Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 5  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  “Jamani Lily nini lakini?” ? Niliongea kiunyonge baada ya Lily kuanzisha utani wake. ?
Gonga94 · Stories

Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 5 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK “Jamani Lily nini lakini?” ? Niliongea kiunyonge baada ya Lily kuanzisha utani wake. ?

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


“Naona leo umeamua kulala na mumeo kabisa na kwa baridi hili mama umemfaidi kweli.” Lily aliongea baada ya kuona lile bol* la bandia kitandani. ?

“Jamani asa ntafanyaje lakini best, wanaume wenyewe siku hizi ka dada zetu tu yani hakuna lolote chumbani zaidi ya kuchafuana na kuharibiana siku tu.” ? Niliongea kwa kupanic kidogo. ?

“Mama yangu, hujapata bwana wa kukukanda vizuri, kwani mliishia wapi na jamaa yako ya jana?” ? Lily aliniuliza. ?

“Sikuongea naye vizuri ila leo ndo anaenda kunimwagia sera mwenyewe.” ?

“Haha, we mkubalie tuu uone kama naye ni walewale tu.” ?

“Unafikiri shoo, ndo kilichobaki hizi nyeg* atazitoa nani kama nisipomkubalia na nikaona mambo yake yapoje!” ?

“Ndo kilichobaki Dija.” ? Lily alikuja kukaa kitandani na kulishika bol* la bandia na kuanza kunicheka. ?

“yani wewe unatakiwa kupata bwana kama niliyenaye kwa huu ukwaju wako usioisha, ila pambana wangu sikupi mama yangu labda nife kwa anavyonipukuchua mpaka anakera.” ?

Lily aliongea kunitamanisha.

“We nicheke tu navyohangaika mwenzako.” ? Niliongea kisha nikamnyang'anya muwa wangu usiokuwa na utamu halisi lakini wenye kuipunguza hamu yangu?, nikauweka mahala pake kisha nikajifunga kanga yangu vizuri na kuelekea ilipokuwa redio?, nikafungulia mziki wa wastani kisha nikasimama sehemu iliyokuwa na nafasi ndani ya chumba hicho nikijiweka vizuri kana kwamba nataka kufanya kitu. ?

“Haya sasa kumekucha tena mama kama kawaida yako!” ? Lily aliongea akiwa ananiangalia ninachokifanya na alikuwa anatambua ni kipi kinachoenda kufanyika na alikuwa ameshazoea kuniona nafanya hivyo kila mara. ?

Sikumjibu kitu, ? nilijitayarisha na tayari kwa kuanza kufanya nilichokusudia. ?

***

Kutokana na aina ya muziki niliokuwa nimeweka, ? nilianza kuyakata mauno kuendana na ule mziki, ikiwa ni mazoezi yangu ya kila siku niliyokuwa nimejiwekea ili kulainisha kiuno changu, ? kilichokuwa kimeanza kuiva haswa kwa mizunguko ile ya kukikata kuanzia kusimama, kuinama mpaka kuchuchumaa kwake. ?

Nilikuwa najifua vilivyo yani usiombe nikutane na mb** yako nitakavyo kuwa naibania na kuiachia kwa ndani kisha kuachia tako moja juu jingine chini, ? na ndiyo mazoezi yangu niliyokuwa nikiyafanya sana kwani nilikuwa nikizipitia sana Video clips zilizokuwa zikitumwa kwenye yale magroup mengine ukiachana na la Makungwi. ?

? Ukija kwangu legelege kama wale maEx zangu na haya mauno niliyokuwa nikijifunza kila siku, ? nakupa sekunde 5 tu tena uwe umepiga tako zako 3 nakumwagisha mapema sana, ? bora uje kwangu umekunywa mchuzi wa pweza ama umetumia putururu hapo kidogo unaweza kwenda hata Tako zako 18, ? kama utaniachia nikuonyeshe alichonipa Kungwi?, lakini mpaka muda huo aliyeniweza alikuwa Suley tu sio hao wengine bao la kuku. ???

“Mh!, unazidi kubobea mama angu, hilo uno safari hii ukikutana na Suley ataeleza, naona Makungwi wako wa WhatsApp wanazidi kukufua.” ? Lily aliongea nilipokuwa nimemaliza kucheza ule mziki kwa kurudia rudia. ?

“Kawaida buana, afu una tabia mbaya sana, mwenzangu ushafundwa hutaki kunifunda ama unataka nikipata bwana mzuri niachike sio?.” ? Nilimuuliza Lily.

“Amna sio hivyo best, muda tatizo ila naona unakuja kuja karibu utaanza kunizidi sasa.” ?

“Mmh!, mara ngapi nakwambia unifundishe hutaki, unaishia kunilingishia na mtako wako wa kizaramo.” ?

“Hah, basi mama itabidi nikupeleke kwa aliyenifunda manake makazi yake rasmi kayahamishia hapa dar.” ?

“Wewe, lily usinambie!” ?

“Eeh, ndio lakini kwa wewe umebakiza vitu vichache tu atakavyokufundisha.” ?

“Mmh! Kweli?” ?

“Ndio Dija.” ?

Nilifurahi kusikia Lily akiniambia vile, kwamaana nilikuwa nikimuomba sana anifundishe, ? nilikuwa natamani sana kuwa kama yeye, ? alivyokuwa na kiuno laini cha kuyakata mpaka nilikuwa namuonea wivu. ? ingawa kuna vitu nilikuwa najifunza mwenyewe lakini bado nilikuwa na kiu ya kujua mengi. ?

? Basi nilipomaliza kufanya mazoezi yangu nikaingia bafuni kutoa kijasho kilichonitoka wakati wa kuyakata, ? na nilipotoka nilianza kujiandaa kisha nikaondoka na kumuacha Lily aliyekuwa analalamika hawezi kutoka, ? asubuhi hiyo kutokana na kitom*o alichoambulia jana yake. ?

Na safari yangu ilikuwa ni kwenda katika biashara yangu ya nguo Kariakoo na ndiko huwa nachukua muda mwingi sana kufanya mambo yangu, ? sikuwa mdangaji bali mtafutaji wa kidogo nilichokuwa nimebarikiwa. ?

?Kidogo nilifanikiwa kuajiri katika duka langu, ? kwani muda mwingi nilikuwa sio mkaaji, ? hivyo nilikuwa naenda mara chache kutembelea hata kushinda huko pale itakapobidi. ?

Siku hiyo nakumbuka nilishinda pale dukani kwangu na vijana wangu, ? na mida ya mchana nikiwa naendelea na mambo yangu nilipokea simu kutoka kwa Mr. Rom. ?

“Hellow Mr. Rom” ? Niliongea baada ya kupokea simu yake. ?

“Yes Dija za toka jana” ? Mr. Rom aliongea lakini kwa sauti fulani hivi ya unyonge. ?

“Ni nzuri hofu wewe” ? Nilimjibu. ?

“Ni njema kiasi chake.” ? Alizidi kuongea kinyonge. ?

“Vipi kuna tatizo Rom.” ?

“ Ndiyo Miss kuna tatizo kidogo limejitokeza, ile ahadi yetu ya kuonana leo jioni haitakuwepo, nimepokea simu ya msiba usiku wa kuamkia leo hivyo nipo safarini.” ?

“Mungu wangu, nani tena?” ? Nilishtuka kusikia anamsiba. ?

“Ni Baba yangu mzazi Dija.” ? Alinijibu kwa hisia sana kitu kilichonifanya hata mimi niguswe kwa msiba huo. ?

“Jamanii so sorry mpenzi, kwahiyo unadrive wewe gari au umepanda bus?” ? Ilibidi nichukue nafasi ya kumfariji kama mkewe ingawa hakuwa bado amenitongoza kwani nilijua kufanya hivyo kidogo hata stress zake zingepungua. ?

“Ndio nipo na gari yangu ila rafiki yangu ndiye anayeendesha.” ?

“Afadhali, basi niwatakie safari njema na pole sana kwa msiba” ?

“Asante, tutawasiliana nikifika.” ?

Tuliagana kisha akakata simu, ? na nikaanza kumuonea huruma sana kwa kile alichoniambia na kwakuwa sikuwa na chakufanya basi niliendelea na mambo yangu kama ni kifo tumeumbiwa wote. ?

Sikuacha kuwasiliana na Rom?, na nilichukua nafasi hiyo kuweza kumfariji, kwani nilijua ni wakati wake mgumu sana anaoupitia, ? na kiukweli kadri nilivyozidi kuongea naye kila mara ndivyo ukaribu wangu kwake ulivyoongezeka, ? hata kuna wakati nilianza kuhisi kama kweli Mr. Rom ameanza kuchukua nafasi kubwa ya maisha yangu na ni kitu ambacho sikuwa nacho kabla yani kifupi nilianza kumpenda Rom. ?

“Mamaa wa biashara, naona ndo unaingia sasa.” ? Alikuwa ni Lily akiongea baada ya kutoka katika biashara zangu. ?

“Ndo mie mama angu, za hapa?” ? Nilimjibu Lily nikijitupa kwenye kochi sebuleni. ?

“Ni nzuri za utokapo Shoo” ? Lily aliongea. ?

“Ni njema pia, nikajua sitakukuta hapa nyumbani manake we na bwana ako!, ni pete na kidole.” ? Nilimjibu Lily. ?

“Hapana buana, ameniaga leo asubuhi anamsindikiza rafiki yake msibani.” ?

“Mh! Wapi huko shoga yangu?” ?

“Kanambia wanaenda mbeya.” ?

“Mh! Mbona kama nahisi kitu hapa Lily” ?

“Kitu gani Dija.” ?

“Unajua yule mkaka wa jana ameniaga amefiwa na baba yake na ameenda Mbeya naye.” ?

“Mmmh usinambie kwani anaitwa nani yule kaka?” ?

“Anaitwa Ramsey” ?

“Ramsey au ni Mr. Rom?” ? Aliniuliza Lily akinifanya niinuke kidogo nimsikilize. ?

“Mmh!, ndio shoga yangu, ulimjulia wapi Mr. Rom?” ? Nilimuuliza. ?

“Yani Dija kama yule kaka ndo huyo Rom, mwenzangu unabahati sana?, huyo kaka ni rafiki wa bwana angu Andrew kila mara huwa anamzungumzia nikiwa naye ila kwa bahati mbaya hatukuwahi kuonana naye.” ?

“Mmh! Kwahiyo unamaanisha Andrew na Rom ni marafiki wakubwa?” ?

“Eeh ndio shost angu ndo maana nakwambia unabahati sana mama yangu.” ?

“Kwanini niwe na bahati.” ?

“Shida zako na hizo nyeg* zako zimeisha kwanzia leo.” ?

“Hahah! Usitake nicheke mwenzio.”

“Kweli ndio unafikiri Andrew atakubali rafiki yake akupoteze kisa kuhangaika na kutafuta mkunaji jamani?” ?

“Mmh! Usinambie mama angu.” ? Niliongea nikianza kufuharia kusikia hicho kitu. ?

“Kweli ndio sasa hapa mama angu kesho nakupeleka kwa kungwi ukaanze kujifunza mambo mama angu sitaki uniangushe kwa rafiki wa bwana angu, ? alafu isitoshe na anavyojua we ni rafiki yangu na ukaniangusha wakati mie namliza kila mara ataona kama me nimbinafsi sana kwako.” Lily aliongea. ?

“Bora hata umejishtukia yani bora umpigie umpe taarifa kabisa kungwi wako nikaanze kujifua mapemaa kabla ya Mr. Rom hajarudi akute nishaiva Dija mimi.” ? Niliongea na tukaanza kucheka kisha kweli Lily akampigia huyo Kungwi wake kumjulisha na safari ya kesho yake ikawa ya uhakika. ?

Haya sasa!, Bibie Anataka akajifue tena vilivyo!!.

Mambo ndo kwanza yanaanza.

***

Kesho yake kama tulivyokuwa tumepanga, ? tulienda kwa Kungwi, bibi Kigalula na tulipofika, aliweza kutupokea vizuri kwani alikuwa anafahamiana sana na Lily toka huko Uzaramoni. ?

“Haya bibi mgeni wako ndo huyu, me sikai sana kuna kazi nafwatilia, yaani umkaange kama ulivyokaangwa bibi yangu.” ? Lily aliongea wakati tayari nimeshaanza kuyazoea mazingira ya pale nyumbani kwa bibi kigalula. ?

“Hilo tu mbona dogo sana kwangu Lily, nilivyo kupika ndo ntampika mwenzio.” ? Bibi kigalula aliongea, na kwa kumuangalia usingedhani ni mtu mzima, alikuwa bado ni mbichi kabisaa, na kwa wakati ule nilianza kujiuliza amewezaje kujitunza kiasi kile, ila jibu likanijia moja tu.. Tembea ujionee mengi. ?

“Haya Karibu mgeni wangu, niite bibi kigalula, nimgalulaji na ntakugalula haswa, njoo tuongee ndani tusiwafaidishe wapita njia.” ? Bibi aliongea baada ya Lily kuondoka akiniacha naye na sauti yake mbichi ya kidada ukilinganisha maumbile yake yalikuwa bado teketeke ya udada nilibaki nikimshangaa tu. ?

Nilimfuata mpaka ndani kwake?, nilipoingia nilipokelewa na marashi ya aina yake, hata nikaanza kushangaa hapo ndani kwake palivyo kuwa. ?

“Hadija, mambo yetu ni ya chumbani hatufanyiagi sebuleni nifuate usiogope, umeshafika, jisikie uko nyumbani.” ? Aliongea yule bibi na ikabidi nimfuate mpaka chumbani kwake, na huko nilikutana na vikolokolo vyake kibao, alivyokuwa amevipangilia kinadhifu haswa. ?

“Karibu ukae, mbona unaonekana unaogopa sana yani ukiwa na mimi jione kama upo na shoga yako Lily.” ?

“Hapana bibi, ntazoea tu si unajua ugeni nao ulivyo na sijakuzoea.” ? Niliongea nikiwa nakaa katika kochi lililokuwa hapo chumbani. ?

“Sawa, sasa kabla ya yote nikuulize kitu, una mume au mchumba?” ?

“Anh!, yupo ila yuko mbali.” ? Nilimjibu na kichwani nilikuwa namuwaza Mr. Rom ingawa bado hakuwa amenitongoza ila nilijua tu lazima atakuja kwangu tu. ?

“Mjukuu wangu, ingekuwa vizuri ukawa naye karibu, ila sio mbaya ntajua cha kufanya.” ?

“Kwani kuna tatizo bibi?” Nilimuuliza nikiwa sijui lengo lake ni lipi. ?

“Hapana najua bado huwezi kuelewa ila, usiwaze kwa hilo, naomba uvue nguo zako zote Bibi nikuangalie.” ? Nilishtuka kidogo kusikia vile ila sikuwa na ujanja niliinuka na kuanza kutoa nguo moja baada ya nyingine, nikiwa najiuliza anataka kufanya nini kwangu huyu bibi Mgalulaji. ?

#Usikose kabisa sehemu inayofuata, mambo yanazidi kuwa moto

Jamani twende chapu , bonyeza LIKE 150 sasa hivi ili nipost EPSOD YA 6✨

Kila LIKE yenu ❤️ ndio nguvu ya kuendelea kuweka content bora zaidi kwa ajili yenu!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 5 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK “Jamani Lily nini lakini?” ? Niliongea kiunyonge baada ya Lily kuanzisha utani wake. ?



“Naona leo umeamua kulala na mumeo kabisa na kwa baridi hili mama umemfaidi kweli.” Lily aliongea baada ya kuona lile bol* la bandia kitandani. ?

“Jamani asa ntafanyaje lakini best, wanaume wenyewe siku hizi ka dada zetu tu yani hakuna lolote chumbani zaidi ya kuchafuana na kuharibiana siku tu.” ? Niliongea kwa kupanic kidogo. ?

“Mama yangu, hujapata bwana wa kukukanda vizuri, kwani mliishia wapi na jamaa yako ya jana?” ? Lily aliniuliza. ?

“Sikuongea naye vizuri ila leo ndo anaenda kunimwagia sera mwenyewe.” ?

“Haha, we mkubalie tuu uone kama naye ni walewale tu.” ?

“Unafikiri shoo, ndo kilichobaki hizi nyeg* atazitoa nani kama...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chombezo-khadija-mtanuko-sehemu-ya-5-imeandikwa-na-joe-marick-jamani-lily-nini-lakini-niliongea-kiun

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chombezo-khadija-mtanuko-sehemu-ya
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 9  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  ILIPOISHIA...  Nilishindwa kujizuia kwani tayari hata Chupi yangu ilianza kulowa kwa zile nyeg*
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 9 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA... Nilishindwa kujizuia kwani tayari hata Chupi yangu ilianza kulowa kwa zile nyeg*
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 8  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  ILIPOISHIA...  “Kwani me huwa nakuuliza ukitoka kwa Andrew wako?” ? Nilimuuliza. ?
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 8 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA... “Kwani me huwa nakuuliza ukitoka kwa Andrew wako?” ? Nilimuuliza. ?
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 2  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  ILIPOISHIA  Nilipofika alinikaribisha?, na tukawa na maongezi machache yaliyopelekea
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 2 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA Nilipofika alinikaribisha?, na tukawa na maongezi machache yaliyopelekea
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 6  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  ILIPOISHIA...  “Hapana najua bado huwezi kuelewa ila, usiwaze kwa hilo
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 6 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA... “Hapana najua bado huwezi kuelewa ila, usiwaze kwa hilo
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya Kwanza (1)  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  UTANGULIZI?  Kila mtu ana kilevi chake kinachoweza kumsumbua
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya Kwanza (1) IMEANDIKWA NA : JOE MARICK UTANGULIZI? Kila mtu ana kilevi chake kinachoweza kumsumbua
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 7  IMEANDIKWA NA : JOE MARICK  ILIPOISHIA...  “Mmh!, Bibi yako kakuongezea vitu kwakweli, embu endelea kuyakata nikuone.” ? Lily aliongea...
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 7 IMEANDIKWA NA : JOE MARICK ILIPOISHIA... “Mmh!, Bibi yako kakuongezea vitu kwakweli, embu endelea kuyakata nikuone.” ? Lily aliongea...
Chombezo : Khadija Mtanuko  Sehemu Ya 3 Yani kifupi Suley alikuwa ni mtu maalumu hakuwa mpenzi wangu, ? ila kazi yake huwa anatoa huduma hizo kama unataka kutolewa nyeg*
Chombezo : Khadija Mtanuko Sehemu Ya 3 Yani kifupi Suley alikuwa ni mtu maalumu hakuwa mpenzi wangu, ? ila kazi yake huwa anatoa huduma hizo kama unataka kutolewa nyeg*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

1.02K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

809
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

501
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

412
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

158
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

94
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

81
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

80
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

69

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.66K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.29K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.81K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.56K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. 🔴 Maamuzi yaliyotangazwa: 💵 Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
@majario LIVE

“Dad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani” Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest