VYOTE NDANI GONGA94
๐ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐ฅ Sehemu ya pili. ๐ Shemeji acha bana...๐
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Ivyo Unanitekenya.
" Vumilia ndio nasugua.
" Shemeji acha kwanza nikwambie kitu.
" Niambie.
" Ivi Shemeji wewe si unaweza kukaa na siri.
" Ndio naweza.
" Basi naomba unipeleke kwa wenye kazi yao hii ila kaka yako akirudi jioni useme wewe ndio umefanya.
" Sasa ukitoka na yeye karudi itakuwaje hapa.
" Sio nikitoka tunaondoka wote yeye anarudi usiku ajawai kurudi mchana nyumbani.
" Sawa Shemeji.
( Niliona Bora niende kwa wenye ujuzi wao maana uyu ajui kusugua miguu izo rangi si atanikandika kandika hao tunaenda kwa wenye kazi zao sasa nikamwambia Shemeji)
" Shemeji kaka yako kabadilika sana siku izi yani mpaka simu yake anaficha sio kama zamani.
" Hahahaha.
" Shemeji mimi nakwambia unipe ushauri wewe Unacheka unazani nakutania.
" Amna nacheka Shemeji kwa sababu unatakiwa kujua ivi....Mwanamke akiwa anaficha simu yake mumewe asiione,
jua hapo hakuna ndoa.
ILA
Mwanamume akiwa anaficha simu yake,
jua analinda ndoa yake.
" Mmmm sasa huo ni uonevu.
" Kweli tena Shemeji ukiishi kwenye ayo maneno autasema tena ayo maneno kuwa kaka anaficha simu.
( Natamani kumwambia nina wiki na unyumba anipi ila naisi nitakuwa nakosea tukafika sehemu tunayoenda vijana wakanipokea bahati nzuri akukuwa na wateja wengi basi waligawana miguu kunisugua Shemeji yupo pembeni anacheka mwenyewe namuuliza)
" Shemeji kinakuchekesha nini?
" Nacheka tu itafikia atua nyinyi wanawake mtapigishwa na mswaki na mtalipa pesa kazi yako wewe itakuwa kukenua meno tu.
" Kwanini unasema ivyo Shemeji.
" Sasa kusugua miguu wewe uwezi mimi naona wanawake wa kijijini wapo na jiwe nje ya choo akitoka kuoga anasugua mguu wake.
" Sasa uko kijijini hapa mjini wewe si unaona wanawake wa uku maji wanabeba mkononi awaweki kichwani wengi wao.
" Kweli mimi nikitaka kuoa naenda kuoa kijijini.
( Wale vijana wakamwambia)
" Ukishaoa kijijini ukimleta mjini atakuwa mteja wetu tu.
" Thubutu mke wangu mumshike shike ivyo sio mimi.
" Ndugu kumbe wivu ndio unakusumbua.
" Sana.
( Nilikuwa natamani kucheka Shemeji anavyojibu jibu...basi nilipakwa rangi vizuri..tukarudi nyumbani...na bahati nzuri mume wangu ajarudi...nilipika chakula nikaweka mezani usiku mume wangu akarudi akaona nimependeza akaniambia)
" Uyu mdogo wangu ndio kafanya ivi?
" Ndio.
" Kweli anataka kazi amefanya vizuri.
" Sawa ndio umlipe.
( Nilishangaa tena nikashangaa mala mbili pale mume wangu alipomwita mdogo wake akamwambia)
" Wewe unajua kwenye kazi kuna ova time?
" Sijui kwa sababu sijawai kufanya kazi kwenye kampuni yoyote ile kaka.
" Sasa basi ulijue ilo sasa wewe ova time yako twende ukanilishe chakula.
.
( Nilistuka kimya kimya nasema na moyo wangu mume wangu amtaki mdogo wake hapa nyumbani au mbona anampitisha njia sio Shemeji akasema)
" Kaka mimi siwezi kukulisha wakati wewe nguvu unazo za kula kama ungekuwa mgonjwa ilibidi nifanye ivyo bila kuniambia.
" Wewe sipendi kujibiwa wewe ulikuwa unataka kazi Nimesema twende ukanilishe chakula natangulia mezani njoo.
( Mume wangu akaenda kukaa mezani Nawaza Shemeji ataenda au atasimamia msimamo wake mimi nimekaa kimya mambo ya ndugu aya mume wangu akaita kwa ukari)
" Oya njoo unilishe nataka nikulipe nikalale mimi.
ITAENDELEA
JE NINI KITATOKEA USIKOSE EPISODE IJAYO.
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utani-wa-shemeji-kaichomeka-kweli-aaaaaaaaa-chomoa-sehemu-ya-pili-shemeji-acha-bana