Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž
Gonga94 Β· Stories

6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
:06

Dada alisema β€œmimi ninamuamini sana yule dada. Sio mtu wa polepole. Hawezi kunidanganya tena baada ya kumuonesha picha yako alikusifia sana kuwa unafaa sana na alipenda mno ngozi yako. Mimi ninayo imani tumpe muda. Ila mdogo wangu, kamwe tusije msahau huyu mzee hapa.”

Nilitabasamu nikisema β€œsiamini hata, tusubiri kesho tu.”
Dada alicheka akisema β€œsasa lala, kesho tutampigia atuambie nini kinaendelea.”

Nikamkumbatia dada yangu, kisha nikashika mikono ya dada yangu na kusema β€œAsante sana dada yangu. Nakupenda. Nashindwa kuongea ila una moyo mzuri. Unapenda mdogo wako nipate. Unanipambania sana.”

Dada alitabasamu na kusema β€œwewe ni mdogo wangu, sisi ni damu moja, tumelala tumbo la mwanamke mmoja. Na mimi ni kama mama na wewe pia ni mama yangu. Tunaleana. Nakupenda sana Ndeana wangu.”

Nikatabasamu tu dada yangu alikuwa akitoka akiwa na furaha huku akisema ulale sasa mrembo wa familia.
Mimi nikacheka tu.

Siku ile nikalala nikiwa nina hamu ya kufika siku mpya. Yaani ninalala ni kama naota siku inayofuata vile. Niliamka kwa kuchelewa kidogo nilikuta dada kafanya kazi basi nami nikamuandalia baba chai. Baada ya hapo nikamuuliza dada β€œkuna hata dalili dada?”

Dada akacheka akisema β€œalisema saa tano na wewe ndiyo kwanza unauliza saa mbili. Acha mambo yako.”

Nikamtazama dada kwa kudeka nikisema β€œsi nauliza tu dada unajua sijalala mwenzako usingizi nimepata asubuhi ndiyo maana nimechelewa kuamka.”
Dada akacheka akisema β€œuvivu tu huna lolote subiri hiyo saa tano.”
Dada akaniacha nikaendelea na kazi zingine.

Nikikumbuka natamani hata kucheka yaani, kwasababu nilianza kujipa kazi ambazo hata sikutakiwa kufanya ili mradi tu muda uende. Mpaka saa tano inafika dada hakusema lolote lile. Nikamwambia dada β€œmmh mpaka sasa kimya nilijua tu zile sehemu wanapeana sana kazi.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:07

Dada hakujibu badala yake akapiga simu. Simu ile iliita na haikupokelewa na baadaye ukaingia ujumbe. Dada akasoma na kisha akanipa na mimi nisome. Ujumbe ulitoka kwa dada Posta ndiyo dada yangu alimsave huyo dada, nami nikasoma. Aliandika β€œnakukumbuka kipenzi, nimetingwa kidogo hapa ila usikae mbali na simu yako.”
Nikatabasamu. Dada akaniuliza β€œmbona tabasamu.”
Nikasema β€œitakuwa safi eenh mbona usikae mbali na simu.”
Dada akacheka akasema β€œndiyo tusubiri tujue mbivu na mbichi.”
Nikatabasamu.

Basi hata muda ambao simu ya dada iliita nikijua ni huyo dada Posta haikuwa kiasi hata dada alisema β€œtulia mdogo wangu, usipopata tutatafuta kwingine. Najua ni ndoto yako ila kuwa na utulivu.”

Mimi nilimtazama tu dada na kuitikia huku ndani ya moyo wangu nikisema β€œMungu naomba usonipite kwenye hii nafasi.”

Hata sikuwa naelewa vipindi vya Tv yetu ndogo ya chogo vilivyokuwa vinaendelea pale sebuleni. Mara nyingine tena simu iliita. Dada alinitazama na kusema β€œanapiga.”
Nikashtuka haraka nikatoa sauti kwa tv nikisema β€œweka loudspeaker dada.”
Dada alipokea na kusema β€œniambie rafiki yangu.”

Nikamsikia akisema β€œaisee mdogo wako ana nyota kali. Unajua boss wa hiyo Hotel leo ndiyo nimemtafuta na nikaenda kukutana naye.”
Dada sasa akawa anatabasamu huku mimi natetemeka, dada anasema β€œeenh niambie shoga imekuaje.”

Yule dada akasema β€œnakuambia nilipomuonesha tu picha, akaniuliza huyu mdogo wako, na anapenda mambo ya hotel. Sasa mbona husemi. Hawa ndiyo vivutio kwa wateja.”

Dada yangu akasema β€œwewe usiniambie, ina maana amekubali?”
Yule dada akachrka akisema β€œunajua nilipokuwa nakuja nilijua ataniambia habari za Corona ila huwezi amini, unajua alichosema?”

Mimi hapo natetemeka, naogopa natamani nipige kelele za furaha. Dada akawa anachekelea akisema β€œniambie sasa, niambie Boss kasemaje?”

Yule dada akasema β€œhongera sana una mdogo ana mvuto sana. Boss amesema kama ana muda leo leo nimepeleke pale. Nimkutanishe na meneja na kisha meneja ndiyo atajua cha kufanya.”
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:08

Dada akauliza β€œhivyo tu basi?”
Yule dada akacheka akisema β€œna vyeti vyake tu, ni hivyo tu kwahiyo mpe mrembo wetu namba yangu kama ana muda leo leo aje. Kama hana basi siku nyingine.”
Kwa furaha nikajikuta najibu β€œnakuja dada, nakuja.”

Wakaanza kucheka huku wakiambiana namna nimechanganyikiwa. Nyie, nyie jamani. Kupata kazi ni amani, ni raha sana. Nilifurahi nikimkumbatia dada yangu, nilitokwa machozi nikipiga kelele za asante Mungu. Hakika ilikuwa ni furaha sana huku dada na yeye alipomalizana na shoga yake alikuwa akiniambia β€œhongera mdogo wangu, kajiandar sasa.”

Nilimtazama dada nikisema machozi yakitoka β€œsiamini eti dada, nimefurahi sana,”
Dada alinikumbatia tena na kusema β€œNdeana wewe ni msichana mzuri sana. Nakuambia kila siku na unaipenda hii kazi. Niamini utafanikiwa sana.”
Basi nilimkumbatiana dada na Asante nyingi sana.

Dada yangu aliniambia β€œkajiandae sasa unachelewa sana.”
Nikamuuliza β€œbaba yuko wapi sasa nimuambie.”
Dada akacheka β€œbaba yako umkute saizi kweli. Nenda kajiandae kwanza.”

Nikakimbilia chumbani kwa haraka, nikavua nguo na kuvaa kanga na kisha nikatoka mpaka kwenda bafuni. Haraka haraka nikaoga na nilipotoka nikachagua moja kati ya gauni ninazopenda sana nikavaa, nikavaa na viatu vyangu mchuchumio, nikabeba na pochi mtoto wa kike.

Ingawaje vitu vyangu havikuwa vya bei ghali ila vilinikaa, nikapendeza nakumbuka hata dada yangu aliponiona alisema β€œwacha wacha wacha, mdogo wangu katika siku umependeza wewe umependeza sana. Nimefurahi.”

Nikatabasamu tu. Dada akanipa maelekezo yote muhimu, kisha aliniambia β€œnjoo nikupe baraka mdogo wangu.”

Nilisogea na dada alinikumbatia, namjua dada yangu alikuwa ananiombea kimoyomoyo tangu nikiwa mdogo hupenda kufanya hivyo na alipomaliza nikajibu β€œAmen dada Vee.”
Akatabasamu.

Kwa namna nilipendeza hii siku haikuwa ya kupanda daladala kusema kweli. Nikajikakamua nipande bajaji kwa kukodi. Kwa maana nilikuwa poa sana.
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:09

Hii bajaji ilinifikisha mpaka mahali yule dada alisema tukutane kwa maana alisema yupo nje kikazi siku hiyo. Hivyo nami nikafuata maelekezo.

Nilifika hiyo sehemu aliponiona tu, alitabasamu na kuniita β€œNdeana!!”
Nami nikaitikia β€œdada!!”

Akaniangalia akitabasamu nami nikimsogelea. Nakumbuka aliniambia β€œkumbe kuna wasichana wazuri hivi. Ndeana wewe ni mrembo.”

Nikamjibu kwa upole β€œAsante sana dada.”
Akaniambia β€œNaitwa Martha, niite dada Mar”
Nikatabasamu tu na yeye akatabasamu.

Tukawa tunaelekea kwenye gari na yeye akaniambia β€œnimekupenda, unaonekana upo makini sana. Mwingine angejivuta tupigiane simu mpaka. Ndeana ukiendelea hivi utafanikiwa. Nidhamu ndiyo kila kitu kwenye haya maisha.”
Nikamwambia kwa tabasamu β€œnashukuru sana dada Mar.”

Akanitazama tu na tabasamu akaanza kuendesha gari huku tukiongea kuhusu dada Vanessa na tukajikuta tunacheka kama vile tunajuana zamani sana. Nakumbuka sana, tulifika maeneo ya ilr hotel ya ndoto. Kabla hatujaingia alisema β€œUsiwe muongeaji sana, mimi ni dada yako mtoto wa shangazi wako. Hivyo tu mdogo wangu.”

Nikaitikia huku natetemeka. Sehemu naiona kwa picha sasa naenda na nitafanya kazi hapa. Sio ndoto ni kweli. Mpaka tunashuka kwa gari siamini natazama huku na kule, naangalia huku na huku. Aiseee!!, Aiseeee!!! Tanzania hii ina majengo, kuna watu wanalala pazuri sana. Mandhari ya sehemu hii ilizidi furahisha macho yangu.

Basi mimi namfuata tu huyu dada. Yeye pale anaonekana mwenyeji sana. Kwa maana anasalimiana vizuri na watu wa pale na mambo kama hayo, Kisha moja kwa moja tukaelekea ofisini kwa meneja.

Meneja aliponiona akawa ananishangaa. Huyu dada Mar akauliza β€œmbona kushangaa hivyo, mgeni wenu huyu. Mimi nina haraka. Naomba mpeleke kwa boss wako. β€œ

Kisha akanitazama na kusema β€œmdogo wangu kama ambavyo nilikuambia leo sijatulia nna kazi nje ya ofisi. Tafadhali kuwa mtii, sikiliza na kisha utaambiwa utaratibu.”

Nikatabasamu tu. Kisha huyu dada mzuri akaagana na meneja ambaye pia kiumri ni mkubwa kwangu na tulianza kuelekea ofisi nyingine ni mwendo wa lift tu. Mimi nafuata tu maana nashangaa kila kitu.
π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:10
Tukiwa kwa Lift huyu meneja akaniuliza β€œunaitwa nani?”
Nikamjibu β€œNaitwa Ndeana.”
Akaniambia β€œuna jina zuri sana. Una ahadi na boss,”
Nikamjibu β€œNdiyo.”
Akaniambia β€œsawa, karibu.”
Nikamjibu tu β€œasante.”

Tulifika mpaka korido la hiyo ofisi. Aliniambia nisubiri nje kisha yeye akaingia huku mimi nampa habari dada yangu kwa simu. Na baada ya muda kidogo, alitoka na kusema β€œUnaweza kuingia sasa.”
Nikatabasamu na kusema β€œAsante.”

Basi yeye akaondoka na mimi nikavuta pumzi na kuingia. Ooh!!, ofisi ni safi, imepangwa vizuri sana. Pananukia mno. Na kuna mwanaume alikuwa amekaa tu kwenye kiti ameinama. Niliingia taratibu. Kisha kabla sijasalimia, huyu mwanaume aliinua kichwa chake.

Eeenh!!, wacha nivute pumzi. Huyu mwanaume ni bonge la bwana, yaani anakuaje bosi mbona kama bado mdogo ingawa kwangu mkubwa kama miaka kumi na zaidi hivi, ila kuwa boss wa Hotel ile ni inawezekana vipi.

Nikawa nashangaa namna alivyo na muonekano wa kuvutia. Na hata yeye niliona uso wake ukinisaili kuanzia chini mpaka juu. Kisha kwa sauti ambayo ni wazi alitoa hila kukusudia alisema β€œwaoooh!!, waooo!!”

Yaani tunashangaana kiasi hata sasa naogopa, ilibidi nisalimie β€œshikamoo!!”
Akatabasamu, uwiii!!, anao mwanya fulani hivi na meno meupe, anatabasamu sijawahi kuliona. Ni zuri sana tabasamu lake, akaniambia akijibu salamu β€œMarahaba beutiful, karibu sana.”
Nikasema β€œnashukuru sana.”

Huyu mwanaume aliniambia β€œunaweza kuketi sasa.”
Nikaketi. Nilipoketi alisema β€œNaitwa Stewart, and you?”
Nikamtazama kwa tabasamu nikajibu β€œNdeana.”

Akanitazama kwa muda akitabasamu na kisha alianza kutaja jina langu mfululizo β€œNdeana!!, Ndeana!!, Ndeana!!. Unajina la kushangaza kama ulivyo wewe. Karibu sana.”
Nikatabasamu, na yeye akatabasamu akiniambia.....
eeemh itakuaje sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»πŸ’ƒπŸ»

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž

:06

Dada alisema β€œmimi ninamuamini sana yule dada. Sio mtu wa polepole. Hawezi kunidanganya tena baada ya kumuonesha picha yako alikusifia sana kuwa unafaa sana na alipenda mno ngozi yako. Mimi ninayo imani tumpe muda. Ila mdogo wangu, kamwe tusije msahau huyu mzee hapa.”

Nilitabasamu nikisema β€œsiamini hata, tusubiri kesho tu.”
Dada alicheka akisema β€œsasa lala, kesho tutampigia atuambie nini kinaendelea.”

Nikamkumbatia dada yangu, kisha nikashika mikono ya dada yangu na kusema β€œAsante sana dada yangu. Nakupenda. Nashindwa kuongea ila una moyo mzuri. Unapenda mdogo wako nipate. Unanipambania sana.”

Dada alitabasamu na kusema β€œwewe ni mdogo wangu, sisi ni damu moja, tumelala tumbo la mwanamke...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/6-10-jamani-boss-mi-naona-aibu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi
β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA
β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA
RUNGU LA KIPOFU 22.
RUNGU LA KIPOFU 22.
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡
UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
MY WANGU❀️ sehemu ya 118
*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❀️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 103
MY WANGU❀️ sehemu ya 103
πŸ”₯ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTEπŸ”₯6..10  Sehemu ya sita
πŸ”₯ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTEπŸ”₯6..10 Sehemu ya sita
BABA KAMA PUNDA.6-10  ( 6----------10 )  Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
BABA KAMA PUNDA.6-10 ( 6----------10 ) Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 13.  πŸ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 13. πŸ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...πŸ‘‡
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
RUNGU LA KIPOFU 21.
RUNGU LA KIPOFU 21.
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7   Dar es salaam  SEHEMU YA SABA  ENDELEA    Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7 Dar es salaam SEHEMU YA SABA ENDELEA Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya..Saba   πŸ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...πŸ‘‡
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya..Saba πŸ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...πŸ‘‡
πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹  Sehemu ya 14
πŸ”₯πŸ”₯ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANIπŸ˜‹πŸ˜‹ Sehemu ya 14
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10  ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...πŸ‘‡
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10 ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya sita. πŸ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...πŸ‘‡
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.21K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.16K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

649
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

246
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

91
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest