Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI   SEHEMU YA 20
Gonga94 ยท Stories

UTANIITA SHEMEJI SEHEMU YA 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Macho waliyo angaliana kipindi anaondoka yalinifanya nikabaki nasema moyoni ohooo it about to down ๐Ÿฅฒ.

Samuel baada ya kuondoka Alvin alinifuata na kufika ananikwapua foil ilikuwa na nayama na kutupa pembeni , nilimuangalia kwa mshangao na kumuuliza .

"We vipi mbona umetupa nyama zangu ๐Ÿ˜ง" kwa hasira akanijibu .
" Kwa hiyo kwasababu ya vijinyama hivi ndo vinafanya ushindwe kupokea simu yangu si ndio !?"

๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜งaaaa jamani huyu anazungumzia simu gani? Na hata kama amepiga simu nikaacha kupokea ndo anitupie nyama zangu ?๐Ÿคจ

Kwamba nyama na simu vinahusiana nini kwa mfano ๐Ÿง, ukweli sikupendezwa na jambo hilo hata kidogo๐Ÿ˜.

"Sikia Alvin sijaona simu yako na hata kama ingekuwa ni kweli umepiga bado hauna mamlaka ya kuja na kufanya huu ujinga ulio ufanya "

"Ooooh ina maana hiki nilichofanya ni ujinga ila wewe kulishana na huyo muhuni sio ujinga si ndio "
" Kabla sijakujibu futa neno muhuni,Samuel si muhuni na yes nilikuwa nakula nae kwani kuna shida au siruhusiwi ?"

"Hilo lilipaswa kuwa jibu na si swali, Wardah umekuja hapa kufanya kazi nasio kupoteza mda wako na watu wasio jielewa .

Kumbuka nilikwambia nini na uliniahidi nini?"

"Excuse me! Ni lini nimeingia makubaliano na wewe kwamba sitakiwi kuongea na watu ?"

"Acha kupunguza ukali wa jambo ,sema mlikuwa mkilishana ๐Ÿ˜’"

"Ndio tulikuwa tukulisha so shida iko wapi ?"
"Oh kumbe huoni shida si ndio ? ,sikia Wardah mimi si rafiki tu kwako bali ni zaidi ya ndugu na mimi ndio mtu pekee kwenye maisha yako.

Kwa hiyo lolote ufanyalo ambalo ni kinyume na maadili lazima nikukanye , na toka siku ya kwanza nilikwambia jilinde na vijana wapuuzi kama huyu .

Ila no hukunielewa Zaid unazidi kupita kwenye kila njia niliyokwambia usipite, na nikuulize unaona ni sahihi kufanya huu ujinga sehemu yako ya kazi ?"

Nilishusha pumzi ndefu nikainuka na kusema" Alvin Nakuelewa na najua ndio wewe ndo mtu pekee nilie nae kwenye mji huu .

Lakini haina maana kuwa utasimama kama mwamuzi kwenye kila kitu nifanyacho na nikukumbushe mimi ni mtu mzima ,hivyo kila nifanyalo nafanya nikiwa na akili zangu timamu"

"Wow ,hahahahha unajua unani furahisha sana , hivi unajisikia lakini au unaropokwa tu ? Ila sawa haina shida so nambie hivyo ndivyo umeamua kucheza na maisha yako?"

"๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จAlvin tafadhali embu achana na haya maana naona unatafuta kukwazana na mimi "

"Hapana Wardah sina mda wakutafuta kukwazana na wewe ila tu naomba nikukumbushe wewe ni yatima usie na support ya ndugu wala marafiki .

Hivyo njia pekee ya kukufanya uishi maisha mazuri ni kazi kwa maana hiyo unatakiwa utumie akili yako yote kuhakikisha unailinda kazi yako.

Kingine nilikwambia wanaume si ndugu zako , Wardah wanaume wako kwaajili ya kuharibu maisha yako wala si kingine.

Sasa jifanye ushaujua mji ,jifanye umeshapendeza na hilo shape lako likukuzue uyavagae nakwambiaje utalia machozi ya damu"

Aliongea na kuweka mfuko aliokuja nao mezani na kuondoka kwa hasira, nilimuita lakini hata kugeuka hakugeuka ndo kwaanza akapanda boda na kusepa.๐Ÿ˜•

Kichovu nilishusha pumzi na kuuchukua ule mfuko alioacha mezani nikataka kuuweka chini nikasita na hii ni baada ya kusikia vitu vikinukia ๐Ÿฅฒ.

Bila kupoteza mda nilifungua na kukuta nimewekewa kuku choma mzima ๐Ÿ˜‹, ukiachana na kuku kulikuwa na chips yai iliyoshiba haswaa ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜Š.

Niliachia tabasamu na kuchukua kifuko kingine ambacho hakikuonekana kuwa na chakula , nika fungua pale na kukuta ni mitandio mitatu pamoja na vipini vya kufingua ushungi.

Nilitabasamu lakini moyoni nilijisikia vibaya kwa kilichotokea ๐Ÿ˜ช lakini sikutaka iwe hivi wala sioni kama kuna kosa nililofanya ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ฅ.

Basi kinyonge nikiviweka vizuri na kutoka nje nikaokota zile nyama zilizotupwa na kuziweka kwenye dustbin kisha nikarudi kukaa .

Mda ulisogea kidogo nikaona nimtafute Alvin ili nijishushe maana nikisema najifanya kichwa ngumu kitanilamba maana ni kweli sina mtu mwingine zaidi yake๐Ÿ˜”.

Sijui alikuwa bado na hasira na mimi maana nilipiga simu hadi nikachoka ila hazikupokelewa , nikaona nimuache hasira zikitulia tutaongea .

Kweli bhna nikaacha na kutulia, mda ukaenda ikafika usiku nikafunga , sasa siku hiyo nyumbani tulibaki mimi na Daria tu hivyo nilivyofunga tu.

Tukaingia zetu ndani na kuanza kupiga story huku tukila kuku na chips alizokuja nazo Alvin ๐Ÿ˜‹, sasa baada ya kula na kupiga story za hapa na pale Daria akaniuliza.

"Hivi Wardah nikuulize ikitokea Alvin na Samuel wote kwa wakati mmoja wakakutaka utafanyaje coz naona wote nikama wameshazama penzini"

'" Penzin? Embu acha pombe binti ,yaani unataka kusema kwamba Alvin ananipenda mimi !?"

"Sio Alvin tu na Samuel"

"Unawazimu wewe"

"Sio wazimu Wardah hawa watu wa nakupenda na ninaona dalili za kuzuka tatizo sasa kwa ushauri mdogo tu ni kwamba ndugu yangu wewe.

Angalia yule unaempenda ndo ubaki nae huyo usie mpenda vunja mazoea nae kabisa laa sivyo kutakuja kutimka kivumbi hapa hutaamini "

" Sikia bibie mimi hapa sina hisia na mtu yoyote kati yao, na sio mimi tu hata wao hakuna mwenye hisia na mimi so habari za nimuache yupi na nikae na yupi zipotee kabisaa "

"Haya me nakwambia unaona kama nakutania ila ndo hivyo ,maana huwezi kunambia ukaribu aliutengeza Samuel kwako eti niwa kirafiki tu.

Binti huyu mtu ni anakutengenezea mazingira tu ila ukweli anakupenda , na Alvin pia hivyo hivyo sasa endelea uje kupoteza wote"

Nilimuangalia nikaona huyu acha nimkalie kimya tu maana simuelewi hata kidogo๐Ÿ˜.

Basi baada ya Daria kuona nimemkalia kimya alibadilisha mada na kuongea vitu vingine, mda ulienda ikafika saa ya kulala kila mmoja akaingia chumbani kwake.

Mimi kufika tu nikatoka kibalazani na kumkuta Samuel amekaa kama vile ananisubiri ,alivyo niona tu akasimama na kunipungia mkono huku akitabasamu ๐Ÿ˜Š.

Ujinga tunaofanyaga tukiwa huku juu ni kupigiana simu na kuongea huku tukiangaliana ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ eeeh maana hatuwezi kuongea moja akiwa kule na mwingine akiwa huku .

Lazima watu watajua na kusikia tunachoongea so tunachofanya ni nini ? Tunapigiana simu na kuongea , mda mwingine anawasha mziki kwenye kiredio kidogo sauti inakuwa si kubwa Sana alafu anacheza yaani ilikuwa ni full vibe ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜‡.


ITAENDELEAUTANIITA SHEMEJI

SEHEMU YA 21

Basi bwana tuliongea karibu masaa mawili ndio tukaagana na kila mmoja akaingia chumbani kwake, sasa mimi ile nimeingia naangalia simu nikakuta Alvin alinipigia wakati nikiwa naongea na Samuel. ๐Ÿฅฒ

Si nikasema nimpigie ๐Ÿฅฒkwani alipokea ๐Ÿ˜’? Huyu kijana naona leo nakisirani pro ๐Ÿ˜ , haya kama hataki kupokea basi hasira zake zikiisha atanitafuta.

Haya mtoto wakike nikapanda kitandani ili nilale zangu mara nikakumbuka nina zawadi ambayo sikuifungua na niliambiwa niifungue nikiwa mwenyewe.

Chap kwa haraka nikaamka na kuchukua kibox kile , nikasogea kati kati ya kitanda na kuanza kufungua hapo karoho kanadunda kutaka kujua kilichomo ndani ๐Ÿฅฒ mara buuum nikafungua ๐Ÿฅฒ jamani nyie ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜‡.

Embu kaka kuna wakuotea aote ni kitu gani nimepewa ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜‡, nyie my wenu nimepewa simuuuu๐Ÿ˜‡ tena sio kasimu ni simu ya viwango vya juuu ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ.

Moyo ulilipuka kwa furaha nikatamani kupaa lakini sikuwa na mabawa ๐Ÿฅบ, nikatamani kupiga ukelele ila siwezi nitaamsha walio lala ๐Ÿฅฒ.

Sasa nifanyaje ๐Ÿฅฒ, niliwaza chap na kuamka nikachukua kiswaswadu na kumpigia nikamwambia please naomba utoke kibalazani , bila kuuliza kunanini akatoka .

Uliza kitu nilifanya ๐Ÿ˜‡๐Ÿฅฒ,? Mwenzenu baada ya kutoka tu nilituma mabusu ya hewani kama mia na uchafu๐Ÿ˜† alafu nikawa kama namkumbatia ila ndo nakumbatia hewa ๐Ÿ˜†.

Na yeye alivyo jinga akawa anayapokea ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…, nilifurahi na kumwambia asante sana , akajibu " anything for you mamaa"๐Ÿฅฐ uwiiii jamani nafwaaaa๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜‡.


Nyie niseme tu siku hii ilikuwa ni siku bora kuliko zote kwenye maisha yangu ๐Ÿ˜Š, nililala usingizi mnono kuliko kawaida na kwa mara ya kwanza nikaingia kwenye ulimwengu wa smartphone tena kali kama mtoto wa mshua ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜‡

Aa Mungu please bless this man for me๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡,maana anajua kunipa maraha bwana ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜‡.

Basi bwana siku hiyo ilipita kiivyo, kesho yake asubuhi nikamuonesha Daria simu yangu akaendelea kukazia kuwa kijana kashazama kwangu.

Kama kawaida nikapuuza na kuendelea na mishe zangu ,mchana Samuel akaja dukani na kunifungulia baadhi ya mafile pamoja na kunionesha vitu vyote muhimu.

Baada ya hapo nikabaki ni mwendo wa kuperuzi tu bando linatoka wapi ? Kwake mwenyewe ๐Ÿ˜Š eee sikujua hata bei ya bando likiisha tu naungwa juu kwa juu .

Maisha yakasonga ,ukaribu ukazidi Alvin nae akaachaga hasira zake pembeni akawa ana anakuja kuniona karibu kila siku sema alikuwa si mkaaji .

Sasa bwana baada ya wiki kadhaa kupita siku hiyo Alvin akampigia boss wangu na kumuomba of ya siku nzima , boss wangu hanaga baya akasema sawa.

Nikashangaa nafatwa kuuliza nikaambiwa kashapewa ruhusa kitambo, so nikajianda kisha haoo tukaokaondoka tulienda wapi beach โ›ฑ๏ธ ๐Ÿ˜Š.

Kufika huko tukaogelea na kuenjoy kwa sana , na ilipofika jioni akanambia tutalala pale nilishangaa na kumuuliza kwanini tulale pale ila hali tunaweza kurudi nyumbani.

Akanijibu eti anataka kukaa na mimi siku nzima , nikabaki okay๐Ÿคจ ila kichwani nilihisi kuna kitu sema nikaona acha nibaki tu maana toka nilivyo Anza kazi hakuna siku tuliyokaa pamoja hadi siku ikapinduka.

So atakuwa kanimiss actually hata mimi nimemmiss ๐Ÿฅฒ ndio nikweli nimemiss ukaribu wake kwani ni vibaya ๐Ÿฅฒau ndo nishaanza kufikiliwa vingine ๐Ÿฅฒ.

Nisifikiliwe vibaya bhna ni kawaida sana so achane tuenjoy ๐Ÿ˜‰.

Basi nilikubali akachukua chumba ,nikauliza tena kulikoni achukue chumba kimoja akajibu kwakuniuliza " nimesema nataka kutumia siku hii nikiwa na wewe je kuna shida tukishare chumba kimoja?

Au sasaivi huwezi kwa kuhisi labda naweza kukufanyia kitu kibaya?"


"No sina maana hiyo ila nimeuliza tu"

"Basi jibu ndo hilo na kama huko tayari kuwa huru kusema,siwezi kulazimisha so nikachukua viwili"

"Haina shida chukua tu " eeeh Mungu nilinde lolote lisitokee maana dah sijisikii poa kwa hili kwakweli ๐Ÿ˜”.

Niliwaza na kubaki nikiigiza kutabasamu, kweli bhna akalipia chumba kimoja ,baada ya kula tukaenda chumbani sasa madai tunaenda kupumzika .

Uliza kama kulikuwa na pumziko ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜† ila Alvin ๐Ÿ™Œ yaani tulifika chumbani nikiwa roho juu juu kwa hofu nikihisi huenda nitaenda kutafunwa.

Lakini haikuwa hivyo bhna ila sikulala elewa sikulala๐Ÿฅฒ, yaani usiku kucha ilikuwa ni michezo, story kuangalia movie na mambo kibao and then buuum asubuhi hii hapa.

Watu ndo kukumbuka kwamba ohoo tulitakiwa tulale , ikabidi aongeze masaa tukalala weee saa nane ndo tukaamka ,tukapata chakula cha mchana .

Kisha tukajiandaa kuondoka , sasa baada ya kukweka kila kitu tayari kwa kuondoka Alvin akaniita na kunambia " Wardah naweza kumwambia kitu?"

Bila wasi wasi nikamwambia " yeah nambie"

Akasema" nimepata kazi "

"Weeeeee๐Ÿ™€ mbona habari njema hizi na ulikaa nazo ๐Ÿฅฒ, mh kabla ya hongera nambie ni kazi gani uliyo somea au"

"Yeah "

"Wow kweli Mungu ni mwema, hongera sana "

"Asante ,,aaam naweza kukuomba kitu ?"

"Yeah omba chochote"

"Utakubari?"

"Yeah kwanini nikatae "

"Okay , tunaweza kuondoka wote?"

"Kwenda wote wapi?"

"Mwanza ,huko ndiko niliko pangiwa kufanya kazi , so naomba twende wote "

Alivyo sema hivyo nilimuangalia na kubaki kimya , maana sikujua niongee nini yaani twende wote kiaje na vipi kuhusu kazi yangu?๐Ÿค”

Alvin baada ya kuona nimekaa kimya alinishika mikono yangu na kunisemesha kwa upole sana .

"Wardah tafadhali naomba useme ndio ,si tamani kuwa mambo na wewe hivyo tafadhali usiseme hapana"

"LA la lakini Alvin ni ngumu mimi kuwa na wewe huko ,maana ni......"

"Kama ni kazi nitakutafutia nyingine na kwasasa kazi yangu ni nzuri so nitahakikisha unapata kila unacho hitaji kwa wakati "

Nilikaa kimya huku nikiwa sielewi nimjibu nini , moyo ulisema nenda nae ila akili ilikataa huku mawazo kuhusu Norvin yakizunguka kichwani.

Alvin kuona nimezama kwenye dimbwi la mawazo akanambia " ni sawa unaweza kufilia then utanipa jibu ila usichukue mda mrefu "

Nilijibu ndio kwa kutikisa kichwa , akanishika mkono tukatoka na safari ya kurudi nyumbani ikaanza .

Sasa bwana wakati tunatembea kutoka eneo lile la beach tukakutana uso kwa uso na Shuu mdogo wake Alvin, kitendo cha kuniona nikiwa na ndugu yake kilimshtua sana.

Akataka kuongea ila Alvin akamkatisha na kunishika mkono vizuri kisha tukaenda kupanda bajaji tuliyo request na kumuacha Shuu akituangalia kama vile haamini anachokiona.

SEHEMU YA 22

SONGA NAYO....................

Basi bwana safari ya kurudi nyumbani iliendelea nikafika nyumbani , hakutaka kuingia ndani hivyo nilimuaga na kushuka mwenye bajaji akageuza wakasepa.

Mimi si ndo nigeuke ili niingie ndani ya geti nikashangaa kumuona Samuel akiwa juu ananiangalia , nikampungua mkono kwa mbali na kutaka kuingia ndani akanipa ishara nisiingie ndani.

Sikuwaza nikasimama kumsubiri ,ajabu alitoka nje na gari kunifikia akanambia ingia kwenye gari , nikauliza tunaenda wapi nikaambiwa ingia chap.

Eeh sawa nikaingia ,akaendesha na kwenda mbali na nyumbani kisha akasimama na kukaa kimya kwa mda kisha akaniuliza.

" Ulikuwa wapi jana ?" Uliza yake na namna uso wake ulivyo onesha hasira ilinifanya nijiulize kanichukia kwasababu yangu au kuna mtu kamkwaza.

Basi kwa upole nikamwambia " nilikuwa kwa shangazi "

"Shangazi yako ! Una uhakika ?"

"Yeah kwani vipi mbona kama hauko sawa ?"

"Yeah siko sawa, Wardah toka jana nakupigia simu yako lakini ulikuwa unaongea kana kwamba ulikuwa na mtu pembeni yako?"

Kwa hiyo kachukia kisa alipiga nikawa naongea kwa uoga au ana mambo yake ๐Ÿ˜๐Ÿค” niliwaza na kumjibu .

"Hapana bhna utakuwa ulihisi vibaya ila mbona nilikuwa naongea kawaida tu "

"We unaona vile ni kawaida na why umerudishwa na huyo kaka ina maana ulikuwa nae pia? "

Nilitaka kujibu ndio nikasita na kusema " hapana nimeonana nae wakati narudi tu , mh kwanini umenileta huku au ndo ulitaka kuniuliza hivyo tu "

" Nimekuleta huku ili nikwambie kuwa na kupenda "

"Eeeh๐Ÿ˜ณ!?"

" Ndio nakupenda na si kama rafiki bali kama mpenzi na mwanamke ninae tamania kuishi nae maisha yangu yote "

" Samuel! embu acha masiala na turudi nyumbani, nina kazi nyingi ujue "

"Sitanii Wardah , nakupenda na ninakuhitaji "
Nilikaa kimya na kuishia kumuangalia usoni, moyoni sikuamini kama kile ninachosikia ni kweli ama anaamua kunizingia ,kunipenda mimi Wardah kupendwa na Samuel hapana bhna.

Samuel kuona nimekaa kimya alifungua mkanda akanisogelea zaidi na kunambia huku akiniangalia usoni bila kupepesa macho wala kusita sita .

"I love you Wardah , nakupenda kuliko neno lenyewe so please naomba uwe wangu I promise nitakupenda na kukulinda maisha yangu yote I swear "

Huyu mtu atakuwa serious๐Ÿ˜, " aaam Samuel naomba turudi nyumbani "

"Tunarudi ila nijibu kwanza "

"Samuel!"

"I love you "

"Lakini......" sikumaliza kuongea alinisogelea karibu zaidi tukawa zero distance, taratibu aliinua mikono yake na kuushika uso wangu na kwa sauti iliyojaa hisia kali akanambia.

"Lakini nini Wardah, sisi ni marafiki ! Je ni kosa marafiki kuwa wapenzi? No Wardah ni kawaida hisia za mapenzi kuzaliwa ndani ya urafiki wala hakuna ubaya wowote .

And unatakiwa kujua kuwa hisia za mapenzi hazina mipaka so please usinikatae kwa kigezo cha urafiki wetu kwanza hii ndo nzuri coz bond yetu si rahisi kuvunjwa ."

"Samuel ๐Ÿฅบ!"

"Please be mine ,Wardah nilikupenda toka siku ya kwanza kukuona na hata sasa bado nakupenda so mamaa sema ndio , fungua moyo wako na uache nikupende"

Aisee nilivurugwa kuliko kawaida, moyo wangu ulibaki njia panda nisielewe nimkubali Samuel au Alvin na je nikimkubali Alvin itakuwaje maana siwezi kumkubali huyu alafu nikaishi na yule japo Alvin hajafunguka kunihitaji kimapenzi.

Ila nado haitaingia akilini nikimchagua Samuel alafu nikaishi na Alvin, au nimkatae niende na Alvin ila je moyo wangu unataka nini ?

Niliwaza sana ila sikupata jibu , Samuel hakukaa kimya ndo kwaanza alizidi kunichombeza kwa maneno matamu na ahadi kede kede.

Kitu kilichozidi kunifanya nizidi kuvurugwa , aaaa sasa nimpende yupi na yupi nimuache ๐Ÿค”๐Ÿค”

Kazi ipo sijui binti atachukua uamzi gani, au ngoja nikuulize mpendwa wangu we unafikili yupi anapaswa kubaki na Wardah je ni Alvin au Samuel

Na itakuwaje kama akimchagua Alvin mwanaume ambae amemsaidia na kumshika mkono kwa mda mrefu, je akiondoka nae huko mwanza je maisha yao yatakuwa sawa?

Na hadi mda huu Alvin hajafunguka kuhusu kumpenda ila tu kaomba kuondoka nae , lakini pia ikitokea mama yake Alvin akijua kuwa Wardah yuko na kijana wake tena wanaishi pamoja unafikili atakaa kimya.

Na vipi kama akiamua kubaki na A
Samuel je Samuel atampenda na kumthamini ? Ama na yeye ndo atakuwa wakupita ?

Yote hayo tutayafahamu katika msimu wa pili wa kisa hiki ,so mpendwa wangu usibaki nyuma twende wote sambamba tumalize kisa hiki pamoja love u byeeee



*MWISHO WA SEASON ONE*

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI SEHEMU YA 20


Macho waliyo angaliana kipindi anaondoka yalinifanya nikabaki nasema moyoni ohooo it about to down ๐Ÿฅฒ.

Samuel baada ya kuondoka Alvin alinifuata na kufika ananikwapua foil ilikuwa na nayama na kutupa pembeni , nilimuangalia kwa mshangao na kumuuliza .

"We vipi mbona umetupa nyama zangu ๐Ÿ˜ง" kwa hasira akanijibu .
" Kwa hiyo kwasababu ya vijinyama hivi ndo vinafanya ushindwe kupokea simu yangu si ndio !?"

๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜งaaaa jamani huyu anazungumzia simu gani? Na hata kama amepiga simu nikaacha kupokea ndo anitupie nyama zangu ?๐Ÿคจ

Kwamba nyama na simu vinahusiana nini kwa mfano ๐Ÿง, ukweli sikupendezwa na jambo hilo hata kidogo๐Ÿ˜.

"Sikia Alvin sijaona simu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 18
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

1K
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

234
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

201
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

196
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

148
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

146
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

135
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest