JINA .......................DADA NDIO SABABU
NUMBER ..................EPISODE 3
ARTIST......................KELVIN MLOWE
KUMBUKUKA ............."Maisha siyo hadithi ya mtu mmoja. Hii ni sehemu ya maisha yangu. Niliumia, nikatengwa, lakini bado niliendelea kuishi". Follow STORY ZA Zamrata
EPISODE 3
Usiku ule baada ya Vanessa kunikumbatia kwa hofu ya radi, moyo wangu haukutulia. Mapigo yake yaligongana kama ngoma ya vita. Mikono yangu ikateleza kimya kimya... hadi nikagusa sehemu ambayo sikupaswa. Alishtuka ghafla na kujiondoa haraka.Alishtuka
“Sasha… umevuka mipaka,” aliniambia kwa sauti ya mshangao na kukasirika.
Nilimwambia " kwani kuna nini jamani ?
" Haupaswi kufanya hivyo mkono wapi uko"
" Bahati mbaya "
"Bahati mbaya wakati makusudi"
" Hapana sio hivyo bhana"
" Si hivyo ni nini?
" Jaman nisamehe "
" Achana na mimi."
Alitoka kitandani na kurudi kwake bila kusema tena neno hata moja. Nilibaki nikiwa kama sanamu. Aibu na hofu vikaanza kunimeza.
Nililala nikiwa sijitambui, mwili uliganda, moyo uliganda, dunia ikawa kimya lakini kichwani kulikuwa na vishindo vya lawama.
Asubuhi yake, Vanessa hakuniangalia. Hakunisemesha. Nilipojaribu kumfuata, aligeuza uso.
“Tafadhali, usinifuate… na usijaribu kuniita rafiki tena,” alisema kwa sauti iliyosheheni baridi kali.
Maneno yake yalinichoma zaidi ya moto wa makaa. Nilijua nimepoteza mtu pekee aliyekuwa karibu nami shuleni. Na kama haitoshi, uvumi ukaanza kusambaa.
“Sasha ni msaga..”
“Anawavizia wenzake usiku.”
“Vanessa alinusurika kunajisiwa na msichana mwenzake.”
Waliokuwa marafiki waliniacha. Walionichekea walinigeuka. Nikawa kama mdudu wa kutengwa. Chumba kilichokuwa na kelele za upendo kilibadilika kuwa gereza la upweke.
Siku moja jioni niliitwa ofisi ya Mama mlezi.
Aliniangalia machoni kisha akaniuliza:
“Sasha, unajua kwanini umeitwa hapa?”
Nilikunja uso. Nikatikisa kichwa. Lakini moyo ulikuwa tayari umejua.
“Kuna malalamiko kuwa unafanya matendo yasiyofaa na wanafunzi wenzako. Hii ni shule ya wanafunzi wa kike. Na huu si msimu wa kueneza tabia zinazokinzana na maadili ya jamii.”
Sikuweza kujitetea. Nililia. Kimya kimya. Kama kawaida. Kama ambavyo nimekuwa nikilia tangu nikiwa mtoto mdogo mikononi mwa dada yangu Cynthia.
Niliomba msamaha nikapewa adhabu ya kufyeka na nilipomaliza kufyeka nilibadilishwa chumba na kupelekwa kwa wanafunzi wa kidato cha tatu .
Ndio nikakabidhiwa kwa dada mmoja aliyeitwa salome . Alikuwa ni mcha mungu naye alianza kunibadilisha taratibu lakini siku moja nimerudi toka darasani nikamkuta kalala kajichanua mpj moja huku lingine kule hafu yapo wazi
Nilijikuta namta.......
💜 Kama simulizi hii imekugusa, tafadhali share… kuna Sasha wengi wanaolia kimya kimya.
#DadaNdioSababu #SimuliziZaKweli #MapambanoYaNdani #Episode3.