Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
26 Oct 2025
787 views
VYOTE NDANI GONGA94
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mwanamke wako kwahyo usiniambie umetembeaa na Careen?
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Hhhh hivi wewe una akili kweli?" Alisema dada akimwambia Marquis "kumbe wewe ndie Catherine na nimetembea na Careen si ndio?, na kwanini udanganye officine etty huyu ni wewe mhhh yaani wewe ni mpuuuzi at least ungekuwa kama huyu mdogo wako lakini hauendani nae hata robo yaani, ndio maan nikashangaa mabadiliko ya haraka yaani mpaka nikajikuta nampenda huyu kumbe sio wewe asante Mungu" yaani nikajua hata huyu boss nae akili zake kam za Catherine na watu kama hawa hawaendani kabisa nilikuwa natabasamu
"Kwahyo mhhh nicheke kwanza mhhh kwahyo unadhani mimi naweza kuvumilia hizo karaha zako wewe baba makasiriko na sijui Careen kajichanganya vipi yaani wewe mjinga hata haya huna yaani hata robo wee mpuuzi na kama shida ni hyo kazi naacha yaani Catherine alikuwa hawezi kujishusha kabisa jamani kuna dada afu kuna huyu jamani mhh siwezi kabisa baassi walikuwa wanabishana na kwa vile Marquis alikuwa hapendi kujibiwa hovyoo alisema atamfukuza na Catherine alizidi kumchamba balaa mpala daktari akaingiaa ndani "jamani hivi hamjui kama huyu ni mgonjwa na hatakiwi kelele kwasababu ya situation yake mnaweza msababishiaa hata stroke hamlijui hiloo? Kwahyo naombeni mkabishiane nje tafadhari kwanza huyu mgonjwa hatakiwi kupata mastress na mnajua hata kwasabau ya hili kutokea ni jana alikuwa akiwaza sana sijui kilifanyika nini haya naombeni mtoke msije mkamuua kabisa" na mimi nilianza kujikoholesha kumaanisha kwamba namsapoti huyoo daktari Marquis alisema kwa wasi wasi "upo sawa mke wangu?" Hee saa ngapi dada asidakiee" mke wa wapi unadhani Careen anaweza stahimili kuishi na wewe hebu huko" doctor aliamua kuningilia kati sasa "tafadhari mtupishe kuna huduma nampatiaa mgonjwa wangu hivyoo mngeniacha sawa?" Nilibaki mimi na daktari wenyew walitoka njee ila nilijuaa huko kam Marquis hajampiga Cathe hay maan Catherine ni ana mdomo mchafu sana jamani khaa kama vile sio wakike
Haukupita hata muda daktari alitoka alikuwa kaniwekea kile kidude cha oxygen tayar waliingia tena Catherine na boss wake ila saa hii walikuwa hawaagombani bali mmoja ana wasi wasi na mwingine ana huzuni sikuwaelewa nikawauliza kulikoni? Niliona Catherine ameinama chini, chozi linamtoka jamani nilitetemeka mimi mhhh
Itaendelea....
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
PENZI LA OMBA OMBA๐โค๏ธ๐โค๏ธ๐โค๏ธ Sehemu ya 11
โhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu...
Kipande cha 10 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi jio...
*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mwanamke wako kwahyo usiniambie umetembeaa na Careen?
Hhhh hivi wewe una akili kweli?" Alisema dada akimwambia Marquis "kumbe wewe ndie Catherine na nimetembea na Careen si ndio?, na kwanini udanganye officine etty huyu ni wewe mhhh yaani wewe ni mpuuuzi at least ungekuwa kama huyu mdogo wako lakini hauendani nae hata robo yaani, ndio maan nikashangaa mabadiliko ya haraka yaani mpaka nikajikuta nampenda huyu kumbe sio wewe asante Mungu" yaani nikajua hata huyu boss nae akili zake kam za Catherine na watu kama hawa hawaendani kabisa nilikuwa natabasamu
"Kwahyo mhhh nicheke kwanza mhhh kwahyo unadhani mimi naweza kuvumilia hizo karaha zako wewe baba makasiriko na sijui Careen kajichanganya...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-chomoa-mimi-sio-jamani-sehemu-ya-kumi-na-moja-mwanamke-wako-kwahyo-usiniambie-umetembeaa-na-car
Maoni