Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - Bonasi ya kibabe sana asilimia 500
Bonasi ya kibabe sana asilimia 500

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7 'Mungu wangu Solomon mwanangu

19th Dec, 2025 Views 141

, yaan na kusoma kote unakuja kuoa mwanamke kama huyu, ona sasa anachomjibu mdogo wako, mama yake Solomon akaanza kulalamika.. "Sasa ulitaka amjibu vipi, embu wife twende, akasema Solomon kisha akanishika mkono tukawa tunaondoka kuelekea ghrofan maana chumba chake ndio kilikuwa huko..

yaan hamsikilizi mama yako wala baba yako unakaa na hako ka mwanamke ambacho hata hakajui kamebeba mimba ya nani, Solomon kwanini unachagua mwanamke mshenzi kama wewe, akaanza kulalamika mama yake, akionesha ni dhahiri hakuwa anataka niwe na ukaribu hata wa mbali na mwanae...

Solomon akamgeukia mama yake kisha akasema unajua uliniacha na huyu mumeo mlevi bila kujali nakula nini wala nalala wapi, unajua ni nani ambae alinishika mkono ni alice, nilikuwa nalia kila siku nikitaman uje unisaidie au hata unifariji, unajua ni nani alinifariji na kunifuta machozi, ni alice, wakati ambapo mvua ilikuwa inanyesha na sikuwa na mwamvuli, unajua ni nani alienifunika, ni alice, hata nikisema namuoa, najua siwez kulipa hata nusu ya wema na fadhila zake, wakati dunia nzima imenitenga hakuna mtu hata mmoja alikuwa upande wangu zaidi ya alice, alikuwa ni binti mdogo ila aliondoa upweke wangu na kunipa nguvu ya kupambana wakati hakuna cha baba wala mama ambae alijali kuhusu mimi, nikisikia mtu anamuongelea alice wangu vibaya, naapa nitakula nae sahani moja...

Aiseee nilijisikia vizuri sana, picha kichwan kwangu ambayo ilikuja ni kuwa Solomon ananipambania kwa sababu nilimsaidia sana udogoni, bila kujua Solomon ananipenda kweli...

Basi tukafika chumban, nilikuwa nasikia joto vibaya mno, nikaomba nikaoge, nimeenda bafuni nashangaa mwamba anaingia nay eye, niliona aibu ila hata hakujali, akaja akanikumbatia kwa nguvu kisha maji yakawa yanatumwagikia maana tulikuwa tumefungulia bomba la mvua, nikataka kusema neno ila aninizuia kisha akasema kwa sauti ile ya kiume ambayo ilinifanya nipate msisimko wa ajabu kuwa naomba usiseme neno lolote lile mamaa, tulia... Mimi ni nani nikaidi maneno ya mwanaume rijali kama Solomon, kwanza mwanaume anakifua kitamu, hata nguvu ya kusema niondoke sikuwa nayo, nikawa nayasikilizia mapigo yake ya moyo namna yanavyodunda na namna ambavyo alikuwa anapambana sana kurudisha hisia zake nyuma, maana mtambo ulikuwa umesimama barabara ila akawa anajifanya hajali kabisa ety anataka kumbato tu..

Ila joto lake na sauti yake ni kama kitu ambacho nilishawah kukihisi miezi kadhaa nyuma, ila nikajiambia kuwa inawezekana ni kwa kuwa sikuwah kulala na mwanaume mwingine toka kipindi kile ndio maana nadhan atakuwa yeye...

Basi akanikumbatia wee, mwisho akaanza kuniogesha, akaanza kunipaka sabuni na kunisugua sugua sehemu mbali mbali za mwili wangu, ila sasa alivyo mchokozi hivyo anavyonisugua, ni balaaa.....

ITAENDELEA.
Tangazo - Hongera sana

Hongera sana
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* Chapter 7 'Mungu wangu Solomon mwanangu  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu-chapter-7-mungu-wangu-solomon-mwanangu



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


profile
majario 20 Dec 2025 01:28
Nasoma maoni yako hapa chini
gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi daktari-wa-jeshi-si-ungeniomba-tuu-chapter
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest