Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 8 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA... “Kwani me huwa nakuuliza ukitoka kwa Andrew wako?” ? Nilimuuliza. ?
“Mmh!, we nakujua huchelewagi kunipa malalamiko ya bwana zako walivyo na michezo mibovu, lakini naona leo umetulia tulii hutaki kusema kitu.” ?
ENDELEA..
Lily aliongea, ? kunidadisi juu ya Mr. Rom lakini sikutaka kumwambia kitu chochote, kuhusu Rom niliamua kutulia tu?.
“Tuyaache hayo bwana, vipi kesho una ratiba gani?” ? Niliamua kupotezea mada alizokuwa akiongea muda huo. ?
“Kesho ratiba yangu ni kama kawaida, naenda kutafuta Hela Dija wangu.” ?
“Sawa, hata me ntaenda dukani kwangu maana nimepasusa kweli.” ?
“Kwa Bibi yako Kigalula huendi?” ?
“Kesho ana ratiba zake za kwenda huko kwa waarabu wake.” ?
“Kumbe!, ? nilisahau alafu alikuwa ananiambia ndani ya mwezi huu anaweza kuondoka kwahiyo fanya hima uende ukamalizie yaliyobaki, uwe mtamu kama sukari mama yangu.” ?
“Hilo tena!, na nilivyo na uchu huu, mbona Mr. Rom atanikoma Shoga yangu.” ?
Basi tulizidi kuongea mengi sana, mpaka ulipofika muda wa kujipumzisha?, Nikapumzika.
Asubuhi na mapema kama ilivyo kawaida yangu kabla ya kufanya kitu, niliendeleza ile ratiba yangu ya kufanya mazoezi ya kiuno, ? kwa kucheza mziki na kuyakata vilivyo mpaka raha, na toka Bibi Kigalula aanze kunifundisha namna ya kucheza na kiuno, basi nilizidi kuwa mbobezi haswa. ?
Nilipomaliza kuchangamsha kiuno changu, ? niliingia bafuni na kuoga, kisha nikaanza kujiandaa ili niende kwenye biashara zangu. ?
“Wewe Lily, mpaka saivi bado umelala tu, huendi ulipokuwa unasema?” ? Nilimuuliza Lily aliyekuwa bado anajinyonga pale kitandani akiendelea kuvuta shuka. ?
“Niache nilale bhna, nishaghairi kuondoka, ntakuwepo leo.” ? Alinijibu na akaendelea kulala, sikuwa na jipya tena kwake?, hivyo nilimaliza kujiandaa na kuianza safari yangu mpaka Dukani kwangu na siku hiyo nilishinda huko. ?
Siku hiyo nilikuwa nimeenda kuangalia maendeleo ya biashara yangu ya nguo, ? niliyokuwa nikifanya na nilisaidiana na vijana wangu wa siku zote kuuza pale dukani?, kwa muda niliokaa bila kazi nilianza kutumia Simu yangu nikiangalia ya huko mitandaoni yanavyoenda. ?
Nikiendelea kutumia simu, kuna kitu niliweza kukiona upande wa WhatsApp status ?, na kiliweza kunikumbusha kitu, hivyo nilipata shauku ya kutaka kujua zaidi. ?
Na katika Status hiyo niliweza kutuma ujumbe wa kujibu na kuuliza jambo.?, hakuwa mwingine, alikuwa ni yule mshauri wa afya niliyewahi kuchukua dawa kwake, na kitu nilichokuwa nikimuuliza hakikuwa kingine zaidi ya tatizo alilokuwa nalo Mr. Rom?.
Na kwakuwa niliweza kuona huyo Mshauri wa Afya ameweka vielelezo vya dawa, ? zinazohusiana na nguvu za kiume?, nilishawishika kujua zaidi kama tatizo la Rom lingeweza kuisha kwa dawa zake na ikiwezekana nizinunue kabisa.?
***
Kama nilivyomuuliza alinijibu ipasavyo kwani sikuweza kumficha hali ya Rom ilivyo, ? na alinihakikishia kuwa akiweza kuitumia ile dawa basi Zakari za Mr. Rom zitarudi katika ungangali wake?, na alinipongeza sana kwa suala la kudhamiria kutaka kuichukua dawa hiyo, akidai kuwa. ?
“Wanawake wengi wa siku hizi, ? hawataki kuwasaidia waume zao kujenga afya ya Maumbile yao, ila wanataka tu kupata yaliyojengeka wakisahau kama dawa zipo?, na mwishowe wanaanza kurukaruka, wakidonoa donoa tu hapa na pale ili kupata mwanaume mwingine mwenye uwezo wa kumtosheleza na ni kitu ambacho sio kizuri na hakina uhalisia.” ?
Maneno yake kidogo yalinikamata, ? na yalikuwa na ukweli mtupu ndani yake, kwani nikikumbuka tangu nimejua utamu wa kupeana?, nilianza kubadilisha wanaume kama alivyoniambia huyo Mshauri wa Afya. ?
Basi kwa maneno hayo wala sikutaka tena Mr. Rom awe ni moja wa watu nitakao wapoteza kisa mapungufu yao madogo ya mwili?, na hakika nilidhamiria kutulia kabisa kwa Rom na ninakumbuka siku hiyo nilipitia Kuchukua hiyo Dawa na nikarudi kwangu?, nikitaka kesho yake nionane na Mr. Rom ili nimpatie, atumie kulingana na maelezo niliyokuwa nimepewa na Mshauri. ?
“Nimekumiss sana Rom.” ? Tulikuwa tunaongea kupitia simu, nikiwa nimerudi tayari nyumbani. ?
“Nimekumiss pia, nikwambie kitu.” ? Sauti ya Rom ilisikika kwa upande wake, na maongezi yalikuwa yameanza muda. ?
“Nambie mume.”
“Kesho ntakuwa na safari ya kikazi na nitaenda kukaa muda wa wiki mbili huko niendapo.” ?
“Jamanii, mbona hukusema mapema, na unanishtukiza kiasi hicho.” ?
“Hapana Dija, nimelazimika kufanya hivyo, kama nilivyokuelekeza kazi yangu.” ?
“Anh!, mbona hunitendei haki jamani, alafu isitoshe nilikuwa na shida ya kuonana na wewe ujue.” ? Nilijaribu kuongea hivyo huku kichwani nikiwaza kumpatia ile dawa niliyopewa. ?
“Utanisamehe kwa hilo kipenzi, Tunatakiwa kuianza safari kesho asubuhi.” ?
“Mmh!, kwani utakuwa na nani?” ?
“Nitakuwa na rafiki yangu Andrew!” ?
“Anha!, sawa basi me sina kipingamizi, kama utakuwa na Shemeji yangu sawa, ila nina wivu sana.” ?
“Usiwe hivyo Dija, siwezi kukusaliti huko ninapoenda.” ?
“Sawa, nikutakie safari njemaa.” ?
“Asantee ubaki salama pia.” ?
Basi tuliagana na nikakata simu?, na wakati huo Lily ndo alikuwa anaingia hapo ndani akiwa ameshikilia chakula mkononi mwake. ?
“Shoga angu unanipenda jamani, umeamua kuniletea chakula mpaka huku?” ? Niliongea nikiwa napokea chakula chake alichokuwa ametoka kupika, na mkono wa kushoto akibaki na chake. ?
“Kisa umeona chakula maneno yanakutoka, na huo uvivu wako wa leo ungekifuata Jikoni wewe?” ?
“Basi Shoga angu, usije ukaanza kunisema sasa maana hata huchelewagi kunipasha.” ?
“Ukweli ndo huo wala sikufichi nikupashe kisa?” ?
“Hapo sasa, alafu vipi Andrew kakuaga kama wanaondoka?” ?
“Ndio nimeongea naye wakati nipo huko jikoni” ?
“Aah!, yani safari zao hata sijazipenda kwakweli.” ?
“Mh!, asa unashangaa hilo, na wanakaa wiki 2 tu na wakati Andrew kuna kipindi huwa anaondoka hata mwezi mzima.” ?
“Hata kamaa siku zote hizo huko wanaishije na sie wanatuachaje na Hamu zetu!” ?
“Hizo hamu zako tuu, labda useme kiroho cha wivu kinakusumbua.” ? Lily aliongea na tukaendelea kuongeza urefu wa waisha kwa umbea wetu. ?
Kesho yake nilirudi kwa Bibi Kigalula?, kuendelea kuchezwa unyago?, na nilizidi kujizolea utundu wingi tu na kutambua mengi niliyokuwa siyajui. ?
“Mjukuu wangu, nimeshakupa mengi sana unayopaswa kuyajua, na nimeshakuona umeanza kunoga.” ?
“Kweli bibi?” ?
“Eeh!, ndio kwa hapo sidhani kama kuna bwana ataruka ukiamua kumfungulia kurasa nilizokupa.” ?
“Ni kweli bibi hata mimi najivunia sana kukutana na wewe, ? kwamaana nilikuwa siyajui mengi yani sijui hata nikulipe nini kwa huu msaada wako.” ?
“Usijali kwa hilo, wewe na Lily ni sawa na Wanangu, kwahiyo sitaki kitu kutoka kwako.” ?
“Nashukuru kwa Hilo bibi, alafu nilisikia Lily anasema unakaribia kuondoka hivi ni kweli?” ?
“Ndio, nilitaka kukuambia leo ila umeniwahi tu, wale waarabu niliokuambia wananikamilishia mambo yangu, ? na kama yatakamilika basi wiki ijayo ntakuwa huko nchi za watu.” ?
“Mh!, bibi una bahati sana, yani uzee wako unaenda kuumalizia huko nchi za watu, nimekutamani bure bibi yangu.” ?
“Ningekuwa na uwezo ningewabebeni wewe na Lily mkanisaide huko, lakini ndo hata haiwezekani.” ?
“Si tu tupoo bibi yetu tumejaa tele, yaani ukituhitaji muda wowote sisi tutapanda hayo mapipa tukufuate hukoo.” ? Tulizidi kuongea mengi na mwishoni kuna kitu Bibi Kigalula aliniomba nimsaidie. ?
12???
“Hadija, naomba kama utakuwa na muda kesho kutwa Twende kwetu uzaramoni, ? kuna dawa inatakiwa nikazichukue za kuondoka nazo.” ?
“Bibi hilo tena mbona hata sio la kuniomba.” ?
“Basi haina shida, we hiyo kesho utajiandaa tu twende huko.” ?
“Sawa haina Shida Binti wa zamani.” ? Nilimtania na tukaanza kucheka kwani nilikuwa nimeshaanza kumzoea. ?
Baadae niliondoka, ? na nilipitia sehemu kufuatilia madeni yangu, kwani kuna mtu alikuwa na deni langu?, na safari yangu ilikuwa ni kutoka Magoneni alipokuwa akiishi Bibi Kigalula, mpaka huko mabibo kwa huyo mtu niliyekuwa nikimdai.?, na kwa bahati mbaya sikuweza kumkuta nyumbani kwake, na sikujua kama alinikimbia au vipi. ?
“Hadija...!” ? Nilisikia sauti ya mtu toka nyuma kwangu nikiwa bado nimesimama mlangoni kwa yule mtu mwenye deni langu. ?
“Suley..!” ? Nilihamaki kumuona Suley kutoka nyuma yangu akiwa amejifunga taulo na mkononi ameshikiria ndoo, na ilionyesha ametoka kuoga.” ?
“Vipi tena mbona unatuvamia mtaani kwetu, kulikoni?” ? Aliniuliza Suley. ?
“Kumbe unakaa huku, kuna huyu mtu anakaa hapa nilikuwa nimekuja kumuangalia mara moja.” ?
“Aah!, huyo kwani hauna mawasiliano naye, mbona kasafiri tangu juzi.” ?
“Jamani jamani, watu mbona waongo kiasi hiki.” ? Niliishiwa pozi baada ya kusikia vile, kwani mtu mwenyewe aliniambia yeye yupo hapo nyumbani kwake. ?
“Basii ndo hivyoo, karibu ndani kwangu upooze hata kiu.” ? Suley alinidokeza na kwa vile nilikuwa nimetembea sana basi nikaona sio mbaya japo alinibembeleza sana kuingia ndani kwake. ?
“Dija siku hizi umeadimika, yani hatutafutani tena.” ? Suley aliongea huku akitoa Juice kwenye Friji yake ndogo baada ya kuingia ndani akamimina kwenye glass na kunipatia.?
“Anh!, mambo mengi Suu..!, Alafu we mwenyewe ndo hivyo kama navokujua, ni wa gharama kama nini hata sikuwezi.” ? Nilimjibu nikiwa napokea ile glass ya Juice.
“Aaah!!, hapana bwana, siku hizi sina jeuri hiyo tena, si unaniona nimehamia uswahilini huku.” ?
“Wewe huyo!, Kwani kule ulipokuwa unaishi haukuwa kwako?” ?
“Hapana Dija, yalinikuta makubwa nikakimbia kulee.” ?
“Weee!, yapi tena?” ?
“We acha tu, nilifumwa na wenye mali zao kama unavyojuaa.” ?
“Haha, we naye umezidii.” ? Niliongea nikiwa naendelea kunywa ile Juice. ?
Suley aliinuka na kitaulo chake pale alipokuwa amekaa ili aende chumbani kwake?, lakini wakati anainuka kwa bahati mbaya lile taulo likajifungua na kudondoka chini?, kitu kilichonifanya macho yanitoke baada ya kuangalia utupu wa Suley, na nikajikuta najawa na tamaa. ?
***
Suley alipoona nimeganda kutazama nyeti zake, ? basi akanifanyia makusudi bila hata kuliokota lile taulo lake, na badala yake alinisogelea mpaka nilipokuwa, kisha akaanza kunishawishi tuingie ndani ya mchezo. ?
Nilijikuta mgumu kutokukubaliana na ile hali ya kutoa ushirikiano kwa Suley?, juu ya kuingia ndani ya mchezo rasmi, lakini Suley alikuwa ameshayatambua madhaifu yangu hivyo akakaa pembeni yangu, ? katika sofa lake na akaanza kunipapasa Ujapa wangu uliokuwa na Kimin-skate kilichokuwa kimevutika juu. ?
“Suley niacha buana niende, me sipo tayari kwa hili.” ? Nilijikuta natoa sauti hafifu kumkatalia Suley kile alichokuwa anakifanya lakini ye ndo kwaanza alizidi kuniamshia mashetani yaliyo lala. ?
“Jamani suu...mmh!, usinifanyie iii....voooo lakini mwenzako naa....mtu wangu tayari.” ? Nilizidi kujitetea lakini yeye ndo kwanza alifikisha ulimi wake shingoni kwangu?, akianza kuitekenya shingo huku mkono wake wa kushoto ukizidi kusogelea manoneo yangu? na wakati mkono wake wa kulia ukiwa umenizunguka mgongoni kuja mpaka kuzishika Chuchu zangu zilizoanza kusimama vilivyo kwa kuichochea safari ya kwenda nyegezi. ?
Nilishindwa kujizuia kwani tayari hata Chupi yangu ilianza kulowa kwa zile nyeg*,? nikajikuta natulia kama maji mtungini, na hapo nikajiachia ili Suley anichezee vizuri, na kwa kumpa nafasi huko?, alianza kunipunguza nguo zangu kwani yeye tayari alikuwa uchi, ? na nikaanza pia kutoa ushirikiano kwa kumgusagusa nyeti zake huku yeye akihangaika kunitoa Top niliyokuwa nimeivaa. ?
#Usikose kabisa sehemu inayofuata, mambo yanazidi kuwa moto
Jamani twende chapu , bonyeza LIKE 150 sasa hivi ili nipost EPSOD YA 9✨
Kila LIKE yenu ❤️ ndio nguvu ya kuendelea kuweka content bora zaidi kwa ajili yenu!
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni