JINA: .......................
ARTIST: ...................... KELVIN MLOWE
KUMBUKUMBU:
> “Wakati mwingine, maisha hujaribu kukuokoa kwa kukupeleka mbali na kilichokuumiza. Lakini kama vidonda havijapona, unaweza kuumiza na usiye na hatia.”
Follow 👉 STORY ZA Zamrata
✍️ EPISODE 4
Alikuwa amejigeuza upande mmoja, mguu mmoja juu, mwingine chini.
Nguo yake ilikuwa imeteleza… mapa... yake wazi, na shingo yake ilikuwa imeachika kidogo.
Niliinama kuweka daftari chini… lakini macho yangu yakamfuata.
Nilijikuta kuna kitu kinaniambia fanya chochote na kweli mwili ulibadilika nilijikuta nautaka mchezo kwa salome ...Nilipiga hatua kama.simba mawindoni mpaka nikamfikia .
Niliupeleka mkono mpka mapa....nakuyafanyia utalii wa eneo lile .naye alikuwa katulia tu kama anaenjoy sasa sijuwi alikuwa anaota ila kaupenda mchezo.Nilizidi kupenyeza mkono kama kwenye ngome yake .....
Lakini wala ilionekana lama naye . Kaupendo mchezo nami niliuendeleza mpaka nilipofika kwenye kufuri na kushika .kipapai we hapo ndipo vita tatu ya dunia iliibuka ....
“Sasha! Unafanya nini?”
Nilitetemeka. Midomo yangu ilikuwa mikavu. Nilijua nimeanguka tena.
Nilikuwa nimemvunjia heshima mtu pekee aliyeniona binadamu.
“Samahani… sijui kilichotokea…”
Salome alikaa kimya kwa muda mrefu. Alinikazia macho, kisha kwa sauti tulivu lakini ya maumivu, alisema:
“Sasha… wewe ni mtu mzuri, lakini umejeruhiwa. Na kila ukikimbia vidonda vyako, unarudi kuwa yule yule uliyekuwa ukimkimbia.”
Nililia. Kwa mara ya kwanza nililia mbele ya mtu mwingine bila kujificha.
"Salome… naogopa mimi mwenyewe. Siwezi kujiamini. Najihisi mnyama…”
Salome alinyamaza, kisha akanikumbatia kidogo.
“Tutaanza upya. Lakini safari hii, utatubu. Utafunguka. Na nitakuwa nawe, lakini kwa masharti.”
Nilimwambia leo siwezi kulala bila hiyo tiba nisaidie kidogo salome . Alishangaa leo naitaka mechi kuliko kawaida .Nilizidi kumlilia mpaka akawa ananishangaaa
Nilimsogelea na kuupenyeza mkono mpaka kwenye mti wa madodo alishtuka...
Jamani Sasha..........
💜 Kama simulizi hii imekugusa, tafadhali share… kuna Sasha wengi wanaolia kimya kimya.
🔁 #DadaNdioSababu #SimuliziZaKweli #Episode4 #MaumivuYaNdani.