Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA SITA*  Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
Gonga94 · Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA SITA* Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Yani ukiniambia tulifika kitandani saa ngapi hata sielewi.

Ninacho jua siku hiyo alinitengeneza kisawasawa. Alikua anafanya utadhani hatafanya tena. Nikaona hapa nisipo toa machozi hawezi kuniacha. Nilijikuta sio kulia tu mpaka kuomba niliomba "Afande tafadhali nilegezee kamba utaniua.....

Akanijibu "ukitaka nikuache sema unafuta kauli yako lasivyo tunaendelea mpaka kunakucha"

Wee mbona Nikakubali na kusema kile alichotaka niseme ndipo akaniacha. Tena alinisukuma pembeni kama mzigo.

"Haitajirudia tena kulala na tapeli! Ni leo tu sababu nilitaka kukufunza adabul..........vaa nguo zako, toka humu ndani Hiki si chumba chako"

Nikainuka taratibu nikavaa nguo zangu kwa aibu Akanipeleka kwenye chumba kingine "hiki ndicho kitakuwa chumba chako" alisema

Eti mimi niwa kulala stoo??? Mimi Ginah??? "Stoo??"

"Nimekuhurumia sana ningekulaza barazanil... ukitaka kuoga au kutumia choo utatumia vyumba vingine, ila kulala ni hapa"

Nilibaki nashangaa Nikamuuliza, "sasa nitalalaje chini? Hakuna hata godoro"

"We tapeli, hapa umekuja kulala??? Hela nitakayo kulipia deni lako utaifanyia kazi haitoki kirahisi! Hakuna pesa ya buree"

Nilihisi vibaya sana "please sijala tangu jana, naweza kupata kitu cha kula?"

"oooh kweli? Subiri kidogo"

Nikafikiri anaenda kuniletea chakula, kumbe akarudi na mihogo mibichi mkononi na maji kwenye kidumu

"hichi ndicho chakula chako. Mpaka siku nitakayo amua kukubadilishia ratibal Alafu inakaa sana tumboni

"Unanitegemea nile mihogo mibichi?"

"kama huwezi acha. Lakini ukitoka hapa, unaenda moja kwa moja selo. Kumbuka makubaliano yetu. Umenielewa?"

Nikainama kichwa nikasema, "ndiyo"

"sasa ratiba yako ipo ivii, Kila siku lazima uamke saa kumi na moja alfajiri. Ukiamka, unasafisha nyumba yote, unapiga deki, unafagia hadi nje ya fence. Baada ya hapo, unafua nguo na vyombo. Nikiamka saa moja asubuhi, nataka nikute tayari umeniandalia kahawa nyeusi (black cofee). Na usithubutu kupika hadi nikikuambie mwenyewe. Utakula mihogo hii mibichi na maji mpaka nikuambie vinginevyo. Umenielewa?"

Nikajibu "ndiyo" kisha Akatoka bila kusema kitu kingine.

Pale pale Nilianza kulia. Nilimkumbuka baba, nilikumbuka nyumbani Nikaanza kujilaumu. Nikaamua nijipe moyo kwamba nimalize huu mwezi mmoja, kisha nirudi kwetu niolewe, maana mateso haya yalikuwa ya kutisha

Nililala nalia mpaka asubuhi. Kumbuka mimi ndiye mtoto wa pekee nyumbani kwetu, nimetoka kwenye familia yenye pesa. Kazi zote za ndani zilikuwa zinafanywa na wasichana wa kazi, mimi sikuwahi kupika, kusafisha, wala kufua. Nilichojua ni kula, kulala na kwenda club.

Na pia sikuwa mtu wa kuamka mapema. Saa kumi na moja asubuhi kwa mimi ndiyo muda wa kurudi nyumbani kutoka club, si muda wa kuamka.

Kwa hiyo nililala mpaka... Elton (OCS) akaamka, akaoga, akajiandaa kuenda kazini. Aliposhuka chini, alitarajia kukuta kahawa yake nyeusi mezani ila guess what?? mimi bado nilikua nimelala! Nilikuwa sijafanya chochote.

Akapandwa na hasira kali. Akaja moja kwa moja

store alikoniweka. Akanikuta bado nimelala. Akaniangalia kwa hasiramaana yeye hawezi kuanza siku bila kunywa kahawa. Akaenda jikoni, akachukua ndoo ya maji baridi akarudi nayo store.

Unajua alifanya nini? Akanimwagia maji yote! Nikashtuka kama nimepigwa shoti ya umeme, nikainuka haraka. Nikamuona amesimama mbele yangu, uso umejaa hasira.

Akauliza "we tapeli unajua saa ngapi saa hizi?"

"samahani, nimechelewa kuamka

"umechelewa kuamka?? Nilikuambia uamke saa. kumi na moja, usafishe, halafu uniandalie kahawa nyeusi. Iko wapi kahawa yangu?"

"naenda kukuandalia sasa hivi!.....sorry......soryy"

Nikaenda mbio jikoni, nguo zangu zikiwa zimelowa maji. Lakini sikua najua hata namna ya kutengeneza kahawa nyeusi! Jiko lenyewe kuwasha ni mtihani. Wakati wote nyumbani

kwetu, mimi sikuwahi hata kuingia jikoni.

Sasa fikiria, nitamtengenezeaje kahawa huyu jamaa mwenye hasira hivi??.

Unajua nini kitatokea?

Nakuja....

Maoni

You're not logged in


profile
mjukuu 18 Oct 2025 19:48
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫*
*SEHEMU YA SITA*

Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA 😊😫😫* *SEHEMU YA SITA* Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.

Yani ukiniambia tulifika kitandani saa ngapi hata sielewi.

Ninacho jua siku hiyo alinitengeneza kisawasawa. Alikua anafanya utadhani hatafanya tena. Nikaona hapa nisipo toa machozi hawezi kuniacha. Nilijikuta sio kulia tu mpaka kuomba niliomba "Afande tafadhali nilegezee kamba utaniua.....

Akanijibu "ukitaka nikuache sema unafuta kauli yako lasivyo tunaendelea mpaka kunakucha"

Wee mbona Nikakubali na kusema kile alichotaka niseme ndipo akaniacha. Tena alinisukuma pembeni kama mzigo.

"Haitajirudia tena kulala na tapeli! Ni leo tu sababu nilitaka kukufunza adabul..........vaa nguo zako, toka humu ndani Hiki si chumba chako"

Nikainuka taratibu nikavaa nguo zangu kwa aibu Akanipeleka kwenye chumba kingine "hiki ndicho kitakuwa chumba chako" alisema

Eti mimi niwa kulala...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-sita-kabla-hata-sijamjibu-kitu-akanirukia-na-kuanza-kunishika-shika

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba-sehemu-ya-sita-kabla-hata-sijamjibu-kitu-akanirukia-na-kuanza-kunishika-shika
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

851
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

608
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

533
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

428
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

313
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest