Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*1 - - - - - 5* π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai
Gonga94 Β· Stories

*1 - - - - - 5* π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
najaribu kufikiria kuna mahali kumeandikwa mwanamke atakuwa house girl wa ndoa Wanaume wengi wanasahau hata kufua boksa zao baada ya kuoa....sijui nitumie neno gani kuongea lakini Mimi Tasha siwezi kuwa house girl wa ndoa 😏.

Mwanaume anayetamani kutengeneza familia na Mimi ajiandae kuogesha Watoto wake, kama anapenda wali wenye nazi ajue atanisaidia kukuna..... vyombo pia ataosha hata Mimi pia nitafanya majukumu yake....nisiwe muongo Mimi pia napenda kutafuta pesa. Kuna wakati tutalala njaa kwa sababu tumeshinda kazini wote kutafuta pesa "

Bryant Kobe alijikuta akiachia tabasamu kwa upuuzi aliokuwa ana zungumza Tasha Mrembo wa Tiktok. Hakuishia hapo alimfollow kwa lengo la kuwa ana sikiliza pumba zake πŸ˜„.

"Nimejikuta nikihisi hasira kwa maneno anayo zungumza huyo mjinga mafundisho ya uongo yanayo tolewa mtandaoni yamefanya mabinti wengi wawe na viburi....na ndio najikuta napoteza hisia na mapenzi " Bryant Kobe alizungumza huku akizidi kumkagua kagua Tasha aliyechafua hali ya hewa kwenye mtandao wa Tiktok.

"Kwa upande mwingine yupo sahihi kuna Wanaume hata kuflash haja zao wakiwa chooni hawawezi kisa na maana ameoa 😏 Mwanaume kama huyu nikimpata namnyoosha " Secretary Annie alizungumza.

"Na ndio maana hauna mahusiano mpaka sasa "

"Vipi? wewe hayo mahusiano unayo πŸ˜„" Annie alijikuta akiachia kicheko.

"Nafikiria kufanya mabadiliko ya Wafanyakazi wote kwenye hili Kampuni huenda ukawa mmoja wao hivyo kuanzia sasa kabla hujajibu au kukosoa chochote hakikisha unatuliza akili yako kwanza " Bryant Kobe alionesha hasira zake wazi wazi.

"Sa...sa...samahani " Annie alijishusha huku akibetua midomo kimya kimya,

Kauli aliyoizungumza Tasha ilikuwa gumzo mtandaoni ....watu wengi walitamani kujua historia yake.
Ni mtoto wa Kishua, msomi, Mrembo na kubwa zaidi hana kashifa mbaya sehemu yoyote ile.

Ni Mwanamke anayeamini katika usawa, hivyo tegemezi katika nyanja yoyote ile

Mida ya usiku Bryant Kobe akiwa kajipumzisha chumbani kwake aliingia Tiktok kwa mara nyingine tena.
Lengo lake lilikuwa ni kusikia pumba gani Tasha kazungumza tofauti na ile ya asubuhi.

"Mahusiano siyo ajira πŸ‘Œ kuna watu wanaingia huko kwa matarajio ya kujenga, kung'aa, kupata shepu na kumiliki simu za bei mbaya. Ni upuuzi kufikiria hivi ...nachotaka kusema hapa ni kwamba watu tufanye kazi....kitu kingine Mimi ukiniita ghetoni kwako nije kukufanyia usafi nitafanya kwa moyo mkunjufu ni kijua mwisho wa siku utanipa mshahara wangu. Msimamo wangu ni ule ule, siwezi kumfanyia usafi mpenzi wangu bure. Nitafanya hivi kwa Mume wangu kwa sababu ni nyumba yetu sote lakini siku nikiwa sina mood sitarajii kuulizwa leo hufanyi usafi ....."

"Mpuuzi huyu alianza vizuri lakini kamaliza vibaya...." Bryant Kobe aliongea pekee yake kisha akaachana na Tiktok.

Kitendo tu cha kufumba macho usingizi ulimpitia, alikuwa kachoka sana.

Kulivyo pambazuka alikunywa chai kisha akaelekea Shopping center ya Raba, ni mtu anayejipenda sana na mara nyingi anapenda kwenda na fasheni.

Raba zilizokuwa zinapatikana hapa zilikuwa ni za jinsia yote na rika lote .

Wadada wengi waliokuwa mahali hapa hawa kusita kumuangalia....wenye kutamani wampe K zao bure walinyoosha vidole vyao ndani ya mioyo yao.

"Ni CEO wa Kampuni ya Danone wanayo sambaza maji bora ya kunywa πŸ˜‹" Binti mmoja aliongea kwa sauti ya chini.

Basi baadhi ya mabinti walianza kutafuta fursa kwa kumuonesha tabasamu.

Vile ana moyo mgumu kuhusu mademu wala hakutikisika.

Akiwa katika kuchagua chagua huku na kule aliparamiana na Tasha mrembo wa Tiktok 🀭.

Alimanusura simu ya Tasha idondoke chini lakini Bryant Kobe aliidaka. Na ndipo macho yao yaligongana πŸ˜‰.

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 2
Endelea......
"Simu yako hii hapa " Bryant Kobe alizungumza baada ya kuchoka kugonganisha macho

Tasha alipokea kisha akaitia kwenye pochi yake, ni wazi kabisa hakutaka idondoke chini alijiandaa kuondoka lakini alisubirishwa.

"Hujui hata kusema ahsante nimeiokoa simu yako" Bryant Kobe aliongea.

"Mwanaume ni jukumu lako kuikoa kama ingetengeneza mpasuko hata kidogo tungefika Polisi "

"Kwanini " Bryant Kobe aliuliza kwa mshangao

"Miguu yako haikuwa makini hasara kidogo tu ingekula kwako.... camera za hapa zingetusaidia kuongea nani mhalifu na nani mwema, uwe na siku njema" Tasha aliongea kisha akaondoka.

Tayari alishajitengenezea umaarufu hivyo watu wote walikuwa wananong'ona kuhusu yeye na masomo yake anayoya fundishaga.

Bryant Kobe si mtu wa kusumbuliwa na vitu kama hivi, aliendelea na kazi yake ya kutafuta Raba kali baada ya kumaliza alielekea nyumbani kwao.

"Tafadhali sana siku ya leo naomba usiende sehemu yoyote ile kutakuwa na ugeni " Zara (Mama wa Kambo wa Bryant Kobe) alizungumza.

"Ulitakiwa kunipa taarifa mapema sina uhakika kama nitavunja ratiba yangu " Bryant Kobe aliongea akataka kuondoka lakini Zara alimtegea mguu, ili aweze kuendelea na safari yake itamlazimu akanyage mguu wa Mama yake wa Kambo. Hakuwa tayari kufanya hivi hivyo alikaa kusikiliza.

"Ulivyokuwa na miaka 5 ulipenda kuzunguka huku na kule watu wakuone kisa tu umevaa viatu vipya usiniambie hii tabia haijafa bado, usinifanyie hivyo umeshakuwa mvulana mkubwa sasa tunza hivyo viatu ndani utavaa wiki ijayo kama utaendelea kunisumbua itanilazimu ni kalie kwenye kaburi la Baba yako 😭" Zara aliongea.

"Huna haja ya kufika mbali, nitavunja ratiba zangu zote kwa ajili ya wageni wako " Bryant Kobe aliongea kisha akakaa kwenye kochi.

Zara ndio kutabasamu baada ya kuona anasikilizwa.

Basi kwa kushirikiana na Wafanyakazi wa ndani waliandaa chakula kwa ajili ya wageni.

Kilikuwa ni chakula kingi sana na hata Bryant Kobe alishindwa kuelewa ni kina nani hao wanakuja.

Aliingia Tiktok aone kuna habari gani mpya zinaendelea.

Alikutana na Tasha akiwa anajicheza cheza na wimbo wa Amanda ulioimbwa na Zuchu πŸ˜„.

Alisikia kuboreka zaidi πŸ˜„ aliachana na Tiktok kisha akaanza kufanya kazi zake za ofisini.

Hatimaye muda wa Wageni kuja uliwadia.
Ilimlazimu Bryant Kobe kwenda nje kukarimu Wageni akiwa na Mama yake wa Kambo.

Moyo wake ulidunda kidogo baada ya kumuona Tasha akiwa na wazazi wake.

"Karibuni...." Zara aliongea akiachia tabasamu.

"Tumekaribia....." Mama yake Tasha aliongea huku akimkodolea macho Bryant Kobe πŸ˜‰ kuna namna alimuelewa haraka sana.

"Bryant Kobe salimia 😏" Zara ndio kumkumbusha.

Basi Bryant Kobe alisalimia kishikaji tu ni mtu asiyependa shobo sana.

"Huyu ndio Phillips Kobe " Baba yake Tasha aliuliza

"Hapana, yeye bado yupo masomoni....huyu ndio Kijana wa kwanza wa Kobe bila shaka umewafananisha eeeh 🀭" Zara aliongea.

"Nafikiri...." Baba Tasha aliongea kisha akaelekea ndani.

Basi kwa pamoja walikaa mezani kula. Ulaji wa Tasha ulikuwa mbaya sana kiasi cha kumkwaza Bryant Kobe.

Mama Tasha aliligundua hili, vile kamuelewa Bryant Kobe hakutaka akwazike hata kidogo. Alipenyeza mguu taratibu amkanyage Tasha ajirekebishe, bahati mbaya alimkanyaga Bryant Kobe.

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 3
ENDELEA.....
"Sa...samahani 😣" Mama Tasha alijitetea

Watu wote walimgeukia kujua nini kinamfanya ajitetee.

Bryant Kobe alivunga haelewi chochote, aliendelea kula. Hakuwa mlaji sana ukilinganisha na watu wengine.

Tasha hakusita kuchukua nyama zake zote.

"Nadhani wewe si mpenzi wa nyama "

"Ndiyo, huyu si mpenzi wa nyama ukilinganisha na Philips Kobe " Zara aliwahi kujiongelesha.

Baada ya chakula kumalizika vyombo vilitolewa mezani.

"Bryant Kobe unaweza kumtembeza Tasha mazingira ya huko nje " Zara aliongea, bila shaka watu wazima wakongwe walihitaji kufanya mazungumzo.

Bryant Kobe hakuwa na noma alianza kumuonesha Tasha mazingira ya nyumbani kwao.

"Vipi unataka kuhamia hapa kwanini nimeambiwa ni kuoneshe mazingira ya hapa"

"Kichwa kikubwa akili hamna siku zote wazazi wetu hutuondoa kwa namna hiyo wakitaka kuzungumza mambo yao ya siri au ulitaka kuambiwa wee mvulana toka tuna mazungumzo " Tasha aliuliza.

Bryant Kobe hakujua ajibu nini, alimpuuza Tasha akaendelea kumtembeza.

"Nyumba yenu nzuri sana, kwa kuwa nyie ni family friend ipo siku nitakuja hapa kurekodi kipindi changu "

"Kipindi kipi? hicho unacho zungumzaga Tiktok, ukweli ni kwamba unatia ajbu sana. Kwa muonekano wako huo ulipaswa utengeneze kizazi kinachojiamini katika suala zima la utafutaji pesa na si kuongea pumba kama zile....kuna namna unafanya Wanaume waone siyo kitu. Ukweli ni kwamba kupitia mafundisho yako hayo kutakuwa na wimbi kubwa la mpasuko katika ndoa za watu " Bryant Kobe alionesha hasira zake waziwazi.

"Nilitarajia kuiona hii hoja yako kwenye sehemu ya comment na si kama hivi unavyo fanya..... mafundisho yangu yapo sahihi na nitaendelea kusambaza ulimwenguni kote. Mwanamke si Mtumwa wa Mwanaume vipi inauma kuambiwa huu ukweli...." Tasha aliuliza.

"Upo kwenye mahusiano πŸ™„" Bryant Kobe aliuliza kabla hajatoa hoja yake.

"Sipo kwenye mahusiano, vipi kwani"

"Naomba uyashike maneno yangu na uikumbuke siku hii...." Bryant Kobe aliongea Kisha akamsogelea kwa ukaribu zaidi.

Tasha alifungua masikio yake kwa umakini pia, alihitaji kusikia anacho ambiwa

"Hakuna Mwanaume atakuja kukupenda wala kukutamani utazeeka pekee yako ukijitahidi sana kuficha aibu itakulazima kuoa Mwanamke mwenzio atakaye weza kufanya kazi sawa na wewe"

Tasha aliachia tabasamu bila kujalisha ukali wa maneno ya Bryant Kobe.

"Mwanaume yoyote yule ni kimtaka nampata hata wewe ni kisema unioe sasa hivi na ufanye kazi zangu zote nazotaka utafanya " Tasha aliongea kisha akaondoka huku akicheka.....kiwango chake cha kujiamini kiko juu sana kupita maelezo.

"Bila shaka anatawaliwa na pepo la upweke, Mwanamke mwenye malengo ya kuitwa mke wa mtu hawezi kuzungumza hivi " Bryant Kobe aliongea akionekana kumpuuza kupita maelezo.

Hakutaka kuharibu siku yake, alishika simu yake akampigia Philips Kobe (Mdogo wake waliochangia Baba tofauti Mama)

"Unarudi lini? kuna namna naboreka sana siku kuisha bila kukuona wewe "

"Upweke mbaya, unanimiss sana kwa sababu upo single , mbona Secretary Annie ni mrembo fanya mpango chapu bhana" Philips Kobe aliongea.

"Nani kakueleza furaha yangu inategemea Mwanamke?....kama unamini hivi basi utateseka sana . Masharti ya Mama yako yananishinda, kuna muda ananipangia muda wa kurudi nyumbani...nimeshakuwa mvulana mkubwa eeh, nikimvimbia anatishia kwenda kulia kwenye kaburi la Baba yetu"

"Nilimuambia akuchunge kwa ajili yangu punguza hasira, nadhani wiki ijayo nitakuwa hapo πŸ˜„" Philips Kobe aliongea.

Basi waliongea mawili matatu kisha wakaagana.

Bryant Kobe anaamua kurudi ndani, anafarijika kuona Wageni wanataka kuondoka.

"Karibu nyumbani kwetu, hakikisha unakuja hata siku moja. Tasha ni Kijana mwenzako italeta picha nzuri kama mtakuwa mnatembeleana mara kwa mara " Mama Tasha aliongea akiwa kamshika mikono Bryant Kobe.

Tasha ni kubetua tu midomo kimya kimya, yupo radhi kupoteza muda wake kwa kutazama movie na si kukaa na kuzungumza na huyu kidume.

"Nikipata muda nitakuwa nafanya hivyo " Bryant Kobe aliongea kwa ufupi.

"Hebu msaidie Tasha kubeba pochi yake, anaonekana kuchoka " Zara ( Mama wa Kambo wa Bryant Kobe) alitoa maelekezo.

Macho yalimtoka Bryant Kobe kwa kazi aliyopatiwa eti abebe pochi ya TashaπŸ™„πŸ™„πŸ™„............Maana nicheke kwanza

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 4
ENDELEA.........
Bryant Kobe alitaka kugoma lakini kwa jinsi Mama yake wa Kambo alivyo mtazama hakuwa na namna.

Aliichukua pochi mikononi mwa Tasha kibabe.

Hakusubiri kuambiwa alisogea mpaka kwenye gari.

Basi Tasha aliingia kwenye gari baada ya kuhakikisha amekaa vizuri alinyoosha mkono wake.
Bryant Kobe alimkabidhi pochi.

"Natarajia kuona comment yako kwenye mafundisho yangu nayotoa kila siku. tengeneza hoja nzito nami nitakujibu kwa hoja " Tasha alimalizia kuongea kwa kukonyeza.

Bryant Kobe hakupendezwa na ukonyezaji wake aliondoka.

"Hivi Bryant Kobe ni Kijana wa aina gani " Tasha alimuuliza Baba yake kwa sababu hakuonesha kumshobokea Mwanaume huyo.

"Ni Kijana makini sana....naweza kusema anafaa kuwa kiongozi wa familia au Serikali "

"Pia anaonekana kujali sana watu, ni Kijana mzuri sana jamani...ikitokea mmepata Mtoto nitaringa sana 🀭" Mama Tasha alijisemesha.

"Na ndio maana sikukuomba mtazamo wako....kitu unacho kiwaza ni cha ajabu sana " Tasha aliongea.

Mama mtu aliishia kubetua midomo, siku zote yeye na Binti yake huwa wana tofautiana mitazamo.

Upande mwingine Bryant Kobe akiwa ana pambana kutafuta usingizi alijikuta akikumbuka maneno ya Tasha.

"Mwanaume yoyote yule ni kimtaka nampata hata wewe ni kisema unioe sasa hivi na ufanye kazi zangu zote nazotaka utafanya "

"Anajiamini nini huyu....ngoja nione mwisho wake. Aina hii ya watu wanaojiamini kama yeye huwa wanaishia vibaya " Bryant Kobe aliongea.

Kulivyo pambazuka asubuhi aliwahi kuamka. Si mtu wa kupenda kulala sana.

Kicheko cha Mama yake wa Kambo πŸ˜…πŸ˜… kilimfanya asite kidogo kuendelea na kitu alichokuwa anataka kukifanya

"Bryant Kobe hebu sogea hapa, huu ujumbe ni wa kwenu πŸ˜….....Tasha aliyekuwa hapa jana kajua kunifurahisha 🀣🀣" Zara aliongea akionekana kufurahi.

"Hivi mnajua ni kwanini Wanaume wengi hukasirika kupita kiasi pale wanapoombwa pesa?. Leo nitawaibia siri.... Wanaume wengi huogopa kusema ukweli kuwa hawana pesa....unapomuomba pesa na yeye hana, unamfanya ajisikie vibaya zaidi hivyo kuliko ukazane kumuomba pesa itapendeza kama mara moja moja ukiwa unamtumia anaweka akiba ili siku ukimuomba asikose pa kushika" Bryant Kobe alirudisha simu baada ya kumaliza kusikiliza, alijitia amefurahi lakini ndani ya moyo wake alisikitishwa na mitazamo ya Tasha.

"Kuna sehemu naenda ndio maana nimeamka mapema, baadae " Bryant Kobe aliongea kisha akaondoka.

Zara wala hakumzingatia, alikuwa na kibarua cha kuwatumia marafiki zake hii video iliyomvunja mbavu.

Bryant Kobe akiwa kwenye gari lake alifanikiwa kumuona Tasha akiwa kavaa kigauni cheupe.

"Nitamkomesha...." Bryant Kobe alijisemea kisha akaongeza kasi ya gari, kwa makusudi alipita kwenye maji yaliotuama.

Waaaaaaa 😩😩 gauni ya Tasha iligeuka kuwa rangi ya udongo....pamoja na yote alijitahidi kadri ya uwezo wake kuikariri plate number ya gari lililomfanyia makusudi.

ITAENDELEA...........
SEHEMU YA 5
ENDELEA....
Moja kwa moja Tasha alimtumia namba rafiki yake anayependa kucheza na mambo ya magari.

"Nipo barabarani bado, sitaondoka mpaka utakapo niambia mmiliki wa hilo gari ni nani βœ‹" Tasha alimsisitiza rafiki yake.

Baada ya dakika kumi kupita alitumiwa majina ya mmiliki wa gari lililomwagia maji machafu na mahali anakoweza kumpata.

"Bryant Kobe anaonekana kuvutiwa na Mimi hizi chokochoko siyo bure, anyway anachokitafuta atakipata " Tasha alijisemea kisha akasimamisha bajaji.

Ilimlazimu kurudi nyumbani, kwa wakati huu alipendeza kuliko mara ya kwanza.

Anaamua kuvunja ratiba zake zote sababu ya vurugu aliyofanyiwa na Bryant Kobe.

Moja kwa moja alielekea nyumbani kwao. Zara anaachia tabasamu baada ya kumuona. Anatamani sana binti huyu amilikiwe na Philips Kobe (Mtoto wake wa damu).

"Ukiwa unasubiria chai kuta unatazama hizi picha, huyu ni Kijana wangu Philips Kobe hapo alikuwa na miaka 18" Zara aliongea kisha akaondoka.

Tasha hakuwa na namna zaidi ya kutazama, bahati mbaya au nzuri kati kati ya picha hizi kulikuwa na picha ya Bryant Kobe enzi hizo ana miaka 21.

Tasha alijikuta akiitazama picha hii bila kukoma, alipoona kama atafumwa hivi aliiweka kwenye pochi yake.

Basi Zara aliweka chai mezani, walianza kuburudika huku wakipiga stori za hapa na pale.

"So, mpaka sasa haupo kwenye mahusiano " Zara alitupia mtego.

"Sipo na wala sijataka kuwa....na mambo mengi sana nikisema nianzishe mahusiano kwa sasa nahofia kusema nitayatelekeza "

"Hapana, ni vile tu hujakutana na mtu wa kuziteka hisia zako, endelea kujipa muda " Zara alishauri.

Basi kati kati ya mazungumzo yao, Bryant Kobe alifika.

Moyo wa Tasha ulishtuka hasa akikumbuka kaiba picha ya huyu kichaa.

"Natumaini umekunywa chai huko ulikotoka " Zara alikumbusha kwa sababu alikuwa ameandaa kidogo sana.

"Usiwe na hofu, Mgeni karibu" Bryant Kobe aliongea kwa ufupi kisha akapiga hatua aondoke.

"Nimekuja hapa kwa ajili yako" Tasha aliongea.

Basi Bryant Kobe ilimlazimu kuelekea bustanini kwa ajili ya mazungumzo.

"Mb.....wa wewe mwenye kichaa 😠 kwanini ulinimwagia maji machafu??? naomba uniombe msamaha haraka iwezekanavyo au nikupeleke Polisi" Tasha alifoka.

Bryant Kobe alimtazama kwa nukta kubwa kisa na maana kamuita Mbwa.

"Acha kunitazama namna hiyo, fanya haraka kuniomba msamaha"

Bryant Kobe alinyoosha mkono akamkwida Tasha ni hivi alimkunja kisawa sawa kisha akamsogelea wakawa pua na mdomo.

"Mwanaume hapandishiwi sauti wala kutukanwa hadharani....hilo tusi ulililo ni tupia ulipaswa utukane kimoyo moyo na si hadharani " Bryant Kobe alifoka.

Kitendo cha Tasha kurefusha tu mdomo ajibu mashambulizi alijkuta kazigusa lips za Bryant Kobe.

"Mb.....wa huyu ni kisema ni mheshimu bila kuzifanya chochote lips zake atakuja kunifokea Tiktok" Bryant Kobe alijisemea ndani ya moyo wake kisha akafungua mdomo wake.

Alianza kumpiga denda Tasha aliyeonekana kuridhia.

Zara akiwa kabana nyuma ya mti alitoa macho kwa anakiona.
Alijisahau kabisa kama mahali hapa kuna siafu.

"Nini hiki 😩" Alijiuliza kwa mshangao baada ya kuhisi anang'atwa.

"Msaadaaaaaaaaa " Alipiga kelele.

Ndipo Bryant Kobe alishtuka, aliachana na Tasha akakimbia kutoa msaada.

Tasha aliishia kuzishika lips hakuamini kama kapigwa denda kizembe.

Akiwa katika kutafakari jongoo kubwa kupita maelezo lilimpandilia, ukiangalia vibaya utasema ni nyoka.

"Msaadaaaaaaaaa" Alipiga kelele

"Siafu siyo kitu....nenda ukamsikilize Mgeni " Zara aliongea.

Basi Bryant Kobe alimrudia Tasha, wacha ampuuze baada ya kuona jongoo lipo kwenye mapaja yake

"Toa hili dudeeee "

"Kutokana na mafundisho yako ulisema Wanaume wa siku hizi hawawezi hata kuua mende ....... fanya kujiokoa mwenyewe" Bryant Kobe aliongea kisha akakaa pembeni kusikilizia.

Tasha alikusanya ujasiri alichukua pochi yake akalisukuma jongoo kuleeeeee kwa nguvu zote....

Siku ya leo ilikuwa mbaya kwake 😣 ndiyo jongoo lilikwenda kule lakini vitu vyote vya kwenye pochi yake vilimwagika, wacha picha ya Bryant Kobe ionekane hadharani alitamani dunia yote igeuke kuwa bahari..........

ITAENDELEA.........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*1 - - - - - 5* π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai

najaribu kufikiria kuna mahali kumeandikwa mwanamke atakuwa house girl wa ndoa Wanaume wengi wanasahau hata kufua boksa zao baada ya kuoa....sijui nitumie neno gani kuongea lakini Mimi Tasha siwezi kuwa house girl wa ndoa 😏.

Mwanaume anayetamani kutengeneza familia na Mimi ajiandae kuogesha Watoto wake, kama anapenda wali wenye nazi ajue atanisaidia kukuna..... vyombo pia ataosha hata Mimi pia nitafanya majukumu yake....nisiwe muongo Mimi pia napenda kutafuta pesa. Kuna wakati tutalala njaa kwa sababu tumeshinda kazini wote kutafuta pesa "

Bryant Kobe alijikuta akiachia tabasamu kwa upuuzi aliokuwa ana zungumza Tasha Mrembo wa Tiktok. Hakuishia hapo alimfollow kwa lengo la kuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/1-5-ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya-1-mwanzo-ni-aibu-mwanaume-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi
β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA
β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA
RUNGU LA KIPOFU 22.
RUNGU LA KIPOFU 22.
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡
UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❀️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 103
MY WANGU❀️ sehemu ya 103
πŸ”₯ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTEπŸ”₯6..10  Sehemu ya sita
πŸ”₯ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTEπŸ”₯6..10 Sehemu ya sita
BABA KAMA PUNDA.6-10  ( 6----------10 )  Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
BABA KAMA PUNDA.6-10 ( 6----------10 ) Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 13.  πŸ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 13. πŸ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
RUNGU LA KIPOFU 21.
RUNGU LA KIPOFU 21.
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7   Dar es salaam  SEHEMU YA SABA  ENDELEA    Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7 Dar es salaam SEHEMU YA SABA ENDELEA Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya..Saba   πŸ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya..Saba πŸ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...πŸ‘‡
πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹  Sehemu ya 14
πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹ Sehemu ya 14
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10  ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10 ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya sita. πŸ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...πŸ‘‡
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.19K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.14K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

458
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

240
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

74
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

29
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

4
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest