*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 17 -- 18
Chapter 17
"Unaenda wapi usiku wote huu, ni kwamba ndio umekasirika kwa mimi kuchukua haki yangu kwa mke wangu, au umekasirika baada ya kujua mimi ndio niliekudunga ujauzito, akasema ..
Nilikuwa na hasira sana sikutaka kuongea nae, maana uzembe wake umesababisha mpaka wazaz wangu wakaniona kama sina maadili mazuri na nimewazalilisha, kwa sababu yake amesababisha nikaanza kutanga tanga mtaani kama omba omba, nilikuwa nina hasira sio siri...
Akawa anajaribu kunizuia ila alishindwa nikachukua taksi mpaka nyumban kwetu...
Wazaz wangu ndio walikuwa wanajiandaa kulala, nikawagongea, maana wakati ule nilikuta ndio wanazima taa..
nilisikia sauti ya baba ikisema " nani?
" ni mimi alice baba, nikajibu kwa sauti ya kujiamin...
Baba akafungua mlango nikaingia mpaka ndani, mama nae akatoka akataka kujua kuna shida gani...
Nikajikuta naanza kulia, kila nikifikiria mapito yangu, kisha nikaanza kuwasimulia kuanzia nilipoingiliwa na mtu nisiemjua na moaka nilipojigundua ni mjamzito na namna walivyonifukuza, alafu sasa hivi nakuja kugundua kuwa mtu huyo ni mume wangu, mwanaume ambae nilidhan hawez kifanya jambo lolote baya kwangu Solomon..
Mama yangu alianza kulengwa lengwa na machozi kisha kwa sauti ya unyonge akasema ' kwanini haukusema kuanzia mwanzo binti yangu, huenda hata mambo yasingekuwa mengi hivi mwanangu, kwanini haukusema kuwa haumjua baba wa mtoto kwa sababu kuna mtu alikutaka kimwili bila ya ridhaa yako, mwanangu tungekuelewa kuliko kukaa kimya, naomba unisamehe sana binti yangu, akawa anasema mama...
Wakati wote huo baba yangu alikuwa kimya, mara tukasikia mlango unagongwa, baba akauliza tena " nani?..
'ni mimi baba simon, nikasikia sauti ya mume wangu, nilitaman baba yangu asiende kumfungulia mlango, ila alienda, kisha baada ya kufunguliwa mlango alisalimia kisha akasema baba na mama naombeni mnisamehe sana, ila klwa ridhaa yenu naomba niondoke na mke wangu..
mimi siwezi kuondoka na wewe, mwanaume una roho ngumu kama jambazi, naomba uondoke nyumban kwetu....
alice ondoka na mume wako, siwez kulala na mke wa mtu hapa, akasema baba, mama akaanza kulalamika na kusema unataka mwanangu aondoke na huyu kijana, kwanza familia ya kijana haimtaki mwanangu, kila siku mtaani inanitangazia ubaya, na kingine kwanini amfanyie mwanangu mambo yote ya ajabu alafu anakuja kujisafisha kwa kumuoa, hata mimi siwez kurudhu mwanangu aondoke hapa na huyu mwanaume...
Baba yangu akamuangalia mume wangu, kisha akamuuliza" umekuja na gari mwanangu?.. ndio baba, akajibu Solomon kwa sauti ya unyenyekevu wa hali ya juu..
Baba akasogea mpaka nilipo kisha akamchukua mtoto na kumbeba yeye kisha akaanza kusogea kuelekea mlangoni kisha akasema nimeshakusaidia mjukuu, tafuta namna ya kumrudisha mke wako nyumban..
Aisee mume wangu alikuja na kunibeba taksi bega mpaka kwenye gari kisha baba akanikabidhi mtoto, na kusema, kama siku nyingine mnataka kuleta kuleta kesi znu, hakikisheni ni kesi za kimahaba na hakuna mtu ambae anaweza kuwasikiliza kesi yenu zaidi ya kitanda chenu...
Sikumuelewa baba amesema nini kwa wakati huo, nilikuja kumuelewa baadae, na kweli nikarudi na mume wangu nyumban, nilijua wazaz wangu watanitetea kumbe ndio
Chapter 18
Nimefika nyumbani nimenuna balaa, alikuwa ananiangalia kwa upole, ila sikumjali, nikamnyonyesha mtoto kisha nikapanda kitandani nikalala zangu...
Kwenye usiku mkubwa, sijui ilikuwa ni saa nane au ni saa tisa, nikaanza kuhisi napapaswa, nilikurupuka na kumkuta mume wangu akiwa anahali mbaya sana, alikuwa anaonerkana kama anahitaji hakli yake ya unyumba...
"vipi wewe embu niache, nikasema akaniangalia kisha akasema kwani bado haujamaliza ada hyako ya uzazi....
Hapo ndio nikakumbuka kuwa nilikuwa nimetoka kujifungua siku sio nyingi sana na alikuwa anaonekana alikuwa ananihitaji sana na anasubiri kwa hamu damu ya hedhi ikate ili ajilie vitu vyake...
"ndio bado sijamaliza ada yangu, nikajibu.. aaa ngoja nihakikishe, akasema mume wangu kisha akanisogelea na kuanza kunivua nguo, nikawa naleta purukushani, akaniangalia kisha akasema hakikisha vurugu zako zinamuamsha mtoto, maana unamjua namna anavyolia usiku kucha mpaka paka wanaiga sauti yake.....
Ikabidi nitulie na kwenye kuni kagua si akakuta nipo msafi, akaanza kunipapasa, sikuwa nampoa ushirikiano maana nilikuwa nina hasira nae balaa, akaniangalia kisha akasema " aaaa wewe kama unataka kuninunua ninunue tu sina tatizo na hilo, ila naomba unipe haki yangu, maana vidude huwa havinunianagi...
Nikajikuta naanza kucheka, nilikuw anajua mume wangu ana kichwa cha wenge, basi akaja na kuanza kunipapasa, safari hii kwa ufundi zaidi kuliko mara ya kwanza, mpka nikajikuta natoa ushirikiano, alikuwa anaonekana kama ana ugwadi wa muda mrefu tu, basi bao la kwanza aliwah sana kulipata, na kwenye kutafuta bao la pili hapo ndipo tatazo, maana mwamba yuko juu, tunafanya kubadilisha style tu...
Basi kama tunavyojua hakuna marefu yasiokuwa nan cha, basi cha ikafika na akamaliza kisha tukalala akiwa amenikumbatia kwa mapenzi makubwa...
Asubuh naamka nakuta amashafranya kazi zote akataka tutoke, ikajua huyu anataka kujisafisha nimuone mwema tu, hana lolote...
Tukatoka na mtoto wetu, tunemefika hilo eneo ambalo alikuwa amepanga, akaanza kuniomba msamaha kwa kila kitu, akawa anasema kuwa mimi ndio nilisababisha kila kitu, ikabidi niulize nimesababisha kwa maana ipi, kwa sababu sikuwah bhata mara moja kuwa na mahusiano nae kusema kuwa nilishawah nkutengeneza mazingira ya kumsaliti hata mara moja....
" unajua ni kwa sababu gani niliacha kuwa na mazoea na wewe? Akauliza...
"hio sababu ndio ilisababisha unifanytie ukatili? Ikabidi na mimi niulize swali juu ya swali.. acha basi kisiran mamaa, nataka tumalize hili na tusameheane ili ikiwezekana tuanze mwanzo mpya mimi na wewe kipenzi changu, nilikuwa nakupenda kuanzia nimeanza kujua mapenzi, nilikuwa nakupenda sana, sasa niliogopa usije ukanichukulia kama rafiki au kama kaka yako ndio maana nilikata mazoea na wewe, ila naomba unisamehe kwa sababu nilisababisha usichaguliwe chuo, niliogopa sana ukienda vyuo vya mbali na kwenu unaweza kupata mwanaume mwingine na mimi nikakukosa, kuna namna nilifanya ukawa huwezi kutoka nje ya mkoa wako kwenda kusoma, nisamehe sana kwa hilo, ila lililokuwa linaniumiza zaidi, ni ulivyokuwa unakata viuno kwenye shughuli za watu, niliamin kuwa mimi pekee ndio natakiwa kuona namna unavyokatoka na siuo mtu mwingine yoyote, nisamehe sana mke wangu, nilishindwa kuuhimili wivu wangu, nikajua labda unafanya vile kwa sababu unataka mwanaume, ndio maana nikaona nikupe haki yako, sikujua ninaweza kutengeneza chuki kwako kiasi chote hicho...
Naomba usinichukie mke wangu, maana ni muda mrefu sana nimekuwa nikikupenda sana, na nakuapia kuwa siwez kuwa na mwanamke mwingine zaidi yako, maana wewe ndio wa kwanza na wa mwisho kwangu, naomba acha kisirani na tuendelee na maisha yetu ya furaha na upendo kama ambavyo tulikuwa tunaishi mamaa, akaanza kujitetea...
:
Nikamuangalia kisha nikaangalia chini, ni kweli amenikosea sana, ila amekuwa akinoonesha upendo usio na kifani kwa muda wote ambao alipata bahati ya kuwa karibu yangu...
Nikaona nisijifanye nakaza fuvu sana kwa sababu hata mimi mwenyewe nampenda ni hasira tu, na nisiruhusu hasira zangu zijde kuharibu mapenzi yetu...
nimekusamehe, nikasema, akasimama na
kusogea mpaka nilipo kisha akanibusu na
kusema asante sana mke wangu, naomba
nitubie kitu cha mwisho mamaaa, sitaki uje
kujua uanze kunikasirikia kama ulivyo fanya..
"kitu gani? Nikauliza...
"nimekuwa nikilala na wewe kwa muda mrefu. bila wewe kujua, akasema...

ITAENDELEA...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi