Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Gonga94 · Stories

Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
lake mwenyewe katikati ya msitu ili siku moja aje apindue ufalme na kukikalia kitu cha kifalme....

ENDELEA NAYO.....
General alipanda farasi wake na kuianza safari kuelekea katika jumba la kifalme.

Katika jumba la kifalme,
"Mfalme jopo la mawaziri na viongozi mbalimbali limeshafika katika sehemu ya mkutano wanakusubiri wewe tu,Mlinzi mkuu nzegi alimfikishia tarifa zile mfalme"
"Unajisahau sana Nzegi mlinzi wangu usisahau kama mimi ni mfalme wako salamu ni lazima"
"Nisamehe mtukufu mfalme,Nzegi aliongea lakini ndani ya moyo wake alizidi kujenga chuki zidi ya mfalme wake huyo".
"Aya twendeni".

Mfalme alielekea sehemu ya mkutano kuongea na jopo lake la mawaziri ambapo alikuta viongozi wote wapo kasolo general Tengeli tu.

"General yuko wapi mbona haonekani hapa???"
"Mfalme alienda kuangalia usalama siku mbili zilizopita kwenye mipaka yetu na siku ya leo atafika hapa"waziri mkuu aliongea.
"Mbona hakunipa tarifa????"
"Samahani mfalme ilikuwa ni dhalula,waziri mkuu aliongea kumtetea General Tengeli".

Mfalme hakuona sababu ya kuendelea kuhoji kuhusu General aliendelea na maongezi ya kikao husika.

"Kikubwa nilichowahitia hapa nikuwapa tarifa, Malikia amejifungua mtoto wa kiume salama na huyo ndiye atakayelithi kiti changu cha ufalme kwa kuwa ni mtoto wangu wa kwanza,
Na kutokana na sheria zetu za kifalme mtoto huyo atakuwa katika uangalizi mkubwa wa malezi kuanzia sasa na atapatiwa mafunzo maalumu".

"Hongeraaa mtukufu mfalme",mawaziri na viongozi mbalimbali walimpa pongezi mfalme wao isipokuwa waziri mkuu tu aliyeonesha kuchukizwa na tarifa zile.

"Bira shaka sijachelewa mtukufu mfalme,sauti ya General ilisikika"
"Ujachelewa general, ila ni vyema uwe unatoa tarifa".
"Nisamehe mfalme halitajitudia tena hili swala"
"Bira shaka general waweza kuketi,mflame alimjibu na kumruhusu kuketi".
General aliketi ila alimtazama waziri mkuu na kumkonyeza kuonyesha kuwa kuna siri kubwa kati yao inayoendelea katika ufalme huo wa ADELI.

Kikao kilimalizika salama na kila mumoja kuendelea na majukumu yake huku general na waziri mkuu wakionyesha kutokufurahishwa na tarifa zile za mfalme kupata mtoto wa kiume.

************************
MIAKA MITATU(3) BADAE

Ni miaka mitatu sasa imepita tangu mtoto wa mfalme azaliwe na walimpatia jina la Yao, Malikia Andwaa ndie aliyehusika kumulea mtoto wake katika chumba cha siri na miaka yote hiyo hamna mtu aliyefanyikiwa kumuona Prince Yao zaidi ya Malikia andwaa pamoja na Mfalme Kojo.

Katika kijiji cha Nyengweli kilicho ndani ya falme ya ADELI,
"Sukuma mke wangu, sukuma jitahidi mtoto anakaribia kutoka"
"Nimechoka mume wangu nguvu zimeisha za kusukuma hiiiiiiiiiii"
"Sukuma tena"
Ng'eee!!!! ng'eeeee!!!! Ng'eeeee!!!!, ni kelele za mtoto zilizokuwa zikisika baada ya mama huyo kufanyikiwa kujifungua akisaidiwa na mume wake .

"Mume wangu siamini kama nimejifungua salama naomba nimuone mtoto wangu"
"Umejifungua mtoto wa kike mke wangu"
" Utamwita AMMA (maana halisi ya hili jina ni jumamosi na leo ni jumamosi )"
"Mke wangu unaongea nini emu pumzika kwanza umepoteza damu nyingi sana ngoja nikuangalizie dawa".
'"Kabra hujaondoka mume wangu, naomba umtunze binti yetu Amma"
"Mke wangu nitakuja tuongee vzuri emu pumzika nifate dawa".

Bwana yule alitoka na kwenda kutafuta dawa kwa ajili ya mke wake ila aliporudi alikuta mtoto analia tu, lakini mke wake alikuwa kimya alitambua tayali ameshampoteza maisha.

ilikuwa ni huzuni kubwa kwa kumpoteza mke wake na kumuachia mtoto mchanga.
"Mke wangu lala salama nitamlea mtoto wetu na nitamsimulia sifa zako zote kipindi cha uhai wako".

Yalikuwa ni maneno ya mwisho kwa mke wake aliyeiaga dunia baada ya kupoteza damu nyingi kwa kujifungua kwake.

*****************

"Sasa nimeamini mwanangu Yao haoni maneno ya yule mtabili yametimia mtukufu mfalme, malikia aliongea kwa masikitiko"
"Yule mtabili huwa hadanganyi japo nina miaka mitatu simuoni na sina tarifa zake"
"Huenda kuna tatizo kubwa lilimpata mtabili"
"Nitatuma wapelelezi kufatilia ni wapi alipo"
"Ninaombi kwako mtukufu mfalme...."
"Ombi gani malikia andwaa???"
"Itakuwa ngumu kwetu kukaa na huyu mtoto katika jumba hili bira watu kujua, ivyo kama ikikupendeza ni vyema nikampatia mtumishi wangu Lindiwe akamlee mtoto wetu (Yao) katika nchi za mbali huko,malikia aliongea".

Maneno ya malikia yalimfanya mfalme aone ni wazo zuri mke wake amelitoa nae hakupingana na wazo hilo la malikia wake alikubaliana nalo.

Kijakazi aliyepewa jukumu la kwenda kumlea mtoto kipofu wa mfalme alijulikana kama Lindiwe, mtumishi aliyekuwa karibu na malikia miaka yote mpaka pale alipofanyikiwa kujifungua salama na walipanga siku maalumu ya kumtolosha Prince Yao katika jumba la kifalme.

Ni usiku wa manane,tukio lilipangwa kufanyika la kumtolosha Prince Yao katika jumba la kifalme.

"Lindiwe nakupa mwanangu huyu ukamlee kama mtoto wako licha ya upofu wake naomba uwe nae karibu na takupa chochote unachotaka niombi langu la mwisho kwako"
"Hapana malikia usiseme ivyo ulinichukulia kama ndugu nilipokuwa hapa na sio kama mtumishi ivyo sihitaji malipo yoyote kwenye malezi ya Prince Yao nitamlea bira kusuburi malipo yoyote yale".
"Hakikisha unatutumia tarifa pindi unapopata tatizo lolote lile,mfalme kojo alimwambia Lindiwe".
"Nitafanya ivyo mfalme".

Malikia andwaa alimkumbatia mwanae Yao kwa mara ya mwisho.

Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo hilo la kifalme kwa njia ya siri,ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao......ITAENDELEA

Je? Mtumishi Lindiwe pamoja na prince yao wanaelekea wapi na je? watafanyikiwa kufika salama huko waendako na vip kuhusu binti Amma aliyezaliwa na siku iyoiyo ya kuzaliwa kwake mama yake akafariki??? tukutane hatua inayofata hii sio ya kukosa kabisa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi

lake mwenyewe katikati ya msitu ili siku moja aje apindue ufalme na kukikalia kitu cha kifalme....

ENDELEA NAYO.....
General alipanda farasi wake na kuianza safari kuelekea katika jumba la kifalme.

Katika jumba la kifalme,
"Mfalme jopo la mawaziri na viongozi mbalimbali limeshafika katika sehemu ya mkutano wanakusubiri wewe tu,Mlinzi mkuu nzegi alimfikishia tarifa zile mfalme"
"Unajisahau sana Nzegi mlinzi wangu usisahau kama mimi ni mfalme wako salamu ni lazima"
"Nisamehe mtukufu mfalme,Nzegi aliongea lakini ndani ya moyo wake alizidi kujenga chuki zidi ya mfalme wake huyo".
"Aya twendeni".

Mfalme alielekea sehemu ya mkutano kuongea na jopo lake la mawaziri ambapo alikuta viongozi wote wapo kasolo general...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-ilipoishia-sehemu-iliyopita-general-tengeli-anataman-kuwa-mfalme-na-ndio-sababu-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu-ilipoishia-sehemu-iliyopita-general-tengeli-anataman-kuwa-mfalme-na-ndio-sababu-
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

364
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

334
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

319
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

174
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

76
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE

52
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

43
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

31
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

30
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest