Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤ SEHEMU : 8
Gonga94 · Stories

CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤ SEHEMU : 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


" Umejuaje kama kadi zangu zimefungiwa na sina pesa yoyote?" Gabriella alishtuka sana kusikia maverick anajua kila kitu

" Hua unaongea ukiwa umelala hii inachekesha sana "
maverick alianza kucheka

" Cheka ukimaliza Fanya unikopeshe hiyo pesa Nina shida nayo muhimu sana "

" Okay pesa sio shida ila uniahidi sio unaenda kufanya ujinga na utanirudishia sio Bure "

" Sawa nakuahidi nitakurudishia kuhusu matumizi yangu hayakuhusu "
Gabriella aliongea neno la mwisho kwa sauti ya chini

" Umesemaje ?"
Aliuliza maverick

" Nimesema asante sana kaka maverick " Gabriella alijichekesha Maverick aliingia chumba alitoka na kitita Cha lakini nne akamkabidhi Gabriella

Gabriella alifurahi sana hakutaka kupoteza muda alienda kujiandaa na kwenda kwenye Hilo duka Maverick alijikuta taratibu anaanza kumuelewa Gabriella

Zilipita week tatu maverick na Gabriella wakiwa wanaishi nyumba moja
Siku moja asubuhi Gabriella alipokea simu kutoka kwa Monica ambae ni mchumba wa Jonas rafiki kipenzi wa Tristan

" Besti nimekupigia nikukumbushe ile sherehe yangu na babe wangu Jonas itakuwa ni week hii ijumaa usisahau kuja kipenzi " alisema Monica

" Hata usijali mimi na wewe tena kipenzi changu nitakuwa mstari wa mbele "

" Nimesikia kilichotokea kati yako na Tristan pole sana "

" Asante kipenzi nimeshapoa "
aliongea Gabriella huku anatabasamu

" natumai utakuja bila kukosa "

Gabriella na Monica waliagana
" Bila shaka Tristan ataenda kwenye sherehe akiwa na yule mwanamke wake ,natamani nisiende lakini sitaki kuonekana dhaifu nitaenda kwa kishindo "
Gabriella alienda nyumbani kwa Veronica

" Kwahiyo unataka kuniambia utaenda kwenye hiyo sherehe ?" Aliuliza Veronica

" Ndiyo kwanini nisiende ,kwani nimeua au kuna kosa lolote nimefanya ?wakuona aibu ni Tristan na sio mimi "

" Lakini hauna partner na kule kila mtu atakuwa na partner wake usisahau Hilo "
alisema Veronica

" Hilo mbona jambo dogo sana kwangu nimeshafikilia nini Cha kufanya hata usijali shoga angu "
Gabriella aliongea huku anatabasamu akilini mwake alimuwaza maverick

Jioni maverick alirudi nyumbani akiwa amechoka sana alitabasamu baada ya kuona Gabriella anaandaa chakula mezani

" Karibu Rick mtu na roho yake nzuri mjini " aliongea Gabriella huku anatabasamu

" Mmmh najua tu Kuna kitu unatakae hauna lolote "
maverick alivuta kiti akakaa

" Kwani vibaya nikikuandalia chakula na wewe mpaka kuwe kuna kitu nataka "
Gabriella alimpakulia maverick Biriani

" Hiki Chakula harafu yake tu kinaonekana ni kitamu na mpishi Nina uhakika sio wewe Gabzilla "
maverick alimuangalia Gabriella usoni

" Nimejifunza kupika usinizalau bhana"

Gabriella hakuwa mjinga alinunua kile chakula kwenye mgahawa maarufu kwa upikaji wa Biriani na pirau tamu

Gabriella alipakua chakula kwenye sahani yake na kuanza kula walikula mpaka wakamaliza bila kuongea chochote kila mtu alikuwa busy na sahani yake

" Nimefurahi sana Leo chakula ni kitamu sana kupita maelezo ..haya niambie unataka nini maana najua hiki chakula sio Bure " maverick alimuangalia Gabriella usoni

" Mmmmh sio kitu kikubwa sana ila nilikuwa naomba kama utakuwa na muda ijumaa twende pamoja kwenye sherehe ya rafiki yangu "

" Sina muda mchafu wa kwenda huko kwenye sherehe ijumaa ni siku yangu ya ku relax " maverick alitaka kuondoka Gabriella alimuwahi akamshika mkono

" Rick please ..nakuomba jamani ni mara moja tu nawapa hi marafiki zangu then tunaondoka " Gabriella aliongea kwa kubembeleza

" Nimeshasema hapana na huwa nikisema hapana ni hapana kweli siwezi kubadilisha uamuzi wangu "

"unataka nikaaibike mbele za watu si ndo unachokitaka hicho "

Gabriella aliongea huku analia

" Sasa uanalia nini ? Kama hauto niambia kwanini natakiwa kwenda na wewe siwezi kukubali kwenda huko hata ufanye vipi ".

" Nitakwambia kila kitu kama hicho ndicho unachokitaka "
Gabriella alimuelezea maverick kila kitu mpaka kutengana na Tristan

" Pole kwa kilichotokea nimekubali kwenda na wewe kwenye hiyo sherehe lakini sio Bure " alisema maverick

" Unataka nini tena jamani tajiri yangu ?" Aliuliza Gabriella kwa kulalamika

" Chochote nitakachokwambia unipe basi inabidi unipe " maverick alimkonyeza Gabriella akaondoka

" Sijui hata huko kichwani kwake huwa anawazaga ujinga gani ,atajijua mwenyewe Cha muhimu ni kuwa amekubali kwenda " Gabriella alitabasamu

Siku ya sherehe haikukawia mida ya saa1 jioni Gabriella alifungua mlango wa chumba chake alianza kushuka ngazi kuelekea sitting room alikuwa amevalia gauni refu la hariri ya rangi ya baby pink lililombatana na umbo lake kwa ustadi wa hali ya juu. Gauni lilikuwa la mgongo wazi, na mikanda myembamba ya mabegani chini lilikuwa na mpasuo kuanzia usawa wa paja lake la kulia , nywele zake ndefu zilizokuwa zimesukwa upande mmoja zilisheheni marashi yaliyofanya kila aliyemkaribia asimame kimya kwa mshangaoGabriella alitembea kwa mwendo wake wa kunyata wa maringo huku anatabasamu Maverick, aliyekuwa amekaa kwenye sofa ya ngozi, alishindwa hata kupumua kwa sekunde kadhaa baada ya kumuona Gabriella, Alinyanyuka taratibu, macho yake yakimtazama Gabriella kila hatua aliyopiga Maybe alisogea karibu na kumpata mkono Gabriella

" Leo acha tu nikusifie umependeza sana .." maverick alimnong'oneza Gabriella

" Asante hata wewe pia umetoka chicha " aliongea Gabriella huku anatabasamu Maverick alikuwa amevalia suti nyeusi ya velvet, koti lililoshonwa kwa ustadi likiwa na vifungo vya fedha vilivyoakisi mwanga wa taa, na ndani ya koti alivalia shati jeupe la silk lililomletea muonekano wa kipekee. Tai ya batani ya rangi ya dhahabu ilimpa mvuto wa kifahari wa kisasa, na viatu vyake vya ngozi viling’aa kana kwamba vilikuwa vimetengenezwa kwa mwangaza wa mwezi.

Maverick na Gabriella waliongozana mpaka kwenye parking ya magari walipanda kwenye gari na safari yao iliishia nje ya ukumbi mkubwa wa sherehe Maverick alimfungulia Gabriella mlango na kumpa mkono Gabriella aliweka mkono wake kwenye mkono wa maverick alionekana kuwa na wasiwasi sana

" Wasiwasi wa nini mrembo na uko pembeni yangu ,wewe ni mrembo hata ukinuna ila unawaka kama nyota ukiupamba USO wako kwa tabasamu "

" Acha ujinga bhana hata huwezi kubembeleza na lisauti lako Hilo "
Gabriella alimpiga maverick kibao kidogo Cha kifuani

" Basi nitajifunza zaidi kwaajili yako "

maverick alimnong'oneza Gabriella
Gabriella alitabasamu kwa maneno ya maverick waliingia ukumbini kila mtu aliwaangalia kwa jinsi walivyopendezana

" Wow umependeza sana dear "
Monica alienda kumkumbatia Gabriella

" Asante kipenzi hata wewe pia umependeza sana "
Gabriella aliangaza ukumbini kama Kuna mtu alikuwa akimtfuta

" Kuna mtu unamtafuta ? Kama ni Tristan yule pale na mwanamke wake anaejishaua " aliongea Monica huku anamuonyesha Gabriella sehemu aliyokaa Tristan na Silvia

" Sikuwa namtafuta yeye bhana namtafuta shem Jonas Yuko wapi sijamuona "
Gabriella alizuga

" Yupo na marafiki zake utamuona muda sio mrefu ,Huyu Mr handsome ni nani ?" Monica alimuuliza Gabriella

" Jina lake ni maverick au unaweza kumuita Rick ni boyfriend wangu "
Gabriella alimsogelea maverick alimvuta mkono asimame kidogo kwasababu alikuwa ni mrefu kwake maverick aliinama kidogo Gabriella akamkiss kwenye shavu alifanya hayo yote kwakuwa muda huo Tristan alikuwa anaangalia upande wao.....

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤ SEHEMU : 8



" Umejuaje kama kadi zangu zimefungiwa na sina pesa yoyote?" Gabriella alishtuka sana kusikia maverick anajua kila kitu

" Hua unaongea ukiwa umelala hii inachekesha sana "
maverick alianza kucheka

" Cheka ukimaliza Fanya unikopeshe hiyo pesa Nina shida nayo muhimu sana "

" Okay pesa sio shida ila uniahidi sio unaenda kufanya ujinga na utanirudishia sio Bure "

" Sawa nakuahidi nitakurudishia kuhusu matumizi yangu hayakuhusu "
Gabriella aliongea neno la mwisho kwa sauti ya chini

" Umesemaje ?"
Aliuliza maverick

" Nimesema asante sana kaka maverick " Gabriella alijichekesha Maverick aliingia chumba alitoka na kitita Cha lakini nne...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/captain-maverick-na-mission-ya-mapenzi-sehemu-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi captain-maverick-na-mission-ya-mapenzi-sehemu
 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI SEHEMU : 18
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI SEHEMU : 18
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI 💔💔  SEHEMU : 16
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI 💔💔 SEHEMU : 16
 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI😍 SEHEMU : 15
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI😍 SEHEMU : 15
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI 💔💔  SEHEMU : 6
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI 💔💔 SEHEMU : 6
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI🥑🍊SEHEMU : 14
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI🥑🍊SEHEMU : 14
 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤SEHEMU : 17
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤SEHEMU : 17
 CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤ SEHEMU : 8
CAPTAIN MAVERICK NA MISSION YA MAPENZI❤ SEHEMU : 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

1.05K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

947
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 17 to 18 final

360
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

293
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

259
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

220
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

217
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

184
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

175
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

153

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.85K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE😂) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "7_8"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "7_8"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh 🤮...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mané, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu🔥) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema “Muanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema “eenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema “wewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest