji uji ndani yangu, nikauliza umefanya nini, ila hata hakunijibu, sijui huwa ananishikaga wapi, maana nilizima, nimekuja kuamka tena nipo nyumban kwetu tena kitandani kwangu nimelala....

Kuna muda nilikuwa nahisi kama ndoto vile, ila wakati bado nilikuwa nahisi maumivu ya kutolewa bikra yangu, na nilikuwa msafi kana kwamba niliogeshwa ila nimeogeshwa na nani, hata mimi sikuwa najua hilo...

Mama yangu akaja kunigngea mlango kisha akaniuliza nimerudi saa ngapi, ila sikuwa na jibu la moja kwa moja la kumpa, kwa sababu hata mimi mwenyewe sikuwa najua nimerudi saa ngapi na nimerudi vipi..

"Jana tumekutafuta sana ila haukuonekana kabisa, nashangaa kukukuta asubuh chumban kwako, umerud saa ngapi? Mama akawa anafoka, kumbe bwana jiran amekaa dirishan kwake ananiangalia, na akawa anamuona mama yangu namna anavyonifokea, nikashangaa mlango unagongwa mama akatoka na kwenda kuangalia ni mtu gani huyo ambae alikuwa anagonga mlango kwa wakati ule....

Akashangaa anakutana na kaka jiran ambae alikuwa anaitwa solomoni, nikashangaa analeta zawad akiwa na mama yake, wakampa mama vitenge, wakampa na sukari, mama akawa anashangaa imekuwaje mpaka Yule kijana na mama yake aje nyumban na kuanza kutoa zawad, nikashangaa mama ananiita, nikatoka, nilikuwa nasikia bado maumivu, na nilikuwa natembea kwa kuchechemea sana, nafika ukumbini, nikashangaa mama ananiangalia mimi kisha anamuangalia Solomon, kana kwamba anataka kujua kama kuna kitu kinaendelea kati yetu...

Ila wakati wote huo Solomon alikuwa ameangalia chini, na mimi sikuwa namuangalia maana nilikuwa sijajua alie nikula usiku wa jana alikuwa ni nani....

Nilikuwa nimesimama sikujua hata kizungu zungu kimetokea wapi, nikaanza kuona dunia kama inazunguka mwisho nikaanguka, ila kumbe sikufika chini Solomon akanidaka, na baada ya hapo sikuwa nimejua kuna jambo gani ambalo lilikuwa linaendelea.....

Nimekuja kuamka niko chumban kwangu na mama yangu ananiangalia, na kunambia " ni kwamba jana haujala, maana tumeambiwa kuwa uliishiwa maji mwilin na mwili wako upo dhaifu sana, ila tofauti na hapo upo salama.. Nikajibu nimekula, labda zile kelele za ile tafrija ndio zimenidhuru, basi mama yangu akataka nile, nikaanza kula, nilikuwa nasikia njaa balaa, hivyo nikashusha msosi kama sina akili nzuri vile...

Baada ya hapo nikalala zangu, kumbe bwana jirani alikuwa amekaa dirishan ananiangalia tu, alipoona nipo sawa akatabasamu zake akawa anaongea na nafsi yake kuwa ni siku gani ambayo atakuja kunieleza ukweli wa moyo wake

Basi kwakuwa sikua najua ni nani ambae amefanya na mimi mambo yote yale ya usiku wa jana nikawa hata sina wasiwasi...

Siku zikapita nikashangaa Solomon simuoni mtaani, maana mara nyingi alikuwa anapita pita sehemu ambazo nimekaa, mpaka kuna muda nikaanza kuhisi labda ananipenda, na kwa namna alivyo na mvuto, mwanaume flani hivi ambae amejazia sana, alafu mrefu nyie, ila nikawa najiambia kuwa atakuwa na mwanamke wake wa kichuo chuo ambae anaendana na hadhi yake....

Basi siku zikaenda nikashangaa sioni siku zangu, siku hio mama amepika pilau nyumban, nikawa nasikia kama nyumba nzima Inanuka, nikaenda kujifungia chumban kwangu, mama akaja kuniita nikale, sasa kitendo cha kuweka kijoko mdomoni, nilitapika kama sina akili nzuri vile....

Nikashangaa wazaz wangu wanaangaliana, na kwa kuwa ilikuwa usiku baba akatoka na baada ya muda mchache akarudi na kipimo, nikaambiwa nikaweke mkojo kwenye hicho kikopo kisha niwaletee waone, kweli nikafanya hivyo, nimekileta mama yangu akapiga ukunga kisha kwa sauti ya maumivu makubwa akasema alice mwanangu una mimba?..

INAENDELEA.....

Chapter 4

Nilishtuka sana, nikajikuta nakuwa na mawazo ya ghafla, kwa sababu hata wakiniuliza baba wa mtoto wangu ni nani sikuwa na jibu la nimepewa mimba na nani...

Baba akanisogelea na kwa sauti ya ukali akauliza alice embu tuambie hii mimba ni ya nani?...

Swali lake lilikuwa gumu sana kwangu, kwa sababu hata mwanaume ambae alinitoa usichana wangu sikuwah kumuona sura, ila kuna muda nikawa nahisi kama taswira ya Solomon ila sikuwa na uhakika kama ni yeye au laa, kwa sababu mbele ya wazaz wangu natakiwa kutoa jibu lililokamilika...

Nikawa kimya, baba akavu mkanda na kutaka kunipiga, ila nikakaa kimya nikamuacha afenye anachotaka ila mama akamzuia na kusema, usimpige anatakiwa kwenda kwa mwanaume ambae amempa mimba,mama akaingia chumban kwangu na kunitolea nguo kisha akanikabidhi begi langu na kutaka niondoke niende kwa mwanaume ambae amenipa mimba...

Sikujua hata naenda wapi, kwa sababu sikuwa najua hata alienipa mimba ni nani, nikawa sitaki kutoka nyumban, kwa sababu sikuwa na pa kwenda, ila baba akanitoa nje kwa nguvu kisha akasema kwa sauti ya ukali," nilishaapa kuwa siwez kulea mtoto aliebebea mimba nyumban, naomba utoke kwangu...

Akanivuta nje kisha akaniacha na wakafunga mlango wao, siku hio kulikuwa kuna mvua ndogo na barido kali sana, nikajikuta naanza kunyeshewa, nilikaa pale nje kwa karibu lisaa lizima nisijue nafanya nini na naenda wapi kwa wakati ule, kwa sababu sikuwa na sehemu ya kwenda, muda ulivyozidi kwenda, mama ni kama alikuwa ananiangalia kuna namna kama akawa ananionea huruma, akaja na kwa sauti ya upole akaniuliza nambie mwanangu hii mimba ni ya nani?...

Niliangalia chini kwa karibu dakika nzima nikiwaza namjibu nini mama yangu, akaniuliza tena kwa sauti ile ile ya upole inayoonesha ina maumivu makali moyoni kuwa" alice mwanangu naomba niweke wazi tu nijue nafanya nini, hii mimba ni ya nani?..

Machozi yakaanza kunitoka kwa sababu sikuwa na cha kusema, na nilishafanya makosa angalau ningesema siku ya kwanza kuwa niliingiliwa kimwili na mwanaume nisiemjue huenda hata ningepewa dawa za kuzuia mimba, ila sikusema na sikujichukulia hatrua mimi mwenyewe ya kujilinda hata kidogo, kwa sauti ya kinyonge nikajibu samahan mama simjui mwenye mimba...

"mayonaneee yesuuu wangu, mama wa kichaga alipiga nduru moja ambayo iliamsha hisia za majiran na kusababisha baadhio kuanza kuchungulia kwenye madirisha yao na wengine kuanza kusogea taratibu nyumban kwetu kujua kuna nini...

Kweli kwa namna mama alivyokuwa analia kwa uchungu na mimi nalia, watu moja kwa moja wakajua kuna msiba, wakasogea na kuanza kutoa pole, bila kujua kuwa tunalia kutokana na mimba niliyokuwa nayo na sio msiba kama wanavyofikiria...

Sasa mimi ndio kama sikuwa nalia sana, wakaanza kuniuliz amajiran kuwa ni nani ambae amrfariki, nikajibu tu hakuna mtu aliefariki, ila mimi ni mjamzito....

Kauli yangu ni kama ilianza kutonesha upya kidonda cha mama yangu, aliangua kilio kingine ambacho kiliniumiza zaidi, nilijiona mkosaji wa mwisho na nisie na fadhila kwa wazaz wangu, kweli ni wazaz ambao hawana kipato, ila kwa kidogo chao walihakikisha nakula na kulala sehemu nzuri tena bila tatizo lolote lile, alafu leo hii nakuja kuwaaibisha na mimba yangu...

INAENDELEA...

SEHEMU YA TANO


Watu wakaanza kumpa pole mama na mama yake Solomon akaanza kuongea na yeye kwa hasira kuwa bora hata mwanangu hajaja kutoa posa hapa, maana alikuwa ananisisitiza sana niite wajomba zake na baba yake waje kutoa posa, kumbe mtoto wenu hajatulia, sijui mwanangu atapokea vipi taarifa hizi, kwa sababu alikuwa na nia ya dhati na akasema kuwa akirudi atahakikisha kuwa anakuja kumuoa mtoto wenu kumbe ndio huyu changudoa ambae amebeba mimba hata kabla hajaolewa...

Nilishangaa maana sikujua kama Solomon alishawah kutaman kunioa hata mara moja, nikaanza kufikira huenda yeye ndio mwenye kimba, kwa sababu kama alikuwa na nia na mimi, anaweza kabisa kuwa yule mwanaume ambae alilala na mimi, ila nikawa najiambla kwanini hawe hataki mazoea na mimi baada yakile kitendo, nikawa najiambia kuwa Solomon ni mstaarabu sana na hawez kufanya kitiu kama hicho bila ridhaa ya mtu, kuna muda nikaanza kukumbuka namna ambavyo alikuwa ananiangalia, kuna namna hata mimi nilikuwa Napata hisia nflani ila nikawa najiambia kuwa niache ujinga kwa sababu Solomon hajawah kunipenda hata mara moja na mar azote huwa ananichukulia kama mdogo wake tu, kumbe nilikuwa najidanganya, maana alikuwa amekufa ameoza kwangu bila mimi mwenyewe kujua, maneno yakaanza na minong'ono ikazidi kama tunavyojua wanawake wakikutana kwa pamoja kazi yao kubwa ni kusengenya, nikanyanyuka na kuanza kuondoka bila hata kujua nilikuwa naenda wapi kwa wakati huo, kwa sababu ningeuliwa kwa maneno...

Nilitembea kinyonge bila muelekeo na mvua ya siku hio iliishia mwilini mwangu, sikujua hata nimetembea mpaka wapi, ila nilikuwa natembea bila wasiwasi wala uoga wowote ule licha ya kuwa ilikuwa ni usiku, nilikuja kushtuliwa na adhana ya swala ya asubuh ndio kama akili zangu zikarudi, nikajikuta nimechoka nikakaa chini na kuanza kulia....

Wakaja wapiti njia na kuniuliza nina shida gani ila hata sikuwa najua nawajibu nini, kuja kuangaza angaza macho nashangaa naona mazingira mageni ambayo sikuwah kuyaona hata mara moja kuanzia nimezaliwa, yaan yalikuwa ni mazingira mageni sana kwenye macho yangu, nikauliza hapa ni wapi..

Kluna mtu akanijibu kuwa hapa upo mbezi beach...

Nilihisi kuishiwa nguvu, sikuamin kama nilikuwa nimetoka mbagala sokon mpaka mbezi bich kwa miguu, yaan usiku kucha nimetembea umbali wote huo..

Nikajikuta naanza kulia, kuna watu wakawa wananiita tapeli, wengine wakawa wanakaa mbali na mimi, ila kuna mama mmoja ambae alikuwa ana mgahawa pemben akanisogelea kisha akanambia binti njoo, nikasogea mpaka alipo kisha akaniuliza nina shida gani?....

Ikabidi nimuelezee na nimuambie yaliotokea, kwamba wazaz wangu hawataki hata kuniona... Akanipa chai nikanywa na nikamueleza hali yangu kuwa nilikuwa mjamzito akaonekana kunielewa kabisa...

Kwa kuwa niliacha simu nyumban sikuwaza hata kuwapa taarifa ndugu jamaa na marafiki kuwa nipo wapi, Yule mama alikuwa anaonekana kama ni mwana mama mwenye upendo wa hali ya juu, ni kama Mungu hakutaka nidhalilike kwa makosa ambayo hata mimi mwenyewe sikuwa nimeyakusudia kabisa...

Basi nikakaa pale kwake kwa karibu miezi minne, akawa ananihimiza niende clinic, akawa anasisitiza nile na nisifanye kazi sana kutokana na hali yangu... Mimba ilinipenda nikapendeza sana, nilineneра

kiasi kwamba nikawa na umbo maridad ambalo hata mimi sikuwah kuamin kama nina umbo zuri kiasi kile...

Tabasamu langu na uchangamfu wangu ukazidi kusababisha watu wanipende, nikawa kama karata njema kwa Yule mama kwa sababu vijana wengi walipenda kuja kutokana na story zangu nilizokuwa nawapigia za uongo na kweli.... Mpaka wateja wakaanza kuniita mjamzito

mrembo... Jina langu lilisambaa mpaka jina langu halisi likapotea kabisa ndani ya muda mchache sana, mpaka ule mgahawa mtu akiulizia anaulizia kwa jina langu, kwamba nipeleke kwenye ule mgahawa wa mjamzito kichuna au mjamzito mrembo...

Basi Yule mama alikuwa ananishukuru sana kwa kuja kwenye maisha yake, alikuwa anamuomba mungu sana niendelee kukaa karibu yake maana nimekuwa kama Baraka ya maisha na bishara zake...

Siku moja nikiwa nahangaika na mimba yangu kuwatengea watu chakula, nikasikia sauti ya mtu ambae kama nilikuwa naifahamu hivi ikisema "

alice..

Niligeuka nyuma kwa shauku kutaka kujua ni nani ambae ananiita jina langu kwenye sehemu ambayo nilikuwa nina uhakika kuwa jina langu limesahaulika kabisa, nikageuza shingo yangu na kuangalia ni nani huyo anaeniita nikashangaa nakutana na sura ya Solomon....

JE AMEFIKAJE PALE, NI KWAMBA ALIKUWA ANANITAFUTA AU ALIKUWA NA SAFARI ZAKE ZINGINE TU...

JE NINI KITAENDELEAAA!! "


.
Tangazo - Hongera sana

Hongera sana
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu-1-5-kuna-wakati-kwenye-maisha-hatuwezi-kabisa-kuamua-hatma-zetu-n



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA SITA*  Niliegeuka na kumtazama kwa mshangao kisha nikasema " Solomon...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *SEHEMU YA SITA* Niliegeuka na kumtazama kwa mshangao kisha nikasema " Solomon...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7  'Mungu wangu Solomon mwanangu
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7 'Mungu wangu Solomon mwanangu
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - EARN MONEY TO DAY
EARN MONEY TO DAY

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest