Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19
Gonga94 Β· Stories

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mda ulienda na ratiba zangu zikisonga kama kawaida, jioni ikafika Samuel akatoka kazini ,naona leo mood yake ilikuwa vizuri maana alifika karibu yangu akasimama na kunisalimia .

Kisirani nilichokua nacho kwa siku hii hakikuniruhusu kuitikia salamu yake kabisa ,na sio salamu tu hata kuinua uso kumuangalia tu sikuthubutu.

Ndo kwaanza nilijiweka bize kubonyeza kiswaswadu changu 😏, akaniangalia kwa mda nikaona anapandisha kioo na kuondoka , huku nyuma nikamsindikiza na sonyo 😏

Yaani jitu jana lilinipita kama halinioni ,bado usiku likalala bila kuniona alafu leo bila mshipa wa aibu linanisalimia kama vile hakuna kilichotokea πŸ™„πŸ˜.

Akwende huko 😏 kwanza staki mazoea na yeye tena ,eeeh ataki kabisaa ,kama ni maisha kila mmoja aishi maisha yake nyambafu 😏😏.

Nilikuwa nimekaa nje ila kwa hasira niliinuka na kuingia ndani , mood ya kuchezea simu nayo iliondoka nikabaki naongea mwenyewe kama chizi😐.

Dakika kadhaa zilipita nikasikia geti dogo la nyumbani kwao linafungwa kakubamizwa nikahisi huyu anaweza kuwa yeye ,haraka nikajifanya nimelala.

Kweli sekunde chache mbele nasikia harufu ya manukato sijakaa sawa nikasikia anaita kwa upole " Wardah! " me kimya ,akaita tena " Wardah mama "

Bado nilikaa kimya , akaita tena sikuitika kwa sauti iliyojaa upole akasema " Wardah najua nimekukosea sana mamaa ila please naomba unisamehe "

Pamoja na kuongea kwa upole bado sikujibu akaongea tena mimi kimya , masikini kwa huzuni akaniuliza "Wardah umenichukia mamaπŸ˜₯"

Sikuwa na mpango wa kufungua macho ila ongea yake ilinigusa nikaona mbona kama namuonea kaka wawatuπŸ₯², taratibu nikafungua macho nakujifanya kama nataka kulia πŸ₯²πŸ₯Ί.

Nikaona mtu anaingia hadi nilipo na kuchuchumaa mbele yangu na kunambia " tafadhali mamaa niko chini ya miguu yako naomba unisamehe and I promise hata nikiwa na siku mbaya kiasi gani sitarudia kukuumiza tena.

But please usininunie hivi ,sitaweza kuishi ikiwa moyo wako una hasira juu yangu πŸ₯²"

"Muongo na umekuwa na tabia mbaya sana Samuel kweli wewe niwa kunipita mimi au umenichoka"

"Noo Wardah usiseme hivyo ,me sio muongo wala sijakuchokaπŸ˜₯"
"Kumbe nini kulifanya unipite au ndo ushapata kisichana kinakuzuzua akili"

"Hapana mamaa hakuna mtu yeyeyote anaweza kufanya niacha kuongea na wewe,ila sikuwa sawa na nakili kuwa ni kosa nimefanya so unaweza kunisamehe tafadhali πŸ₯Ί?"

"Mmmmmh nipe mda nifikilie πŸ₯²"

"Acha zako bhna , alafu nimekuletea zawadi "

"Wewe sasa na zawadi zako 😊 na hii tabia hakikisha unaenda nayo hadi uzeeni ,sio unanizoesha saizi alafu kesho unaacha wallah nitakuroga 😏"

"Umesema uzeeni ? Ina maana umeshaamua kuwa utakuwa na mimi maisha yako yote ?"

"Yeah kwani kuna shida gani au mwenzangu ushasain mkataba na Israel 🀨"

" kwanini nisain na nikisain nitakuachia nani😊"

"Utamuachia mume wangu πŸ™ƒ"

"Unahisi ni rahisi eeh ? Kwanza tuachane na hayo weekend hii tutaenda wapi maana nimemiss kula raha na wewe 😊"

"Mmmh kuhusu hilo tutaona siku ikifika ,sasaiv nipe zawadi zangu kwanza maana roho yangu ishakaa juu juu kama bundi anusae hatari"

Nilivyosema hivyo alicheka na kuinuka akatoka na kuchukua mfuko aliokuja nao , akanipatia mpenda zawadi nikapokea huku meno yote yakiwa nje 😁.

Kabla hata ya kusema asante nilianza kufungua ili nijue kuna ninii😊, bwanee mfuko wa kwanza kabisa ulikuwa na mbuzi choma 😊.

Nikatoa mwingine umejazwa chocolate kama zoote πŸ˜‹ huu wa mwisho ulikuwa na kibox ambacho kilifungwa kama zawadi special.

Nilikiangalia na kumuangalia akanambia " usifungue hapa , subiri ukishaenda kupumzika ndo utafungua "

"Kuna nini mbona kama unanitisha maana huchelewi kuweka bomu πŸ’£ "

"Usijali ukitaka kwenda kwa mtu mwingine ndo nitakuletea bomu ila kwasasa hapana utakula vitamu tu πŸ˜‹πŸ˜‡"

"Mmmm!☹️ huaminiki wewe, ila fresh nikilipuka utabaki unaishi maisha magumu kuliko ugumu wenyewe maana hakuna mtu kwenye hii dunia ambae anaweza kukaa na wewe kama mimi "

"Eti πŸ˜† embu kwenda huko ,kwanza achana na hilo box la mlipuko na ule nyama kabla hazijachuja utamu😜"

Sikujibu nikaweka pembeni na kuchukua mfuko wenye nyama nikafungua na kutaka kula akanishika mkono na kusema.

"Eeeeh binti huna haya wewe,yaani unakulaje bila kunawa"

"Wee bwana niache ,kunawa kwani naimeshika nini kichafu 😏"

"Hata kama bhna nawa huko "

"Sinawi sasa utanifanya nini 😏"

Alitabasamu na kuchukua maji akaninawisha kwa lazima 😏, basi baada ya kunawa nilianza kula ,aajabu akawa ananiangalia kwa huruma huku akimeza mate πŸ˜ƒπŸ₯²

Bila kuongea nilichukua kipande cha nyama na kufanya kama nampa akafungua mdomo aaa😡, nikasogeza karibu kabisa kisha nikatoa haraka na kula mwenyewe πŸ˜†πŸ˜„.

Akajifanya kanunaπŸ˜…πŸ˜† nikamwambia " sasa unataka kula chakula cha mtoto huoni aibu au ndo wale wakunywa uji wawagonjwaπŸ˜€"

Kwa upole akasema " nionje kidogo tu 🀌πŸ₯Ί"

"Staki πŸ˜’"

"Please πŸ₯Ί"

"Eeeh basi nisije kukabwa bure" niliongea na kumlisha moja na mimi nikachukua nikala ,alivyo meza tu akafungua mdomo eti anataka tenaπŸ˜’πŸ™„

Sinaga roho ya uchoyo ,nikawa nampa moja nakula moja , basi akawa anacheka mwenyewe kama chizi πŸ™„πŸ˜’.

Sasa tukaanza story akawa ananipa umbea wa huko kazini kwao , na mda huo tunaendelea kula mdogo mdogo mara ghafla bin viuu nikasikia "Wardah!!" Sauti ilikuwa ya Alvin na namna alivyo niita ilinishtua nikaunua uso kuangalia mbele nikakuta kasimama uso umefura kwa hasira😑.

Moyoni nikasema"" wema nishautia maji nini"" Samuel bila kujali alinishika mkono na kujilisha nyama niliyokuwa nimeshika na kuinuka akasema.

"Nitarudi baadae " kisha huyooo akaondoka.

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19


Mda ulienda na ratiba zangu zikisonga kama kawaida, jioni ikafika Samuel akatoka kazini ,naona leo mood yake ilikuwa vizuri maana alifika karibu yangu akasimama na kunisalimia .

Kisirani nilichokua nacho kwa siku hii hakikuniruhusu kuitikia salamu yake kabisa ,na sio salamu tu hata kuinua uso kumuangalia tu sikuthubutu.

Ndo kwaanza nilijiweka bize kubonyeza kiswaswadu changu 😏, akaniangalia kwa mda nikaona anapandisha kioo na kuondoka , huku nyuma nikamsindikiza na sonyo 😏

Yaani jitu jana lilinipita kama halinioni ,bado usiku likalala bila kuniona alafu leo bila mshipa wa aibu linanisalimia kama vile hakuna kilichotokea πŸ™„πŸ˜.

Akwende huko 😏 kwanza staki mazoea...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 18
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29

898
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*

731
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI

* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI

613
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

281
SHAMIRA sehemu ya 40&41

SHAMIRA sehemu ya 40&41

208
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

166
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

160
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13

125
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14

.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14

84
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19

65

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.57K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.31K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.25K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.77K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.64K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.5K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Mda ulienda na ratiba zangu zikisonga kama kawaida, jioni ikafika Samuel akatoka kazini ,naona leo mood yake ilikuwa vizuri maana alifika karibu yangu akasimama na kunisalimia . Kisirani nilichokua...

.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14 Post Mpya
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Licha ya kukataliwa mara kadhaa, Salmon hakukata tamaa. Alikuwa anamfuata Noela chuoni kila mara ili ambembeleze. Pia alikuwa anampigia simu na kumtumia sms kiasi kwamba Noela akaamua kubadilisha namba ili...

SWALI: (Aslm alkm:  swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?) Post Mpya
SWALI: (Aslm alkm: swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?)
@majario LIVE

JIBU LA SWALI KUTOKA MTANDAONI: SWALI: (Aslm alkm: swali langu nihv, Nn hukmu ya mwanamke mjamzito aliyepewa taraka katka sheria ya kiislami?) JIBU: Wa β€˜alaykum salaam wa rahmatullah. Hukumu ya mwanamke mjamzito aliyepewa talaka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Dakika chache baada ya Noela kuondoka, Salmon aliingia akiwa anatoka jasho. Alimtazama Iris na kusema β€œNimesikia Noela alikuwa hapa” β€œNani amekuambia hivyo?β€πŸ˜³ β€œNina watu wangu kila mahali, hivyo niambie ukweli, alikuwa hapa?” β€œNdiyo,...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 18 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Basi bwana wiki kadhaa zilipita maandalizi yakaanza kufanyika na mwisho kila kitu kikawa tayari nikaanza kazi rasmiπŸ₯°. Kutokana na mazingira tuliyokuwepo ililazimika duka liwe kisasa zaidi, vitu vilivyowekewa kwaajili...

* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI Post Mpya
* *AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI
@majario LIVE

🦈 Nikamwambia sikia usilie mbeleya mtoto basi sio sawa , mana ummy alikuwa pale lale sebleni anamuangalia mma yake anavyolia, zena akanmbia swa nipeleke nyumbani kwngu tu, nikasema now ni usiku...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Nikasema sikia utakaaa apa, na usiwaze kabisa kuhusu kodi, mimi nipo na sina plan za kukuacha wewe kabisaa, nakupendaa sana, nakupenda kuliko chochote zena, siwez acha kukulipia kodi ata siku...

A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame β€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a Post Mpya
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame β€” Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
@majario LIVE

. Harivansh Rai Bachchan, one of India’s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh stands beside him β€” a man who would go on to become...

*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
@majario LIVE

zena alinikumbatia uku analia sikuelewa ni ule uchungu wa kutoa bikra yake au mahaba yamemzidia acheni kabisaaa ila nilimvuta kwa karibu nikamtuliza na nikambembeleza kweli kweli mpaka mchumba akatulia nilimwambia...

ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI.  Elvin alikuwa kijana wa miaka 28 Post Mpya
ALIMTOA MAMA YAKE KAFARA ILI AWE TAJIRI. Elvin alikuwa kijana wa miaka 28
@majario LIVE

aliyeishi na mama yake mjane kwenye nyumba ya kupanga uswahilini. Mama yake, Mama Kelvin, alikuwa akijishughulisha na kuuza mbogamboga sokoni ili mwanawe apate chakula na mahitaji mengine. Kelvin alikuwa...

SHAMIRA sehemu ya 40&41 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 40&41
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha akasema sasa sikia tuna kazi naye .si kafanya uo usenge kwaiyo zile laki 9 zako ulizomtunza kaona sisi mafala .sasa tutamuonesha kumamamke zake twende...

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Β SEHEMU YA 1 Β Β  Β Β  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Em kwanza nicheke mieeeΒ  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijuiΒ  wapi wapiiΒ  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mr. Marvel akaendelea β€œNiliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest